rasilimali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Kamati ya Bunge yaishauri TARURA kufanya mgao wa rasilimali fedha ili kunufaisha maeneo yenye uhitaji wa miundombinu ya barabara

    Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Selemani Kakoso ameipongeza Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) kwa kujenga miundombinu ya barabara iliyookoa maisha ya wananchi katika maeneo mbalimbali ambayo awali kuharibika kwa miundombinu hiyo kulisababisha vifo vya...
  2. Genius Man

    Kuwe na mjadala mpana kuhusiana na agenda zisizo rasmi za kuuza rasilimali za nchi kwasababu misaada imesitishwa lazima tujue nani chanzo

    Kuwe na mjadala mpana kuhusiana na agenda zisizo rasmi za kuuza rasilimali za nchi kwasababu misaada imesitishwa lazima tujue nani chanzo. Kama misaada hakuna nani amesababisha isitishwe ni watanzania au samia ? yani mtu mmoja sharti aondoke misaada ifunguliwe na sio kuuza rasilimali zetu...
  3. M

    Hakuna Shortcut: Hii ndiyo nguzo ya maendeleo inayofanya Rwanda kuendelea kwa kasi kubwa na muda sio mrefu kuiacha Tanzania

    Mods please msihamishe wala kujoin Hakuna Shortcut, Maendeleo yanahitaji nidhamu.
  4. Pakome

    Tanzania ikisimamia Sheria vizuri itafanikiwa zaidi ya Mataifa makubwa

    Changamoto inayoisumbua Tanzania ni kulega kwa misimamo ya kusimamia Sheria zake na si vinginevyo Tanzania ijikite zaidi kwenye kusimamia Sheria zake itafanikiwa kuliko hata Mataifa makubwa Tanzania ina Sheria nzuri sana za kukuza Uchumi wa Taifa lake lakini bado haijaweka mkazo kwenye...
  5. Samia atosha tukutane2030

    Serikali isipoteze rasilimali muda na fedha. Iwakamate wafuatao wataeleza kinagaubaga kuhusu ghasia za 29/10/25

    1. Viongozi wa TEC. Bila kujali nguvu yao katika jamii serikali iwakamate viongozi wa TEC wote. Hawa ni sehemu ya waratibu wa machafuko ya 29/10/2025. Ikiwaonea aya serikali ijiandae kuvuna ya Rwanda 1994. Wameshindwa kwa njia moja wanajipanga kwa njia zingine. 2.Askofu wa kanisa la ABC GLOBAL...
  6. The Burning Spear

    CDF mstaafu, Mabeyo aibuka na kuongelea Rasilimali. Aomba radhi kwa maneno yake

    GT, Huko serikalini kuna mambo hayapo sawa hili lipo waazi kabisaa. Huyu mzee namheshimu sanaa kama naye kafika hatua ya kuongea hivi something is wrong and burning inside samia government wazalendo wanapuuzwa
  7. Mhaya

    Issue sio Madini, Migodi, Rasilimali, Je vinasaidia nini Wananchi?

    Mdau mmoja akiwa nchi za nje ameshangazwa na namna ubora wa miundo mbinu ilivyo huko Ulaya, licha ya kwamba hakuna Rasilimali za kutosha ukilinganisha na nchi za Africa. Amesema kuwa nchi nyingi za Afrika zinatabia ya kujigamba kuwa na madini na Rasilimali nyinginezo, lakini hakuna...
  8. R

    Thomas Sankara: Rasilimali za nchi zinapaswa kuwanufaisha wananchi wote, si kuwatajirisha wachache

    Thomas Sankara, kiongozi wa mapinduzi na Rais wa Burkina Faso kutoka 1983 hadi 1987, alitoa kauli hii kama sehemu ya maono yake ya taifa linalojitegemea na lenye usawa. Serikali yake ilitekeleza sera nyingi zinazolenga kupambana na ufisadi, kukuza ustawi wa jamii, na kuhakikisha kuwa...
  9. M

    Kosa vyote si akili: Ulaya ina rasilimali chache ila ina akili ya kutumia za Afrika hata kwetu mikoa iliyoendelea haina rasilimali nyingi bali akili

    Ukiangalia mikoa iliyoendelea utaona haina rasilimali nyingi sana ila kuna akili ya maendeleo Mifano ya mikoa ni kama Kilimanjaro, ni mkoa wenye rasilimali chache ila wamepata maendeleo kwa kutumia akili. wameipa thamani elimu iliyowapa sifa ya kujaa katika taasisi nyeti zinazosimamia na...
  10. K

    PostGE2025 Ulinzi wa Dola uliotumika Desemba 9, 2025 kwanini usitumike katika kulinda Rasilimali za Nchi na ufisadi usitokee?

    Nilikuwa najiuliza tu huu ufisadi wa kununua Rolls Royce na Mercedes Benz G Wagon kwa vigogo wetu nchini pamoja na hizi Rasimali za nchi tulizonacho zinavyotumika ndiyo sivyo. Kwanini ulinzi wa kuilinda Dola, usitumike kulinda Rasilimali za Nchi na kuzuia ufisadi na mafisadi. Nafikiri Kuna haja...
  11. M

    Kinachotokea Gaza kituogopeshe Waafrika. Wamagharibi wakiamua kutuua wote ili watwae ardhi na rasilimali hawashindwi!

    Kuna watu ni naive, wanadhani injustice ikifanyiwa watu fulani basi hilo haliwahusu. Na pia huwa kuna kasumba ya watu kuabudu Mwenye nguvu. Kwa watu wa aina hii makosa yote huwa ni ya asiye na nguvu. Kwao Mwenye nguvu akimtemea mate asiye na nguvu hilo siyo tatizo, ila asiye na nguvu naye...
  12. Chibike

    Naomba kujibu hoja ya Kafulila kuhusu rasilimali watu na rasilimali za nchi

    Wazo kuu hapa ni kwamba utajiri wa kweli wa matajiri haujatokana na kuwa na rasilimali asilia (kama mafuta, madini, au ardhi yenye rutuba) bali ubora wa rasilimali watu (human capital), yaani, ujuzi, maarifa, ubunifu, nidhamu, na uwezo wa kufanya kazi kwa pamoja wa wananchi wake. Naomba...
  13. S

    David Kafulila: 62% ya Utajiri wa nchi tajiri duniani haujaletwa na Maliasili walizonazo ila ubora wa Rasilimali watu walionao ampongeza Rais Samia

    Na Mwandishi Wetu, Katika kongamano maalum kuhusu hali ya uchumi na mwelekeo wa Taifa kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, Bw. David Zacharia Kafulila, mchambuzi wa masuala ya Sera na uchumi ambae pia ni Mkurugenzi mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini kati ya Serikali na Sekta binafsi nchini PPPC...
  14. Dennis Robert Shughuru

    Ili nchi inufaike na rasilimali zake lazima iwe sehemu ya supply chain na sio kutegemea kodi na share tu

    Jaribio la kutaka kumpa mwekezaji hiyo supply chain yote kwa mda wa miaka 20 au 30 sio sawa hata kidogo kwa nchi kusubiria miaka 30 ya mwekezaji ndo uanze kunufaika moja kwa moja na rasilimali zako- narudia tena sipingi waekezaji ila ni muhimu nchi kuwa sehemu ya supply chain ya rasilimali...
  15. ELI COHEN

    Hatuwezi shindana na ambaye anasema sababu ya kushindwa kwake ni ufinyu wa rasilimali na taarifa ila sisi tunasema ni dhambi za ukoo na kufanya ngono

    Kwa nchi hii fukara yenye watu wenye mindset mgando, rasili za mchongo, pesa iliopo kwenye mifuko ya wachache ila kutotoboa na tabu zako unadanganya watu ni kutokana na makosa ya mababu zako waliofanya na pia ngono inakuua kiroho ndio maana haupati mwanga maishani mwako 🚮🚮 Acha ngozi nyeupe...
  16. Lord Denning

    Migodi na Rasilimali za Taifa Wanapewa kina Rostam na CCM, halafu wao wanajengewa Hospitali na Wajerumani

    Mandondocha kwenye hii nchi wapo wengi sana. Mkoani Ruvuma rasilimali adhimu ya Makaa ya Mawe imehodhiwa na Wanamtandao wa CCM chini ya Rostam pamoja na Chama cha Mapinduzi kupitia kampuni yao ya Tujitegemee ambapo wanaiba na kupiga wapendavyo. Haya yakifanyika na Wananchi tukizidi kuwa...
  17. Carlos The Jackal

    Traore Mwanajeshi aliyeamua Kulinda Rasilimali za Nchi yake !! JWTZ kikatiba Ina WAJIBU huo, shuhudia za Polepole ,nalitegemea Jeshi lichukue Hatua !

    Inawezekana kabisa Watu wameridhika kwakua wanaishi vizuri kupitia Wana mtandao. KOSA kubwa tunalolifanya kama Nchi ni kutokuwaza THAMANI YA RASILIMALI ZETU MIAKA MICHACHE IJAYO !!. Katika Wakati ambao Thaman ya Rasimali zetu itakua juuu zaidi, ndio wakati ambao Serikali itakua Haina chochote...
  18. M

    Niliwahi kumuona kama rafiki ila yeye alinitumia kama rasilimali, kakwama anataka msaada, Nimsaidie ?

    Kuna homeboy tulisoma naye zamani, lakini tukapoteana kwa miaka kadhaa baada ya chuo. Miaka mitatu ilikuwa imempita akiwa mtaani hana kazi, hana ramani, hana pa kuanzia. Siku moja akanipigia simu. Aliomba aje mjini (Dar) aanze maisha upya. Hakuwa na pa kuishi, hakuwa na hata pa kupafikia...
  19. Knock life

    Kinacholeta maendeleo sio ukubwa wa nchi au rasilimali, ebu angalia nchi ndogo kama Finland inaisadia Tanzania!

    Ukiangalia kwa undani utajua kuwa nchi za watu weusi hazina watu wenye akili . Inawezekana vipi kanchi kadogo Kama Finland kakawa kanatupa misaada.!!?
  20. ELI COHEN

    Kama uliweza kuvuka 30 na wala hauna addiction katika haya mambo au yameshndwa kunyonya kupindukia nishati yako na rasilimali zako, basi hongera sana

    Ni ngumu na mara chache sana ukishavuka 30 eti u-develop addiction mpya. 🚨KULA KUPINDUKIA FAST/JUNK FOODS 🚨KUNYWA KUPINDUKIA CARBONATED DRINKS 🚨 KUPUMULIWA KIFUA 🚨CLUBBING/PUBBING 🚨BETTING NA GAMBLING 🚨MITUNGI 🚨MIKASI 🚨NGADA 🚨SIGARA NA SHISHA 🚨MJANI 🚨OVER-MASTURBATION 🚨VIDONGE VYA...
Back
Top Bottom