rais

  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu ashangaza wengi kasi ya Ukuaji Uchumi Tanzania

    ==== Rais Samia aifikisha Tanzania ukuaji wa Uchumi wa 5.2% kutoka 2.1%,Heko Tanzania, According to National Bureau of Statistics (NBS) Pato la Taifa yaani Tanzania Gross Domestic Product- GDP limekua kwa kasi ya ajabu katika kipindi hiki kifupi cha Rais Samia Suluhu Hassan, Pato letu...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia ulishangiliwa, lakini ubora wa jukwaani haufurahishi

    Kwa mara nyingine tena tukubali kwamba Tanzania hatujaweza kuwa na mchujo wa kupata viongozi wenye busara. Busara hutokana na kuiga pamoja na uzoefu. Kwa mtu aliyeweza kuwa kiongozi wa nchi haistahili awe na mapungufu ya kiwango hiki. Yaani sasa rais ameamua kuja majukwaani na washangiliaji...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia amesahau hili la umeme ni yeye amelileta, tumkumbushe

    Kwanza kabisa mimi ni muumini wa kumkosoa mtu yoyote kwa staha, siamini kwenye kudhihaki Wala kutukana. Kama raisi kuna sehemu amekosea basi tumkosoe kwa staha tumkosoe bila kumvunjia heshima, yeye ni binadamu anapitiwa. Hili la umeme wa kuunganisha watu wote kwa 27,000 ni yeye amelileta...
  4. JamiiForums Tanzania Ipo haja ya Rais kuvunja Serikali na kuunda Mpya

    Kutokana na yanayoendelea hapa nchini. Ipo haja ya Rais kuvunja Serikali nzima na kuunda mpya kabisa. Kutokuaminiana na hujuma kumetamalaki. Nazungumzia Kutoka kwa PM kushuka chini. Avunje baraza lote la mawaziri. Ateue wapya kabisa. Amuandikie barua Spika kumuomba ajiuzulu kwa maslahi ya...
  5. JamiiForums Tanzania Ni nani alienda kumuuma Rais Samia sikio kuhusu CCM wenzanke?

    Jana Rais Samia aliweka wazi kuwa baada ya kuapishwa tu, kuna mtu alienda kumpa tahadhari kuwa awe makini na CCM wenzake kuliko wapinzani kwani ndio wanaweza wakamuharibia kazi yake! Rais Samia hakumtaja jina mtu huyo. Ila kwakuwa JF ni jukwaa pana na zito, je tunaweza tukamjua mtu huyo ni...
  6. JamiiForums Tanzania Naona Rais Samia anarudisha kwenye mfumo taratibu taratibu watu waliotumbuliwa

    Hii inanipa tafasiri ya kwamba ingawa alikuwa Makamu wa Raisi enzi za Hayati Magufuli pia walikuwa hawaelewani yaani walikuwa ni kama maji na mafuta. Hapa chini tunaona Mama kamrudisha Dr. Baghayo Abdallah Saqware kuwa Kamishina wa Mamlaka ya usimamizibwa Bima Tanzania (TIRA) ambaye...
  7. O

    JamiiForums Tanzania Kama Nchi ziliweza kutoa nguvu za Wafalme, iweje sisi wenye Rais

    Ndugai usikubali kufa kindezi (Misemo ya vijana), Wewe ni Kiongozi wa Muhimili wa Bunge na Kikatiba una nguvu za kusikiliza Hoja za kumtoa Rais au hata kuchana speech yake. CCM wachache wanataka nafasi ya Uspika ili na wao wale kama wewe ulivokula, lakini usikubali kuiacha kizembe. Sio Lazima...
  8. JamiiForums Tanzania Mambo 16 niliyojifunza kwenye hotuba ya Rais Samia - Januari 4, 2022

    Yafuatayo ndio nimejifunza kutokana na hotuba ya Jana. 1. Rais amekasirishwa na maoni yaliyotolewa na speaker Ndugai kuhusu mikopo. 2. Rais amemshambulia speaker Ndugai at individual capacity na sio Kama speaker kwenye maoni kuhusu mikopo. 3. Rais amehaidi kukopa zaidi na mpaka Sasa wamepata...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu tafadhali simama uhesabiwe katika wanaotetea haki ya Spika kumpinga Rais

    Tundu Lissu umepigwa risasi ukipigania haki ya kuhoji na kumpinga Rais. Sasa imekupasa kufanyika mfano wa utaua na mzee wa kitaifa, a towering statesman Spika Ndugai hakujali ulipopigwa risasi, na hajui unachokitetea ni nini, leo hii yamemkuta Spika Ndugai, mwanasiasa mwenzio na mtesi wako, the...
  10. JamiiForums Tanzania Mikopo ya miaka ishirini? Kweli Rais Samia anatupeleka pabaya

    Wanabodi, Serikali inataka kufanya mengi na katika kufanya hayo, inataka kutumia muda mfupi kutekeleza miradi ya kimkakati kama njia ya kupeleka maendeleo kwa wananchi. Labda kuna uwezekano kwa serikali kukamilisha mipango yake bila kukopa lakini maelezo tuliyoyapata kutoka kwa viongozi wa nchi...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ukali wa Rais Samia ni mzuri kwa nchi yetu kwa sasa

    Raisi ameanza kuamini tuliyokuwa tunamwambia kwamba asiwaamini wote wanao mzunguka. Lakini vilevile amegundua kuna watu walikuwa wana mfitini na kuwaelekeza upinzani kuhusu kukamatwa kwa Mbowe na kuhakikisha wapinzani anawaona kama wabaya. Ndugai " Sasa 2025 mtaamua mkitoa waliopo nao sawa waje...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia leo kafanya kosa kubwa sana. Huwa hatukunjui makucha kwa waliotukosea

    Leo Samia amefanya kosa kubwa sana kwa kitendo chake cha kujibu mashambulizi kwa Ndugai. Hii mbungi ya Ndugai ndo ilikuwa chance kubwa ya mama kuwajua maadui zake kwa kirefu. Mama angepaswa kuwa soft kabisa kwa siku ya leo. Na ingependeza kama angeanza kumshukuru kwa dhati Ndugai kwa kuomba...
  13. JamiiForums Tanzania Japokuwa simkubali Ndugai, lakini katika hili ameonewa na kudhalilishwa isivyo sahihi na Rais

    Ngoja niweke ushabiki na chuki zangu pembeni dhidi ya Ndugai, katika hili la sasa la Rais Samia kumfokea, kumdhihaki, kumbeza, kumnanga na kumzodoa hadharani Spika wa bunge la Tanzania, Job Ndugai binafsi ninaona sio haki, sio uungwana na sio heshima. Spika Ndugai ameonewa na kudhalilishwa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Niliambiwa watakaokuangusha ni hawa hawa KIJANI wala siyo Wapinzani!

    Hii kauli imenifikirisha sana Waswahili wana msemo wao " kikulacho ki nguoni mwako" Wanaweza kukuaminisha Mbowe ndiye tatizo kumbe wana lao jambo binadamu siyo watu kwa kweli. Leo nimemuelewa sana mh Rais Samia! Mungu wa mbinguni mbariki Rais Samia.
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu keshapasua jipu tayari huko“ Sote tumejua CCM ni kama fisi tu wanakulana wao wao”

    Kinachoniuma sana mimi mfuasi kindakindaki wa iliyokuwa awamu ya Tano ni kwamba Masalia yetu ambayo tulitegemea 2025 yatakuwa imara yameshavunjwa miguu tayari hayana ujanja tena. Tena wamesemwa kama watoto yatima ambao hawana wazazi, tukianzia Katelephone kisha Spika (JBL) naona ndio mwisho...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tanesco iliharibiwa hapa katikati eti mwananchi aunganishiwe umeme kwa sh 27,000/=

    Naangalia marudio ya hotuba ya rais hv sasa kupitia ITV rais Samia anatema cheche. Amegusia suala la kuunganisha umeme kwa sh 27,000/= na akasema kuwa haina uhalisia kabisa na haiwezekani. Amemtaka waziri wa nishati kuweka gharama zitakazowezesha Tanesco kujiendesha kwa faida. Tena akamtaka...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Wapinzani ni washauri sahihi wa serikali, walimshauri Rais avunje baraza tukawapinga; naamini wanatonywa mengi

    Wapinzani walipomwambia Rais avunje Baraza ateue na kuapisha upya niliikuwa mmoja wa waliodhani ni ushauri batili. Wapinzani wakasema kuna watu walitaka Mhe. Rais asiapishwe nikawapuuza nakudhani wanataka kumtisha Mhe. Rais akose utulivu Wakasambaza taarifa za sukuma Gang nikaona wanaanza...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Rais utakapobadilisha Mawaziri, badilisha na Makatibu Wakuu wa Wizara husika

    Ni maoni yangu tu, maana hao makatibu wakuu ndio watendaji wakuu wa wizara. Kama waziri hayupo sawa, maana yake hata katibu wa wizara atakuwa hayupo sawa Ni mtazamo wangu tu
  19. JamiiForums Tanzania Msuguano baina ya Spika na Rais ni ulevi wa madaraka

    Upo msuguano wa dhahiri baina ya Spika na Rais. Spika ni kiongozi wa Bunge “Bunge” na Rais ni Kiongozi wa Serekali “Executive”. Wote ni Wakuu wa mihimili hapa anakosekana Jaji Mkuu ambae ni Mkuu wa Mahakama. Ukizitazama kwa makini misuguano baina ya Rais na Spika utaona dhahiri kila mmoja...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Rais kumlaumu Mkuu wa Mhimili wa Bunge, hatua mujarabu ni avunje Bunge

    Rais Samia Suluhu Hassan kusema kiongozi mhimili wa Bunge kuusema mhimili wa serikali kuu yaani taasisi ya Urais ni dalili za kutengeneza mazingira ya kushindana naye katika uchaguzi wa 2025 inaashiria hali ya sintofahamu ndani ya chama tawala. Huku bunge la Tanzania kuwa la chama kimoja baada...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…