rasmi

Ni Gusti Ayu Raka Rasmi (March 10, 1939 – March 17, 2018), also known as Raka Rasmi, was a Balinese dancer who introduced the stylized art of Balinese dance to the world. She was the youngest member of the Balinese dance troupe, the Bali Dancers, that was the first to perform in the United States in 1952.Rasmi began her career in 1951 as part of the Sekaha Gong Peliatan. She was then discovered by John Coast, former English Diplomat, who formed the Balinese dance group.Rasmi became the first to dance the Oleg Tamulilingan, or the Bumblebee, a then controversial dance in which male and female dancers circle each other.In 2005 she was part of an award-winning festival performance that brought together veteran local dancers with emerging artists.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Unafungia mtandao wa X, lakini wewe upo na unatuma maudhui! 😳

    Wakuu kuna jambo ambalo nimelitafakari bila kupata majibu toka serikali ilipofungia mtandao wa X almaarufu Twitter. Nimeshindwa kuelewa hii serikali inaendeshwa na wendawazimu ama vichaa kwakuwa kwa yanayoendelea ni udhihirisho tosha kuwa ni watu wasio na weledi, reasoning na hata common sense...
  2. JamiiForums Tanzania Tulijua tu atafika Bei, na kweli Keshafika Bei rasmi leo

    Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Esther Bulaya amechukua Fomu ya Kugombea ubunge wa Jimbo la Bunda Mjini kupitia chama cha mapinduzi (CCM) leo June 30 2025. Bulaya amechukua Fomu katika ofisi za CCM Wilaya ya Bunda. Chanzo Taarifa: East Afrika...
  3. JamiiForums Tanzania ADC: Mamantilie,Machinga tutawapatia maeneo rasmi

    Mwenyekiti wa Chama cha Alliance Democratic Change (ADC), Shaban Itutu, ametoa wito kwa serikali kuweka mikakati madhubuti ya kuwawezesha wamachinga, mama lishe na vijana wa boda boda na bajaji, badala ya kuwaona kama kero za mijini. Akizungumza Juni 29, 2025, katika Mkutano Maalum wa ADC wa...
  4. JamiiForums Tanzania Tetesi: Huenda Rais Samia asilivunje bunge rasmi leo hii

    Kwa upande wa Zanzibar tayari Mheshimiwa Hussein Mwinyi aliahirisha kuvunja Baraza la wawakilishi Zanzibar mnamo tarehe 23 Juni Kama ilivyokuwa imepangwa na badala yake akaongeza uhai wa Baraza la wawakilishi Zanzibar mpaka tarehe 13 August 2025. Rais Hussein Mwinyi aliahirisha kuvunja Baraza...
  5. JamiiForums Tanzania Sasa ni rasmi: Elie Mpanzu Kibisawala ni mali ya Dar es Salaam Young Africans

    Nilikuwa najua ni utani wa Ally Kamwe tu kumbe kweli bwana. Aisee kwa hali hii nadhani mzee Mangungu atupishe tu. Ikumbukwe pia Feitoto na Jonathan Soah tayari wamesha saini Yanga.
  6. JamiiForums Tanzania Ally Kamwe: Nitapeleka barua rasmi Simba kuwaomba wadhaminiwe na GSM ili wasipoteze dira

    Ameyasema hayo muda mfupi baada ya game ya Yanga vs Simba ambapo Yanga iliidungua Simba bao 2:0. Ameongeza kuwa katika misimu minne mfululizo, Simba ndiyo timu inayo ongoza kwa kufungwa na Yanga na kwamba imefungwa zaidi ya timu zinazo dhaminiwa na GSM hivyo ni wakati wa kupokea barua ya posa...
  7. JamiiForums Tanzania Derby ya Simba na Yanga ife rasmi, iwe Yanga na Azam

    Hongereni watani, hatuna kisingizio chochote mmetufunga kihalali. Michezo 5 mfululizo Simba tunanyukwa,ni tofauti kwa Azam na Yanga, Simba hawana ubabe tena mbele ya Yanga tuwaweke kando kwenye derby iwe Azam na Yanga Derby huwa mmoja hata awe dhaifu anakaza ila siyo kufungwa mara 5...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia aalikwa kufungua Mkutano wa Kimataifa wa Mabaraza ya Habari Afrika utakaofanyika Julai 14 – 17, 2025

    Tanzania itakuwa mwenyeji wa Mkutano wa Kimataifa wa Mabaraza ya Habari Afrika utakaofanyika kuanzia tarehe 14 hadi 17 Julai 2025. Mkutano huo utafanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC). Mgeni Rasmi aliyealikwa kufungua mkutano huo wa kimataifa ni Rais wa Jamhuri ya...
  9. JamiiForums Tanzania Ni Historia Rais Samia Afungua Rasmi Daraja la J.P. Magufuli Kigongo-Busisi, Mwanza

    NI HISTORIA RAIS SAMIA AFUNGUA RASMI DARAJA LA J.P. MAGUFULI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amelifungua rasmi Daraja la J.P. Magufuli lenye urefu wa kilomita 3 na barabara unganishi zenye urefu wa kilomita 1.66 linalounganisha Wilaya za Misungwi na Sengerema...
  10. JamiiForums Tanzania Raia walionywa waondoke Tehran, sasa Israel imeanza mapigo rasmi, msije kulaumu, mlipewa muda wa kuondoka

    Kuna maeneo maalum ambapo raia waliagizwa waondoke, hivyo yeyote aliyebaki hapo anachukuliwa kama mwanajeshi, Israel imeanza kupiga.... Israeli Air Force fighter jets seen attacking Iranian nuclear targets, June 15, 2025(photo credit: IDF SPOKESPERSON'S UNIT) An evacuation has been issued to...
  11. JamiiForums Tanzania Masikini Iran muda wowote kuanzia sasa Marekani naye ataingia kumtwanga rasmi na hatimaye Ayatollah kumkuta ya Saddam Hussein

    Hii si ndoto ni kweli, Iran ndo mwisho wake huu... Anasikitisha, Usa anaingia rasmi.. Iran kilichobaki ni kukimbia tu
  12. JamiiForums Tanzania Leo nimetimiza rasmi miaka miwili toka niwe rasmi abiria wa mwendokasi

    Kama nilivyoanza story yangu leo tarehe 17/06/2025 nimefikisha miaka miwili kabisa yakutumia usafiri wa mwendokasi( BRT ) kama usafiri wangu kwenda na kurudi kazini kila iitwapo leo. Sasa basi nikaona ndani ya siku hii ya maadhimisho hayo nijaribu kuzungumzia yale...
  13. JamiiForums Tanzania Huyo ataachiwa rasmi Novemba 2025 baada ya Zoezi muhimu Malawi ya Kaskazini kumalizika na hizo Danadana za tarehe zitaendelea mno tu

    Kuna vitu vingine wala havihitaji Akili kubwa au Mtu kusumbuka au kuhangaika navyo kuvielewa. Uhuru wake Novemba.
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naibu Inspekta Jenerali (DIG) wa Huduma ya Polisi ya Kenya, Eliud Kipkoech Lagat, ametangaza rasmi kujiondoa kwa muda kazini

    Naibu Inspekta Jenerali (DIG) wa Huduma ya Polisi ya Kenya, Eliud Kipkoech Lagat, ametangaza rasmi kujiondoa kwa muda kazini wakati uchunguzi ukiendelea kuhusu kifo tata cha mwanablogu Albert Ojwang’, ambaye alikamatwa kufuatia malalamiko ya kashfa yanayodaiwa kuwasilishwa na afisa huyo wa juu...
  15. JamiiForums Tanzania Baada ya huu upuuzi wa Sisiemu kuingilia mpira wa Tanzania Rasmi nimeamua kuachana na mambo ya mpira wa simba na yanga

    Kwanza nikiri wazi mimi nilikua mpenzi, mwanachama na shabiki wa Simba sports Club.. Ila baada ya kumuona Mangungu ikulu na Kiongozi wa Sisiemu. Na kupewa maagizo na kutoka akiwa anachekelea na mwenzake Dalali.. Mimi kama kijana naamua Rasmi kuanzia tarehe ya leo kufanya bidii katika biashara...
  16. JamiiForums Tanzania SIO RASMI: Kati ya vijana wa tano wawili ni walevi chakari, mmoja anakunywa kistaarabu, mmoja ndio ameanza kugusa gusa na mmoja ndio afikirii kabisa.

    Ongezeko la unywaji limekuwa kubwa. Zamani ulikuwa ukikutana nae anayumba bara barani ni mzee mlevi ila siku hizi ni vijana wabichi. Wadada nao wamekuwa walevi kupindukia tena wake za watu wanakunywa kuliko faza haus. Sio kwamba pesa imeongezeka mifukoni vya vijana. Ila ni kwamba vilevi...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto za Ufuatiliaji wa Magari na Utoaji wa Faini Katika Maeneo ya Mlimani City na Survey Road kwa madai ya maegesho yasiyo rasmi (Wrong parking)

    Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na malalamiko kutoka kwa baadhi ya madereva kusimama kwa muda katika maeneo ya Mlimani City na barabara ya Survey, wakidai kufuatiliwa, kusumbuliwa, na wakati mwingine kutishiwa na watu wanaodai kuwa maafisa kutoka Manispaa ya Kinondoni. Ingawa udhibiti...
  18. JamiiForums Tanzania Ni rasmi sasa Mbosso umeiva, umemheshimisha Diamond

    Huyu hapa Mbosso aka Mshedede. Alipotoka kwenye lebo namba moja Africa Mashariki ya WCB kila mtu alisubiri kuona anafanya nini. Kiukweli nathibitisha sasa Mbosso ameiva. First touch yake ni zaidi ya expectations za wengi amevuka mstari wa matarajio. Ametoa EP nzuri sana, lakini akuishia...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Orodha Isiyo rasmi ya maafisa wa juu wa jeshi la Iran waliolengwa na Israel

    Mohammad Bagheri – Mkuu wa majeshi ya jamhuri ya Kiislamu ya Iran (Chief of Staff of the Armed Forces.) Hossein Salami – Kiongozi mkuu wa Jeshi la walinzi wa mapinduzi ya kiislamu (commander of IRGC.) Amir Ali Hajizadeh – Mkuu wa Kikosi cha Anga cha jeshi la walinzi wa mapinduzi ya...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Leo rasmi naacha pombe, imenidhalilisha tena

    Wananajamvi kwema jamani, walevi wenzangu rasmi leo nifuteni kwenye chama, juzi nimelewa nikatia aibu kwenye sherehe ya kazini, bado nikaenda kutia aibu kwa majirani, Tutaonana wakati mwingine
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…