rais

  1. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Rais wangu, kupitia uzi wangu Martha karua aruhusiwe, haya ndiyo yanayokuja, poor analystologist!....

    Hakika sifurahi kwa hili, jamani, tuliosomea haya tupo wengi mitaani and we know much in deep, ten step ahead!
  2. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Rais wa Mamlaka ya Palestina Mahmoud Abbas. Awaita Hamas ni watoto wa Mbwa

    Kama Hamas ni watoto wa Mbwa, Basi maana yake Hamas ni Mbwa? Kwa nini Mahmoud Abbas anasema hivyo? Je kama hawa Hamas ni Mbwa na ndugu zao je? Maana wana watu ambao huwa wanawatetea na wao wanaishi huku Tandale kwa Tumbo na Mburahat wanasemaje...
  3. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais viwanja vyote vya zamani vyote vitaboreshwa na kuwa world-class na kila mkoa utajengwa kiwanja

    Viwanja vitaboreshwa vitawekwa nyasi za kisasa na sio kapeti, viti vitakua na namba, vitakuwa na mapaa, vyoo vitakua visafi, kutakua na VAR, vitakuwa visafi na hakutakua na mechi ya saa nane sababu viwanja vitakua na taa mechi zitaanza saa 11 jioni Multiplier effects ya mpira ni kubwa sana kama...
  4. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hukubaliki kwa wananchi wa kawaida

    Ni ukweli tena ukweli mtupu. Wewe mwenyewe unajidanganya,wanaokuzunguka wanakudanganya. Angalia mikutano ya chadema inavyokuvua nguo. Hadi wananchi wanakimbiza gari za akina Heche ambaye ni makamu wa mwenyekiti. Vibe kama lote. Naamini wewe hujawahi kupata shangwe kama hilo. Wananchi...
  5. jmushi1

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kabisa Rais hafahamu chochote kuhusu haya ya utekeaji? Hiki ni kipimo kizuri

    Wakuu, Kumekuwa na member wengi ambao wanaona na kusema kwamba haya ya utekaji, torture na mauwaji, mh Rais hafahamu chochote na wakaenda mbali zaidi na kusema kuwa kuna hujuma dhidi yake. Nadhani kuna mambo kadhaa anayoweza kuyafafanya kama ni kweli hafahamu chochote kuhusu yanayoendelea na...
  6. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia hakugusia utekaji kwenye hotuba yake ya funga mwaka au ni yale yale kuwa kutekwa, kuuawa na kupotezwa si tatizo?

    Kwanza, namshukuru mheshimiwa rais, Samia Suluhu Hassan. Pili, sijui watanzania wanachukuliaje hotuba yake ambayo haikugusia utekaji na mauaji vinavyoendelea? Kweli ameanza na tumeanza mwaka kinamna bila tumaini wala mipango ya kuondokana na kadhia ya utekaji ulioanza kuzoeleka nchini. Pia...
  7. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Dr. Mpango hapa umetupanga 100%, huwezi kuacha umakamu wa Rais ili uende kulima. Vipi umefukuzwa?

    Kuna vitu ukivisikia tu, hapo hapo akili inakataa. Dr. Philip Mpango, makamu wa Rais wa Tanzania ameamua kufunguka sasa kwa kueleza wazi yeye mwenyewe (sio kusemewa tena) kuwa, kwa sasa anakwenda kustaafu nafasi ya makamu wa Rais, hivyo kuanzia November baada ya uchaguzi mkuu kwisha hatarejea...
  8. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais mmoja katika Jumuiya ya Afrika Mashariki yu mahututi

    Habari zilizonifikia ni kuwa kuna Rais mmoja katika nchi zinazounda Jumuiya ya Afrika ya Mashariki yu mahututi na muda wowote Taifa lake linaweza kutangaziwa habari mbaya. Tukiwa kama wana Jumuiya sio vibaya tukaelekeza maombi kwa Rais huyo ili arudi katika utimamu wake na aendelee kuwatumikia...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kwa Mkapa kulifungwa kwa matengenezo ya Bilioni 30, CAF imehamisha fainali Zanzibar. Tulipohoji tulionekana wachochezi, acha tujifunze kwa uchungu

    serikali ilidhani wakosoaji tunawapigia kelele, sasa kelele zinatoka CAF! Club ya Berkene imejulishwa na CAF uwanja utakuwa Zanzibar. Simba hawajui kinachoendelea, kwenye page yao wameandika taarifa kamili ni baada ya mechi ya ugenini. Uwanja wa Zanzibar huwa ni mgumu sana kwa mechi za Simba...
  10. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais mchanganuo wa balanced budget utakavyokua hivi na hii ni kama sample tu

    Mapato yanayokusanywa sasa yanafika kama shiling trillion 32 haya ni makadirio siyo actual figure TRA wanakusanya kama Trillion 24 na mapato mengine tofauti na kodi ni kama Trillion 8 hii ni kama sample tu ya mtizamo wangu Team Dennis 255713520180 👇👇👇👇 Mchanganuo A) Trillion 10 kuservice madeni...
  11. I

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais wa TLS Adv Mwabukusi amkaanga Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Mutungi

    Akitolea mfano kutoka NCCR Mageuzi alizungumzia jinsi Ofisi ya Msajili inavyohusika kuvuruga Vyama vya kweli vya upinzani, sasa tunashuhudia kinachoendelea CHADEMA, ambapo amesema; "Shetani hawezi kumfukuza Pepo, hakuna Ufalme unaojifitini. Msajili anajua kwanini Vyama vipo." "Nimekuuliza...
  12. Metronidazole 400mg

    JamiiForums Tanzania Mo dewji kaamua kuwasiliana moja kwa moja na raisi wa CAF, motsepe kuhusu mechi ya fainali kuchezwa zenji

    President of Tanzanian giants Simba SC Mr Mo Dewji has sent a direct message to CAF President Dr Patrice Motsepe. Mr Mo felt so much disappointed in the decision to send the 2024/25 CAF Confederation Cup final to Zanzibar. He asked CAF President to intervene in this and ensure that the game is...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Za ndani kabisa zinasema rais wa vyura ndiye kasinichi matumizi ya lupaso ili kulipiza sakata la "hatuchezi"

    SI mnajua kuwa yeye ndiye bosi wa vikundi vyote vya wanaosakata gozi Afrika? Ametumia kofia yake hiyo kumhujumu bosi wa nyika ili asitumie uwanja wa maangamizi wa lupaso. Kafanya hivi kwa kisasi baada ya kupoteza ktk sakatala hatuchezi.
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kiliba: Matatizo ya wanachuo yameisha kipindi cha Rais Samia

    Kwani Wanachuo wenyewe mnasemaje? Rais wa TAHLISO Geofrey Kiliba akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es salaam kuhusu maslai wanayopata wanachuo kwa kipindi hiki cha awamu ya sita chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan.
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said acha huu Upuuzi ambao Utakugharimu kwani Wewe ndiyo unashirikiana na RS Berkane ili Fainali CAFCC isiwe kwa Mkapa

    Halafu ulivyo wa hovyo unajifanya hujui lolote wakati unatumia Nafasi yako CAF ili Kuiumiza Simba SC kwa hili la Uwanja.
  16. Tanzanians

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Rais Samia ukitoka upareni mazikoni kwa Cleopa Msuya

    Magari kama yote
  17. K

    JamiiForums Tanzania Hashimu Spunda na mpango kazi wa Rais Samia na CCM kutengeneza upinzani FAKE. Je, Watanganyika watang'amua hili?

    Watanzania ni wajuzi wa mambo ila sio wenye kuchukua maamuzi kwa haraka Watanzania ni wanyonge mno sera Yao ni mwenye nguvu mpishe na hii ndiyo sababu ya CCM na serikali kufanya watakavyo na hawajawahi kukwama. CCM katika kampein yake ya kujibakiza madarakani ikiwezekana hata...
  18. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Rais Trump akutana na gaidi aliyekuwa akitafutwa kwa udi na uvumba na CIA

    CIA iliweka mezani kiasi cha fedha za kimarekani $10 million kwa yoyote atakaye mpata Muhammad Al-Jawlani https://x.com/USEmbassySyria/status/864144602584035328?t=jV1xFNQFpYt4svya5WAz6w&s=19 Leo hii Rais wa marekani kakutana na gaidi la magaidi lililokuwa linatafutwa tutegemee Trump kulamba...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais wa Finland, Alexander Stubb kufanya ziara ya Kitaifa nchini Tanzania kuanzia leo Mei 14 hadi Mei 16, 2025

    Rais wa Jamhuri ya Finland, Alexander Stubb, anatarajia kufanya Ziara ya Kitaifa nchini Tanzania kuanzia tarehe 14 hadi 16 Mei, 2025 kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Finland na Tanzania zina mahusiano ya miaka 60 na zimekuwa zikishirikiana...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia azidi kutapanya pesa za umma, amwagia mamilioni ya shilling chawa wa Ruto, Cassypool anayetarajia kuwasili Tanzania kumnadi kwenye uchaguzi

    Wakati umma wa Watanzania ukiendelea kushuhudia huduma mbovu za kijamii kama ukosefu wa madawa hospitalini, miundombinu mibovu ya barabara, huduma mbovu za maji e.t.c, Samia ameendelea kuhonga pesa za umma kama njugu kwa chawa wake na awamu hii ametanua mipaka mpaka Kenya. Tanzania imepatwa na...
Back
Top Bottom