rais

  1. JamiiForums Tanzania Vyombo vya usalama vichunguze nia iliyojificha ya msanii Said Said aliyetaka kumpa zawadi Rais, isiishie hivyo tu

    Nashauri vyombo vya dola vifanye homework kwa kumchimba huyu kijana na hata kumuhoji. Jambo alilotaka kufanya linataka wenye akili ya ziada wamchimbue sana na taarifa rasmi ikajadiliwe gizani. Pia, next time, isiwe ruhusa kumkaribia kiongozi kabla ya kupata clearance.....
  2. L

    JamiiForums Tanzania Ungependekeza nani awe Katibu Mkuu wa CCM baada ya Dkt Nchimbi kuanza majukumu ya Ugombea Mwenza na hatimaye Umakamu wa Rais?

    Ndugu zangu Watanzania, Mpaka sasa kila mmoja wetu anafahamu ya Kuwa Mheshimiwa Balozi Daktari Emmanueli Nchimbi Ndiye Mgombea Mwenza Wa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Lakini pia Ni ukweli ulio wazi kuwa Balozi Dkt...
  3. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Shangwe la Wafugaji: Chanjo Milioni 77 na Hereni Milioni 37 kutolewa bure na Serikali, Wafugaji wadai hawana deni tena na Mama Samia

    == Bila kujali mfugaji unamifugo mingapi Mama Samia atakupa chanjo na hereni kwa mifugo yako yote bure kabisa. Serikali inatarajia kuzindua Kampeni ya Chanjo ya Mifugo Kitaifa kati ya mwezi Mei hadi Juni, 2025 ambapo jumla ya dozi 19,099,100 za chanjo ya Homa ya Mapafu ya Ngombe (CBPP)...
  4. JamiiForums Tanzania Pendekezo: Hafla zozote zinazomhusu Rais iwe ni marufuku kuwepo burudani za wachekeshaji, waigizaji au wasanii binafsi

    Mizaha mizaha itatumbua usaha, tusilee ujinga na upuuzi hadharani, hayo mambo tukiendelea kucheka nayo ipo siku, tena sio nyingi tutavuna mabua. Taifa linawapa kiburi na jukwaa pana na kubwa mnoo isivyopaswa kisa waliwahi kufanya mizaha mbele ya mheshimiwa rais. Hao wasanii, kwa nature ya kazi...
  5. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa unayajua Makundi mangapi ya 'Kujipendekeza' kwa Rais Samia?

    Ninayoyajua Mimi mpaka sasa japo nasikia yapo kama 25 hivi ni haya yafuatayo..... 1.Mama Ongea na Mwanao 2. Samia Squad 3. Mama tutakutetea hadi Umauti 4. Mama Samia Tunakupenda Haya nanyi endeleeni na mengineyo ila mnisaidie tu kuniambia ni wapi Fedha za Kuwalipa hawa Chawa zinatolewa?
  6. JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Kikwete, Rais Samia,Karume,Mawaziri Anthony Mavunde, Mwigulu na viongozi wengine mashabiki wa Yanga mmeshindwa kuisaidia Club?

    Inashangaza sana, TFF na Bodi ya Ligi wameamua na wamedhamiria hadharani kuonyesha ubabe na ukandamizaji wa wazi dhidi ya Yanga. Una ahirisha mchezo kinyume na taratibu tarehe rasmi ya mchezo kisha unamlazimisha kucheza na kumpangia yule uliyemkandamiza! Kwanini usingemlazimisha yule aliyetaka...
  7. JamiiForums Tanzania Jakaya ametuachia somo zito! Uongozi ni stamina na demokrasia ni kuvumiliana. Ukishakuwa rais hauongozi CCM, unatakiwa kuongoza nchi

    Jakaya alipoiongoza nchi alituachia somo la msingi kwa kuonyesha kuwa ukiwa rais unatakiwa kuliongoza taifa, si chama chako. Alitufundisha kuwa kiongozi wa nchi hastahili kuwa na upendeleo kutokana na nani alimuunga mkono au nani hakumuunga mkono. Hata hivyo, JPM alipoingia alijikita katika...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, kumpiga kwa kiatu Rais ni busara au ushujaa kama siyo jinai?

    Alipotupiwa kiatu, George Bush alicheka tu japo dent was done. Je kwanini watu wanafikia hatua hii? Je, wahusika wanajifunza nini? Je nini kifanyike? Je, kwanini watawala wanajiachia na kujisahau? Ungekuwa wewe uliyetupa kiatu, ungejiteteaje? Je, tunajifunza nini kama watanzania? Kwanini...
  9. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi mwaka huu hamkuwa na matatizo hadi mkaamua kumfanyia Kampeni Rais Samia?

    Wakuu, Katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi), yaliyofanyika kitaifa mwaka huu mkoani Singida, ujumbe uliobebwa na mabango ya wafanyakazi kutoka Chama cha Wafanyakazi wa Viwanda, Biashara, Taasisi za Fedha, Huduma na Ushauri (TUICO) umenisikitisha sana kama mdau...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Chonde kuna Makada wenzako CCM wanataka kukuharibia nchi mkose wote! Tafakari

    https://youtu.be/auju_W7Vb7s?si=Wuj4m10xKf-8OHSX Kama Raia Mzalendo ninaye ipenda nchi yangu, kwa heshima na taadhima naomba nimshauri Mama yetu, Rais wetu na Shangazi yetu anaye upiga mwingi, akae chini na atafakari kinachoendelea ndani ya Utawala wake kwa sasa kuelekea GE-2025. Hali...
  11. JamiiForums Tanzania Moja ya mambo nitakayoyafanya nikiwa Rais nikuhakikisha dawa za magonjwa mbalimbali zinatengezewa hapa Tanzania from scratch

    Nikiwa rais Tanzania haitakuwa tena eneo la kuvunia data yaani makampuni ya research ya kitanzania hayatafanya kazi kidalali kama ilivyo sasa Katika kutafuta novel therapeutics compound ya magonjwa mbalimbali tafiti zitajikita kwenye mambo yafuatayo;- Method of predict normal protein mutation...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kenya isilinganishwe na Tanzania, Rais anaweza kuuawa kama Panya? Uganda na Rwanda ni nchi za kujifunzia. Kenya ilikuwa ya Moi

    Kuna wapumbavu wanalinganisha great nation na Kenya, ni aibu. Watanzania jifunzeni kdg, historia ya nchi yetu tofauti kabisa na Kenya. Sisi msimamo wetu kuiokoa Afrika wakati wakenya walikuwa wanainjoy mali za waingereza. Two different things. Nchi yetu ardhi ni mali ya serikali. Km wakenya...
  13. JamiiForums Tanzania Kwako Rais wangu Samia

    Katika wale watanzania ambao watapiga Kura kukuchagua wewe basi na Mimi ni mmoja wapo kukuchagua wewe Rais wangu Mama yetu mlezi Samia Suluhu Hassan. Sio uchawa Ila nimezaliwa ndani ya Chama Cha Mapinduzi. Ruksa kutoa matusi wale wa upande wa pili mana mnalilia uongozi na hampati huo uongozi...
  14. JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais ntahakikisha uchumi unakua kwa asilimia 12 kwa mda wa miaka 10 mpaka 20

    Nikiwa Rais ntahakikisha uchumi unakua kwa asilimia 12 na ntatumia njia zifuatazo kuweza kulitimiza hili jambo Kuwekeza kwenye michezo ambayo itakuza utalii Kuwekeza kwenye kilimo cha umwagiliaji cha large scale Kuwekeza kwenye viwanda vya awali ambavyo ni smelter na refining KKupitia hayo...
  15. JamiiForums Tanzania Makamu Rais Dkt Mpango: Waliohusika Na Shambilio Dhidi Ya Padri Kitima Wachukuliwe Hatua.

    https://www.instagram.com/reel/DJO2fzEC2Om/?igsh=MXM2cW1zd3Q2NDBqNw==
  16. JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Tanzania ya mshikamano

    RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN NA TANZANIA YA MSHIKAMANO Na, Nicolas Jovin Clinton Gabone. Mwenyekiti mstaafu wa Jumuiya ya Vijana wa Mageuzi (JUVIMA)-NCCR-Mageuzi Dar Es Salaam 4 May 2025. Rais Samia Suluhu Hassan ni moja ya wanawake wachache wenye uwezo na nguvu ambao wamefanikiwa kuongoza...
  17. JamiiForums Tanzania "Huyu Mama...mi nikamwangalia tuu". Hii sio lugha ya Mimbarini, ni lugha ya Kijiweni! Rais wa nchi ni Rais, sio 'Huyu Mama'. Lazima aheshimiwe na wote

    Wanabodi Huu ni wito kwa viongozi wetu wa dini,waepuke lugha za vijiweni wawapo mimbarini! https://www.jamiiforums.com/threads/padri-muchunguzi-ashangazwa-na-kauli-za-rais-asema-waumini-wetu-ni-wanasiasa-lazima-tuwarekebishe.2335881/post-53667625 Matamshi haya ku mu address Mkuu wa nchi na...
  18. JamiiForums Tanzania Padri Muchunguzi ashangazwa na kauli za Rais, asema waumini wetu ni wanasiasa lazima tuwarekebishe

    https://youtu.be/KcSIOQxAh64?si=7rOHRwCBPK3Bcu2R My Take Rais asiwasikilize wapambe kina Wasira, akubali reforms
  19. JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais artificial ozone layer zitakuwa zinatengenezwa hapa Tanzana na kwenda kupandwa sayari nyingine

    Artificial ozone layer itakuwa inatengenezwa hapa Tanzania na kwenda kupandwa nje ya nchi
  20. M

    JamiiForums Tanzania Leo. Lissu angekuwa Rais, akiwa chini ya sheria hizi za Uchaguzi, Raisi Samia, angeongoza wana CCM kupinga sheria za upendeleo kwa chama kimoja!

    Huu ni ukweli ulio wazi, Leo kama Lissu ndiye angekuwa ni Rais wa nchi na kuwa chini ya sheria mbovu za uchaguzi zilizopo sasa, nina uhakika, wana ccm wakiongozwa na Samia ambaye ndiye Rais wetu, wangeingia barabarani kupinga sheria hizi mbovu pamoja na tume inayoundwa na Rais zinazokibeba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…