Ridhiwani Kikwete umesema vyema kabisa, na sisi tumekuelewa. Ujumbe huu wapelekee pia mabosi wako, Samia Suluhu Hassan na Mwigulu Nchemba ambao hadi sasa wanatuona watanzania ni mazuzu, kwamba hawaelewi watu walikuwa wanalalamikia nini kiasi cha kuandamana.
Nakunukuu
"Malalamiko juu ya maadili...
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete Mbunge Wa Chalinze anayesubiria tu kuapishwa Baada ya kuwa Amepitishwa kuwa Mgombea pekee wa chama cha Mapinduzi Jimbo la Chalinze. kutokana na wanachama wengine kutochukua Fomu ya kugombea kutokana na kuridhishwa na uchapakazi wake pamoja...
Nadhani Mzee Kikwete anapaswa kubadilika na kuacha Uswahili wake, amevuruga Uzinduzi wa wenzake wa Bandari Kavu kwa kuchomekea yasiyohusika.
Bila shaka Spana za Mitandaoni kote duniani kuhusu Familia yake kupitishwa bila kupingwa zimemuumiza sana, lakini ni vema angeita Waandishi wa habari...
Mbunge wa Chalinze Mh Ridhiwan amesema ile Picha iliyosambaa mitandaoni akiwa na baba yake Mzee Kikwete pamoja na Rais Samia inampa faraja kubwa na anajivunia
Ridhiwan amesema pale Rais Samia alikuwa anamshukuru Mzee Kikwete kutokana na mchango anaoutoa( Ridhiwan) akiwa kama Msaidizi...
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete Ni Mtoto Wa Kwanza katika Familia ya Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne. Ambapo Kijana huyu Mwenye Moyo wa Huruma,upendo , unyenyekevu na ukarimu Alizaliwa Tarehe 16-4-1979 katika hospitali ya Wilaya ya Bagamoyo...
Aendelea kuwakumbusha Wananchi wa Chalinze kuchangamkia mikopo inayoendelea kutolewa na Halmashauri hiyo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete Jana Mei 24, 2025 amekabidhi gari kwa kikundi cha Wajasiriamali cha Mshikamano kutoka Kata...
TAREHE 2 MEI, 2025 | KIBAHA
Kwa heshima kubwa, Klabu ya Uzalendo Wilaya ya Kibaha ilipata fursa adhimu ya kukutana na kufanya mazungumzo na Mtangazaji Kinara Mstaafu wa BBC na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Crown Media, Ndugu Salim Kikeke.
Katika mazungumzo hayo ya kihistoria, Mwenyekiti wa Klabu...
TAARIFA RASMI | MCHAKATO WA KUANZISHA TAASISI YA KITAIFA YA UZALENDO NA MALEZI TANZANIA (TUMT)
Kwa mujibu wa haja ya dharura ya taifa katika kujenga msingi imara wa maadili, uzalendo wa kweli, na malezi chanya ya kizazi kijacho, Klabu ya Uzalendo Wilaya ya Kibaha imeanza rasmi mchakato wa...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema Mwenge wa Uhuru ni moja ya Tunu kubwa iliyopo kwenye Taifa kwani umekua kichocheo kikubwa cha maendeleo kwenye Taifa ikiwemo kuchochea mapambano dhidi ya ujinga, maradhi na umaskini kila...
Ni mkakati wa kuhakikisha Wananchi wanafikiwa kirahisi kuhudumiwa. Halmashauri ya Chalinze yatenga Bilioni 2.2 kwa Wanawake, Vijana na Walemavu.
Mbunge wa Jimbo la Chalinze mkoani Pwani na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani...
Rais Mstaafu wa Awamu ya 4 Dkt. Jakaya Kikwete ataongoza Bonanza kama Mgeni rasmi, Bongo Muvi ndani
Mbunge wa Chalinze na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi, Vijana, Ajira, na Watu Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete anafunga mwaka na Bonanza kubwa la kufunga mwaka la Chalinze Festival...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeendelea kufungua fursa zaidi za ajira kwa watanzania nje ya nchi.
Aidha, Mhe. Ridhiwani amesema serikali...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete amekutana na kuzungumza na Balozi wa Japan nchini Tanzania ambaye pia ni Mwakilishi wa Japan katika Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Yusushi Misawa pamoja na ujumbe wake alipomtembelea katika...
Wote mnakumbuka kwenye Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2022 Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze iliyopo mkoani Pwani ilishinda na kuongoza Kitaifa katika Halmashauri zilizofanya vizuri katika ubora wa utekelezaji na usimamizi wa miradi ya maendeleo iliyotembelewa na Mwenge wa Uhuru.
Mwaka huu 2024...
Aziita sekta binafsi kushirikiana na serikali kutatua changamoto za wananchi
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Chalinze mkoani Pwani amepokea msaada wa vifaa tiba kwa...
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Ndg. Ridhiwani Kikwete amewaonya watumishi na waratibu wa mradi wa kuondoa umaskini (TASAF) kuhusu matumizi mabaya ya pesa za mradi na kutofuata maelekezo yaliyotolewa kusimamia mradi huo.
Serikali imeeleza haya Bungeni wakati wakijibu...
Wana JF, hizi taarifa nimezipata kwa mtu mkubwa sana ndani ya TISS na ambaye amewahi kuwa kigogo wa idara hiyo.
Ameniambia Mzee Jakaya Kikwete ndiye yuko nyuma ya Mpango huu na sehemu kubwa ya vigogo ndani na nje ya idara. Moja ya mkakati ulifanikiwa ni kuhakikisha baada ya sheria ilikuwa...
Halmashauri ya wilaya ya Chalinze mkoani Pwani yenye Mbunge wake Ridhiwani Kikwete, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora, leo Ijumaa Novemba 24, 2023 imetunukiwa hati ya pongezi kwa ukusanyaji wa mapato ya ndani kimkoa.
Hati hiyo imetolewa na Halmashauri Kuu ya Chama Cha...
Mbunge wa Chalinze na Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Ndg. Ridhiwani Kikwete amefanya ziara fupi katika kata ya Kiwangwa kuongea na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi na Serikali ya Kijiji kuhusu shughuli ya maendeleo katika eneo hilo.
Katika kikao hicho pamoja na mengine mengi , Mbunge wa Chalinze...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.