rais

  1. B

    Naomba ufafanuzi kuhusu Walinzi wa Hayati Rais Magufuli

    Ningependa kufahamu weledi wa hawa walinzi wawili wa Hayati Rais John Pombe Magufuli. Naona huyu mlinzi mweusi na huyo mwenye sigjda wamekuwa wakipokea sifa kemkemu kutoka kwa Watanzania kwenye mitandao ya kijamii. Mwenye kujua chochote kuhusu taaluma yao atujuze.
  2. Zimebaki siku nne tu kwa mujibu wa katiba kumtangaza, kuthibitishwa na bunge na kuapishwa kwa Makamu wa Rais

    Salamu wakuu Kuanzia tarehe 17/3/2021 mpaka leo ni siku kumi. Kwakuwa katiba inatamka ndani ya siku 14 makamu awe amepatikana, basi sasa Rais na chama wamebakiwa na siku 4 kutuletea makamu. Niwatakie kila la heri na watuletee mtu mwenye uwezo.
  3. Buriani Rais magufuli, till we meet again

    BURIANI RAIS MAGUFULI,TILL WE MEET AGAIN. Leo 18:30hrs 26/03/2021 Yapo maisha baada ya kifo,kuthibitisha hilo,turejee kufa na kufufuka kwa Bwana wetu Yesu Kristo,Death is not a full stop but a comma,there is life after death,Rais Magufuli umeenda kimwili tuu ila kwa kazi ulizofanya katika...
  4. Rais Samia Suluhu: Mkikidhi vigezo, Chato tutaifanya kuwa Mkoa

    Kajibu hivi 'Suala la Chato kuwa Mkoa nimeambiwa tayari mchakato umeanza naelekeza lishughulikiwe kama vigezo vimekidhi Chato iwe Mkoa na kama vigezo havijakidhi tuwaelekeze nini cha kufanya ili viweze kukidhi na tumuenzi Hayati Magufuli.' Ni jibu zuri sana sana na nijibu la kiuongozi na sio...
  5. Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli azikwa Chato mkoani Geita

    Fuatilia mbashara hapa RAIS Samia Suluhu Hassan leo ataongoza waombolezaji kumzika Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano, John Magufuli. Jeneza lililobeba mwili wa Hayati Dkt. Magufuli likiwa Kanisani kwa ajili ya Misa ya Mazishi Kaburi la Hayati Rais Dkt. John Pombe Magufuli Mama Janeth...
  6. Mambo matatu aliyokuwa nayo Hayati Dk. John Pombe Magufuli kulingana na Rais Mstaafu Dk. Jakaya Mrisho Kikwete

    Bila kuzungusha sana uzi mambo hayo ni; (i) Kugusa maisha ya wengi (ii) Kusifiwa akiwa hai (iv) Kuondoka wakati bado anahitajika. Mambo haya kwa ujumla wake kulingana na hotuba iliyosomwa na Rais Mstaafu Dk. Jakaya Mrisho Kikwete leo ni bahati aliyokuwa nayo Hayati D.k John Pombe Joseph Magufuli.
  7. Kuna siri gani ambayo Jenerali Venance Mabeyo anataka kumpa Rais Samia Suluhu?

    Wakati wa hotuba yake fupi huko Chato, General Mabeyo alitaka kuzungumza kitu ila akajizuia badala yake akamwambia Rais Samia kuwa suala hilo atamuona ofisini wataliongea. Je, ni suala gani hilo au ni siri gani hiyo kubwa namna hiyo?
  8. Sababu 6 kwanini makamu wa Rais awe Mwanamke

    Sababu... 1: Kuhofu uwezo wa mwanamke ni kuvunja katiba. Maana katiba inamtambua na nchi haingozwi kwa tahadhari za kitamaduni bali kikatiba. 2: Tunaowanawake waliowahi kushika vyeo zaidi ya rais. Getruda Mongera spika wa afrika, Mh Migiro katibu UN, lkn waliofanya vzri katika nafasi kubwa...
  9. Je, ikitokea Rais Muislam amefariki, atapewa heshima zote kama heshima anayoipata Rais asiye Muislam?

    Ninahitaji kufahamu kama ikiwa tumepata msiba wa rais ambaye ni muislamu,je atapata heshima ya kuagwa kama anayoipata rais ambaye si muislamu? Au taratibu za kidini zitafuata mkondo wake? Mfano Rais afariki asubuhi mchana wa saa saba azikwe na habari yake iishie hapo?
  10. B

    Protocol: Kwanini Mama Janeth Magufuli kuondoka uwanjani kwenda Makaburini kabla ya Mhe. Rais?

    Nimefuatilia matangazo kuhusu utaratibu wa kesho msibani, pia nimepitia ratiba. Naomba majuzi wa protocol watupe elimu, kwanini Mama Janeth ataondoka wa Kwanza uwanjani kwenda Makaburini nakumwacha Rais? Tumezoea kumwona Rais akitangulia kuondoka maeneo mengi anayofika kikazi.
  11. Connect Dot: Nani anataka kumtisha Rais Samia na umaarufu wa Hayati Magufuli?

    Nchi yetu haiishiwi mambo na mengi ni yakutengeneza, jaribu kukonnect dots kwa mambo yafuatayo; 1. Ni Wiki ya pili sasa lakini hakuna chombo cha habari chochote kinachotaka tumjue vizur Rais Samia, na si kwa bahati mbaya, baada tu ya kuapa malori ya kujaza watu kwenda msibani yaliongezeka na...
  12. N

    Ni Rais gani mwingine aliyekuwa kwenye hotuba zake anawaambia wahutubiwa watamkumbuka?

    Hotuba nyingi za JPM alikuwa anapenda sana kutuambia sisi wanyonge kuwa tutamkumbuka! Hakuwa akisema tutakumbuka aliyofanya yeye mazuri. Ni sawa na kawaida kwa mfano Mwl anapowafundisha wanafunzi kusema mtakumbuka niliyowafundisha lakini hasemi kuwa mtamkumbuka yeye kama yeye. Nimefuatilia...
  13. J

    BAKWATA yampa Cheti cha Pongezi Rais Uhuru Kenyatta kwa kusitisha hotuba ili kupisha adhana!

    Bakwata imetoa Cheti cha pongezi kwa Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kwa kitendo chake cha kusitisha hotuba yake wakati wa kumuaga hayati Magufuli ili kuheshimu adhana ya ibada ya adhuhuri. Cheti hicho kimetolewa na Mufti sheikh mkuu Aboubakar Zubeir. Pia soma > Kongole Rais Uhuru Kenyatta kwa...
  14. Baraka Magufuli atoa neno Chato kwenye tukio la kumuaga Hayati Rais Magufuli

    Leo siku ya kutoa heshima za mwisho kwa Jemedari wetu JPM wilayani Chato, Baraka Mwakipesile, maarufu kama ‘Baraka Magufuli’ amepewa nafasi ya kuonyesha kile ambacho alikionyesha siku zote hata mbele ya hayati Rais Magufuli.
  15. Askofu Niwemugizi: Rais Magufuli aliagiza nirejeshewe Passport yangu na alisema 'Wewe ni Askofu wangu utanizika'

    Askofu wa Kanisa Katoliki jimbo la Rulenge Ngara, Severine Niwemugizi amesema aliyekuwa Rais wa Tanzania marehemu, John Magufuli aliagiza arejeshewe hati yake ya kusafiria na alimtamkia mara mbili kuwa kiongozi huyo wa kiroho ndiye atakayemzika. Akizungumza leo Alhamisi Machi 25, 2021 katika...
  16. Rais Samia Hassan anavunja trend hii ya toka enzi za Nyerere

    Wakati Watanzania wanajiandaa kwa shauku kubwa kuishi ndani ya utawala wa Rais wa JMT ambaye ametokea kuwa mwanamke, kuna majadiliano mengi yanaendelea huku na huko. Baadhi ya majadiliano haya nayaona yana mantiki sana ila sitaenda kuyagusia kwa sasa. Mimi nitaongelea suala la majina ya Marais...
  17. Kivuli cha falsafa za Hayati Magufuli ni fumbo linaloishi ndani ya mawazo ya Rais Samia

    Kivuli cha falsafa za JPM, ni fumbo linaloishi ndani ya mawazo ya Rais Samia Deogratias Mutungi Ukweli wenye mantiki ndani yake upo wazi kuwa kivuli cha falsafa za JPM ni fumbo linaloishi sasa na litakaloendelea kuishi ndani ya mawazo ya rais Samia Suluhu Hassan, dhana hii inajengwa kifikra...
  18. Buriani Rais Magufuli - Kiswahili ni lugha ngumu

    Salaam! Tarehe 26/03/2021 Ni siku ya Kumpumzisha Aliyekuwa Rais wetu John Pombe Magufuli huko kwao Chato. Nawapongeza sana JamiiForums Facebook page kwa Kuelewa na Kumuenzi kwa Nukuuu Nkutu alizowahi kuzisema wakati wa uhai wake. Na moja ya nukuu hizo ina maneno haya "Siku moja mtanikumbuka...
  19. Koffi Olomide amlilia hayati Rais Magufuli

    Msanii mkongwe wa muziki kutoka CONGO Koffi Olomide atuma salamu za pole Tanzania juu ya kifo cha hayati Rais John Pombe Magufuli #ripjpm
  20. Tundu A. Lissu amekata tamaa ya kuja kuwa Rais wa Tanzania. Ataendelea kuwa Mwanaharakati Machachari wa Tanzania

    Busara na Hekima ya mtu hupimwa nyakati za 1. Taabu/ Mateso/ Majonzi/ Huzuni 2. Nyakati za Furaha/ Raha n.k Nyakati hizi Tundu Lissu anaweza akadhani anafurahia sana na kusheherekea kifo cha Mh. JPM na kumwongelea awezavyo. But baadaye akija kukaa na kupata akili akiwa ameweka jazba, mihemko na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…