roho

Rohō Yukio (born March 9, 1980 as Soslan Feliksovich Boradzov, Russian: Сослан Феликсович Борадзов, in Vladikavkaz, Republic of North Ossetia–Alania in the Russian Federation) is a former sumo wrestler. The highest rank he achieved was komusubi. His younger brother is also a former sumo wrestler, under the name of Hakurozan. In September 2008 both were banned from the sport for life after testing positive for cannabis.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hiki kizazi kinachofanya siasa miaka ya sasa bado kina fikra za miaka ya 70's zenye roho ya u Swahili Swahili mostly hata ibada hawafanyi

    Siku wakizeeka hawa wanaofanya siasa sahz ndipo Tanzania tutakuja kuwa na kizazi chenye siasa za malengo na kizalendo (functional politics) Kitakuja kizazi ambacho hakitataka kijue hata historia ya Tanzania kitaanzisha siasa za kisasa ambazo zitajikita zaidi kwenye kulinda heshima ya nchi...
  2. JamiiForums Tanzania Viumbe roho wanne wanaotawala dunia

    Viumbe wanne wa kiroho wa asili (spiritual elementals) ni viumbe wa njozi wenye utambuzi na nishati thabiti ambao wanawakilisha na kulinda misingi minne mikuu ya asili ya dunia. Walipata umaarufu katika karne ya 16 kupitia mwanakemia wa Uswisi anayeitwa Paracelsus. Viumbe hawa wa asili...
  3. JamiiForums Tanzania Karibu sana Peter Msigwa, Roho yako ni Hai kwa CHADEMA, ila Mwili ndio Ulikua Dhaifu! Akili, Uwezo, Ubunifu, Busara zako sio za kukaa CCM, Pole sana!!

    Kwa Peter Msigwa, Akili, Uwezo, Ubunifu wake ndani ya CCM Ulikua ni 'Umefungwa'. Peter Msigwa nayemfaham yeye hawezi kaa kuvumilia Watu watekwe, Kuuwawa, Kusumbua Kanisa, Kufunga wapinzani Kufungia Chama , Maisha ya Mtanzania kua Juu, Gharama kupanda ,huku Mafisadi wachache wakijineemesha ...
  4. JamiiForums Tanzania Je, Yoga inaweza kubadilisha maisha yako kimwili na kiakili?

    Katika dunia ya sasa yenye stress nyingi, presha za maisha, na uchovu wa akili, watu wengi wameanza kutafuta njia za kupata utulivu wa ndani, afya bora, na balance ya maisha. Moja ya njia zinazozidi kuwa maarufu duniani ni Yoga. Lakini swali kubwa ni: 👉 Yoga ni mazoezi tu ya mwili? 👉 Inawezaje...
  5. JamiiForums Tanzania Matendo ya kipekee matano yanayokuopa nguvu ya ushindi wa Kiroho(vita vyetu sio juu ya mwili huu wa damu na nyama bali ni vita katika ROHO

    1)AMKA MAPEMA alfajiri saa 11 au 12 ,ukiamka mapema KABLA HUJATOKA nje, kitu cha kwanza cha kufanya ITAMKIE MANENO MAPYA SIKU MPYA unayoianza Mungu BABA ninaikabidhi siku hii mpya ninayoianza chini ya mamlaka yako,lisitokee jambo lolote ambalo lipo kinyume na mapenzi yako NENO LA KWANZA...
  6. JamiiForums Tanzania Nipo bado kwenye Ndoto; Kile kilichotokea 29 October, 2025 kina mwelekeo na Maandiko Matakatifu?Kwa Report ya Chande hata Lucifer kanyosha Mikono.

    Umofia Wadau. Nipo ndotoni ndugu zangu kiukweli, hivi watu wamekufa kiasi kile ila Viongozi hawajutii wala kusikitika wanachofanya ni kujipalilia waendelee "KULA" Labda wale wa Rohoni mnipe tafsiri sahihi ya hili bila kujali Imani ya Dini zenu:- 1. Kila mtu aitii Mamlaka iliyo kuu;kwa maana...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu akikuchagua usaidie watu anakupa Roho wa Bwana(holy spirit)?

    Mathayo 12:18 Tazama, mtumishi wangu niliyemteua; Mpendwa wangu, moyo wangu uliyependezwa naye; Nitatia roho yangu juu yake, Naye atawatangazia Mataifa hukumu. Mungu akikuchagua kuhubiri neno lake au kusaidia jamii(nation/world) anakupa roho wa bwana(holy spirit). kazi ya roho wa bwani nin...
  8. JamiiForums Tanzania Ukichunguza deeply, unakuja kugundua hata wasioamini katika Mungu wana roho nzuri kuliko hawa fanatics wanaojitapa kumjua Mungu vizuri

    Ninaamini katika Mungu wa chanzo na balance ya uwepo huu duniani na beyond ila siamini katika idea ya Mungu iliotangazwa karne na karne maana imekuwa twisted na mis-interpreted Idea ya Mungu inayoeleweka sawa sawa na wanadamu inatembea sambamba na mambo ya kufikirika, yasioeleweka na yasio na...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanateseka na roho za madeni?

    🔥 KWANINI WATU WANATESEKA NA ROHO ZA MADENI? Andiko la Msingi: 📖 Mithali 22:7 — “Tajiri humtawala maskini, naye akopaye huwa mtumwa wa akopeshaye.” 1️⃣ Laana au Misingi ya Familia Wakati mwingine madeni yanakuwa kama mzunguko unaopita kwenye familia. Unaweza kukuta vizazi kadhaa vinaishi...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini waislamu wanamuita malaika mtoa roho "Azrael/Israeli ?

    Wakati huohuo kumekua na migogoro ya mara kwa mara tangu zamani kati ya nchi ya Israel na mataifa ya kiarabu na kiislamu ( Arab-Israel conficts ) Kwanini kwenye mapokeo ya kiislam kuna malaika Israel mtoa roho ?
  11. JamiiForums Tanzania Vijana tujifunze kuwa waaminifu. Angalia jinsi Dola 100 ilivyotaka kunitoa roho

    Bila kupoteza muda niende direct kwenye Mada mwaka jana ulikuwa mwaka wa changamoto sana kwenye maisha yangu hii yote ni kwa sababu ya kukosa uaminifu kwenye mambo madogo madogo. Kuna bro ni rafiki yangu lakini kwa sasa ni kama ndugu yangu tupo kwenye urafiki zaidi ya miaka kumi tulisha...
  12. JamiiForums Tanzania Vita ya Urais 2030, itawatoa roho Mwigulu Nchemba na Emmanuel Nchimbi

    Ugomvi au Mwigulu Nchemba na Emmanuel Nchimbi tatizo ni Urais. Mmoja anajitapa ni mtoto wa Masikini. Kwamba aliua fisi na Chui wakati analinda Ng'ombe hivyo hawezi kushindwa kuwalinda watanzania. Anazunguka Tanzania nzima kujijenga kisiasa na kutenegenza pesa za per diem.. Anaongea kwa kufoka...
  13. JamiiForums Tanzania Siri ya kuactivate roho wa bwana(holy spirit) na kufanikiwa katika Maisha yako

    Roho wa bwana(holy spirit) nini ni roho ambayo anaisha ndani ya Mwanadamu(Man). Kila binadamu ana roho wa bwana ndani yake, katika kitabu cha Mwanzo katika bibilia kinasema Mungu aliumba Mtu kwa mfano wake maana yake kila binadamu anakuwa na roho wa bwana ndani yake. Je nifanye nini hili roho...
  14. JamiiForums Tanzania Wabongo tunasumbuliwa na roho fulani

    Naam hii ni aina ya roho chafu. Nitajaribu kutoa mifano kidogo
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wenzetu mlioamua kufunga imani yenu ni mnakerwa tukila mbele yenu, mmefunga kwa imani au kwa matumbo?

    Nimeona habari nchi mbali mbali zikikamata watu na kutoa maonyo kutoruhusu watu kula hadharani kwasababu za mfungo. Kwa mtu alieamua kufunga kwa imani, ni rahisi funga yake kuharibika akiona hata mgonjwa anaotea jua nje huku anakula chakula ? Hii ni funga ya kimwili au kiroho.
  16. JamiiForums Tanzania Ukimkuta mwanamke ana roho mbaya, ni anayo mbaya kwelikweli

    Muombe Mungu sana katika vitu vya kuhitaji msaada usikutane na mwanamke katili Maana wanakuaga makatili kwelikweli Mwanamke anaweza akakufanyia jambo la ajabu mpaka wewe mwenyewe ukawa unashangaa ground ya jambo hilo Haswa akiwa na gari anaweza hata kukugonga Fanya research fupi Kama ukiwa...
  17. JamiiForums Tanzania Kuwa member wa magroup ya wasapu ya walimu wasaka ajira inahitajika uwe na roho ya paka

    Kwani hii kada imelaaniwa? Yan waliopo kwenye ajira wanaafadhali ya akil kidogo kuliko hawa jobless, wengi ni wapumbavu grade A. Hawa watu kujifunza mambo mapya kwao ni kama kula nguruwe kwa ndugu zetu kobaz, hawa watu hawana walijualo lolote kuhusu mustakabali wao hasa kwenye kusaka ajira...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania inakwama kwa sababu vijana wamepotezewa roho ya ujasiri, uthubutu na ubunifu

    Watawala wa Tanzania walidhani kwa kuua roho ya ujasiri, uthubutu na ubunifu kwa vijana wa Kitanzania kupitia mifumo mibovu ya kielimu, kisiasa na ya kijamii kwamba athari zake zingebaki tu katika mambo ya siasa ili kulinda maslahi ya hao watawala. Badala yake, athari za mambo haya tunaziona...
  19. JamiiForums Tanzania Mtu unapataje nguvu kusema Wachaga ni wabinafsi na wana roho mbaya?

    Napata shida kuwaelewa watu au ni chuki tu kwa hawa wachaga au nini utakuta mtu anasema au anadiriki kuzungumza kwamba wachaga ni wabinafsi na wachoyo wanapendeleana wao kwa wao how kivipi? Kiukweli nimefanya kazi na wachaga kiukweli wachaga ni watu poa sana kuliko wale watu kanda ya ziwa mimi...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama leo mmeumia moyo derby mtatolewa na roho kabisa mjiandae

    Nimepita sehemu mbali mbali vijiwen inaonekana watan wagumu.Sana kukubali matokeo na hawana uvumilivu Kila uliekutana nae anakwambia matokeo ya leo ya.Memuumiza sana moyo Nikawaonea huruma sana kama hivi tu wameumia.Moyooo wajiandae kutolewa na roho Derby day...Maana wamehaidiwa kukandwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…