rais

  1. JamiiForums Tanzania Tukitukana mnasema tuna matusi. Jitu limeiba 2.5b, tume ya Rais ilishachunguza ikampa ripoti, halafu Rais anakuita wazi

    Hivi kufungiwa kwa jizi lililokuwa linaiba nauliza za vivuko, linaiba Hela ya matengenezo, ya vivuko, kila siku linaelekeza vivuko vialubiwe Ili liombe malipo hewa Bado tuna liacha Muda wote tangu litumbuliwe limekaa nyumbani linamgegeda mkewe mpaka waziri mkuu mwigulu ulipoitwa na Raisi...
  2. JamiiForums Tanzania Watajeni wote waliotekwa au kuuawa Enzi Nyerere akiwa Rais

    Mara kadhaa nimekuwa nikisikia baadhi ya watu wakisema kuwa enzi za Mwalimu Nyerere akiwa Rais watu "wengi" Sana waliuawa au kupotezwa. Sasa kabla ya waliofanya kazi na Nyerere wote kufa, ni Bora watu wanaowafahamu waliouawa zama Julius Nyerere alipokuwa Rais wa nchi yetu, wawataje watu hao...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Anapaswa Kuwa Mtu Mwenye Maono Makubwa na Upeo Mkubwa Kiakili

    Samia Suluhu Hassan hana sifa hizo ndiyomaana anapambana kuua watu wenye upeo mkubwa wa akili wanaomwambia ukweli. "Ni hatari sana kuwa sahihi wakati serikali inakosea" Maxence Melo.
  4. JamiiForums Tanzania Hivi Rais Akibeba Mimba Itakuwaje?

    Je maamuzi yake yatatekelezwa hata kama ni matokeo ya mimba? Je ataacha madaraka kamili kwa makamu wake?
  5. JamiiForums Tanzania Nilipomuona Jaji Warioba amepiga picha na Rais MIKONO yake ikiwa nyuma ya makalio yake, nilitoa tafsiri, Je mlinielewa?

    Sina miaka mingi ya KUZALIWA, ila NIMEYAONA MENGI kidogo Je wewe msomaji ulisoma Uzi WA tafsiri yangu ya picha ya Samia na warioba, uku warioba akiwa ameweka MIKONO yake kwenye makalio yake? Kama uliusoma utaunganisha na mahojiano aliyoyafanya na Jamhuri tv, utabaini.yakuwa nilikuwa sawa sawia...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wasipindishe ukweli. Tanzania hakuna mgogoro wa kisiasa bali watu hawamtaki Rais aliyepo madarakani

    Huu ndio ukweli wa mambo. Wananchi hawamtaki rais Samia. Mbaya zaidi hata ndani ya CCM inaonekana hawamtaki. Watu wameanza kuingia barabarani na kuanza kuleta ghasia hata matokeo hayajatoka. Hii ina maanisha ni wazi kuwa hawamtaki. Kwa nini? Walishasema ufisadi na mambo mengineyo. Hawa...
  7. JamiiForums Tanzania Sheria ikoje rais akipata mental health problem na madaktari wakathibitisha itachukua muda mrefu kurudi kawaida au asirudi kabisa.

    Je rais wa nchi akipata tatizo la afya ya akili sheria inasemaje kuhusu yeye kuendelea kuongoza nchi? Kikawaida mtu mwenye tatizo la afya ya akili (sio lazima awe chizi kabisa ) ni ngumu kugundua kama ana hiyo shida, ila walio karibu yake wakishirikiana na madaktari ndio wanaweza kugundua hilo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tumwamimi nani kati ya Rais Samia na wasaidizi wake?

    Tangu ghasia za kuukataa uongozi wa Rais Samia ile tarehe 29 Oktoba mpaka leo naona kama kila Kiongozi anaongea la kwake. Na hii ndio inazidi kuleta mkanganyiko zaidi. Kila anakopita Waziri mkuu Mwigulu Nchemba anasisitiza ghasia zile zilikuwa ni sababu ya vita vya kiuchumi. Yeye mkuu wa nchi...
  9. JamiiForums Tanzania Tukubaliane, Watekaji wamemshinda Rais Samia, na vyombo vyote vya ulinzi na usalama Tanzania, Sasa nashauri tujilinde

    Tukubaliane watanganyika, nasema watanganyika, maana zanzibari sijasikia wakitekwa au lolote BAYA lililotokea kwao, Nasema tukubaliane Tanganyika RAIS wetu ameshindwa na tabaka la watekaji Sasa tujiamini na tujilinde sisi wenyewe. Je vyombo vyeti navyo vimeshindwa kutulinda Sasa tujirinde?
  10. JamiiForums Tanzania Je Rais Samia alifanyiwa vetting akiwa Rais tayar? Je ni nani ALIFANYA?

    Nauliza ALIYE fanya vetting ya RAIS kuwa Rais ni nani? Je aliyefanya vetting aliona kabisa ana sifa za kuwa Rais? Je alimfanyia akiwa tayari u RAIS? Vetting ya mama wanu irudiwe Mimi naona kama anasifa za ziada ambazo hazikubainika wakati anafanyiwa vetting, Rais ni mwema mnoooo
  11. JamiiForums Tanzania (Kumbukizi): Mwaka 1975, Tanzania, Zambia na Botswana zilisusia Mkutano wa 12 wa Umoja wa Nchi za Afrika (OAU), kupinga uongozi wa Rais Idi Amin

    Mwaka 1975, Tanzania, Zambia na Botswana zilisusia Mkutano wa 12 wa Umoja wa Nchi za Afrika (OAU) uliofanyika Kampala, Uganda, kupinga uongozi wa Rais Idi Amin. Mkutano huo ulimfanya Amin kuwa mwenyekiti wa OAU kwa mwaka mmoja, nafasi ambayo kwa desturi hutolewa kwa kiongozi wa nchi mwenyeji...
  12. JamiiForums Tanzania Hakuna Rais aliyewahi kuua raia wake akamaliza utawala wake bila kuuona mkono wa Mungu

    Mungu haonekani lakini watu huwa wanamuona kwa matendo yake. Mobutu Seseko, Idd Amini, Blaise Kompaore, na wengine wengi ni mfano ulio wazi. Wote hawa walimaliza kwa mwisho mbaya .
  13. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Waziri Mstaafu wa Afrika Kusini, Dkt. Grece Naledi Mandisa Pandor

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Picha ya pamoja na Waziri Mstaafu wa Mambo ya Mahusiano ya Kimataifa na Ushirikiano wa Afrika ya Kusini, Dkt. Grece Naledi Mandisa Pandor, ambaye pia ni Mjumbe Maalum wa Rais wa Afrika ya Kusini, Cyril Ramaphosa...
  14. JamiiForums Tanzania Zambia: 34 waliohusika kumpiga mawe Rais washtakiwa kwa kosa la ugaidi

    Watu 34 waliohusika kumrushia mawe Rais Hichilema wa Zambia wakati akihutubia huko Chingola wamefikishwa mahakamani kwa kosa la ugaidi. Imeripotiwa na Rise Fm ya Zambia. GenZ muwe mnatuliza mizuka na kuacha kutaka kushindana na dola. 34 PEOPLE ACCUSED OF RIOTING IN CHIWEMPALA CHARGED WITH...
  15. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 PICHA: Hii ndio Ambulance mpya ya Mbunge Sara Msafiri aliyoikabidhi kituo cha Afya Mziha, Yeye amshukuru sana Rais Samia

    MBUNGE SARA MSAFIRI AKABIDHI AMBULANCE KITUO CHA AFYA MZIHA Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Mheshimiwa Sara Msafiri, amekabidhi rasmi gari la wagonjwa (ambulance) kwa Kituo cha Afya Mziha, huku akitoa maagizo mazito kwa uongozi wa kituo hicho kuhakikisha gari hilo linatumika kikamilifu kwa lengo la...
  16. JamiiForums Tanzania Njia Rais ya kuwa relevant ni kuongea ukweli haijalishi watu watauopokeaje.!

    Ukitaka uweze kuwa relevant don't speak soft Ila ongea ukweli tu. Tumefanya Sana siasa za unafiki, uongo na uhuni . tumewasabishia vijana matatizo makubwa Ila sasa tunakomesha , Vyama vyote Vya Tanzania vijiandae kuathirika na hii movement Don't play someone's game Na wanaharakati anzeni...
  17. JamiiForums Tanzania Rais akiwa anatakiwa kutambua kuwa hii CHADEMA ya sasa ni ya Lissu na sio ya Mbowe

    Jana ulikuwa Tanga na wakuu wa vikosi vya JWTZ. Ni mkutano muhimu na mkubwa kwa taifa lefu. Japokuwa sio sana kwa maana mamlaka ya kutawala nchi hii yanatoka kwa wananchi na wala sio Jeshi wala vyombo vya usalama na majeshi. Ibara ya 8(1)(a) imetanabaisha wazi . Wananchi ndio wana mamlaka ya...
  18. JamiiForums Tanzania Kesi ya Tundu LISU imekupa fundisho gani na kama angekuwa Rais wa Tanganyika kungekuwa na utawala upi bora?

    ### Mambo makuu kumi ambayo kesi ya Tundu Lissu imenifundisha kama Mtanganyika: 1. Udhaifu wa mihimili ya serikali: Kesi hii inaonyesha jinsi polisi, mahakama na upande wa mashtaka vinavyoweza kutumika kisiasa badala ya kutenda haki. 2. Ukandamizaji wa kisiasa: Mashtaka ya uhaini yanatumiwa...
  19. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais Samia kuhusu kurejesha amani nchini

    Habari ya majukumu ya kulijenga taifa wazalendo Mimi kama mwananchi wa Tanzania, niliyezoea taifa lenye umoja, mshikamano na utulivu nimepigwa na butwaa kilichotokea nchini kwetu. Kumekuwa na kauli nyingi na nyingine zenye mkanganyiko wa makusudi tu kutetea ama kujisitiri pasipo kujua nchi hii...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuzungumza na wakuu wa JWTZ huko Tanga

    Ni ajabu kuwa HabariLeo wameiweka hii taarifa Instagram wakaifuta haraka baada ya kupata comments nyingi toka kwa wananchi. Mbona sio kitu cha siri? Rais wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Samia Suluhu Hassan, leo anakutana na viongozi wakuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…