rip

Rest in peace (R.I.P.), a phrase from the Latin requiescat in pace (Ecclesiastical Latin: [rekwiˈeskat in ˈpatʃe]), is sometimes used in traditional Christian services and prayers, such as in the Catholic, Lutheran, Anglican, and Methodist denominations, to wish the soul of a decedent eternal rest and peace.
It became ubiquitous on headstones in the 18th century, and is widely used today when mentioning someone's death.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Maneno ya hekima ya mzee Kingunge (rip), na yaliungwa mkono na Mbowe kabla hajalamba asali.

  2. Morning_star

    Hivi Rais (RIP) Benjamini William Mkapa alikuwa na watoto?

    Kuna sintofahamu juu ya kweli Mkapa alikuwa na watoto au hapana! Huyu alikuwa kiongozi wa umma wa watanzania. NYERERE kila mtu anajua hamshahamsha ya watoto wa Nyerere! Mwinyi hata Rais wa Zanzibar ni mwanae! Kikwete, Riziwan Kikwete ni Waziri! Mangufuli tunamjua ni baba Ester! Sasa Mkapa...
  3. D

    Huyu ndiye Sultan wa Mwisho wa Zanzibar

    Huyu ndo jamshid bin Abdullah the last Zanzibar sultan na mke wake. Sula tu unajua huyu damu yetu kabisa 😂. Mke wake ndo kabisa . Mtoto wa tanga huyu. Any way he is a citizen of United Kingdom and currently retired in oman since 2020.
  4. USSR

    TANZIA Aliyewahi kuwa Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Charles Mbuge afariki dunia nchini India

    Meja Jenerali Mstaafu Charles Mbuge amefariki dunia leo October 12,2024 alfajiri akiwa Nchi India alipokuwa akipatiwa matibabu. August 02, 2024 Mbuge aliagwa rasmi Jeshini baada ya kulitumikia Jeshi kwa zaidi ya miaka 38 na aliagwa kwa kukagua gwaride rasmi la kijeshi katika Viwanja vya Mgulani...
  5. P h a r a o h

    ID za waliotangulia mbele za haki zinakutafakarisha nini?

    kila mara nikikutana na ID imeandikwa "R I P" inanifanya niwaze mengi sana kitu cha kwanza kuwaza au kukumbuka ambacho ni cha kawaida ni kwamba sisi tunaishi kwa muda tuu ila kuna alama inaweza kubaki kwa muda mrefu zaidi, mfano kwa huku JF unaweza kutafuta kitu na ukakuta kuna mtu alianzisha...
Back
Top Bottom