rip

Rest in peace (R.I.P.), a phrase from the Latin requiescat in pace (Ecclesiastical Latin: [rekwiˈeskat in ˈpatʃe]), is sometimes used in traditional Christian services and prayers, such as in the Catholic, Lutheran, Anglican, and Methodist denominations, to wish the soul of a decedent eternal rest and peace.
It became ubiquitous on headstones in the 18th century, and is widely used today when mentioning someone's death.

View More On Wikipedia.org
  1. Pengo na Nkwera wote wamekufa. Mungu atatoa jibu ni nani alikuwa sawa kwenye mgogoro wa 1992-95

    Mgogoro dhidi ya Fr Nkwera ulianza mara tu Pengo alipokuwa Askofu Mkuu (1992) 1.Matatizo yalianza baada ya Polycarp Pengo kutawazwa kuwa Askofu Mkuu wa Dar es Salaam. Alimuita “padre mtoro” na kuanza mchakato wa kumdhibiti. Fr. Nkwera alitajwa kama padre asiye chini ya jimbo rasmi, jambo...
  2. NImemkumbuka sana rafiki yangu Mwl.Chalamila (RIP)

    Huyu Mwalimu alikuwa muungwana sana,,,,ndio maana siku zote naamini mtu mwema huwa anaishi kwenye fikra na mioyo ya watu daima. Kwa kifupi tulifurahia sana maisha ya ujana tofauti na mimi yeye alikuwa siyo mtu wa kinywaji zake gahwa na fegi, Alikuwa ni mwenyeji wangu kila nilipokuwa nafika...
  3. TANZIA RIP gospel singer Dkt. Ron Kenoly

    Farewell to a True Worshipper Ron Kenoly A man of humility, a vessel of grace, and a true worshipper who gave his life to the glory of God. Ron Kenoly walked in profound spiritual depth, filled with the Holy Spirit, sound in the Scriptures, and deeply moving in both word and song. He carried...
  4. RIP Upinzani

    Upinzani Tanzania ulale pema peponi. Hakuna tena matumaini ya kufufuka. Alisikika kiongozi wao akiomba jumuia za Kimataifa kuongoza nchi kwa serikali mseto ila CCM wasiwepo kwenye huo mseto. Kauli ile ndio ilikuwa karata yao ya mwisho kabla kupigwa Three people let us count our cards. Bahati...
  5. M

    Jenista Mhagama alikuwa Waziri wa Afya wakati wa maandamano, kaondoka na siri gani?

    1. Wananchi wangapi walipelekwa hospitali kupata matibabu kwa majeraha ya risasi? 2. Wananchi wangapi walikufa kwa risasi? 3. Miili ya wananchi wangapi walipewa ndugu zao? 4. Miili ya wananchi wangapi haikuchukuliwa na ndugu zao? Yeye kama waziri wa afya alijua taarifa hizi? Je, hizi taarifa...
  6. GE2025 MO29 is the day that marks the beginning of an end

    RIP kwa ndugu zetu waliopoteza Maisha. Lengo la maandamano ilikuwa ni kuzuia Uchaguzi usifanyike. NRNE imefeli. Ila Matokeo ya Uchaguzi yamezidisha hasira. Kama wanaweza wasiwe na Aibu wakaiba kura nying namna ile. Imagine wanafanyaje wakiwa kwenye maprojects yao ya kupeana na kugawana hela...
  7. Kama wamemnasa Polepole, basi RIP

    Japo wote ni chama kimoja, kinachoendelea kinaonyesha kuwa macc siyo binadamu hasa yanapoingiliwmaslahi yao au kufichuliwa uovu wao. Kama kweli kilichotokea kwa Humphrey Polepole kilimhusisha, uwezekano wa kuwa marehemu ni mkubwa. Tujikumbushe walivyommaliza: Edward Sokoine, Horace Kolimba...
  8. Hawara pamoja na kusaidia ndoa zetu kusimama, mjipange na hukumu nzito siku ya mwisho

    RIP MWAMBA.BR WILLY CONT RIP POPOTE ULIPO Ulikuwa kaka mwema Mume mwema kwa familia yako Lakini pesa ilipochanganya ukaanza kuchanganya madesa wa mahawar Ukujua wengine wana maroho ya mauti hatimae ukaishia kuchomeka na hawara yako kwenye gari.... Ni mwaka 2019 ma best nrda alikuwa ameanza...
  9. JamiiForums inafahamuje ikitokea mwanajukwaa amefariki na kumuwekea RIP?

    Naomba kufahamishwa kuhusu hili maana nimeona kuna baadhi ya members wenzetu, wamewekewa RIP kwenye profiles zao.
  10. RIP kwa wanetu mliotutoka mngali bado vijana wadogo kabisa

    Habari Wakuu Katika Makuzi yetu. Utotoni Mtaani. Shule ya Msingi. Secondary na hata Chuo kuna wanetu tuliwapoteza ingali bado hatujaanza Maisha hali kwa maana ya Kujitegemea, tulikuwa bado sie ni Wategemezi! Tuliwapoteza wenzetu ingali bado tuna Ndoto nao! Tuliwapoteza wenzetu ingali tukidhani...
  11. RIP Ali Kibao, na Wengine wote ambao hatujui wako wapi au nini kiliwakuta

    Mods naomba msifute uzi huu, sina maana ya kuchochea wala kukosoa bali kuonyesha kusikitishwa na matukio ya kupotea, kutekwa na kuuwawa kwa baadhi ya Watanzania huku baadhi yao tukiwa hatujui wako wapi hadi sasa. Tunawaombea wale wote waliotangulia, na ambao wapo mahali labda wametekwa (hatujui)...
  12. RIP USAID 1961-2025

    Hatimae mwanzo wa mwisho wa shirika la misaada la Marekani USAID umefika rasmi. 1961-2025. Hii ni siku ya kihistoria kwa sera ya kigeni ya Marekani. USAID ilijiona kama kuhudumia jumuiya ya kibinadamu ya kimataifa na si watu wa Marekani au walipa kodi. Mtindo wake ulioshindwa ulisababisha...
  13. Z

    RIP Fr Beda Pavel(OSB) mwalimu wa Membe na mlezi wa kiroho wa Kingunge Mwiru(1935-2025)

    FR Beda Pavel alizaliwa mjini Humberg ujerumani, alipadrishwa mwaka 1953 na kutumwa Tanganyika mwaka huohuo. Amewahi kufundisha Biology katika seminary kadhaa nchini, amehudumu parokia mbalimbali, mara ya mwisho alihudumu kama paroko wa parokia ya kilimahewa jimbo kuu la Dar es salaam. Fr Beda...
  14. TANZIA Sifa Bujuni aliyeimba 'Mnatuona Nyatu tu' amefariki Dunia hospitali ya Muhimbili alikokuwa akipatiwa matibabu

    Wakuu, Sifa Bujuni aliyeimba 'Mnatuona Nyatu tu' amefariki Dunia hospitali ya Muhimbili alikokuwa akipatiwa matibabu, baba yake mzazi athibitisha hilo. Mhh...... Mungu amlaze pema. Pia soma Mbeya: Msanii wa Nyimbo za Injili, Sifa Bujune ashikiliwa kwa tuhuma za kuimba wimbo wenye maudhui ya...
  15. TANZIA Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano ya Ikulu ya Zanzibar, Charles Hillary afariki dunia

    Aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu ya Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Charles Hilary, amefariki dunia alfajiri ya leo Mei 11, 2025. Kwa mujibu wa chanzo cha karibu, Hilary amefariki baada ya kuugua ghafla na mauti yamemkuta akiwa njiani kupelekwa...
  16. Hisroria ya mashindano ya ulimbwende Tanganyika..! Rip Hashim Lundenga

    Mwaka 1967 yalifanyika mashindano ya urembo kwa mara ya kwanza nchini, na dada Theresia Shayo akabeba taji. Mwalimu Nyerere akayapiga marufuku kwa madai kwamba yalikuwa yanaendeleza ukoloni mamboleo na yanatweza utu wa mwanamke. Miaka 27 baadaye, mwaka 1994, Mzee Ruksa akayaruhusu. Lundenga...
  17. TANZIA Muigizaji wa Bongo Movie, Carina afariki dunia akipatiwa matibabu nchini India

    Muigizaji wa Filamu Nchini Tanzania Hawa almaarufu Carina amefariki Dunia akiwa Nchini India ambako alikuwa anapatiwa matibabu Hawa alitarajiwa kurejea Leo Nchini Tanzania baada ya kufanyiwa upasuaji mkubwa kutibu tatizo la tumbo lililokuwa likimsumbua kwa muda mrefu.
  18. Rip Cocoa tea

    Msanii wa Reggae Cocoa Tea, aliyezaliwa Colvin George Scott, amefariki dunia. Alipata umaarufu miaka ya 1980 kwa nyimbo maarufu kama "Lost My Sonia" na "Rikers Island." Cocoa Tea maarufu kwa nyimbo zake zinazojali jamii na uigizaji wa kuvutia alishirikiana na wasanii mashuhuri kama vile Shabba...
  19. TANZIA Aga Khan Afariki dunia akiwa na Miaka 88

    Kiongozi wa waislamia duniani ajulikanaye kama HH The Aga Khan amefariki dunia akiwa na Umri wa miaka 88. Kwa Tanzania, Aga Khan atakumbukwa sana kwa kujenga miundo mbinu mizuri sana ya kutoa huduma za afya na elimu. Shule za Tambaza (Dar), Mkendo (Musoma), Mzizima (Tanga) ni baadhi ya shule...
  20. G

    Ukisoma waraka wa Chacha Wangwe (rip), Mbowe alighushi majina ya viti maalum uchaguzi wa 2005. Huu ni ushahidi kuwa kwenye COVID-19 kuna mkono wake

    Soma mwenyewe hii sehemu inayopatikana ktk Waraka wa Chacha Wangwe alioutoa wakati anagombea nafasi ya Uenyekiti Chadema Taifa". Soma mwenyewe hapa chini sehemu ya waraka huo: UTEUZI WA WABUNGE WA VITI MAALUM ...."Naamini ukweli wa suala hili hauna mjadala. Kwamba Mhe. MBOWE na wafuasi wake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…