rais

  1. JamiiForums Tanzania Kumtangaza Rais akiwa katika mavazi ya kijeshi katika utawala wa kiraia ni 'inferiority complex'

    Ndani ya miaka 60 ya uhuru chama cha CCM kimeshindwa kutatua changamoto ndogo kabisa ya maji na umeme halafu wiki hii kuelekea siku ya uhuru 09/12/2021 Rais wa utawala wa kiraia kutoka chama hichohicho anatangazwa kwenye mabango barabarani na mitaani akiwa amevaa mavazi ya kijeshi kuhadhaa uma...
  2. JamiiForums Tanzania Rais awamu ya Sita alichaguliwa na nani?

    Kwanini huyo mama analazimisha kuwa ni Rais wa awamu ya sita ilhali haupo uchaguzi uliofanyika tofauti na yeye kuwa Rais wa katiba? Kwa nini analazimisha awe Rais wa awamu ya sita? Kuna nini nyuma ya lazimisho hilo?!
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia usiongee kwa kalamu, washtakie wananchi

    Wasalaam!. Kipindi Mheshimiwa Rais Samia Suluhu anaanza kupanga safu yake ya uongozi, alisisitiza sana watu wafanye kazi kwa bidii na kuheshimia. Zaidi, alihimiza kuwa yeye hatofoka hadharani kwa wale wote ambao wataenenda kinyume na maagizo yake au kinyume na maslahi ya umma. Yeye alichagua...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Shaka: Uthubutu wa Rais Samia unaifungua nchi kiuchumi na kimataifa

    SHAKA: UTHUBUTU WA RAIS SAMIA UNAIFUNGUA NCHI KIUCHUMI NA KIMATAIFA Katibu wa halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka akitoa salaam za Chama Cha Mapinduzi wakati wa uzinduzi rasmi wa kiwanda cha kuzalisha vifaa vya umeme kilichopo kata ya Kisarawe II wilaya ya Kigamboni...
  5. JamiiForums Tanzania Haya yananionesha kwamba Rais Samia anataka Demokrasia na Maridhiano

    Nafuatilia mijadala hasa kupiti Twitter. Watu wengi ambao wanaonekana ni experts wa vitu vya siasa wanaongelea sana kuhusu 'maridhiano' na demokrasia. I think term 'maridhiano' inakuja kwa sababu ya mambo mengi yaliyotokea huko awamu ya tano. Ila Rais Samia anaonesha wazi kwamba anataka sana...
  6. JamiiForums Tanzania Maajabu haya: Shaka asema Ajira zaidi ya milioni 35 zimezaliwa miezi sita ya Rais Samia

    Tanzania ina watu wanaokimbilia milioni sitini ikijumuisha watu wenye uwezo wa kufanya kazi na wasio kwenye kundi hilo kama watoto na wenye umri mkubwa. Sasa ndugu Shaka anasema miezi michache ya Rais Samia Tanzania imepata uwekezaji wa dola bilioni 3.5 ambapo imezaa ajira zaidi ya milioni 35...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kigwangalla: Tulichongewa tulisimangwa na tulisingiziwa na kunyanyaswa lakini nashukuru Rais Samia ameujua ukweli

    Mbunge wa Nzega vijijini Kigwangalla ameandika kwenye ukurasa wake twitani kwamba, Tulionewa Tulisimangwa, Tulisingiziwa na Kunyanyaswa na watu waliokuwa na access lakini sasa mambo yao yako wazi tena yana ushahidi. Namshukuru Rais Samia kwa kuliona hilo. Kiukweli Lumumba moto unawaka sawia na...
  8. JamiiForums Tanzania Gambia: Rais Adama Barrow atetea kiti cha Urais, apata 53% ya Kura

    Mamlaka Nchini humo zimemtangaza Rais Adama Barrow kuwa mshindi wa Uchaguzi Mkuu, akipata takriban 53% ya Kura huku Mpinzani Ousainou Darboe akipata 28% Awali, Darboe na Wagombea wengine walisema wasingekubali matokeo ya Uchaguzi huo ambao umeonekana kama kipimo cha Demokrasia katika Taifa hilo...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia alikosea Mwanzo hawezi kurekebisha kwani tayari ameshaharibu

    Mimi niliuona uongozi wa Rais Samia kinabii nikauona ni uongozi unaoelekea kuanguka ila watu wasiomtakia mema walimsifu na kusema anaupiga mwingi kumbe walikuwa wanampoteza Rais Samia kabla ya kujijenga kisiasa alitakiwa kwanza awe mtulivu atengeneze urafiki na wapiga kura wake awafariji...
  10. JamiiForums Tanzania Koh Koh Koh.. Mbona Rais Samia Kama Kayaona ya Magufuli?

    Sijui ni mimi tu, macho yangu au masikio yangu? Huku Bandari mbona kama kunaumiza kichwa sana Marais? Rais Samia jana kazungumza kama Magufuli, Kachukua hatua za papo hapo kama enzi za Magu na anajitangaza kusimama na wananchi kama Magu alivyokuwa anajitangaza kusimama na wanyonge. Sasa...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia usilalamike, unachokisikia ndio kinasemwa nchi nzima, kubali tu yaishe!

    Leo kwa mara ya kwanza Rais Samia amekuja hadharani na kukiri wazi kuwa anaongoza serikali iliyogawanyika vibaya, amezungukwa na wasaidizi wanao mhujumu wazi wazi na yuko kwenye vita kali ya kuupambania urais wake kwa hali na mali. Hali ni tete mnoo kwake, na hatakubali! Bila kumumunya maneno...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Zitto: Hata kesi ya Mbowe ni jumba bovu kwa awamu ya 6. IFUTWE!

  13. T

    JamiiForums Tanzania Kabla ya Samia kuwa Rais nilidhani ni lazima Rais wa nchi atoe hotuba ndeefu

    Katika marais wote niliowashuhudia katika utu uzima wangu sijawahi kushuhudia rais anayeongea kwa kifupi kama huyu wa awamu ya sita. Anaongea kwa ufupi na mara tu yale aliyokusudia kuwasilisha yakiisha anamaliza hotuba yake. Kwa kuwa nilizoea kusikia hotuba ndeefu za marais waliotangulia...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashtukia upigaji Mamlaka ya Bandari Tanzania(TPA)

    Kutoka ziara ya Rais Samia, Bandari Kuu Dar es Salaam. Ujenzi wa matenki ya kuhifadhia mafuta, kwanini TPA ilianza ujenzi wa matenki mapya wakati PUMA ina matenki yako tupu na hayatumiki kwanini yasitumike hayo kulikuwa na sababu gani ya kujenga mapya kama sio uchochoro wa kupiga fedha??? 2...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa ameshindwa kumsaidia Rais?

    Waziri mkuu Kassim Majaliwa amekuwa ni mtu mwenye kauli zenye makeke mengi lakini outcome ni kidogo sana. Leo hii rais anazungumzia kuhusu madudu bandarini, lakini ikumbukwe kuwa yeye siyo wa kwanza kugundua madudu ya huko, infact hata Kassim Majaliwa kipindi cha Magufuli anrwahi kugundua...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii ya rais Samia ni dhahiri awamu ya tano ilikuwa 'One Man Show'

    Rais amesema " upigaji ulifanyika awamu ya tano lkn jumba bovu inaanushiwa awamu ya sita. Sitakubali". Kama angekuwa mshiriki mkuuktk uendeshaji wa serikali ya awamu ya tano rais SSH asingekubali hata awamu ya tano idhalilike. Lkn anaona ni sawa kwakuwa hakuhusika kwa chochote. Alikuwepo kama...
  17. JamiiForums Tanzania Rais wa JMT akemea makundi yanayodai ufisadi umerudi. Je, ni makundi gani?

    "Kuna makundi wanajua wanayoyafanya ndani ya serikali, na yanageuka kusema serikali ya awamu ya 6 ufisadi umerudi mambo yako hovyo kumbe wao ndio wako hovyo, mambo hayo yalifanyika huko nyuma, gari bovu linaangushiwa awamu ya 6 sitakubali.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aagiza wote waliotajwa kwa wizi wa Fedha za Umma kwenye Ripoti ya CAG washughulikiwe

    Rais wa Tanzania Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote Tanzania ikiwemo TAKUKURU Mhe Samia Suluhu Hassan amesema haya... "Mkurugenzi wa TPA, Waziri na TAKUKURU mpo, naamrisha ripoti ya CAG mkaisome, halafu mchukue hatua, fedha nyingi sana imepotea watu...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia, usijenge Bandari ya Bagamoyo utaiua nchi kabisa

    Nipende kumuomba CDF amshauri Rais asijenge Bandari ya Bagamoyo kwani kwa kufanya hivyo ni sawa na kuliua Taifa Kabisa. Nimemuomba CDF kwani yeye ndiye mkuu wa majeshi ya Ulinzi, na ulinzi ni pamoja na kuangalia uhai wa Taifa, sio kwa mtutu wa Bunduki tu na mizinga bali hata kwa ushauri wenye...
  20. JamiiForums Tanzania Ujumbe huu unamhusu Rais Samia juu ya waliovunjiwa vibanda vya biashara

    Salama wandugu, Wikiend hii nikiwa nimeamka mapema nikiwa nacheki TBC kufuatiria ziara ya Rais wa nchi Mara kidogo nasikia hodi wife akatoka kidogo akaingia na mwanamke akiwa analia kisa mama huyo alikuwa akiuza mihogo huko kariakoo eneo ambalo hawakujua Kama wanatakiwa kaondoka Mgambo wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…