reli ya tazara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Baada ya miaka 50, China, Tanzania na Zambia zaienzi reli ya TAZARA kwa kuihuisha tena

    Tarehe 14 ya Mwezi Julai mwaka huu wa 2026, Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) inatimiza miaka 50 tangu kuanza rasmi kufanya shughuli zake za kibiashara mwaka 1976. Wahenga wanasema kila kwenye mafanikio yoyote yale basi nyuma yake kuna mtu anayeyaunga mkono. Mwaka 1947, liliibuka wazo la...
  2. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Miaka 50 ya Reli ya TAZARA: Safari ya ushirikiano kati ya China na Afrika

    Huu ni mwaka wa 50 tangu kuzinduliwa rasimi wa Reli ya TAZARA. Reli hiyo inayopita Bonde la Ufa la Afrika Mashariki ni ushuhuda wa urafiki kati ya China na Afrika. Nusu karne iliyopita, wahandisi na mafundi wa China walifanya kazi bega kwa bega na ndugu zao wa Afrika, kukamilisha mradi wa TAZARA...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya China CCECC kukabidhiwa kuendesha Reli ya TAZARA kwa miaka 30

    Mamlaka ya Reli ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) imetangaza kuwa mpango wake wa muda mrefu wa kuifufua reli hiyo umeingia hatua ya utekelezaji kwa Mkataba wa thamani ya Takriban Tsh. Trilioni 3.7 (Dola za Marekani Bilioni 1.4) na Kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kuhuishwa kwa reli ya TAZARA kutahimiza maendeleo ya uchumi wa eneo la SADC

    Tarehe 4 Septemba 2024, kwenye mkutano wa kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Africa (FOCAC) uliofanyika mjini Beijing, China, makubaliano kati ya China, Tanzania na Zambia kuhusu kuihuisha reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) yalisainiwa mbele ya marais wa nchi hizo tatu. Hatua hiyo...
  5. mgen

    JamiiForums Tanzania Tetesi: AJALI YA RELI YA TAZARA MLIMBA.

    Wana jamvi!; Poleni na MISHE MISHE za siku! Ndugu yangu Alikuwa aanasafiri Toka mbeya na reli ya Tazara Express kuja Dar! Alinipa taarifa Kwa simu kwamba wamepata Ajali MLIMBA!; Sijapata Mawasiliiano mengine zaidi. Mwenye Taarifa Atufahamishe!
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TAZARA: Safari ya Treni ya abiria ya Express iliyopangwa kuondoka Dar kwenda Mbeya Ijumaa tarehe 6/9/2024 saa 9.50 yaahirishwa

    KUAHIRISHWA KWA TRENI YA ABIRIA YA EXPRESS Uongozi wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) inasikitika kuwatangazia abiria na umma kwa ujumla kuwa treni ya abiria ya Express iliyopangwa kuondoka Dar es Salaam kwenda Mbeya siku ya Ijumaa 6 September 2024 saa 9.50 alasiri , treni hiyo...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Makubaliano ya China na Tanzania ni kuimarisha reli ya TAZARA iliyopo (MGR) na sio kujenga nyingine kwa viwango vya SGR

    Hizi ndizo taarifa kutoka vyanzo nilivyovipata hadi sasa China signs deal to upgrade decades-old railway between Zambia and Tanzania na China to 'revitalise' ageing railway linking Zambia, Tanzania. The upgrade of the TAZARA railway by China will focus on improving the existing meter-gauge...
  8. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kama Maboresho ya Reli ya TAZARA ni ili tutumie treni ya dizeli tukatae huo mradi

    Kuna tetesi kuwa Maboresho yatakayofanyika katika reli ya TAZARA yanahusisha kuifanya reli hiyo kutumia treni ya dizeli kama Kenya. Kama huu ndo ukweli napenda kuzishauri mamlaka za Tanzania kuukataa huu mradi. Kama tumeweza kujenga reli yetu ya kati kwa kiwango cha SGR tena umeme itakuwa ni...
  9. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania China kwenye mkutano na viongozi wa Africa yasaini mkataba wa kuboresha TAZARA

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping pamoja na Rais wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema wakishuhudia uwekaji saini wa hati ya makubaliano ya kuboresha reli ya TAZARA katika ukumbi wa The Great Hall of the People jijini...
  10. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Maboresho ya Reli ya TAZARA yaangalie usifanyike udanganyifu kama wa Kenya

    Tumeeelezwa Rais wetu mpendwa pamoja na mwenzake wa Zambia watasaini Makubaliano na Serikali ya China kwa ajili ya Maboresho ya Reli ya TAZARA! Kuna kaukimya fulani kwa Serikali kuhusu namna reli hii itakavyoboreshwa! Hatujui kama itaboreshwa kwa viwango vya umeme au la? Tofauti na wakati...
Back
Top Bottom