roho

Rohō Yukio (born March 9, 1980 as Soslan Feliksovich Boradzov, Russian: Сослан Феликсович Борадзов, in Vladikavkaz, Republic of North Ossetia–Alania in the Russian Federation) is a former sumo wrestler. The highest rank he achieved was komusubi. His younger brother is also a former sumo wrestler, under the name of Hakurozan. In September 2008 both were banned from the sport for life after testing positive for cannabis.

View More On Wikipedia.org
  1. Uchawi ni nini? (Roho, Nafsi, Mwili)

    Nitajitahidi nitumie lugha ya kiswahili, waswahili wote tuelewane vizuri.. pia nitajitaidi nitumie maneno machache kufikisha ujumbe au elimu kubwa na pana kumuhusu Binadamu na uchawi au ushirikina (Shiriki) Kwanza unatakiwa ujue wakati Mungu anamuumba mtu hapa duniani haikuwa kazi yake au...
  2. Uchawi ni nini? (Roho, Nafsi, Mwili)

    Nitajitahidi nitumie lugha ya kiswahili, waswahili wote tuelewane vizuri.. pia nitajitaidi nitumie maneno machache kufikisha ujumbe au elimu kubwa na pana kumuhusu Binadamu na uchawi au ushirikina (Shiriki) Kwanza unatakiwa ujue wakati Mungu anamuumba mtu hapa duniani haikuwa kazi yake au...
  3. M

    Hii kamati ya mashindano ya roho mbaya iliyolejeshwa na eng.Hersi ikiwa na mafia wa enzi za manji nawaona yanga wakiendeleza vilio mwanzo mwisho!

    Kwa wale Wanye kumbukumbu nzuri kwenye Mpira wa Tanzania watakuwa wanawakumbuka awa jamaa vizuri sana; Rodgers gumbo Lucas mashauri Davis mosha Seif Ahmed magari Pelegrinus Rutayuga Hao jamaa walikuwa mafia sana kwenye utawala wa walipokuwa kwenye kamati ya mashindano, yanga ilikuwa aigusiki...
  4. Baadhi ya wanawake wana roho mbaya sana

    Juzi kati mke wangu alikuwa anapitia msongo wa mawazo sana, anasoma ukubwani kwahiyo kubalance biashara na kisomo kinamramba, kama wiki mbili anadeal na kesi ya wizi dukani kwake na mitihani. Wizi ilikuwa kiasi kidogo ila mkinga kapambana mwizi kapatikana kisha karudi darasani. me nilimuacha...
  5. Shetani kamwaga roho ya madeni ulimwenguni. Be careful

    Hello! Niliwahi kupost mada kama hii miezi michache iliyopita. Leo ninaipost tena baada ya kufanya utafiti tena na tena. Watu wengi wanadaiwa sio mchezo. Hata Mimi niliwahi kuvamiwa na roho ya madeni, madeni yanamsogeza mtu karibu na kifo, madeni huondoa amani katika familia. Katika mipango...
  6. R

    Mambo ya kiroho!! Roho ni nini?

    Wahubiri wa imani ya Kikristo, ni muhimu kutoa maelezo fasaha mnapozungumzia masuala ya ulimwengu wa roho. Mara nyingi, unamsikia mhubiri akisema, "Naona katika ulimwengu wa roho..." lakini ni vema tukajiuliza, roho ni nini? Je, ninyi pia mmekaririshwa tu kwamba roho siyo kitu chenye asili ya...
  7. 0

    Gharama za mahusiano mapya zitanitoa roho

    Huyu slay queen akikataa kunyoa kipara itabidi niyamwage manyanga Nilizoea kienyeji wangu. Budget yake kusuka ni Tsh. 5,000 kwa wiki Nimekutana na nguchiro mmoja, after every two weeks anataka 120,000 ya kusuka na 45,000 ya kucha. Hapo achilia mbali gharama zingine kama outings, mavazi...
  8. Haya ndio mambo ya uhakika katika niliyojifunza katika ulimwengu wa roho

    KARMA - kuhusu karma hiii inafanya kazi kwa 100% jinsi unavyowaombea WATU mema hayo mema na wewe lazima uyapate Unaposaidia watu in positive way lazima na wewe uneemeke ikiwa sio wewe watoto wako. Kusaidia ni njia namba moja inayoleta MAFANIKIO kuna watu huwa hawaishiwi wala familia zao...
  9. M

    SI KWELI Nape atahadharisha kufanywa kwa siasa za kijinga, asema zitagharimu roho na damu za watu

    Nimekutana nahii post kwenye mitandao ya kijamii kwenye akaunti yenye jina la mbunge wa Mtama ikitahadharisha watu kufanya siasa za kijinga akidai zitagharimu roho za watu na damu. Je post hii ni hali halisi na imechapishwa na Nape mwenyewe?
  10. U

    Kauli ya kishujaa ya mke wa Masanja Kusamehe ni lazima ndugu zangu, ili roho mtakatifu aweze kukaa ndani yako na kufanya kazi na wewe!

    Wadau hamjamboni nyote? Sikia kauli ya kishujaa ya Mama Monica Masanja mkewe mchungaji Masanja "Kusamehe ni lazima ndugu zangu, ili roho mtakatifu aweze kukaa ndani yako na kufanya kazi na wewe lazima usamehe, lazima uachilie" Je unampa ushauri gani? Njozi njema!
  11. Hiyi hali inatokana na nini nikiwa mbali nae hujikuta namuwazia sana mpaka roho inauma

    Wakuu nimepatikana hata kama Ni kupenda hiyi Ni too much Iko hivi Nina mpenzi nimezaa nae Mara ninaposafiri kuwa mbali na yeye zikipita siku tatu hujikuta namuwazia sana Na nikiendelea kujikausha nisimtafute hujikuta roho inaniuma sana Ila nikimtafuta tukaongea basi nakuwa na amani Kuna...
  12. Waziri Aweso: Bwawa la Mindu ni roho ya Wananchi wa Morogoro. Watu kukosa maji wiki 3 Morogoro ni uzembe. MORUWASA Msikae Ofisini

    WAZIRI AWESO AANZA ZIARA YA MOROGORO Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amewasili Mkoani Morogoro kwa ajili ya kuanza ziara yake ya Siku moja ya kukagua na kufuatilia hali ya huduma ya upatikanaji wa Maji katika Mji wa Morogoro Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amewataka Wasimamizi na Watendaji wa...
  13. Niliyoyaona baada ya kuita roho za giza kwa kutumia OUJIA board (don't try this at home)

    Habari za wakati huu wana jukwaa Duniani hatupo peke yetu, vipo viumbe au roho ambazo kwa macho hatuwezi kuziona, zipo katika dimension nyingine, lakini ipo namna tunaweza kuwasiliana au kutengeneza ukaribu nao. Swala hili halina uhusiano wowote na imani yangu bali ni jambo ambalo niliona...
  14. Hivi mnajua roho ya mwanadamu kama ijapangiwa kufa kwa wakati inabaki hapa hapa duniani?

    Kuna kisa kimoja kilitokea marekani ambacho mama mmoja alijikuta mikononi mwapolisi baada ya kwenda kituoni kuanza kueleza kuwa eneo fulani kuna mwili wa mtu fulani nendeni mkautoe. Lile jambo liliwashtua polisi na kuanza kufanyia uchunguzi ila kutokana na umbali mfano tuseme mama yule yupo...
  15. Ni kweli kuna malaika anaitwa Israili ambaye ndiyo mtoa roho?

    Tangu nakua mpaka leo nimezeeka, nimekuwa nikisikia watu wakisema kuwa "malaika mtoa roho anaitwa Israili". Sina hakika kama huyo Israili jina lake linatokana na jina Israel au lah. Kwa watu wajuzi wa mambo ya kiroho naomba mnisadie kujua kama kweli malaika mtoa roho anaitwa Israili.
  16. Wakenya ni watu wenye roho nzuri sana

    Ingawa wakati mwingine Watanzania na Wakenya hushambuliana kwenye mitandao ya kijamii, haimaanishi kuwa ni maadui. Utani wao ni kama ugomvi wa watoto wanaofuatana kuzaliwa. Linapokuja suala la shida au changamoto, uhalisia wa mahusiano yao hujithihirisha. Husaidiana. Ingawa Watanzania na...
  17. Nawatakia Eid Al Adh'ha njema

    Wapendwa wote salaam, Mwenyezi Mungu awe nasi sote kwenye Maadhimisho haya ya EID AL ADH'HA, 2024. Naomba tukumbuke kuwalinda watoto wetu wawe salama pamoja na makundi yote yenye mahitaji maalum wakati wote wa kufurahia Sikukuu hii kubwa, In Sha Allah, Amina, Heri ya Sikukuu kwetu sote.... 🌹
  18. Wanaotawala katika roho ndiyo hao hao hutawala katika mwili

    Ukitawala katika roho basi utatawala katika mwili. Ikiwa hauna Energy spirituality hizo hard work Saving, Bado hazitoibadilisha history yako completely . Without spiritual power you will end up die broke because you used to hustle in vain (naked)
  19. Mjue Cuckoo, ndege mkwepa majukumu ya ulezi, ndege mwenye roho mbaya

    Cuckoo ni jamii ya ndege wasafiri ambapo husambaa katika kipindi cha kiangazi kwenye bara la ulaya, Asia na Africa. Jamii hii ni aina ya ndege hukwepa majukumu kwa kupandikizia watoto wao kwa jamii nyingine za ndege ili walelewe tangu yakiwa bado mayai. Kwa maana kuwa hutaga kwenye viota vya...
  20. Roho mtakatifu ndani mwetu

    KUNDALINI "Ni Mfumo wa Mazoezi ya Asili na ya kiroho, mazoezi haya hujumuika kama njia ya kuongeza nishati iitwayo KUNDALINI Wakati wa kufanya mazoezi haya unahitajika kufuata Mlolongo mkali uitwao KRIYA Katika Nadharia na Mazoezi ya YOGA hili ni Jina la Nishati ambayo iko ndani ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…