risasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Swali lenye akili: Grace Samia ana thamani kuliko yule Mama wa Arusha aliyepigwa risasi akiwa na uja uzito?

    Eti Grace Samia Suluhu! Eti mtoto hujui kesho yake? Vipi yule mama ambae aliuliwa kule Arusha ili tu Samia abaki madarakani?
  2. Dalton elijah

    SI KWELI Iran imetoa amri ya kupiga risasi raia anayesimama na Israel

    Kwa sasa kumekuwepo na taarifa amabayo imechapishwa kwenye mtandao wa kijamii wa facebook kwenye ukurasa wa Katunzi Blog ukiwa na nukuu ya Iran imetoa amri ya kupiga risasi raia anayesimama na Israel Katika chapisho limeonekana kuwa na nukuu hii "Baba na mama, kama mwana wako au binti yako...
  3. Waufukweni

    PostGE2025 Askofu Gwajima atoa ushuhuda wa binti aliyepigwa risasi Oktoba 29 na kupona baada ya oparesheni nne

    Askofu Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, leo katika Ibada kanisani kwake ametoa ushuhuda wa binti aliyepigwa risasi Oktoba 29, 2025 na kupona baada ya oparesheni nne. Askofu Gwajima pamoja na muumini huyo pia wanaeleza alipigwa risasi lakini hakuwa kwenye maandamano bali alikuwa...
  4. Traxtion

    Mtoto wa miaka 13 aomba msaada wa matibabu kutokana na majeraha aliyopata kwa kupigwa risasi October 29

    Mtoto wa miaka 13, Angel Wariael Noel, ambaye alipata madhara kutokana na tukio la Oktoba 29, kwa kupigwa risasi ya bega iliyomuathiri uti wa mgongo na kumsababishia ulemavu wa miguu. Familia yake inawaomba wadau na watu watakaoguswa kuchangia ili kumsaidia kumudu gharama za matibabu na...
  5. Mnyenz

    Ndizi 200, ndizi mia mbili…

    Hapo ukipita lazima ugeuke hata kama umevaa suti 😄 🤣 Imagine umevaa suti yako, unageuza shingo sababu ya ndizi za mia 2.
  6. M

    Taharuki yaibuka Bunda mkoani Mara, wananchi waambiwa wapishe upanuzi wa eneo la hifadhi, uvuvi wasitishwa, risasi zafyatuliwa

  7. Mkalukungone Mwamba

    Taharuki yaibuka tena Nyatwali-Bunda baada ya uvuvi kusitishwa, risasi zapigwa

    Taharuki yaibuka tena Nyatwali-Bunda baada ya uvuvi kusitishwa, risasi zapigwa, wananchi waeleza kilichotokea.
  8. DuaZaMama

    PostGE2025 George: Nilipigwa risasi Oktoba 29, 2025 nikapoteza mguu

    "Nilikataa kukatwa mguu, lakini madaktari waliniambia nimechelewa kupata matibabu." Huo ni ushuhuda wa kusikitisha wa George Chipeta (24), fundi wa umeme wa magari mkazi wa Banana, mkoani Dar es Salaam aliyetoa maelezo mbele ya Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29, 2025. George, ambaye...
  9. Think2

    Huyu ni George aliyepigwa risasi Gongo la Mboto

    Kijana akieleza kwa machungu kisa kilichumpata hadi kukatwa mguu wake alipigwa risasi akiwa maeneo ya gongo la mboto kisha kapelekwa hospital na kukatwa mguu alikuwa na pikipiki polisi waliondoka nayo hadi leo hajui pikipiki yake ilipo. Wamemyia ukilema kijana wa watu hawezi tena kufanya kazi...
  10. Genius Man

    Video za oct 29 zinaonesha baadhi ya askari walikuwa wakisimamisha wapita njia na kuwagaragaza kwenye mitaro na kuwapiga viboko na risasi

    Video za oct 29 zinaonesha baadhi ya askari walikuwa wakisimamisha wapita njia na kuwagaragaza kwenye mitaro na kuwapiga viboko na risasi Kitendo hiki tunakichukuliwa kama uharifu dhidi ya raia na ni wehu cha kushangaza wambura hajawachukulia hatua zozote askari hao kwa vitendo hivi vya...
  11. Genius Man

    Kwa video za Oktoba 29 zilivyokuwa ni wazi kuwa waliopigwa risasi hawakuwa wahalifu

    Video oct 29 za watu waliopigwa risasi hawakuwa maeneo yaliyo haribiwa ni majumbani inaonesha waliuwawa kwasababu hawamtaki samia na sio waharifu. Watu walio uwawa walimkataa samia ndio maana amewauwa na sio kwasababu walichoma vitu au kupiga askari na hawakuwa tishio kivyovyote hata hivyo...
  12. ngara23

    Hivi askari Mtanzania unampigaje risasi Mtanzania mwenzako anayetii amri zako ikiwa kulala kifudi fudi

    Jana nimeangalia report ya DW kuhusu mauaji Serikali wanasema waliuwa waandamanaji, wezi na vibaka lakini cha kushangaza polisi walifika mtaani na majumbani kuuwa kila Mtanganyika aliyeonekana machoni pao 1. Hivi askari Mtanzania unakuta vijana Kisesa Mwanza wapo kibarazani wanakula chips...
  13. Bawabu wa pili

    PostGE2025 DW yathibitisha aina ya Risasi zilizotumika kwenye mauaji ya Oktoba 29, 2025 zilikuwa ni za Polisi na Jeshi la Tanzania

    https://www.youtube.com/watch?v=-ZZrAoiAmqc Uchunguzi wa DW umebaini ushahidi wa kuaminika unaoonyesha kuwa vikosi vya usalama vilitumia nguvu za kikatili dhidi ya raia wakati wa vurugu zilizofuata uchaguzi wa Oktoba 29 nchini Tanzania. Maandamano yalizuka katika miji mikubwa ikiwemo Mwanza...
  14. Traxtion

    Mara: Mama wa mtoto aliyepigwa risasi atuma salamu kwa Samia

    Mama mmoja huko Mara ametuma salamu kwa Samia akidai kuwa mwanae aliuawa October 29 alipoenda Dar katika harakati za kutafuta maisha. Mtoto wake alitoka Mara na kwenda Dar kufanya kazi ya upambaji kwa muda lakini ilipofika October 29 mama yake alipokea taarifa kuwa mwanae amepigwa risasi ya...
  15. Waufukweni

    Mama wa mtoto aliyepigwa risasi Oktoba 29, atuma ‘salamu’ kwa Rais

    Mama wa mtoto aliyepigwa risasi Oktoba 29, 2025 atuma ‘salamu’ kwa Rais
  16. Huihui2

    Milio ya risasi Mbezi Tangibovu yasikika

    Mlio meneo hayo tujuzeni kuna nini hapa Mbezi Shule? Maana na gari 2 za Polisi zimepita muda huu
  17. Idugunde

    Kiongozi anayekaa madarakani sababu ya kiburi cha risasi na jeshi huondoka madarakani kirahisi sana

    Hata kama atakaa kwa muda mrefu ataondoka tu kirahisi kama walivyondoka akina Mobutu , Bokasa na wengineo. Hata vijana ambao huwa nakutana nao mara kwa mara huwa nawaeleza hili kuwa kila jambo lina mwisho. Tulipata uhuru bila kumwaga damu. Lakini leo hii watu walimiminiwa risasi kama njugu...
  18. Just Pray

    PostGE2025 Rais Samia: Wanaochokolewa masikio kuvunja amani, Dar es Salaam nenda kaulize leo kama vijana wanataka kungia njiani

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Hoteli ya Jaz Elite Aurora iliyopo Michamvi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, leo tarehe 09 Januari, 2026 amesema ametahadharisha akiwaita wanaochokonolewa kuharibu amani ya nchi kuacha mara moja akikumbusha yaliyojiri...
  19. R

    PostGE2025 Mwabukusi: Kuna watu wameuawa Oktoba 29 wamepigwa risasi ndugu wakaambiwa waseme wamekufa kwa homa ili wapewe maiti

    Akizungumza na Jambo TV leo Januari 09.2025, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi amesema wananchi wamekuwa wakipeleka malalamiko kuwa kuna ndugu zao waliuawa Oktoba 29 kwenye vurugu wakaambiwa kusema wamekufa kwa homa ili wapewe maiti na hata vyeti vya vifo...
  20. K

    ITV: Waliopigwa risasi na kuuwawa mnamo tarehe 29 Oktoba 2025 hawakuwa waandamaji - Tume ya Jaji Chande

    Nipo hapa napata Moja baridi na Moja baridi nchi jirani huku nikofuatilia ITV HABARI kupitia YOUTUBE, huyu mtangazaji wa ITV anayeitwa Asiraji Mvungi, ameripoti Kwamba Tume ya Jaji Chande imekutana na wahanga na waathirika wa vurugu baada ya uchaguzi, na waathirika hao wamemwambia Jaji Chande...
Back
Top Bottom