ripoti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ripoti Benki ya Dunia: Uchumi wa Tanzania utaimarika zaidi

    LICHA ya mlipuko wa ugonjwa wa COVID- 19 kuzorotesha uchumi wa nchi za kusini mwa Jangwa la Sahara, ripoti ya Benki ya Dunia (WB) imeonyesha kuwa uchumi wa Tanzania umezidi kuimarika na kupita wastani wa nchi hizo. Ripoti hiyo ambayo ni toleo la 18 la Taarifa ya Kiuchumi ya Tanzania, pia...
  2. Ripoti GFI: Tanzania inapoteza Tsh. Trilioni 3.5 kila mwaka kutokana na Utakatishaji Fedha/Biashara Haramu

    Kwa mujibu wa Ripoti ya Taasisi ya Global Financial Integrity (GFI) na Washirika wake imeonesha bado Tanzania ina tatizo sugu la Utakatishaji Fedha unaotokana na Biashara Haramu kiasi cha kupoteza zaidi ya Tsh. Trilioni 3.5 kila mwaka. Kati ya vitendo vinavyochangia tatizo hilo ni pamoja na...
  3. Ripoti: Dar yaongoza kwa watu kuwa na michepuko zaidi ya miwili

    Wakati takwimu za Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (Tacaids) zikionyesha maambukizi ya ugonjwa huo yameshuka kwa asilimia 47, ripoti mpya ya Wizara ya Afya imeonyesha viashiria vya uwezekano wa kuongezeka kwa virusi kutoka kwa wasiokuwa wanandoa wala wachumba (michepuko). Ripoti hiyo ya...
  4. Ripoti za RITA zabainisha kuwa ndoa za Watanzania zavunjika kwa zaidi ya 50%

    Ripoti kwa undani Ripoti hiyo imeonyesha mgawanyo wa wasio kwenye ndoa kama ifuatavyo: Wanandoa waliotengana ni asilimia tano, waliopeana talaka (asilimia 1.9), wasiowahi kuwa kwenye ndoa (asilimia 38.9), wajane na wagane (asilimia 5.4) na wanaoishi kiuchumba (asilimia 6.1). Wakati idadi ya...
  5. Ripoti, Kagera: Ndani ya miezi miwili watu 33 wameripotiwa kuuawa

    Matukio ya watu wawili kuripotiwa kuuliwa kwa vitu vyenye ncha kali hivi karibuni Mtaa wa Kyaya, Kagera yameongeza mazingira ya hofu kwa baadhi ya Wananchi kutokana na mwenendo takwimu za mauaji kuongezeka. Akizungumzia hali hiyo, Kamanda wa Polisi wa Kagera, William Mwampaghale amesema “Kati...
  6. Ripoti CPI: Tanzania yaporomoka viwango vya Kupambana na Rushwa Duniani

    Ripoti ya Transparency International inayoangazia jinsi Nchi zinavyopambana na Rushwa na Ufisadi duniani (CPI), imeitaja #Tanzania kwenye nafasi ya 94 kati ya Nchi 180 mwaka 2022 kutoka nafasi ya 87 mwaka 2021. Kwa upande wa #Afrika, Tanzania iko nafasi ya 14 kutoka nafasi ya 19 mwaka 2021. Pia...
  7. Ripoti IMF: Matarajio ya Ukuaji Uchumi yabadilika, kutakuwa na Ongezeko la kasi

    Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) limesema Ukuaji wa Uchumi utaongezeka kwa 0.2% kutokana na kufunguliwa tena kwa Nchi ya #China na Utekelezaji wa Sera ya Kubana Matumizi katika Nchi nyingi duniani, jambo litakalopunguza kasi ya Mfumuko wa Bei. Bara la Afrika litakuwa na ongezeko la Ukuaji...
  8. Ripoti ya Mtandao wa Sekta Bunifu Tanzania (CINT) imeonesha COSOTA waliipa JKT kazi ya kukusanya Mirabaha ya kazi za Sanaa

    Taasisi ya CINT inayofanya kazi ya Utetezi, Uzengezi na Uwezeshaji, Kuwaunganisha Wasanii na Taasisi zao na Kuzungumza kwa niaba ya Sekta ya Ubunifu Tanzania katika maeneo ya Sera, Fedha, Sheria, Elimu, Miundombinu na Teknolojia imezindua Ripoti ya Wadau wa Sekta ya Sanaa Tanzania ambapo katika...
  9. Ripoti: Serikali za Afrika zimerudi nyuma kwenye Utawala wa Bora na Demokrasia

    Ripoti Mpya kuhusu Utawala Bora barani Afrika iliyotolewa na Taasisi ya Mo Ibrahim imeonesha kwa miaka 3 iliyopita, Maendeleo ya Binadamu na Uchumi yameshuka kutokana na kudorora kwa Demokrasia na hali ya Usalama. Pia, imeonesha Serikali za Nchi nyingi zimekuwa na Ukiukaji wa Haki za Kiraia...
  10. Mashirika yasiyo ya Kiserikali 4,879 yafutwa na Serikali

    Serikali imeyafuta mashirika yasiyo ya kiserikali 4,898 kati ya hayo yapo yaliyoomba kuacha shughuli zao kwa hiari. Taarifa ya kufutwa kwa mashirika hayo imetolewa Januari 24, 2022 na Kaimu Kitengo cha Mawasiliano Serikali, Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum...
  11. Utafiti: Ripoti yaonyesha vijana wengi nchini hawana heshima

    Ripoti ya utafiti wa stadi za maisha na maadili kwa vijana imeonyesha asilimia kubwa ya vijana nchini hawana heshima, hawajitambui na hawana ushirikiano kwenye mambo mbalimbali ya kijamii. Utafiti uliozinduliwa Leo Januari 26, 2023 na Taasisi ya Regional Education Learning Initiative (Reli) kwa...
  12. Ripoti: Watoto Milioni 400 wananyanyaswa Kingono duniani kila mwaka

    Kila mwaka, watoto zaidi ya millioni 400 duniani wananyanyaswa kingono, ripoti mpya ya Enonomist Impact imesema. Kwa kawaida ukatili na unyanyasaji kingono hufanywa siri kwa kuhofia aibu na kunyanyapaliwa, hivyo kuruhusu uhalifu huo kuendelea. Ripoti hiyo “Out of the Shadows Global Index...
  13. Ripoti: Zaidi ya Nusu ya Wanawake wa Dar es Salaam wana uzito uliopitiliza

    Licha ya jitihada zinazofanywa na wanawake waishio mjini ikiwamo jijini Dar es Salaam, ripoti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) inaonyesha idadi ya wanaoelemewa na uzito inaongezeka. Ripoti hiyo ya utafiti wa Ufuatiliaji wa Kaya (NPS) ya mwaka 2020/21 inaonyesha asilimia 47 ya wanawake wenye...
  14. Ripoti AU: Vita ya Serikali ya Ethiopia na Tigray inaweza kuwa imeua watu 600,000

    Mpatanishi wa Umoja wa Afrika katika mzozo wa Tigray, #OlusegunObasanjo, ameliambia jarida la Financial Times (FT) kuwa idadi hiyo imetokea ndani ya miaka miwili ya mapigano. Mzozo ulianza Novemba 2020, baada ya Waziri Mkuu #AbiyAhmed kuamuru mashambulizi dhidi ya vikosi vya Tigray kwa maelezo...
  15. Mfumo wa matokeo, ripoti na ratiba kwa shule za O- Level huu hapa

    Mfumo unaomwezesha mwalimu (mtaaluma) kupata matokeo kwa urahisi sana, mfumo unakutengenezea matokeo unakuonyesha wanafunzi 10 bora na 10 wa mwisho unakuonyesha division summary kwa male na female unakuwezesha kuandaa ratiba ndani ya dakika 2, ratiba ya shule nzima pamoja na za madarasa kwa...
  16. Ripoti Henley Passport Index 2023: Hati 10 za Kusafiria zenye nguvu zaidi Barani Afrika

    Tanzania imeshika nafasi ya 10 katika nchi za Afrika zenye Passport zenye nguvu zaidi huku ikiwa nafasi ya 74 duniani na uwezo wa kuingia katika maeneo 72 kwa Viza au bila Viza. Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Henley Passport Index, kupitia Mamlaka ya Kimataifa ya Usafiri wa Anga (IATA)...
  17. J

    Ripoti: 37% ya Nchi duniani hazina Uhuru Mtandaoni. Hali mbaya zaidi yaripotiwa China

    Kwa mujibu wa Ripoti ya Freedom House Mwaka 2022, Mazingira ya Haki Za Binadamu Mtandaoni yamezorota katika Nchi 28. Katika Nchi 70 zilizofanyiwa Tathmini (sawa na 89% ya Watumiaji wa Intaneti Duniani) imebainika 37% Hazipo Huru, 34% zina Uhuru Kiasi na 18% zipo Huru. Kwa Mwaka wa Nane...
  18. Mfumo wa matokeo, ripoti na ratiba kwa O-level

    Je Unataka mfumo wa kuchakata matokeo kwa shule yako? Mfumo huu hapa utakusaidia kuandaa matokeo, ripoti na timetable kwa urahisi zaidi. Unapatikana hapa, download tu na anza kutumia ILI KUTUMIA 1. hakikisha unatumia computer yenye MS office (iwe na ms excel) 2. Fungua file kwa ku-double click...
  19. Ripoti ya bunge la Marekani kuhusu "return" za kodi za TRUMP zinaonyesha biashara zake zinatengeneza hasara

    Wakati anatangaza nia na hatimaye kuteuliwa na kushida kuwa rais wa Marekani Trump alijipambanua kuwa ni mfanya bishara makini aliyekuwa anatengeneza faida kubwa kutoka kwenye biashara zake. Ili kulinda taarifa hizo alihakikisha taarifa zake za kodi kupita 'RETURN ZA KODI" haziweki wazi. Jambo...
  20. Ripoti Siku 100: Rais Ruto amefanya vibaya kwenye Usalama wa Chakula

    Utafiti uliofanywa na taasisi ya #Infotrak umeonesha Siku 100 za #Uwajibikaji wa Rais Ruto kwenye Masuala ya Chakula haujawaridhisha Wananchi na hivyo kumuweka kwenye wastani wa 40%. Ruto amekubalika zaidi kwa Wananchi kwa wastani wa 56% baada ya kuanza kutolewa Mikopo ya Tsh. Bilioni 947.4 kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…