rais

  1. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Samia: Serikali tumejipanga, waje siku yoyote tunawasubiri (kuhusu Maandamano ya Disemba 9)

    Hii statement siyo nzuri kwa kipindi hiki inaweza kum cost. Kwamba waje 9 Disema au 25 Disemba au siku yeyote tumejipanga. Who are You. Ameyasema haya leo akinukuu clips za Mange Kimambi za mitandaoni.
  2. JamiiForums Tanzania Saikolojia ya Rais Samia inaonesha hofu badala ya ujasiri au matambo

    Sifahamu kama aliyoyasema leo kwenye mkutano wa wazee wa dar ameandikiwa ama ameyatoa kichwani mwake? Kwa vyovyote vile inaonekana aliyafanyia mazoezi ya siku kadhaa kabla ya kuzungumza. Kwa sisi wenye "jicho la tatu" ni rahisi sana kubaini hofu iliyopo katika matamshi yake. Kwa juu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Maumbile yetu na utajiri wetu isiwe laana tukauana kwa kushawishiwa na wanaotolea macho nchi yetu

    Rais Samia amesepa, Tanzania inapigwa na kulembewa mawe kwa vile Mungu alivyotuumba kuwa nchi yenye utajiri na rasilimali nyingi. Ameongeza kuwa Maumbile yetu na utajiri wetu visisababishe watanzania wakauana kwa kushawishiwa na wale wanaotolea macho nchi yetu. Huu ni wakati wa watanzania...
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Hakuna dini ya ku-override serikali, toka niingie madarakani TEC wametoa nyaraka 8

    Rais Samia ameongeza kwa kusema "Kama haumpendi kiongozi aliyeko juu, basi vumilia wakati wake utaisha tu". Amesema tangu aingie madarakani, TEC wametoa matamko 8 Pia Soma: Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kumbe Rais Samia ndiye alitoa ruhusa ya kufanya siasa?

    Miaka yote nilifikiri suala la kufanya shughuli za kisiasa hapa nchini ni takwa la kikatiba kumbe ni ruhusa ya Rais. Amesema mwenyewe huko kwenye mkutano na wazee wa Dar es Salaam.
  6. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Waratibu wa maandamano wanatoka nje, wachache wa ndani ni kwa sababu ya njaa na kukosa uzalendo

  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Vurugu zilipangwa siku ya uchaguzi kwa sababu walishajua CCM inaenda kupata ushindi mkubwa.

  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia anahutubia Taifa kupitia Mkutano wa Wazee wa Dar es Salaam, ukumbi wa JNICC

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika mkutano maalum ulioandaliwa na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam, uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam tarehe 02 Desemba, 2025...
  9. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Kilichotokea kilipangwa, lengo lilikuwa kuangusha dola. Yale hayakuwa maandamano bali vurugu za uharibifu

    Akizungumza na wazee wa mkoa wa Dar es Salaam Dec 2, 2025 Rais Samia ameeleza kuwa watu walioingia barabarana walikuwa na lengo la kuiondoa dola madarakani na tukio hilo lilikuwa ni la kutengeezwa. Anasisitiza vijana walifanywa makasukua na kuimbishwa kuwa wafanye ili yatokee yaliyotokea Madagascar
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Poleni mliofiwa na ndugu zenu. Msiba huu ni wetu sote

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amewapa pole wale waliofiwa na ndugu zao katika maandamano ya Oktoba 29, ingawa yeye ameeleza kuwa maandamano hayo yalijumuisha vurugu. Rais Samia Suluhu Hassan aliyasema haya wakati akizungumza katika mkutano maalum...
  11. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Walioratibu fujo Oktoba 29 walitaka watanzania kuwa makafara kwa malengo yao ya kisiasa yaliyojaa ubinafsi

    Rais Samia amesema vurugu zilizotokea Desemba 29 na kuendelea siyo desturi wala utamaduni wa Watanzania. Ameongea kuwa inatia uchungu kuona wachache walioratibu fujo zile wakitaka watanzania wenzao kuwa makafara kwa malengo yao ya kisiasa yaliyojaa ubinafsi tofauti na siasa zilizopo, lakini kwa...
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Lililotokea ni tukio la kutengenezwa, ni mradi wenye nia ovu kuangusha dola ya nchi yetu

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema matukio yaliyotokea kuanzia Oktoba 29, 2025 na kuendelea yalikuwa matukio ya kutengenezwa ambayo yalikuwa na lengo la kuangusha dola ya nchi yetu. Ameyasema hayo leo Disemba 02, 2025 akizungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar Es Salaam katika ukumbi wa mikutano wa...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Dar es Salaam tulionja joto ya jiwe

  14. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Chalamila: Rais Samia ameunda serikali kwa kujali hisia za watanzania

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema maelekezo yote yaliyotolewa na Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan siku ya hotuba yake baada ya kuapishwa yametekelezwa na yanaendelea kutekelezwa kwa kufanyia kazi makundi yote ya msingi kwa kusikiliza hisia zao, matatizo yao ili...
  15. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hotuba ya Rais Samia: "Nani wa kumfunga paka kengele?"

    Mambo mazito Yanayosubiri Majibu Baada ya kutangazwa katika vyombo vya habari kuwa Rais Samia Suluhu Hassan atazungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam na kuliutubia Taifa, mijadala mikubwa imeibuka kwenye mitandao ya kijamii. Baadhi wanatarajia hotuba itakayofungua ukurasa mpya wa matumaini...
  16. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Yanayojiri kati ya Rais Samia na wazee wa Dar es S alaam

    Guys! Naombeni kujuzwa yale yote yatakayo jiri katika mkutano huo wa leo tar 02/12/2025. Sababu ni ubize wa majukumu ahsanteni.🙏
  17. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia, tafadhali waongezee mishahara polisi, bila polisi Dar es Salaam leo ingekuwa majivu

    TEC na watu wote wapumbavu walitaka jeshi la polisi liache vijana huru kuanzia ile tarehe 29 September mpaka pale ambapo ofisi zote za umma Dar es salaam zingekuwa majivu. Walitaka polisi wawaache vijana wawe huru kupita nyumba za wana CCM na watumishi wa umma wote pamoja na maaskari na kuwaua...
  18. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Padre Kitima: Rais aliwahi kusema huwezi kuwa Polisi halafu ujichunguze. Kwanini sentensi hii isiongelewe leo?

    Katibu mkuu wa baraza la maaskofu katoliki Tanzania padre Dkt. Charles Kitima amesema kuliwahi kutokea tatizo la polisi Mtwara 'Rais akasema huwezi wewe kuwa polisi umefanya hivi halafu ujichunguze' huku akihoji kwanini sentensi hiyo isiongelewe leo? Pia amehoji serikali kuunda tume ya...
  19. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia kulihutubia Taifa kupitia mkutano wa wazee wa Dar es Salaam kesho Desemba 2, 2025

    Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amesema kuwa Rais Samia siku ya kesho Jumanne ataongea na wazee wa Dar es salaam lakini atatumia mkutano huo kulihutubia taifa. Amesema ''Kutokana na Mkoa wetu kuendelea kurejea katika hali yake ya amani Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt...
  20. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais niamini Mimi amani hulindwa na walioshiba, wenye NJAA hawaelewi, waliomwambia mbunge hawataandamana, wamemalizia na neno "Tuna NJAA"

    Najiuliza Mzee kikwete yupo kweli? Butiku je? Warioba je? Peter msigwa je?😂😋🤣? Yule mjaruo Koko, Wenje je? Hivi peter msigwa na wenje mnaweza vaa mashati ya ccm Leo hii mkaitisha mikutano majimboni MWENU Leo hii?🤣😋😂? Sio agenda yangu asubuh ya Leo ya mwezi mpya. Mh RAIS, watu hawataki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…