rais

  1. JamiiForums Tanzania Serikali yaanza mazungumzo kwa ajili ya kununua ndege nyingine ya mizigo

    Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe amesema serikali imeshaanza mazungumzo ya namna ya kupata ndege ya mizigo kwaajili ya kubeba mazao ya mbogamboja kuyepaleka nje ili kuwasaidia wakula. Ametoa kauli hiyo bungeni leo Jumatano Novemba 13, alipokuwa akijibu swali la Mbunge...
  2. JamiiForums Tanzania Seneta mmoja wa upinzani amejitangaza kuwa Kaimu Rais wa Bolivia

    Siku chache baada ya Rais wa Bolivia, Evo Morales kujiuzulu naibu Spika wa Bunge la Seneti la nchi hiyo, Jeanine Anez amejitangaza kuwa kaimu Rais katika kikao cha Bunge ambacho kilikuwa na idadi ndogo ya wabunge. Wabunge wa Bolivia walikuwa wameitwa kupitisha uamuzi wa Morales kujiuzulu na...
  3. JamiiForums Tanzania Mshituko: Rais Magufuli, agoma kumsalimia kwa mkono Mkuu wa Mkoa wa Dar ndugu Paul Makonda

    Heshima wakuu, Katika hali ya kushangaza na kushitua, Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, J Magufuli, amegoma katakata kutabasamu wala kumpa mkono rafiki na mtumishi wake mpendwa ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Mheshimiwa Paul Makonda. Je, rais Magufuli ameshashitukia yale mambo...
  4. JamiiForums Tanzania Mzee Benjamin Mkapa asherekea siku yake ya kuzaliwa kwa kuzindua kitabu chake cha 'My Life, My Purpose'

    Wadau. Leo Novemba 12,2019 Mzee Wetu na Rais Mstaafu Wa Awamu Ya Tatu Benjamin Mkapa Anatimiza Miaka 81 ya Kuzaliwa. Tukio Hilo linaambatana na sherehe Mubashara muda Huu wa Uzinduzi wa Kitabu Chake Cha "My Life, My Purpose" Hongera Sana Mzee Wetu. ---- Benjamin William Mkapa is a...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kuzindua Kitabu cha maisha ya Rais Mstaafu Benjamin Mkapa

    Rais Magufuli kesho anatarajiwa kuzindua Kitabu cha maisha binafsi ya Rais Mstaafu wa Awamu ya tatu, Benjamin William Mkapa.
  6. J

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Serikali yanunua ndege ili kuutangaza utalii wa nchi yao

    Ndege mpya ya Uganda Airline inayomilikiwa na Serikali ya Uganda leo imezindua rasmi safari zake za kwenda Mombasa Kenya kwa kile kilichoelezwa kuwa kutangaza na kuimarisha sekta ya utalii. Msemaji wa Uganda amesema sasa ndege za shirika hilo zinamilikiwa na Serikali tofauti na hapo awali...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Magufuli ndio Rais wa mwisho kutawala kupitia CCM

    Nyakati za CCM kuendelea kutawala nchi hii zimefika mwisho na yote haya mnayoyashuhudia leo hii ni viashiria tu vya anguko la CCM katika siku zijazo. Kelele za wana-CCM majukwaani, mitandaoni, Bungeni na kwingineko, ni sawa tu na mateke ya farasi anaekata roho hivyo hayaepukiki na watarusha...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Rais wa Bolivia ajiuzulu na kutanganza uchaguzi mpya kutokana na machafuko nchini humo

    November 10, 2019 La Paz, Bolivia Jeshi lamlazimisha Rais kujiuzulu Bolivia Rais wa Bolivia Mhe. camarade Evo Morales ameachia ngazi bila kutegemea leo jumapili na kutangaza kujiuzulu kufuatia mbinyo wa kisiasa baada ya kudai kuwa ameshinda uchaguzi kwa kipindi cha nne, uchaguzi na matokeo yake...
  9. JamiiForums Tanzania Jinsi Utawala wa Rais Magufuli unavyoua ushawishi wa vijana ndani CCM

    Mwangalie Polepole wa utawala wa Kikwete na wa utawala huu, Mwangalie Nape alivyokuwa na ushawishi wakati akiwa Katibu Mwenezi na sasa, Mwangalie Mwigulu yule na huyu anayemshukuru Magufuli baada ya kupata ajali, Mwangalie January Makamba wa kipindi cha Kikwete na huyu anayeenda akiburuza miguu...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini Serikali hii ya Rais Magufuli inawahofia mno wapinzani?

    Nimekuwa nikiwasikiliza wanasiasa wa Chama tawala cha CCM, katika majukwaa ya kisiasa na nilichokishuhudia ni viongozi hao kujigamba kuwa, vyama vya upinzani vya nchi hii vipo mahututi na vinasubiri kuzikwa tu, kutokana na juhudi kubwa inayofanywa na Mheshimiwa Rais ya kufanya maendeleo...
  11. JamiiForums Tanzania DC Chongolo atekeleza agizo la Rais Magufuli la kusimamia kurudishwa kwa nyumba ya bibi mwenye miaka zaidi ya 80

    Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Daniel Chongolo ametekeleza agizo la Rais Dk. John Pombe Magufuli la kusimamia kurudishwa kwa nyumba ya Bi Amina Muhenga mwenye miaka zaidi ya 80 aliyozurumiwa kwa kipindi cha miaka zaidi ya 30 iliyopita. Rais Dk. Magufuli alitoa agizo hilo zaidi ya miezi miwili...
  12. JamiiForums Tanzania Wapinzani kususia chaguzi; Historia itamkumbukaje Rais Magufuli kama mwoga au shujaa?

    Kutokana na kinachoendelea katika nchi yetu tuipendayo, ninajaribu kuwaza historia itamkumbukaje Mheshimiwa Rais Magufuli, je, itamkumbuka kama; • Mwoga aliyetumia ipasavyo madaraka ya kikatiba aliyonayo katika kuudhibiti upinzani kushiriki ipasavyo katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa na...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli wapitishe wagombea wa Serikali za Mitaa njia ile uliyopita wewe 2015 vinginevyo hawatakuwa makini

    Ninafahamu dhamana ya wizara ya Tamisemi iko direct mikononi mwa Rais Magufuli hivyo ushauri huu nampa akiwa katika nafasi yake ya ukuu wa Tamisemi. Ni kwamba wagombea wanaobebwa siku zote hawawezi kuwatumikia wananchi hivyo ni heri tukaachana na hii dhana ya kupita bila kupingwa ili tupate...
  14. JamiiForums Tanzania Nigeria: Mvutano kati ya Rais na Makamu wake wakwamisha shughuli za kiserikali

    Imeripotiwa kuwepo mvutano wa kimadaraka kati ya Rais Muhammadu Buhari na Makamu wa Rais, ambapo licha ya Rais kwenda Uingereza kwa ziara binafsi ya siku 15, hajakabidhi madaraka kwa msaidizi wake, hivyo kulazimu nyaraka zinazohitaji saini yake kupelekwa Uingereza. Chanzo: Swahili times
  15. J

    JamiiForums Tanzania Rais Trump ateua balozi wa Tanzania baada ya miaka mitatu

    Hatimaye Rais Trump wa Marekani ameteua balozi atakayeiwakilisha nchi hiyo nchini Tanzania. Kwa kipindi cha takribani miaka mitatu nafasi hiyo ilikuwa ikikaimiwa na afisa wa ubalozi huo. Source: Mwananchi My take; Naona haya ni matunda ya kikao kifupi cha Rais Trump na Prof Palamagamba Kabudi
  16. J

    JamiiForums Tanzania Dr. Abbas: Siyo CAG tu anayebanwa na Katiba bali hata Rais wa JMT ana masharti yanayomuongoza katika utendaji wake

    Msemaji wa serikali ametolea ufafanuzi wa mambo mbalimbali ikiwemo uchaguzi wa serikali za mitaa, haki za binadamu na kustaafu kwa CAG. Dr Abbas amesema ukiachalia mbali CAG hata Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania amewekewa kanuni zinazombana na kumuongoza katika utendaji wake wa kila...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Wiki ya Maulidi: Viongozi wa BAKWATA watembelea miradi ya Maendeleo ya Serikali

    Viongozi wa BAKWATA walioko Jijini Mwanza ikiwa ni katika wiki ya maulidi ambayo kitaifa sikukuu itafanyika jijini humo wamempongeza na kumshukuru Rais Magufuli kwa maendeleo anayotuletea. Viongozi hao wamekaguwa miradi mbalimbali inayotekelezwa na serikali ikiwemo ujenzi wa meli mpya za...
  18. JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya watu bado hawajamuelewa Rais Magufuli!

    Wale baadhi ya watu ambao bado wanaojaribu kumtingisha Rais Magufuli wakidhani atabadilisha njia anayotumia katika utendaji kazi wake wananishangaza sana! Wanaojaribu kumtingisha inawezekana hawamfahamu vizuri au wanamfahamu vizuri lakini wamejivika upumbavu! Kwa wale wanamfahamu vizuri, siku...
  19. JamiiForums Tanzania Kauli mbili za kiroho kutoka kinywani mwa Rais John Pombe Magufuli

    Naenda moja kwa moja kwenye point. Hizi ni kauli 2 za kiroho kutoka kwa Rais wa awamu ya 5 wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania, Mh. John Pombe Magufuli. 1. TANZANIA NI NCHI TAJIRI/ WE ARE A DONOR COUNTRY. This voice was coming from God himself. Magufuli was just used as a mouthpice of...
  20. JamiiForums Tanzania Wazalendo wote wa nchi hii njooni uku tujibiwe haya maswali na Serikali ya Rais Magufuli

    Rais Magufuli nilikusema kuhusu miradi inayoeendelea chato kupitia uzi huu Miradi inayoendelea chato inahitaji mjadala wa kitaifa ila sikujibiwa kilichofuata ni mimi kutukanwa na wafuasi wako kwamba ni siasa. Mh Rais tuachane na hayo je miradi yako mikubwa inayotekelezwa kwa nini haina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…