rasmi

Ni Gusti Ayu Raka Rasmi (March 10, 1939 – March 17, 2018), also known as Raka Rasmi, was a Balinese dancer who introduced the stylized art of Balinese dance to the world. She was the youngest member of the Balinese dance troupe, the Bali Dancers, that was the first to perform in the United States in 1952.Rasmi began her career in 1951 as part of the Sekaha Gong Peliatan. She was then discovered by John Coast, former English Diplomat, who formed the Balinese dance group.Rasmi became the first to dance the Oleg Tamulilingan, or the Bumblebee, a then controversial dance in which male and female dancers circle each other.In 2005 she was part of an award-winning festival performance that brought together veteran local dancers with emerging artists.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania GSM amwaga bilioni 2.1 kuwa mdhamini mwenza wa ligi kuu

    Kampuni ya GSM imesaini mkataba wa miaka miwili na Shirikisho la Soka Tanzania wenye thamani ya TSH. 2.1 Billion kwa ajili ya kuwa mdhamini mwenzanwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Engineewr hersi "Tunadhamini timu za Yanga sc, Namungo na Coastal union,, tumeona ni vyema kudhamini pia ligi kuu...
  2. JamiiForums Tanzania Namba za magari zisizo rasmi zimezidi kwa sasa Dar

    Wahusika litazameni hili hata kama ni watu wa kitengo hapana namba za magari zisizo rasmi zimekuwa nyingi mnoo kiasi kwamba kwa sasa mtu anaweza pata tatizo gari hiyo ikakimbia na ikawa ngumu kuipata. Hebu litazameni hili wahusika
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kuanzia leo Ismail Aden Rage namtunuku rasmi 'Honorary Doctorate Degree' kwa Kuzijua vyema Sheria za Soka za FIFA na CAS

    Ufuatao ni Mjumuisho wa Kauli yake Moja tu aliyoitoa kila alipokuwa akihojiwa kuhusu Maoni yake juu ya Rufaa ya Yanga SC dhidi ya Wakili Msomi Raia wa Ghana Bernard Morrison aliyewamwaga Utumbo leo kwa Kushinda.... "Nawashauri Yanga SC waachane na kutaka Kukata Rufaa huko CAS kwani wanapoteza...
  4. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Mamlaka: Kuwe na sehemu rasmi mtu akiokota kitu cha thamani apeleke

    Sijui kama utaratibu huu upo au haupo, natamani kungekua na sehemu rasmi au kama ni kituo cha polisi au kwingineko ikitokea mtu akiokota kitu ambacho hamjui mwenyewe aende kukupeleka au kukabidhi hapo. Apewe stakabadhi maalumu kuonesha kuwa kakabidhi. Hii itasaidia watu waliopoteza vitu vyao...
  5. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM-Tanzania afunga rasmi mafunzo ya makatibu wa Wilaya na Mikoa Jijini Dodoma

    Mwenyekiti wa CCM-Tanzania ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg Samia Suluhu Hassan amefunga leo rasmi mafunzo ya kuwajengea uwezo makatibu wa CCM ngazi ya Wilaya na Mkoa, Katika taarifa yake kwa Watanzani Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka amesema...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai ageuka kiongozi wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni

    Spika dhaifu Mh.Ndugai amegeuka kuwa kiongozi wa kambi rasmi ya Upinzani bungeni,,,Hii inatokea pale ambapo Ndugai anasimama kila mara kuziba pengo la wapinzani baada ya kuona Mazuzu yaliyomo bungeni+ yeye hayana uwezo wa kujenga hoja za kulivusha Taifa,,,Tunayakumbusha kwamba wala yasijali...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini Coastal Union hawakuingia kwenye chumba rasmi cha kubadilisha jezi?

    Nafahamu kuwa mguto ni kiongozi wa bodi ya league na coastal union pia, lakini kwanini ameruhusu ili jambo?
  8. JamiiForums Tanzania Leo natangaza rasmi kuacha kushabikia soka la Tanzania

    Leo hii tarehe 26/10/2021 mimi Chaliifrancisco nikiwa na akili timamu kabisa natangaza kusimama kufuatilia na kushabikia mpira wa hapa kwetu Tanzania. Kama nitakuja kushabikia tena sijui lakini itategemea na tathmini nitakazofanya mwenyewe nikiridhishwa nitaamua. Sababu zilizofanya nifikie...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Rasmi sasa Tanzania yapoteza nafasi nne kwa Libya, miujiza ya Simba SC inasubiriwa

    Tayari Walibya wameishapata slots ya teams nne kilichobaki ni miujiza kama Simba SC wataingia group stages ya shirikisho na hiyo ina depend kama Pascal wawa ataacha mgomo wake wa kuruka juu mipira ya kichwa au wauzaji mechi watawaonea huruma mamilioni ya washabiki wa Simba. Please maduka kuweni...
  10. JamiiForums Tanzania Trillion 1.3 Makampuni Yatakayopewa Tenda Yatangazwe Rasmi

    Baada ya serikali kupokea mkopo wa IMF wa Trillion 1.3 Tshs itapendeza zaidi kuona makampuni yatakayopewa tenda ya ujenzi ama ku supply vifaa yatangazwe rasmi kwenye magazeti. Hii itasaidia wananchi kufahamu uwezo wa makampuni hayo katika kufanya kazi hizo. Waziri Mkuu ametangaza kamati...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali ije na muswada rasmi na katazo la biashara barabarani

    Kuondokana na adha ya ushindani wa kisiasa kupitia wamachinga Serikali ije na muswada rasmi Bungeni utakaokataza biashara kupangwa barabarani. Sheria hiyo iweke fine /adhabu kwa muuzaji na mnunuzi wa barabarani. SAD AND PAIN BUT TRUTH! KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
  12. JamiiForums Tanzania Huu ndio msimamo rasmi wa Mbowe dhidi ya Sabaya na washirika wake.

    Hii ni kauli aliyoitoa Mbowe zaidi ya mwaka mmoja uliopita dhidi ya Sabaya na washirika wake. Mbowe aliitoa kauli hii kwa ujasiri mkubwa na hadharani wakati huo Sabaya akiwa mkuu wa wilaya ya Hai chini ya utawala wa Rais Magufuli. "....Siko tayari kumjadili Sabaya, mtoto mpotevu, mhuni, mtu...
  13. JamiiForums Tanzania Leo rasmi nimeanza kutumia dawa kwa ajili ya pressure. Naanza staili mpya kuishi

    Nimekuwa nasumbuliwa na pressure kwa muda sasa. Leo nimepima ilikuwa 187 juu na chini 115. Baada ya mashauriano na dr nimeamua kuanza kutumia dawa. Nimepewa dawa za kutumia wiki moja then nirudi kucheck tena. Ndio kwanza nina 44 yrs. Nitazimiss sana lite, na lager.
  14. JamiiForums Tanzania TFF Ishaanza Kuwasetia Simba SC Viporo Kwenye NBC Premier League

    Ni mizunguko ya mechi mbili tu ambazo zimepita tangu ligi kuu Tanzania bara ya msimu wa 2021/22 ianze. Tayari TFF (Wallace Karia) imekwishaanza kuweka mazingira ya kuzalisha viporo kwenye ligi. Yaani ndio kama hivyo, mapeeeeeemaaaaa! Hebu fikiria. Ratiba ya mechi ya inapelekwa mbele siku saba...
  15. JamiiForums Tanzania Kodi ya Majengo kupitia luku rasmi Vijijini

    Jana nilikuwa kijijini kwetu ndani ndani huko, umeme umefika pongezi kwa REA. Sasa hapa kwa bibi yangu huwa wananunua umeme wa 2000 kila unapokwisha. Walikuwa wanafanya hivyo kabla na baada ya tozo ila jana imeshindikana. Ikabidi mimi niongezee niwape elfu 10, ile kulipia tu wakakatwa deni la...
  16. JamiiForums Tanzania DV-2023 program ( bahati nasibu ya kuhamia U.S.A.) inaanza rasmi kuchezwa tarehe 6/10/2021

    TAARIFA MPYA DV-2023 PROGRAM INAANZA RASMI KUCHEZWA TAREHE 6/10/2021, MWISHO NI TAREHE 9/11/2021. JIANDAE MAPEMA NA CHEZA MAPEMA. HAISHAURIWI KUSUBIRIA TAREHE ZA MWISHONI. KWA MASWALI AU MSAADA/ USHAURI BURE NIPIGIE SIMU WAKATI WOWOTE. ANGALIZO: IWAPO UTANIHITAJI KWA MAJADILIANO/KUKUTANA...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Katika Kikosi Kijacho cha Simba SC nisipokuwa nawaona hawa Wanaanza na hawa Wanasubiri naacha Kuishabikia rasmi

    Mightier nataka hawa wawe wanaanza kuanzia sasa tafadhali... 1. Kibu Denis 2. Osmane Sakho 3. Yusuph Mhilu 4. Jonas Mkude Mightier nataka hawa Wapuuzi ama wasahaulike au wawe wanaanzia Bench.... 1. John Boko 2. Meddie Kagere 3. Chris Mugalu 4. Thadeo Lwanga Sasa ole wenu msinitii mtanitambua.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kumjua tu Kiongozi wa Simba SC aliyeshindwa Kukamilisha Dili la Khalid Aucho kutua Msimbazi na Yanga SC wakamuwahi na kutua Kwao rasmi

    Unahitaji Chama, Bwalya, Mkude, Muzamiru, Lwanga na hata Ndemla ili angalau tu kuufikia uwezo mkubwa alionao Kiungo ninayempenda na namkubali wa Yanga SC Khalid Aucho. Naomba Yanga SC ikirejea Dar es Salaam japo Mimi Mightier ni mwana Simba SC lia lia lakini Furaha yangu Kubwa ni kupiga tu...
  19. JamiiForums Tanzania Baada ya kufanya utafiti kwa miaka 3, leo nimeconclude rasmi hamna njia yoyote ya kungiza hela bila kufanya chochote

    Huu utafiti nimeufanya kwa muda mrefu au zaidi ya miaka mitatu na jibu nililopata ni kuwa hamna njia yoyote ya kupata hela bila kufanya kazi, yaani uamke asubuhi hela zianze kuingiia zenyewe bila kufanya kazi. Lakini pia nimegundua kuna njia nyepesi nyepesi za kupata hela na nyepesi kuliko zote...
  20. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Namna Bora na Endelevu ya Kutatua Tatizo la Mrundikano wa Machinga Katika Maeneo Yasiyo Rasmi kwa Biashara

    Utguanlizi: Machinga ni jina maarufu wanaloitwa wafanya biashara ndogondogo wa mijini na vijijini kote nchini. Wafanyabiashara wa kundi hili wanatabia ya kuhamahama kutembea huku na kule kutafuta maeneo wanayoona wanapata wateja wengi wanaowaungisha bidhaa zao. Utamaduni huu wa kuhamisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…