robo fainali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Mliiponda Simba kuingia robo fainali Shirikisho, ila nyie mmeshangilia nusura mtoke roho

    Mlilkuwa mnasema kwamba kuingia robo fainali ya Klabu Bingwa ama Shirikisho si mafanikio kwa timu ya Mpira Afrika bali kuchukua kombe ndiyo mafanikio. Mlikuwa mnasema hakuna kitu Simba imepata kwa kuingia Robo fainali ya Klabu Bingwa na Shirikisho! Nyie sasa mmeingia robo fainali kwa mara ya...
  2. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

    Wananchiiiiiiiiiìiiiiiiiiii Usiku wa deni haukawii kukuchwa. Leo ndiyo ile siku tuliyoisubiri kwa hamu kwa Yanga kukata tiketi ya kutinga robo fainali ya michuano ya CAFCC. Saa moja jioni mbivu na mbichi kujulikana. Tupo hapa kuisubiri saa 1 jioni ili tumalizane. Mimi na wenzangu tupo hapa...
  3. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Yanga kesho njia nyeupe kuelekea Robo fainali

    Baada ya kuwapigia soka Safi real bamako, kesho ni usiku wa kisasi mje kushuhudia pira Safi. Simba hongereni Sana watani Ila muache kuroga😁
  4. J

    JamiiForums Tanzania Wengi hamtaamini lakini Simba na Yanga wote hawapenyi robo fainali, kwa sababu hii

    Simba anacheza na Horoya ambayo inakuja kutafuta draw kwa Mkapa, kwa forward za Simba zilivyo, Horoya ana uwezekano wa 80% ambao ni mkubwa sana wa kupata draw Mechi ya mwisho anacheza nyumbani dhidi ya Vipers ambayo hawana cha kupoteza Yanga anatakiwa kumfunga Monastir, nasisitiza sio draw...
  5. GIRITA

    JamiiForums Tanzania TFF wametumia vigezo gani kupanga timu mwenyeji katika kombe la Azam federation Cup robo fainali

    Habarini wana michezo. Moja KWA Moja naomba kupata ufafanuzi juu ya upangwaji wa Timu mwenyeji katika mashindano ya Azam Confederation cup hatua ya robo fainali na hatua za nyuma yake kama hatua ya 16 na 32 bora. Maana nimefatilia naona kama hizi timu kubwa zinapewa kipaumbele kuchezea viwanja...
  6. benzemah

    JamiiForums Tanzania Droo ya robo fainali UEFA imepangwa. Ratiba nzima hii hapa

    Real Madrid Vs Chelsea Inter Vs Benfica Man City Vs Bayern Munich Ac Milan Vs Napoli Nusu Fainali - Mshindi kati ya Ac Milan Vs Napoli atakutana na mshindi kati ya Inter Vs Benfica - Mshindi kati ya Real Madrid Vs Chelsea atakutana na mshindi kati ya Man City Vs Bayern Munich. Mechi za...
  7. Poker

    JamiiForums Tanzania Simba tunaomba CAF watupangie Mamelodi robo fainali

    Niwaombe Caf, chonde chonde watupangie Masandawana au Mamelodi sundowns. Naona wanajitapa sana huko mitandaoni na mbaya zaidi wanasema wakikutana na sisi watatugeuza kama kitoto cha simba mbele ya kundi la fisi 40. Kwa heshima ya mpira wa Tanzania na afrika kwa sasa timu pekee inayoweza kuziba...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Huu ndiyo Ukubwa wa Simba: Timu 8 zitakazoenda robo fainali CAFCl, zote zinatokea nchi za Kiarabu isipokuwa Simba na Mamelodi

    Wakuu huwa tunaongea kimasihara hapa na kuiponda Simba, kumponda mwekezaji Mo Dewji na kimuita majina ya ajabu. Wacha-mbuzi uchwara nao utawasikia wakiiponda Simba na kuiita timu ya hovyo. Lakini kiukweli Simba japo haipo kwenye kiwango chake cha ubora, bado ni timu kubwa sana Afrika...
  9. pakaywatek

    JamiiForums Tanzania Simba Bora ilifika robo fainali lakini Simba mbovu itafika nusu fainali

    Kuna watu wanadai Simba ni mbovu Simba siyo mbovu ni mfumo wa uchezaji ndio umebadilika. Ingawa kosa hili la kubadili mfumo ameuleta Mo simlaumu kwa kuwa nae apenda Simba yenye mafanikio ingawa ulikua siyo mda mwafaka kuleta kocha katikati ya msimu wakati timu ilikua nzuri. Yote kwa yote hii...
  10. Village-in

    JamiiForums Tanzania Simba SC kwa hesabu za Robo Fainali

    Mimi ni jangwani pure,ila niongee kidogo hili. Mikia wakichanga karata zao vizuri na wakaachana na mambo ya Rivas na moto viwanjani watapenya hadi robo final. Hesabu ziwe hivi. Wana point 3. Mechi ijayo mikia wanarudiana na Vipers hapa. Vipers watagongwa viwili hapa. Ukizingatia mikia watataka...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini nawapa 100% Yanga SC kufuzu Robo Fainali CAFCC na Simba SC 200% kutofuzu Robo Fainali CAFCL?

    Tayari Yanga SC ina Alama 3 hivyo akitoka tu sare/suluhu huko nchini Mali dhidi ya Real Bamako FC atakuwa na alama 4 au 6 kama akishinda. Mechi yao ya marudiano Dar es Salaam nchini Tanzania Yanga SC akishinda atakuwa na alama 9 na hata kwa bahati mbaya akitoka suluhu bado atakuwa na alama 5...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya 'Draw' ya 'CAF 'Kupangwa kuna Timu naiona itaambulia Point 1 CAFCC tu na nyingine Kufuzu Robo Fainali CAFCC

    Hiyo ambayo naiona itafuzu Robo Fainali (CAFCL) kama ilivyozoea sasa ijipange zaidi kwenda hadi Nusu Fainali na ikibahatisha ifuzu Fainali japo kwa Kikosi chake cha sasa na Migogoro iliyopo hilo silioni labda kwa Michuano ya Msimu ujao pale tu ikitulia Kiutawala na Kiudhamini (Kiuwekezaji) Hiyo...
  13. Frustration

    JamiiForums Tanzania TBC badala ya kuonesha mchezo wa Robo Fainali kati ya Ufaransa na England, wao wapo na kipindi cha pambe

    Hawa TBC sio watu wa michezo hawa ni wa kupamba na kusifia serikali na ndio sehemu pekee waliyofanikiwa hadi sasa. Tamaa na ukiritimba imepelekea kutuhadaa watanzania kuwa wataonyesha mechi za kombe la dunia cha ajabu game inaonyeshwa moja moja tena wakati ambao umeme haupo. TBC ni wahuni tu...
  14. Dr Ahmed Albah-Shahwa

    JamiiForums Tanzania Taifa Stars, Robo Fainali na Dona - World Cup 2022

    Wataalam, Niipongeze Taifa Stars kushiriki na kuonyesha uzalendo na ushindani katika michuano ya kombe la dunia ingawa kuna mapungufu mawili matatu yanayosahihishika ni hatua kubwa kwa timu na serikali kwa ujumla tunajua huu ni mwanzo wa maendeleo mapana yajayo, tuizungumzie timu yetu; Hali...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Michezo, Pauline Gekul ashangilia Serengeti Girls kutinga robo fainali Kombe la Dunia Wanawake -U17

    MHE. GEKUL ASHANGILIA Serengeti girls KUTINGA ROBO FAINALI N/Waziri wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Gekul ashangilia matokeo ya ushindi kwa Serengeti Girls U17 baada ya kutinga hatua ya Robo FAINALI ya Kombe la Dunia la wanawake U17 linaloendelea Nchini India.
  16. Bila bila

    JamiiForums Tanzania Tanzania yafuzu hatua ya Robo fainali, Kombe la dunia la Wanawake Chini ya Miaka 17

    Timu ya Taifa ya wanawake U17 Serengeti Girls imefanikiwa kufika hatua hiyo baada ya kutoka sare ya goli 1-1 dhidi ya Canada katika michuano inayoendelea Nchini India. Matokeo hayo ya Kundi D yameiwezesha Tanzania kuwa na pointi 4 na kushika nafasi ya pili nyuma ya Japan iliyoongoza kundi kwa...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mabondia wawili wa Tanzania Yusuf Changarawe na Kassim Mbundwike wameingia robo fainali za mchezo ya Jumuiya ya Madola

    Mabondia wawili wa Tanzania Yusuf Changarawe na Kassim Mbundwike wameingia robo fainali za mchezo ya Jumuiya ya Madola inayoanza rasmi leo jijini Birmingham, Uingereza. Bondia wa tatu wa Tanzania, Alex Isinde sio tu ataanzia mzunguko wa kwanza bali pia atakuwa ndiye Mtanzania wa kwanza kutupa...
  18. Ghazwat

    JamiiForums Tanzania Simba yatolewa kwa penati 4 - 3 | Orlando Stadium

    Kabumbu la Kombe la Shirikisho Barani Afrika CAF Confederation Cup (CAFCC), hatua ya robo fainali kuendelea kutimua vumbi leo April 24, 2022 ambapo wenyeji Orlando Pirates anapambana na Mnyama Mkali Mwituni Simba SC, katika mchezo wa mkondo wa pili, kwenye dimba la Orlando Stadium Nchini Afrika...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Je Clatous chama wa simba atacheza robo fainali ya kombe la shirikisho Afrika?

    wasalaam wadau. napenda kujua Kama chama ataruhusiwa kucheza shirikisho caf kuanzia robo fainali maana napata mkanganyiko kuna wanaosema atacheza wengine wanasema hachezi
  20. B

    JamiiForums Tanzania Robo fainali ya drafti Iliofanyika juzi kati ya Cisco, dogo athumani na Yasini nani aliibuka bingwa?

    Kuna mtu alileta uzi humu wiki moja iliopita kuwa laki 2 inagombewa Pale manyanya, nani aliibuka mshindi kati ya Walioingia robo fainali Ya drafti (Cisco, athumani na Yasini?) Mwenye habari atujuze Darius RR ilala yetu
Back
Top Bottom