rais

  1. I

    Maria Sarungi kapotosha, hakuna chombo cha habari kimefungiwa kwa kumkosoa Rais

    1. VYOMBO VYA HABARI VILIVYOFUNGWA Katika mkutano wa Oslo Forum, Maria Sarungi ametoa madai ya kupotosha kuhusu uhuru wa vyombo vya habari nchini, akieleza kuwa kuna vyombo vingi vya habari vimefungwa na Rais Samia ili kujitengenezea njia rahisi ya ushindi wa Mwezi Octoba. Hakuna chombo cha...
  2. Q

    Hizi ndizo kazi kubwa 3 za Mbunge wa Tanzania.

    1. Kumsifia Rais. 2. Kuitetea Serikali, na ya mwisho ni, 3. Kujipanga kurudi tena bungeni ili kutekeleza no. 1 & 2. Hawana kazi nyingine zaidi ya hizo, mbwembwe zote mnazoziona zipo kwenye cycle hiyo. Usipotekeleza no. 1, hurudi bungeni. Straight RED card. Usipotekeleza no. 2 huwezi...
  3. B

    Bunge limechoka kujificha, sasa ni wazi kuwa si chombo wakilishi cha wananchi bali cha kumuwakilisha Rais

    Kwa mijadala ya Jana bungeni, hakika Bunge limekata mizizi yake ya kuwa chombo cha kuwawakilisha wananchi Kwa mujibu wa katiba ya nchi Bali rasmi sasa ni CHOMBO cha kulinda na kuwakilisha taasisi ya Urais. Ajenda kuu iliyopo sasa uwe unataka ama hutaki, iwe unaizungumzia moja Kwa moja ama...
  4. Rais wa zamani wa DRC atua Goma

    Joseph Kabila aliyekuwa Rais wa DRC amezungumza kwa video na akamuita Rais wa sasa wa DRC Dictator. Kabila amezungumza baada ya Bunge la DRC kumuondolea kinga ya kutokushitakiwa. Mamlaka za DRC zinataka kumshitaki kabila kwa makosa ya Uhaini na uhalifu wa kivita akihusishwa na M23. Serikali ya...
  5. Mh rais huyu Razaro Twenge wa TANESCO sisi watu wa kiruvya kisarawe tumemkosea nini tangu jana hakuna umeme.

    Mh Rais Samia suluhu Hasan nakupa hongera kwa kusimamia utekelezaji wa ilani hasa suala la upatikanaji wa umeme wa uhakika ila kuna tatizo pia . Tangu huyu DG mpya aingie ofisini na kuapa sisi wakati wa kiruvya, kisarawe, kwa omar,kwa sumaye ,makulunge hadi kwa masista hatuna umeme tangu...
  6. Tumechoka na hivi visa vya watu kutekwa na kupotezwa. Kwa mfano, aliyerekodi msafara na kuchoma picha ya Rais alikuwa na tishio gani kwa usalama?

    Yaan Picha, thamani ya Picha ya MTU Inakua juu ya UHAI wa MTU??. Yaan Video, video ya magari ya Msafara ,inakua na thamani kushinda Uhai??. Sasa tumechoka, watanzania wanasimamia na wote wenye kuitetea Haki. Rais Samia na wengineo wote. Tumechoka! Yaan Kwa mfano, alochoma picha ya Rais...
  7. Rais Samia: "na kama wanataka kuchukua nje wachukue lakini kwanza tufaidike ndani ya nchi" Nani kaelewa hii kauli?

  8. Rais William Ruto (Kenya) Amjibu Rais Samia Suluhu Hassan (Tanzania) baada ya kutoa kauli ya kuwabagaza na kuwadharau Wakenya..

    https://youtu.be/tarwA0cZbcI?si=Wizm2OyFYriZzJzg https://youtu.be/LI58lCwODxQ?si=3O5x8UYnDDmWtSL7 #Kwa wachunguzi wa mambo, wanaona moja kwa moja kuwa kauli hiI ya Rais Ruto imemlenga kumjibu Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania baada ya kauli yake ya wiki hii iliyoonekana kuwalenga wakenya...
  9. D

    Nampenda Rais wangu mana huwa anaongea ukweli. Hatakagi kuongea fix ili kuwafurahisha watu kama mtangulizi wake.

    Samia is real an icon of this particular country and world at large. She speaks her mind truthfully with no lies to make people happy even if they are not happy During the magufuli's regime the government was run on fixes and proxies such that no one was allowed to query even though there...
  10. PreGE2025 Rais Samia ataka Tanzania ianze kuzalisha umeme wa Uranium, asema rasilimali hiyo itumike kuinufaisha nchi kabla ya kuuzwa nje

    Rais Samia ametoa maagizo mazito kwa Lazaro Jacob Twange, Mkurugenzi Mtendaji mpya wa TANESCO, akimtaka kuiongoza taasisi hiyo nyeti kwa weledi, uzalendo, na ufanisi mkubwa. Akimwelekeza rasmi kuanza majukumu, Rais Samia amesema TANESCO ni taasisi ya kimkakati inayohusiana moja kwa moja na...
  11. Mkopo wa bilioni 2.85 chama cha walimu ziliafikiwa chini ya rais Leah Ulaya, walimu tumeshtuka, box la kura litaamua

    Ndugu wanachama, walimu wenzetu na mashabiki wa kweli wa maendeleo ya CWT, Wakati mwingine kimya si busara! Sasa tusikie na sisi tusikike. Ni muhimu kusema ukweli huu bila kupepesa maneno. Kwa muda mrefu tumekuwa tukishuhudia matumbo yasiyoshiba yakizusha kelele zisizo na msingi dhidi ya uongozi...
  12. Je, Wasaidizi wa Rais Samia Ni Washauri au Wasifiaji Tu?"

    Katika historia ya nchi yetu, viongozi wengi wa juu wamekuwa wakitegemea sana ushauri wa watu wa karibu — wasaidizi wao wa kisiasa, wataalamu, na washauri wa kila aina. Ushauri huu unapaswa kuwa dira ya kiongozi kuelekea kwenye maamuzi bora kwa taifa. Lakini swali kubwa linabaki: Je, wasaidizi...
  13. Trump amemuuliza Rais wa Afrika Kusini kwanini hawamkamati Julius Malema? Kweli?

    Moja ya ziara zilizotikisa vyombo vya habari week hii ni hii ya Rais wa Afrika Kusini kuitembelea Marekani. Kama kawaida ya Trump alimkalisha chini Ramaphosa Oval office. Lakini safari hii Ramaphosa hakufanya mistakes za Zelensky alikuwa humble and composed. Hili likamfanya Trump naye...
  14. Rais Samia "umetuangusha sisi Wana wake"

    Haya maneno yanasemwa na mwanamke mmoja ambae ni rafiki mkubwa sana wa mke wangu tukiwa sebuleni mama huyo pia ni mtu mkubwa ngazi ya halmashauri. Kwakweli haikutegemewa Samia amfunike magufuli kwa maovu. Sasa tusubiri je nayeye ataiba kura amfunike magufuli? Mama unasalitiwa.
  15. Kama gharama za Ujenzi wa huu uwanja ni 12 Bilion za Kitanzania, basi nikiwa Rais kila mkoa utajengwa uwanja kama huu

    Kama huu uwanja ni billion 12 na unabeba watu 16,000 na upo kenya Basi kwa Tanzania tunaweza jenga kila mkoa mfano wa hiki kiwanja na tukafanya kikawa kizuri zaidi Tufanye ni billion 16 kwa uwanja mmoja tuna mikoa 31 jumla ni sh billion 496,000,000,000/= hii inawezekana kabisa Mimi nikiwa...
  16. Kasongo, Zakayo, El Chapo na Naibu Yesu - kwa nini rais wa Kenya ana majina mengi ya utani?

    Mei 2025 Rais wa Kenya William Ruto ni mtu mwenye majina mengi ya utani. Naibu Yesu, El Chapo, Hustler na Muuza Kuku ni baadhi tu ambayo amepata katika miaka ya hivi majuzi. Kama ilivyo ada wakati watu wanapewa majina mbadala, mengine ni kuonyesha mapenzi lakini mengine yanakusudia kumdhihaki...
  17. Al Jazeera yazidi kuikalia kooni serikali ya Rais Samia

    Heko tele ziende kwenye kituo cha Al Jazeera kwa kuendelea kuyamulika yanayoendelea Tanzania. Jana/ leo wamerusha habari za Boniface Mwangi kutekwa na kuteswa na vyombo vya usalama vya Tanzania. Kama bado haijatokew basi muda si mrefu itatokea. Serikali ya Samia itakuja kukifungia kituo cha...
  18. Ipo Siku Rais Samia Atandika nae kitabu.

    Habari wanajukwaa. Binadamu alie na madaraka au mamlaka au Nguvu hua anataka kukumbukwa vizazi na vizazi hata baada ya Mamlaka aliyonayo kuisha hii hulka ni toka enzi na enzi. Sa anakumbukwa vipi maana kama Nguvu anakua hana Tena za kutoa Amri so hapo njia pekee hua ni kuandika kitabu au...
  19. Fuatilia mahojiano kati ya Rais wa Bukina Faso Ibrahim Traore aliyoyafanya akiwa Russia. TV za Magharibi zimegwaya kuyarusha

    https://www.youtube.com/live/2qqTsst4p7A?si=-AST3P5ebKD9C8hX Huyu dogo katika umri wake wa miaka 37 lakini ana ufahamu na uelewa wa hali ya juu sana.. Jamaa unaweza kudhani ni kama wanajeshi wengine tu ambayo wengi wao ni weupe kichwani zaidi ya kujua kubeba na kutumia bunduki tu.. Lakini...
  20. UBIATANZANIA: Mliosema Bandari imeuzwa mmesikia hao walionunua wamepunguza matumizi kutoka bilioni 975 hadi bilioni 685, Tumwombe radhi Rais Samia

    Ndg zangu Watanzania, Hivi mmesikia maajabu ya Ubia (PPP) yanayotokea kule Bandarini?!! Mmesikia leo kutoa mzigo Bandarini ni siku tatu tu wala sio siku kumi (10) tena?!! Lakini sihivyo tu kwani hamjasikia leo meli hazichukui tena siku 46 ili kutia nanga Bandarini badala yake zinachukua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…