Habari,ebana samahani, unaweza ku forge hii nyumba?
Nemtafuta engineer aliedesign Hiyo duu ana matusi kweli kweli..
Nisaidie ea kuforge ramani ya hii nyumba pls
Habari wakuu,
nawaletea Ramani hii hapa ya Vyumba viwili (Kimoja ni Master)
Sebule,
Jiko,
Na choo Cha public.
Ni ramani simple lakini ya Kisasa.
Ramani hii itachukua
Tofali 1,600
Saruji 30
Nondo 20
Mchanga mende 1
Kokoto gari 1
n.k
n.k
Ramani hii inakaa kwenye Eneo la Mita 12x10.
Karibu...
Ukubwa wa viwanja
Kiwanja cha kwanza
20*23- vyumba vya kupangisha, mchanganyiko, single na chumba na sebule
Kiwanja cha pili
Urefu 31m
Upana 17.5m
Nyumba moja ya kuishi yenye ghorofa moja
Naomba kuwasilisha
Ramani ya kupangisha
Wapangaji wawili kila mpangaji anavitu vifuatavyo
Chumba 1 self
Chumba 1 havina choo
Seble
Jiko
Choo cha wageni
Nyumba nzima kwa wapangaji wote Inachukua mita 8 kwa mita 12 (jengo zima)
Vyumba vyake ukubwa ni standards
Hata kama unakiwanja kidogo unawezakuweka uwekezaji...
Habari!
Nawakaribisha sana kwa yeyote mwenye kuhitaji ramani ya jengo aina yoyote ikiambatana na
1. JENGO LOLOTE (RESIDENCIAL AND COMERCIAL BUILDING)
2. Makadirio ya UJENZI (BOQ)
3. KUJENGEWA NYUMBA UKINUNUA MATERIALS AU KUTUKABIDHI PESA
4. USIMAMIZI WA JENGO LAKO
BEI ZETU NI NAFUU SANA...
Kuna sehemu Nina plot yangu nataka nitoe kitu kikali chumba sebule jiko choo Sasa kwakua jamii forum ni sehemu ya great thinker naombeni msaada wenu ramani ya kisasa wakuu
Naitaji Raman ya nyumba kwa budget ya 30M
Raman yenye vyumba vitatu
Master room
Sitting room
2plain room
Kitchen
Studying room
Store
Public toilet
UKUBWA WA ENEO NI 70 kwa 40
Mimi ni mtumiaji wa ChatGPT toleo la bure, ingawa akili mnemba nyingi zina uwezo wa kuchora picha lakini hii Chat GPT toleo la Bure ilikuwa haiwezi kuchora lakini naona kutokana na ushindani wa machina na toleo lake la AI Deepseek wamarekani wameiwaezesha hii toleo la bure kuchora kuedit n k...
Unaweza kuongeza vyumba vya kulala vikawa viwili na kufanya mpangilio wa ladha yako.
Choo unaweza kukiweka sehemu ya pantry na sehemu ya choo kuwa chumba cha pili.
Ghawizah,
Naomba msaada kwa yeyeto mwenye kuchora ramani anichoree ramani yenye sifa zifuatazo.
♤ Iwe ya vyumba vitatu(kimoja masta sio selfu tu), sebule na dinning.
♤ Iwe na public toilet.
♤ Kweny masta kuwe na nafasi ya kitanda ,kabati la nguo .
♤ Dinning iwe na uwezo wa kukaa meza ya...
Habari.
Nina shida na Ramani ya nyumba yenye sifa zifuatazo
-Vyumba viwili vya kulala, kimoja master
-Sitting room
-Public toilet
-Jiko
Naomba kuwasilisha
Ndugu wanajamvi, habari za majukumu?
Kuna mchoro wa ramani ya nyumba ya jirani yangu nimeupenda sana. Vipi nikihamishia huo mchoro site kwangu haitaleta noma?
Karibu tukuchoree ramani ya nyumba ya kisasa kwa bei ya ofa ya msimu wa sikukuu wasiliana nasi kwa simu au whatsapp 0717 040 837 au +255 767 267 664.
Anza mwaka na malengo makubwa ya kumiliki nyumba yako. Kodi Noma, hamia kwako
Salama wadau,
Nina kamamiezi kadhaa toka niamie makazi yangu mapya...ila tatizo ninalokutana nalo ,wapita njia wanaomba ramani ya nyumba(nyumba bado sijaliza ukuta) pia ipo barabarani main road
Zaidi ya mara nne nimeshawatimua watu wanapiga picha nyumba bila ruksa yangu tena hapo ni weekend...
Wana Jamiiforums wenzangu khabari za jioni, kwa wataalam wenye talanta na taaluma za mambo ya ujenzi Naomba msaada wa RAMANI ya nyumba ya wapangaji.
Ahsante.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.