rombo

Eva Elin Rombo, née Karlsson (born 29 January 1976), is a Swedish operatic soprano. In November 2013 she was named Hovsångerska.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO Huruma Hospital ya Rombo inatumia wanafunzi wasio na uzoefu

    Mimi ni mkazi wa ROMBO MKUU naomba kuelezea kero ya hospitali ya HURUMA. Hospitali hii imekuwa ikiajiri wanafunzi waliohitimu masomo ya vyuoni ambao hawana experience ya kutosha katika kufanya kazi za wodini. Kitu ambacho kimekuwa kikisababisha vifo vya Mara kwa Mara kutokea katika Hospitali...
  2. Bushmamy

    Rombo: vibinti vidogo kurubuniwa kutoka Kwa wazazi na kwenda kuuza Bar mpakani

    Vibinti vidogo umri chini ya miaka 17, wamekuwa wakirubuniwa na baadhi ya wafanyabiashara waliopo mpakani mwa Kenya na Tanzania na kwenda kuuza Bar. Maeneo haswa yanayotajwa kushamiri kuwa na wimbi la mabinti wadogo wanaouza Bar ni Tarakea na Mashati Watoto hao wamesena kuwa wafanyabiashara...
  3. M

    Sisi wakatoliki wa Rombo pure tupo tunamuombea Baraka na heri Rais wetu Samia

    Jana kwenye mkesha wa krismasi hapa kwetu wilayani Rombo tulikuwa bize na mkesha wa krismasi moja ya vitu ukiachana na mkesha huo wa krismasi tulikuwa tunamuombea Rais wetu mpendwa Samia Suluhu Hassan kusema ukweli Rais samia sisi huku wachaga wakatoliki pure Tunakupenda na tutaendelea...
  4. and 998 others

    PM Mwigulu, karibu Rombo marathon

    Karibu Rombo ukweni Jumanne, tarehe 23/12. Wachaga hatunaga shughuli ndogo
  5. Blasio Kachuchu

    CRDB Yachangia Madawati 111 na Ujenzi wa Uzio Shule ya Sekondari Prof. Adolf Mkenda, Rombo

    Mkuu wa Wilaya Rombo, Raymond Mwangwala (watatu kulia) akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 10 kutoka kwa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya CRDB Bank Foundation, Coletha Ndunguru (wapili kushoto) kwa ajili ya kuchangia ununuzi wa vifaa vya ujenzi wa uzio wa Shule ya Sekondari...
  6. Stephano Mgendanyi

    DAS Jacob Rombo: Watumishi Zingatieni Maadili, Serikali Inawaamini

    WATUMISHI ZINGATIENI MAADILI, SERIKALI INAWAAMINI : ROMBO Katibu Tawala wa Wilaya ya Arusha, Jacob Rombo amewasihi watumishi wa Wizara ya Ujenzi kuzingatia maadili ya kutunza siri za Utumishi wa Umma kwa kuzingatia kanuni, taratibu na Miongozo iliyowekwa na Serikali ili kufanikisha huduma...
  7. Just Pray

    GE2025 Linus Silayo achukua fomu ya kutia nia kugombea Ubunge Jimbo la Rombo Kilimanjaro

    Kada wa CCM, Linus Silayo, Mapema leo hii amewasili ofisi za CCM Wilaya ya Rombo kufuata fomu ya kutia nia kugombea Ubunge katika Jimbo la Rombo Kilimanjaro.
  8. Bushmamy

    Rombo; Kilimanjaro Baba aua mtoto wake na Kisha kuchimba shimo na kumfukia

    Baba mmoja ajulikanae Kwa jina la Edward mwenye umri mwenye umri wa miaka 66 anashikiliwa na jeshi la polisi wilayani Rombo kwa kosa la kumuua mtoto wake wa kiume Kwa shoka na Kisha kuchimba shimo na kumzika mwenyewe usiku. Hali ya Taaharuki imeikumba Kijiji Cha Kilema katika kata ya...
  9. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Esther Malleko Agawa Incubators Kata Zote za Wilaya ya Rombo

    MBUNGE ESTHER MALLEKO AGAWA INCUBATOR KATA ZOTE ZA WILAYA YA ROMBO Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Esther Edwin Malleko ametembelea Wilaya ya Rombo na kuzungumza na wanawake wa UWT huku akiwakabidhi Mashine za Kutotolesha vifaranga vya kuku (Incubator) kwa lengo la kuwaepusha...
  10. W

    PreGE2025 CCM Rombo yatoa semina kwa wajumbe kuhusu mabadiliko ya katiba ya CCM 2025

    Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Rombo, April 17, 2025 kimetoa Semina kwa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya chama hicho Wilaya, kuhusu Mabadiliko madogo yaliyofanyika ya Katiba ya Chama hicho kwa Mwaka huu 2025. Akizungumza mara baada ya semina Hiyo Katibu wa Siasa, Mafunzo na Uenezi wa chama Hicho...
  11. W

    PreGE2025 DC Rombo akabidhi mkopo wa Sh. Milioni 641 kwa vikundi bila riba

    Jumla ya Vikundi 52 vya wajasiriamali wadogowadogo wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro vimekabidhiwa Mkopo wa Jumla ya Shilingi Milioni 641 unaotokana na asilimia 10 ya mapato ya ndani ya Halmashauri ya wilaya hiyo. Zoezi lakukabidhi mikopo hiyo limefanyika leo Jumatano April 16, 2025 kwenye...
  12. W

    Mwili wa aliyekuwa katibu CCM Rombo wazikwa

    Mwili wa aliyekuwa Katibu wa chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro Mary Sulley umezikwa , Machi 22, 2025 katika makaburi ya familia yaliyopo kijiji cha Mangafi,Wilaya ya Karatu mkoani Arusha. Mary Sulley alifariki Dunia Machi 18,2025 katika Hospitali ya Huruma iliyopo...
  13. Waufukweni

    TANZIA Katibu wa CCM Wilaya ya Rombo, Marry Sule, Afariki Dunia akipatiwa matibabu

    Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro, Marry Sule amefariki dunia jana usiku Machi 18, 2025 akiwa anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Huruma. Taarifa za kifo chake zilianza kusambaa kwenye mitandao ya kijamii usiku huohuo zikieleza kuwa Katibu huyo amefariki...
  14. W

    PreGE2025 Waziri Mkenda akabidhi shilingi Milioni 5 kwa kikundi cha ujasiriamali Rombo

    Mlezi wa Kikundi cha Marsho Manufacturing Company kinachojishughulisha na shughuli za ujasiriamali kupitia zao la ndizi ambae pia ni Mbunge wa Rombo Prof. Adolf Mkenda, Jumanne ya March 11,2025 amekikabidhi hundi ya Shilingi Milioni 5 ikiwa kama sehemu ya ahadi yake yakukisaidia kikundi hicho...
  15. upupu255

    Moto waiteketeza nyumba ya bibi Maria Kaudidi Rombo, Mbunge Mkenda aisaidia familia

    Moto ambao chanzo chake hakijajulikana umeteketeza nyumba ya familia ya Bibi Maria Kaudidi Mkazi wa Kijiji cha Urauri Kata ya Rea Wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro nakuicha familia hiyo bila makazi huku Bibi huyo na wajukuu wake wanne wakinusurika. Tukio hilo limetokea Usiku wakuamkia Jumatatu...
  16. Just Pray

    PreGE2025 Rombo: Serikali yakamilisha ujenzi wa Mradi wa Daraja la Mwamba kata ya Katangara Mrere

    Diwani wa kata ya Katangara Mrere, Wilayani Rombo Mkoani Kilimanjaro Venance Malleli, ameishukuru serikali kwa kukamilisha Miradi Mbalimbali ndani ya Kata hiyo ikiwemo Mradi wa Daraja la Mwamba ambalo lilikuwa Kilio cha Wananchi kwa zaidi ya Miaka 69. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila...
  17. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Wananchi wa Rombo wamuombea Mkuu wa Wilaya apone

    Katika Hali ya Kutia Moyo na kuonyesha mshikamano kwa kiongozi wao, Wananchi wa Kata ya Katangara Mrere wilayani rombo Mkoani Kilimanjaro wameamua Kufanya maombi kwaajili ya kumuombea Mkuu wa wilaya ya Rombo Mwl. Raymond Mwangwala afya yake iweze kuimarika kufuatia maradhi yaliyokuwa...
  18. D

    Wanawake wa Rombo Wana nini?

    Bango liko Mwananyamala Dar hili Ingawa lazima tuseme, kwa ujumla Wachaga ndio kabila lililojitahidi kutoa Wake wengi Bora kwa ndoa Bora.
  19. A

    KERO Baadhi ya Shule za Serikali Rombo zinatoza Tsh. 40,000 kusajili Wanafunzi wa Darasa la Kwanza

    Kero. Mimi ni mkazi wa Kijiji cha Mengwe, Wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro ninawasilisha kero kwa niaba ya wakazi wenzangu wa Rombo. Muhula mpya wa Masomo umeanza Januari 13, 2025 lakini kinachoendelea huku Rombo ni wizi mkubwa tena wilaya ambayo Mbunge wake ni Waziri wa Elimu, Prof. Adolf...
  20. runtown

    KERO Shida ya Usafiri Wilayani Rombo, Mkoa wa Kilimanjaro

    Wazee hapa mtusaidie tu kupaza sauti maana hali sio shwari kipindi hiki cha watu kurudi makazini kwao. Polisi kitengo cha usalama barabarani wamezuia magari kwa kigezo cha uhakiki wa leseni kitu ambacho kimesababisha shida na kero kwa wasafiri wilayani Rombo. Mtu unakaa stand hadi unachoka na...
Back
Top Bottom