Mheshimiwa tunakupongeza sana kwa jitihada unazofanya. Kubwa kuliko, umehakikisha watoto wanaenda shule, wakulima wanapata malipo yao. Madawa kibao yanaonekana vituoni sasa kuliko ilivyokuwa awali.
Kwa usiri mkubwa, naomba usinitaje watanishughulikia nakuonesha picha za madawa yaliyotupwa ndani...