ridhiwani kikwete

Ridhiwani Jakaya Kikwete (born 16 April 1979) is a Tanzanian lawyer and CCM politician.

View More On Wikipedia.org
  1. Inside10

    Ridhiwani Kikwete: Mafanikio Ya Tanzania Yanaonewa Wivu Na Wengi

    https://www.instagram.com/reel/DUsyVutAudz/?igsh=N3lkOHM0bm52anVs
  2. Mkalukungone Mwamba

    Ridhiwani Kikwete: Ndani ya siku 100 za Rais Samia ameajiri walimu 7000 na watumishi wa afya 5000

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Ridhiwani Kikwete ameeleza Ndani ya siku 100 za Rais Samia ameajiri walimu 7000 na watumishi wa afya 5000
  3. Waufukweni

    Serikali yapiga Marufuku Uhamisho wa Watumishi

    Waziri wa Nchi, OR Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema, "Kumekuwa na maombi mengi sana ya baadhi yetu kuomba kubadilisha vituo vya kazi. Nitoe rai, hatutakuwa na mabadiliko ya vituo vya kazi kwa sasa. Nafasi zote zimetolewa kulingana na uhitaji wa kila...
  4. Waufukweni

    PostGE2025 Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29, 2025 yakutana na Ridhiwani Kikwete

    Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, leo Januari 22, 2026, imekutana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete. Mkutano kati ya tume na Waziri Ridhiwani...
  5. JF Member

    Ridhiwani Kikwete anataka Kutumia Sekretarieti ya Maadali kujisafisha?

    Niwaonye tu viongozi wetu wa Sekretarieti ya Maadali kwamba, msije mkaingia mkenge huo. Kila siku akikutana na ninyi lazima ajisemeshe na kulialia, tunataka ateme ndoano kabisa Sisi tunaokaa na huyo Kikwete na huyo Mwigulu tunajua mali zao ambazo hazijaandikwa kwenye makaratasi yenu. Wanataka...
  6. mwehu ndama

    PostGE2025 Ridhiwani Kikwete: Ikulu ya Tanzania ilikuwa madrassa zamani

    Ajenda ya udini inazidi kusukumwa mdomdo na watawala, na mara hii Ridhimoko amesukuma kete nyingine kwa lengo la kuuteka umma wa wanazuoni wa kiislamu, wataalam wa eiilimu duuniya, na mambo ya Dua na daahawa!!. NB: huu ni ungese , sijui lengo lao ni nini sasa
  7. Idugunde

    Maoni ya Idu: Ridhiwani Kikwete ana hoja kuliko Waziri mkuu Mwigulu Nchemba

    Simtetei kuwa hausiki na ufisadi na nepotism inayombeba kiasi cha kupewa wizara nyeti kama hii anayoisimamia. Lakini kitendo cha kukilri hadharani kuwa tuhuma za ufisadi dhidi ya viongozi wa CCM ndio zilisababisha wananchi kuichukia CCM na kuandamana Oktoba 29 ni dhahiri kuwa yupo makini kuliko...
  8. DuaZaMama

    PostGE2025 Ridhiwani Kikwete: Nipo tayari kuhojiwa kuhusu tuhuma za Sheli za 'Lake Oil'. Wenye ushahidi waitwa

    Waziri KIKWETE ameongea na Sekretarieti ya Maadili. Akazungumzia ‘Sheli’ za LAKE OIL ambazo anatajwa kuzimiliki. Ameonyesha njia kwa kuwa tayari kuhojiwa na ukweli uwekwe wazi, ushahidi utafutwe kama kuna mwenye nao alete, watu waambiwe ukweli. Pia Soma: Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Lake Oil...
  9. Carlos The Jackal

    Kama tusingeandamana Okt 29, Ridhiwani Kikwete angekua Rais 2030. Ila ndo hivo, HAIWEZEKANI Tena

    Wanamtandao wanajipangaaaaa lakini ndo hivo, hawatafanikiwa.
  10. Mzee Mwanakijiji

    Ridhiwani Kikwete Kusimamia Usalama wa Taifa

    Hawa watu wanajua kujipanga sana kwa yanayokuja..wamepanga kujilinda.
  11. L

    PostGE2025 Picha ya Siku: Ridhiwani Kikwete pamoja na Jesca Magufuli katika utulivu mkubwa Bungeni

    Ndugu zangu Watanzania, Hii ndio Picha ya Siku kutoka Bungeni ikiwaonyesha Viongozi wetu na watumishi wetu Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete pamoja na Mheshimiwa Jesca Magufuli vijana wetu wachapakazi,wacha Mungu,wapole wanyenyekevu,wasio na Makuu wala majivuno wala kiburi wala dharau kwa mtu...
  12. tonicimmobility

    GE2025 Ridhiwani: Zaidi ya watu 1,200 wenye ulemavu wameajiriwa Serikalini

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Mhe. Ridhiwani Kikwete, amesema serikali ya awamu ya Sita imefanikiwa kufungua milango ya ajira kwa watu wenye ulemavu ambapo zaidi ya watu 1,213 wameajiriwa katika taasisi mbalimbali za umma Amesema ajira hizo...
  13. K

    GE2025 Salma Kikwete na Ridhiwani Kikwete ni bora kuliko Gwajima na Mpina?

    Salma Kikwete na Ridhiwani Kikwete bi bora kuliko Gwajima na Mpina!!!!. Huyu Mama ambaye anaongea pumba tu kila akipewa nafasi ni sawa na hawa vipanga !!! Mafisadi naona wameshikilia nchi kweli kweli
  14. Sir John Deere

    GE2025 Salma Kikwete na Ridhiwani Kikwete kupitishwa bila ushindani hii ni mbegu inayopandwa na itakuja kuota

    Hii ndio hulka na desturi ya historia. Uongozi wa umma haupaswi kutolewa kama sadaka. Hii mbegu wanayoipanda itakuja kuota na matokeo yake tutayaona. Hakuna sababu ya kuwapigia kura kesho spika awaite bungeni na kuwaapisha kuwa wabunge.
  15. Carlos The Jackal

    GE2025 Nchi imefikia Mahali ambapo, wahuni wanaamini hamna MTU wa kuwafanya kitu, Inawezekanaje, Familia ya Mstaafu wapitishwe wao tu bila ushindani ?

    Jambo la Kushangaza, Hii familia nao wanafurahia tuu, hivi hata Ridhiwani alishindwa kumshauri Mzee Kikwete, Mzee chomekea majina walau Manne, ila tumalizane na Wajumbe ?. Kwamba ukiwa Mwanafamilia ya Kikwete, Wewe tayari ni Kiongozi Bora kushinda Wenzio Jimbo Zima 🤣 haya ni maajabu. Lakini...
  16. L

    Tazama namna Ridhiwani Kikwete alivyoingia kwenye Kikao cha Baraza la Mawaziri huku akisikilizwa kwa umakini na wenzake

    Ndugu zangu Watanzania, Hivi Ndivyo namna Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete Alivyoingia Kwenye Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika leo na kuongozwa na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Sana Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Ambapo Mheshimiwa Ridhiwani...
  17. L

    PICHA: Dkt Jakaya Mrisho Kikwete Akimtambulisha Mwanae Ridhiwani Kikwete kwa Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Picha inaongea,picha inazungumza,picha ina maana kubwa sana,picha moja pekee ni zaidi ya maneno Elfu moja. Hapa Ni Rais wetu mstaafu Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete Akimtambulisha Mwanae Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete kwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu...
  18. L

    Ridhiwani Kikwete Atakuwa Rais wa Tanzania kuanzia Mwaka 2040 Baada ya Kumalizika Kwa Miaka Kumi Ya Urais wa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi kuanzia 2030

    Ndugu zangu Watanzania, Nimeota ya kuwa Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete Atakuwa Rais Wa Tanzania kuanzia Mwaka 2040. Ambapo Urais wake ataupokea Kutoka Kwa Mheshimiwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi .Ambaye ataanzia 2030 Mpaka hiyo 2040 na kumkabidhi kijiti Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete. Hii itakuwa...
  19. B

    Ridhiwani Kikwete ateta na uongozi wa kiwanda cha Dangote- Mtwara

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete leo Alhamisi amefanya mazungumzo na Ujumbe wa Kiwanda cha Kutengeneza Cement Cha Dongote kutokea Mtwara walipokuja kumtembea Ofisini Dodoma wakiongozwa na Meneja wa Kiwanda hicho Nchini Bwana Adeyemi...
  20. B

    Kikwete atoa taarifa kwa Waziri Mkuu maandalizi mei mosi yamekamilika 100%, Rais Samia mgeni rasmi

    Leo Jumatano Aprili 30, 2025 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu -Ridhiwani Kikwete ametoa taarifa kwa Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa ya ukamilifu na utayari wa kilele cha Sherehe za Mei Mosi zinazotarajiwa kufanyika kesho Mei Mosi katika Viwanja vya...
Back
Top Bottom