Ramani ya vyumba viwili, chumba kimoja masta, kingine cha kawaida, pia ina;
~sebule
~dining{chumba cha kulia chakula}
~jiko
~stoo
~choo cha kushea
~baraza ya mbele na ya jiko
~Ukubwa wa Ramani ni mita 11.6 kwa mita 8.6
~Mahitaji: Tofali 2650,Bati pisi 34 { futi 10 urefu na upana futi 3}
~kupata...
Moja kati ya nyenzo zinazowanyanyua watu wengi na kuwa na utajiri basi ni miradi ya kupangisha nyumba(Real estate), nichukue nafasi hii kuwaonyesha michoro ya 3d ya nyumba za kupanga, zikiwa na self tu ( ziko nne) na self pamoja na sebule(ziko tatu)// saizi ya kiwanja ni mita 20/kwa 20...nichek...
Nimejitahidi kadri ya uwezo wangu naanda hii ramani ya nyumba ya vyumba viwili kwaajili ya watanzania wenye uchumi wa kawaida kama mimi.
Unaweza kujionea hapa chini. Ila bado haijamalizika.
habari naitaji ramani ya nyumba vyumba vitatu na sebule
chumba kimoja master then public toilet
kiawanja ni sq 15/15
kipo arusha pia ni flat hakuna mwinuko hata kidogo
pia nipate kujua vifaa na idadi ya vitu vitakavyo itajika hadi kufika
kwenye lentaa
asanteni
Habari za wasaa huu ndugu na marafiki.
Bado naendelea na mradi kuchora Romai ya nyumba bomba ya kuishi.
Ila bado sijamaliza. Kama nilivyo ahidi kwamba nitakua na tabia ya kupost kila napofikia.
Na hapa ndipo nilipofikia. Lakini bado kazi inaendelea. Mpaka pale nitakapo kuwa nimemalza...
Habari wadau naitaji ramani ya nyumba ya vyumba vitatu na sebule isiwe yakuwekeza kwa bati nataka izi za kisasa.
Kiwanja changu ni 15*15 kipo Arusha ila mmi nipo DSM kiwanja kipo sehemu flati na kipo vizuri kabisa.
Msaada wenu au ushauri wadau.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.