rais

  1. Rais Samia ni mjivuni?

    Ukiona mtu anajisifu mwenyewe kwa ahisiyo amefanya tambua ni mjivuni kwa mujibu wa wahenga wetu. Hali hiyo ndiyo inayojionyesha kwa Rais Samia. Mda mwingi Rais Samia amekuwa akijiona na kujisifu peke yake eti amefanya hiki na kile na hapaswi kulaumiwa kwa lawama anazolaumiwa na wengi wa...
  2. Rais Samia Aagiza Barabara ya Songea - Njombe - Makambako Kuanza Kujengwa Upya

    RAIS SAMIA AAGIZA BARABARA YA SONGEA - NJOMBE - MAKAMBAKO KUANZA KUJENGWA UPYA. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameiagiza Wizara ya Ujenzi kukamilisha maandalizi na kuanza kujenga upya barabara ya Songea - Njombe - Makambako (km 295) pamoja na ujenzi wa...
  3. Rais Samia akishiriki kwenye Kikao cha Baraza la UWT Taifa Ukumbi wa Kanisa la Katoliki Bombambili Songea, leo Septemba 28, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Mgeni Rasmi kwenye Kikao cha Baraza la UWT Taifa Ukumbi wa Kanisa la Katoliki Bombambili Songea Mkoani Ruvuma, leo tarehe 28 Septemba, 2024. https://www.youtube.com/live/QeGkuTfuCOs?si=5KIOMJBOaZ3n3TPG
  4. Rais Samia: Sijawahi Kuua "Mtu" Bali Naua "Sisimizi" Walio Chimbuko la Nguvu Hasi ya Upinzani Dhidi ya Ccm na Serikali Yake

    "Mkiambiwa kwamba Mwenyekiti wa CCM na Rais wenu Samia ni mwuaji waambie ni kweli bila hofu. Ninaua Sisimizi wenye nguvu hasi ya Upinzani dhidi ya serikali ya CCM, ninaua Sisimizi waletao umasikini, ninaua Sisimizi wenye mambo hasi ya kuturudisha nyuma kiuchumi, ninaua Sisimizi waletao giza...
  5. R

    Mh. Rais umenena lakini hukumaanisha

    Jana tarehe 28.9.2024 pale mkoani Ruvuma mh. Rais amesema yeye hajawahi kuua mtu labda sisimizi. Nimefurahi mno kusikia hivyo na imekua bora zaidi umekataa ukatili na unyama huo kwa kinywa chako. Hongera sana mama Tatizo litakapokuja ni wale uliowaambia wajibu wala wasiogope. Unawaambiaje...
  6. Naibu Rais wa Kenya maji ya shingo, akimbilia mahakamani kujaribu kuzuia kung'olewa kwenye nafasi yake

    Naibu wa rais Kenya amelazimika kukimbilia mahakamani kujaribu kuzuia mchakato wa kubanduliwa kwake ofisini ingawa uwezekano wa bunge kumuondoa bado ni mkubwa zaidi. Tayari wabunge wapatao 242 wameridhia muswada huo kuletwa bungeni kati ya angalau wabunge 117 waliohitajika kisheria. Endapo...
  7. Naungana na makamu wa rais kukemea hili, baadhi ya viongozi wa dini hawafahamu wajibu wao!

    Labda pengine wengi wa viongozi wa dini ni makanjanja, nikimaanisha hawafahamu na hawako kiwito wa kiutumishi hasa wa kusimamia wana kondoo kwa usawa, hekima, kwa jinsi NENO, lisemavyo, watumishi hao baadhi wameonyesha kujiingiza moja kwa moja kwenye baadhi ya vyama vya kisiasa as if ni...
  8. B

    Rais Samia kuwa mgeni rasmi mkutano wa Jumuiya ya Kiislamu Shia TMSC

    28 September 2024 https://m.youtube.com/watch?v=Q_op3a827-s Rais Samia mgeni rasmi mkutano wa Jumuiya ya Kiislamu Shia TMSC. Hayo yamebainishwa na makamu mwenyekiti wa Jumuiya ya Kiislamu Shia TMSC sheikh Habibu Mbota. Mkutano huo mkubwa wa kitaifa utahudhuriwa wajumbe zaidi ya 400 wa mikoa...
  9. Huwezi pata watendaji wazuri ikiwa utaongoza kwa umungu mtu!

    Hiyi nchi sio kwamba viongozi walio chini ya uongozi mkuu hawawezi wajibika hapana isipokuwa mamlaka aliyopewa Raisi ni makubwa kuliko uhalisia au uwezo halisi. Mimi naamini tuna viongozi bora sana na wenye nia ya kujituma ila kwakuwa mkuu ndio mwenye mamlaka ya kila kitu kitachofuata utafanya...
  10. L

    Mwana Siasa Yupi hapa Nchini Mwenye Uwezo wa Kukusanya Na kubeba watu Wengi Kiasi hiki Cha Rais Samia?

    Ndugu zangu Watanzania, Huu ni Zaidi ya Upendo ndugu zanguni Watanzania.Haijawahi kutokea hapa Nchini pengine hata ndani ya Bara zima la Afrika kwa Mwanasiasa kupendwa ,kukubalika,kuungwa mkono,kusikilizwa ,kufuatwa ,kubeba na kukusanya watu Wengi kiasi hiki Utafikiri watu wanavutwa kwa sumaku...
  11. Ili kuleta Umoja nchini Tanzania nashauri Mh. Rais awakutanishe Israel na Hamas na Hezbollah kuwapatanisha.

    Naona kabisa kumekuwa na mpasuko nchini kuna ambao wameamua kushabikia au kuunga mkono Hamas na Hezbollah na wengine ambao wanaunga mkono Israel. Huu mpasuko si mzuri kwa nchi. Inabidi kuangalia namna ambavyo Rais wetu anaweza kuwakutanisha hawa watu akawapatisha. Sababu ni rais anayesikilizwa...
  12. Rais Dkt. Samia amehimiza jamii kutumia nishati safi ya kupikia

    Rais Dkt. Samia amehimiza jamii kutumia nishati safi ya kupikia.
  13. L

    Tizama picha hii ili ufahamu kuwa Rais Samia aliandaliwa na hajafika hapo alipo kwa kubahatisha

    Ndugu zangu Watanzania, Huwa nawaambieni siku zote kuwa Rais Samia Ni Mpango wa Mungu Mwenyewe kuja kuliongoza Taifa letu.Hajafika hapo alipo kwa kubahatisha ,hajafika hapo alipo kwa bahati mbaya ,hayupo kwenye urais kama ajali,hakusukumizwa na kufika hapo alipo kimzobemzobe . Amefika hapo kwa...
  14. C

    Ni wakati wa kuwa na House of Common iliyo juu ya Bunge ili kusimamia Taasisi ya Rais

    Nimekula chumvi nyingi hivyo najua mihemko ya Taasisi ya Rais, imekuwa ni utaratibu wa tawala zetu hapa nchini kuja na mihemko na kutoa ahadi nyingi ili kuongeza mapambo katika sanaa za siasa. Nakuja na mapendekezo yafuatayo ili kuepuka majoto: 1. Ni wakati sasa ianzishwe taasisi ya House of...
  15. Rais Samia aidhinisha Bilioni 246 za maendeleo Tunduru

    Rais Samia atoa bil. 246 maendeleo Tunduru
  16. Rais Samia na Waziri Mchengerwa wamedanganywa Tunduru

    Nimemsikiliza Waziri Mchengerwa na Rais Samia kuhusu wagonjwa kusafirishwa kwenye matenga Kata ya Mchoteka Wilayani Tunduru na kujiridhisha kuwa WAMEDANGANYWA, hawajapata picha halisi. Kwenye maelezo yake, Mchengerwa anazungumzia uwepo wa ambulance Tunduru. Hili halikuwa na ubishani. Hata wale...
  17. Rais Samia Suluhu Hassan, inatubidi tukueleze wazi kuwa mvuto wako unazidi kushuka hapa nchini na katika Jumuiya za kimataifa

    Nalazimika kukueleza Rais wangu Mpendwa, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, kuwa mvuto wako unazidi kushuka, kadri siku zinavyosonga mbele. Kwa kweli Mimi nilikuwa mmojawapo niliyekuwa nakuunga mkono sana, baada ya wewe kuchukua mikoba ya aliyekuwa Rais wa awamu ya 5, Rais John Magufuli baada ya...
  18. RAIS WANGU MAMA SAMIA NI BORA SANA MAAFISA UBASHIRI KURA YETU UNAYo

    Jana nimetengeneza million 45 aisee namshukuru sana raisi Kwa kutofungia hizi kampuni za betting licha ya wajinga Fulani ambao mambo yamekua magumu kwao kwenye hii sekta ya maafisa ubashiri kukushauri ufunge kumbe hii sekta Ina watu wake ambao ni sisi sababu zinatubadilishia maisha sisi watoto...
  19. Rais Samia Azindua Soko la Madini ya Vito na Dhahabu Tunduru

    RAIS SAMIA AZINDUA SOKO LA MADINI YA VITO NA DHAHABU TUNDURU -Ni soko la Madini la 43 nchi nzima -Apongeza ushiriki wa sekta binafsi -Waziri Mavunde aelezea ukuaji wa makusanyo ya maduhuli 📍Tunduru, Ruvuma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua...
  20. Ubovu wa Katiba kumuondoa madarakani naibu wa Rais Kenya

    Ni baada ya kuonekana akimuhujumu Rais, akihubiri na kuchochea chuki na migawanyiko ya kisiasa yenye mirengo kikabila na upendeleo wa watu wa kabila na eneo lake la Milima Kenya. Naibu wa Rais amekiuka sheria na misingi ya kikatiba ya Kenya ya kua nembo ya umoja wa Taifa na kiunganishi cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…