risasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Leo imetimia Miaka 9 tangu Tundu Lissu apigwe risasi 16

    Tarehe 7.9.2017 Dereva wa Mh. Tundu Lissu akimkabidhi Nguo za Lissu Freeman Mbowe huku zikiwa zinavuja Damu zikiashilia kwamba Mh. Lissu ameumizwa vibaya baada ya kupigwa risasi 16.. Leo inatimia Miaka 9 tangu Lissu apigwe risasi hakuna haki aliyopata, badala yake yupo Gerezani kwa Kesi ya...
  2. JamiiForums Tanzania Kijana wa Umri wa Miaka 18 Auwa Watu 8 Kisha Kujipiga Risasi

    Kijana wa miaka 18 aliyetajwa kuwa mshukiwa wa shambulio la risasi 13 Feb 2026 lililoua watu wanane na kujeruhi makumi ya wengine huko British Columbia, Canada, Jesse Van Rootselaar alipatikana amefariki katika eneo la tukio kutokana na kujipiga risasi. Aidha Uchunguzi wa polisi Umesema Kabla...
  3. JamiiForums Tanzania "Ukikimbia wanakupiga risasi, ukijificha wanachoma nyumba"

    "Ukikimbia kuingia chumbani, wanakichoma moto," anasema Fatima, akielezea shambulio la hivi karibuni katika kijiji chake Zamfara, kaskazini magharibi mwa Nigeria. "Ukitoka nje na kuanza kukimbia, wanakupiga risasi." Watu hao waliojihami kwa silaha, waliofanya shambulio hilo saa nane usiku (saa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mazoezi ya Wanajeshi ya kutumia silaha katika eneo la Nyamaitagi, Serengeti yanasababisha hofu kwa wananchi

    Mkazi wa Kitongoji cha Nyamaitagi, Kata ya Majimoto, Wilaya ya Serengeti mkoani Mara, amepatwa na taharuki baada ya risasi ya bunduki iliyopigwa na wanajeshi waliokuwa wakifanya mazoezi kutoboa paa la nyumba yake na kuingia ndani. Tukio hilo lilitokea Agosti 20, 2026. Kwa bahati nzuri, hakuna...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna swali moja matata sana litaulizwa kwa mkuu IGP na CDF ikiwa wataamua kwenda mahakamani. Nani aliamuru vijana wapigwe risasi 0ctober 29?.

    Oya siyo poa tusifike huko.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa leo: Hakuna uhaini wa mtu mmoja, labda kama ulimlenga risasi rais

    Tafakari kesi ya Lisu inavyoendelea......................................... Anyway kesi ikiwa mahakamani wanasema tusiijadili....
  7. JamiiForums Tanzania Maandamano ya wanafunzi India 🇮🇳, Polisi asimamishwa kazi kwa kufyatua risasi hewani.

    https://youtube.com/shorts/jof90QKuFB0?si=hclAlCCqaPicJ6CD
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Nchimbi umetumwa kutuuza, Oktoba 29 tulipambana mkatupiga risasi ukatutelekeza

    Umetumwa kutuuza, unasema tutoke tupambanie Katiba ili tufe wakati Katiba unayo kabatini na 'ufunguo unao'. Unataka Wanaharakati warudi ili uwauze wakamatwe unataka kuwauza vijana wafe halafu ukae kimya kama ulivyofanya oktoba 29, ili upate ulichoahidiwa. Kuna sehemu nilisoma kuwa wewe eti ni...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Tazama majeraha ya risasi kwa Lissu; Mtanzania yeyote mwenye akili timamu anawezaje kuwakumbatia wanaofanya ukatili huu dhidi ya mwanadamu mwenzao?

    Moderators naomba sana msifute huu uzi. Lazima watu waone ukweli wa mambo wanayofanyiwa Watanzania wenzetu wa vyama vya upinzani kwa sababu tu wanatofautiana maoni na wengine. Wanaofanya haya ni sawa na wanyama. Kisa nini hasa, uchu wa madaraka na kulinda ufisadi? Na unakuwaje na moyo - kama...
  10. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri akifungia kiwanda cha nondo ambacho amekuta kikiwa na risasi na kubaini ukiukwaji wa sheria za mazingira

    Kiwanda cha kuzalisha nondo cha Hanging Steel Factory Tanzania Limited kilichopo Kisenvule, Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani, kimefungwa kwa muda baada ya Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Reuben Kwagilwa, kubaini ukiukwaji wa sheria za mazingira pamoja na kukutwa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania JWTZ kuwahakikishia watanzania usalama si kuwapiga risasi au kuwatisha, ni kuwahakikishia HAKI

    Nimesoma Daily news kuwa JWTZ inawahakikishia wananchi usalama. Bila kutenda haki hakuna uhakikisho wowote. Sana sana mtawapiga risasi, mtawaua watanganyika wenzenu na laana yao itakuwa juu yenu. Hakikisho la kweli ni KUTENDA HAKI. Wahimize hao wanaowatuma watenda HAKI na amani itatamalaki...
  12. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba, Unavidhalilisha Vyombo vya Usalama,, inamana Vyombo vinashindwa Kuwakamata hao walopanga kupiga Risasi waandamanaji?

    Mwigulu hivi kweli wewe usomi wako ulitokana na Akili KICHWAN? Au baada ya kua Mwanaccm, ukafahaamika, Wakufunzi wako wakaamua kua wanakufaulisha na kukuuzia Ufaulu?. Matendo na Kauli zako mbona unazidiwa na Musukuma wa Darasa la Saba??. Au wee Jamaa una roho mbaya tu inayotokana na Hofu yako...
  13. JamiiForums Tanzania Msinielewe vibaya, uhu sio udini ILA wakatoliki tumepwaya sana, mapdri mmekuwaje?lissu alipigwa risasi tukanyamaza,kitima mpo kimnya mnasubilia wauwe?

    Uu, sio udini jamani narudia tena sio udini wakatoliki tunashambiliwa mno na tupo kimnya, Faza kitima alishambuliwa hatukuchukua HATUA na mpaka Leo hakuna TAARIFA yoyote iliyotolewa dhidi shambulio ilo sio jeshi la polisi, sio uchunguzi wa kanisa sio uchunguzi wa chombo chochote ili maana yake...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Aliemsaliti Abood jumbe alikuwa mtanganyika!!?je aliemchapa risasi Abeid karume nae!!?State capture is impossible!!kitunguu kina magamba mengi!!

    Akili kumkichwa,Hakuna mwenyekiti aliemaliza MDA wake akajua vyote na Wala hakuna mwenyekiti aliewahi dhibiti kila kitu akaweza!! Kama Kuna watu umewakosea omba radhi!chutama!tafakari Anza upya!usishupaze shingo! Bado sisi tuna upendo tuna uwezo wa kupozwa na uwajibikaji wa watendaji wakuu...
  15. JamiiForums Tanzania Sweden wanapiga risasi mbaya

    hawacheki na nyau. wakifika kwneye 18 ni mafataki tu hawa mbwa. nilikuwa namwonea huruma golie wa team yetu ya Tunisia. nikasema leo mbona kazi ipo. si kwa mawe yale waliyokuwa wkairusha langoni kwake. anyway tuendeleeni kumswalia mwafrika mwenzetu na wengine pia mambo yakae sawa.
  16. JamiiForums Tanzania Mahmoud Thabit Kombo tutajie kifungu cha PGO kinachosema Polisi akirushiwa jiwe anatakiwa kumpiga risasi mara moja

    Tusiwe tunapelekwa kama mazuzu wakati Vitabu vya sheria na Kanuni vimeandikwa vipo. Ili kujiridhisha na ulichokisema Jana kwenye bunge lenu tuambie ni kifungu gani cha PGO kinachosema Mtu akielekeza jiwe Kwa Polisi he has to shoot at first kama ulivojinasibu Jana. Kama hutataja basi toka...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Kisa cha huzuni kuu by Sugu: Walimpiga Risasi Mama na mtoto mgongoni kupitia kifuani mwa mama ikatokezea mgongoni na kumuua mtoto na mama

    Simulizi ya Sugu toka kwa mkazi wa Géita alivyouawa mama na mtoto wake. Very sad story from Sugu! Akamalizia na MATAKO YENU
  18. R

    JamiiForums Tanzania Watu wanaanza kuzoea risasi. Tunakokwenda siyo kuzuri. Watawala kuweni wasikivu. Wasikilize wananchi ambao ndio waajiri wenu

    Wasikilize washajitoa mhanga! Hiki si kiashiria kizuri. Mtaua wangapi?
  19. JamiiForums Tanzania KIGOMA: Tukio la Watu watatu kujeruhiwa kwa risasi Uvinza, Polisi yasema inafanya uchunguzi

    TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi Mkoa wa Kigoma linafanya uchunguzi wa tukio la fujo zilizopelekea majeruhi ya watu watatu, ni kwamba Mei 5, 2026 muda wa saa 12.00 mchana huko katika Kijiji cha Kililani, Kata ya Buhingu, Wilaya ya Uvinza, Mkoa wa Kigoma, Jeshi la Polisi, Idara ya ardhi na...
  20. JamiiForums Tanzania UVINZA: Vijana watatu kujeruhiwa kwa risasi, DC asema waliwavamia Askari wakitaka kuwanyang’anya bunduki

    UVINZA, KIGOMA: Mkuu wa Wilaya ya Uvinza, Dinah Mathamani ametoa ufafanuzi kuhusiana na tukio la vurugu lililotokea Mei 5, 2026 katika Kijiji cha Kalilani, ambapo vijana watatu walijeruhiwa kwa risasi wakati wa zoezi la kutoa elimu na uhamasishaji kwa wananchi wanaotakiwa kupisha maeneo ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…