Habari wana jukwaa...
Kwa heshima na taadhima tunaliomba shirikisho linalosimamia mpira wa miguu Afrika 'CAF' waturuhusu tuwape utopolo alama mbili Ili wafuzu hatua ya robo fainali.
Yanga atakuwa na jumla ya alama kumi ambazo zitaiwezesha timu hiyo kushika nafasi ya pili kwenye msimamo wa...
Imekua ni kawaida kwa huyu bwana Mchome kutoa hisia zake hasa baada ya mechi za Simba na Yanga kumalizika na kutoa madhaifu ya timu ya Simba huku akiwa amevaa jezi ya Simba na kujiita kwamba yeye ni mwana Simba
Sasa tulitegemea tufurahi nae shabiki mwenzetu wa Simba baada ya Yanga kutolewa CAF...
Huu ni utaratibu wa Yanga kufuzu robo fainali kila baada ya miaka 25! yaani robo miaka 25!! Ilifuzu mwaka 2024 baada ya miaka 25 toka ifuzu hapo awali. Itafuzu tena mwaka 2049!!!.
Timu ya Yanga Wakereketwa ya huko Wilaya ya Sengerema imefanikiwa kuingia robo fainali ya Kafulila Cup baada ya kuifunga timu ya MC Gara B FC goli 4-0.
Pichani, wachezaji wa Yanga wakishangilia goli la 3 kwa kumtekenyatekenya mwamuzi
Matokeo hayo yanafuta machozi matokeo mabaya timu ya Yanga...
Nimeangalia game ya Mc Alger na Mazembe ya jana(ijumaa) kule Algeria ,well ukweli ni kwamba hamna timu kati ya zile yenye quality ambayo Yanga wanayo
Nadhan itakuwa sio fair kwa mpira wa miguu kwa Yanga hii ya Pacome,Aucho , Baka etc kutoenda robo halafu aende Mc Alger,plus the fact kwamba...
Ni mimi wako UWESUTANZANIA✍️
Najua utastaajabu kwanini nakwambia ameshafuzu. Hesabu hiko ivi:-
Kwanza kabisa unapaswa kutambua kuwa simba ana point 9 huku adui yake namba moja ni blavos mwenye point 6.
Simba mpaka sasa anahitaji hata sare pekee nyumbani kwa Bravos awe amefuzu moja kwa moja...
MC Alger akishinda game moja tu halafu Yanga atoke sare na Al Hilal (japo 99% Al Hilal atashinda) basi Yanga itajiunga na wachovu wenzao TP Mazembe kuyaaga Mashindano
Good Bye Yanga !! Mpaka mwakani.
Njia pekee ya Yanga kushinda mechi zote zilizobaki 😃😃 Yani amfunge Al Hilal Nyumbani kwao na amfunge Mwarabu kwa Mkapa,
Walichobakiza Yanga ni kukamilishe Ratiba
Msimamo upo taiti sana kwa Yanga, msimamo unamaanisha kwamba kuna timu ina point moja tu ikishika mkia. Nayo inataka kuingia robo fainali. Yaani timu zingine pale juu ziwe zinaitazama tu ikiingia robo, just imagine
Sio kwamba haiwezekani. Mungu ana miujiza yake
Kwa hiyo ina hitaji maombi mazito...
Salaam wanajamvi, heri ya siku ya uhuru watanzania wenzangu!!
Kuna hii taarifa nimekutana nayo kwamba Gamondi amesema, "Sasa Mmejua kwamba Sikuwa Tatizo pale Yanga SC, Kama mkiendelea kucheza kama Juzi hamfiki Robo Fainali Msimu Huu" hivi kweli huyu mzee anaweza kusema hivi?
Yanga kabakiza mechi 4.
Anatakiwa kushinda mechi 2 za nyumbani.
Anatakiwa kushinda mechi 1 ugenini.
Anatakiwa kupata sare mechi 1.
Akiwa na point 10 anaenda robo fainali.
Matokeo ya jana sio mwisho wa safari ya Yanga kwenda robo.
Pia leo aombee sana sare ya Mazembe Vs Al hilal.
Leo tumeshuhudia Shirikisho la Mpira wa miguu Afrika ( CAF) wa upangaji wa hatua ya makundi kombe la Klabu Bingwa Afrika (CAFCL) na Kombe la Shirikisho Afrika ( CAFCCL) ambapo Yanga kwenye Klabu Bingwa Afrika wamepangwa na TP Mazembe DR Congo, Al Hilal ya Sudan na MC Alger ya Algeria.
Kwa...
Yanga anazo point 31 kwenye rank za CAF, Simba anazo point 39, tofauti yake ni alama 8
Yanga akiingia makundi anaongeza alama 2×5=10, ukijumlisha na 31 walizonazo wanafikisha 41, hapo ni kama ataishia makundi!
Simba anazo alama 39, akiingia makundi anaongeza alama 1×5=5, ukijumlisha na alama...
Kama nilivyosema hapo juu hii simba itaendelea kuchezea vichapo mpaka akili za mashabiki wa simba ziamke kwamba muhindi na mpira wapi na wapi.
Wachezaji wote wa Simba usajili wao ni million 100 yaani mwaka huu Simba wametumia million 100 kusajili maana sio Kwa hii mizigo waliyoileta msimu huu...
PATRICK MOTSEPE: LILE LILIKUWA GOLI HALALI KABISA
Rais wa CAF, Patrice Motsepe alipowasili kwenye uwanja wa ndege visiwani Zanzibar kwa ajili ya fainali ya michuano ya Africa Schools Championship.Motsepe aligusia kidogo lile shuti la Aziz Ki pale Loftus dhidi ya Mamelodi Sundowns...
Muda mchache ujao kutapigwa mechi za robo fainali katika Uefa Champions League.
Arsenal Vs Bayern Munich
Real Madrid Vs Man City
Karata yako unatupia kwa nani?
Waliokuwa wanadharau kufika robo fainali wamefika robo fainali kwa bahati na wametolewa KIUTU UZIMA wanabaki kulalamika.
Sasa ni wakati wa kulinganisha ni timu gani imefika mara nyingi robo fainali za mashindano yote ya CAF.
Asitokee mtu akasema kufika robo fainali ni hatua ndogo.
Robo robo FC/jaribu tena FC naona ndiyo imekuwa timu dhaifu kuliko zote zilizopata nafasi ya kuingiza hatua ya robo fainali.
Wameshindwa kutumia uwanja wa nyumbani vizuri tena kuanzia mwanzo wa mchezo dk ya 5 TU ikamaliza mchezo. Hii ni dharau kwenye soka letu haiwezekani timu itoke mbali huko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.