rais

  1. JamiiForums Tanzania Wakazi wa Madaba wampongeza Rais Samia kwa Tsh bilioni 1.5, Mbunge Mhagama awaonesha vijana njia

    Wananchi wa Jimbo la Madaba wakiongozwa na Mbunge wa Jimbo hilo, Dkt. Joseph Mhagama wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kupata tuzo ya mafanikio ya ujenzi wa miundombinu. Pongezi hizo zimetolewa Juni 4,2022 wakati wa tamasha la kutambua vipaji kupitia sanaa na michezo jimboni humo...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Dharau: CAF wapingana na Rais mtarajiwa wa Yanga sc

    Mkiambiwa kwamba Yanga sc ndiyo mabingwa watarajiwa wa Afrika na klabu bingwa ya dunia msibishe, leo CAF kwenye page yao ya twitter wamepost kwa furaha clip ya team hiyo huko mwanza na vi emoji vya shangwe kwani wana matumaini makubwa kwa team hiyo kuwa ya kwanza toka afrika kubeba ndoo ya dunia...
  3. JamiiForums Tanzania Jenerali Mabeyo amuaga Rais Mwinyi. Ajiandaa kustaafu June 2022

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Venance Salvatory Mabeyo leo amefika Ikulu ya Zanzibar kwaajili ya kumuaga Rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi ikiwa ni maandalizi ya kustaafu mwishoni mwa mwezi huu. Jenerali Mabeyo 65, amelitumikia jeshi kwa miaka 42 sasa na muda wake wa utumishi unaenda...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashuhudia utiaji saini mikataba ya Mradi wa Maji wa Miji 28 - Chamwino (Dodoma), Juni 6, 2022

    Rais Samia akishuhudia utiaji saini mikataba ya Mradi wa Maji wa Miji 28 - Chamwino Jijini Dodoma, Juni 6, 2022. ======= Samia Hassani, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Viongozi wote mliopo na wote mliokuja kushuhudia utiaji saini, Jamhuri ya Muungano, Kazi iendelee Ndugu zangu ni...
  5. JamiiForums Tanzania Tusimchomekee Rais, bado tunahitaji kuzuia wanyama wasisafirishwe

    Ni muhimu kuendelea kudhibiti kwa ukali(srtrict prohibition) juu ya kusafirisha wanyama nje ya nchi. Iwapo wanyama tulionao ni kivutio cha kipekee kinachowafanya watalii waje nchini basi hatuna budi kuzuia usafirishaji wa wanyama ili kuendekeza umuhimu wa watalii kuja na kuwaona. naweza...
  6. JamiiForums Tanzania RAIS Samia tunusuru Wanakagera tupewe hela za tetemeko zilizochukuliwa na serikali ikijidai inarekebisha miundo mbinu

    Wana JF Katika kitu kigumu ni kuamini kama serikali kupitia kiongozi wake anaweza kudhurumu pesa isiyo yake kutoka kwa wale walioingiwa na huruma wakachangia watu wajistri na pesa inayobaki waunganishe na yabdharura ya maafa kujenga miundo mbinu. Bado tuna kumbu kumbi waliochangia maafa ya...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Nafurahi kuona kitu pekee ambacho CCM , CHADEMA, ACT Wazalendo wanakubaliana ni kuwa Magufuli hakufaa kuwa Rais wa hii nchi

    Hili lipo wazi japo CCM wamekuwa hawalisemi sana hadharani, lakini unaona marekebisho yanayofanyika na ndipo hapa ninapojivunia kuwa mtanzania, wote hatujakubali uhayawani wa yule mtu na tulifurahi sana Mungu alivyoamua kesi na bahari imetulia Pengine hata sio ndani ya Tanzania tu, nchi jirani...
  8. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya uteuzi chini ya ofisi ya Rais inanuka rushwa ndio maana wateule wengi wa Rais hutapeliwa ovyo na watu wanaojinasibu hutoka ofisi ya Rais

    Uhuni huu enzi ya Hayati Magufuli haukuwepo ila naona umerudi kwa kasi baada ya Mama Samiah Suluhu kutwaa madaraka. Kwa ufupi ni kwamba mamlaka ya uteuzi chini ya ofisi ya Rais ikulu imejaa na inanuka rushwa, hili limedhilika kwa baadhi ya wateule wa Rais katika nafasi mbalimbali ikiwemo DC...
  9. JamiiForums Tanzania Bernard Membe kumbuka wakati hizo maiti unazodai kuokotwa kwenye viroba Rais Samia alikuwa Makamu wa Rais. Na hii bado ni Serikali ya awamu ya tano

    Kwa akili ya kawaida utamtenga vipi makamu wa rais ambae ni msaidizi mkuu wa rais wa JMT. Kwa hiyo impliedly kama maiti ziliokotwa na watu kutekwa hovyo makamu wa rais hakujua na kuhusika? Kama alijua huu ni uovu usiofaa alipaswa kujitenga nao kabisa na ikibidi kujiuzulu. Vipi kuhusu ile...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Kikosi Kazi kimeundwa na Msajili sio Rais, na wajumbe wake hawajaapa mbele ya Rais

    Tusifananishe KIKOSI KAZI na Tume za Kijaji za Nyalali, Kisanga na Warioba. Kikosi kazi hakikuundwa na Rais. Kimeundwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa baada ya AZIMIO la kikao cha Baraza la Vyama vya Siasa kilichofanyika Dodoma. Tume ya Nyalali, Kisanga & Warioba, zote, zilianzishwa...
  11. JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Samia Afungua Mkutano wa Tisa wa Chama cha Makatibu Mahsusi (TAPSEA). Ahimiza Utunzaji Siri za Serikali, Maslahi na Fursa Kuzingatiwa

    Rais Samia akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Makatibu Mahsusi Jijini Dodoma. ENG. ZENA AHMED SAID, KATIBU MKUU KIONGOZI – ZANZIBAR Tunatambua umuhimu wa Makatibu Mahsusi, kwakweli wanafanya kazi za viongozi wao kuwa rahisi kwa jinsi wanavyowasaidia kazi. Sasa, ili waweze kufanya...
  12. JamiiForums Tanzania Makundi yanayomuunga mkono Rais Samia Suluhu

    Makundi yanayo muunga mkono Rais Samia Suluhu yana-reflect kwamba mama anaupiga mwingi kwa kazi anazofanya ndani na nje ya Tanzania. Makundi hayo ni: -Vyama vya Siasa vinaumuunga mkono ✅ Wamachinga ✅ Wanasiasa / Wanachama wao✅ Viongozi wa dini ✅ Bodaboda ✅ Wanawake ✅ Vijana ✅ Wazee ✅ Walemavu...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Bado jambo moja tu Rais Samia awe Rais Bora kuwahi kutokea Tanzania na Afrika nzima

    Kuna sifa kuu Tatu za Mtumishi Bora na Tatu za kiongozi Bora. Sifa za Mtumishi Bora ni: 1. Muwazi 2. Mchapa kazi 3. Mwaminifu Popote pale ukipata mtumishi mwenye sifa hizo usimuache aende zake utakuwa umepoteza hazina kubwa sana. Sifa za Kiongozi Bora: 1. Mtu wa Mfano 2. Muwajibikaji 3...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi Rais Hajui mfumuko wa bei bidhaa mbalimbali hadi Rim paper (47000-120000)?

    Hii nchi uzuzu umefika pabaya sana, serikali imeacha mambo ya msingi yaharibike. Inahangaika na punguzo la bei za petrol inajisahau bei za bidhaa na huduma zingine ambazo baadhi mfumuko wake wa bei ni wa umakusudi kbsa kutumia fursa ya utopolo wa watendaji na viongozi. Badala ya serikali kuunda...
  15. JamiiForums Tanzania Ni wa wakati wa kudai katiba mpya. Hii ya sasa imempa madaraka makubwa rais wa JMT haifai kabisa. Mmesahau yaliyomkuta Mwamba mpaka akalia machozi

    Tunapokuja kujadili suala ambalo ni mustakabali wa taifa letu basi tuweke ushabiki kando. Katiba ya sasa haifa na imempa madaraka makubwa rais wa JMT ndio maana wateule wake na wasaidizi wake wanatumika hovyo kupeleka mateso kwa raia kwa chuki ambazo hazina kichwa wala msingi. Tupate katiba...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Rais Samia amenilipa stahiki zangu nilizonyimwa na Magufuli

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema Rais Samia amemlipa stahiki zake kama Mbunge ambazo ni kiinua mgongo, Serikali ya Rais Magufuli ilikuwa imekataa kumlipa. Pia, Serikali ilimuambia aandike barua pamoja na kuambatanisha na nyaraka ili apewe fedha zake za matibabu ambazo Serikali...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia anaongozwa na Magufuli anakusanya kodi kutekeleza Maono ya Magufuli, wanaobwabwaja wana akili ndogo sana

    Rais wa Tanzania anatekeleza miradi iliyoachwa na Magufuli kwa mfano kila mradi anaouzindua kwa Sasa ni mradi ulioachwa na Magufuli Fedha nyingi zinazokusanywa kwa Sasa zinaenda kuendeleza miradi mipya iliyoanzishwa na Magufuli na Rais Samia Hana mradi wowote mpya aliouanzisha bali anatekeleza...
  18. JamiiForums Tanzania Dar: Rais Samia akabidhi magari 123 kwa Mamlaka za Maeneo ya Utekelezaji kwa Shughuli za TASAF

    AMOS MAKALLA, MKUU WA MKOA WA DAR Kwanza niseme hali ya mkoa ipo salama, hali nishwari tunaendelea na shughuli zetu. Kwahiyo, hata ile operesheni ya panya buku na panya road imefanikiwa kwa kiasi kikubwa. Kimya kabisa! Lakini, nikuahidi kuwa ni operesheni endelevu. …juzi tulipata matukio ya...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni kama Nyerere kimataifa

    RAIS SAMIA ANAMUENZI NYERERE KUREJESHA NAFASI YA TANZANIA KIMATAIFA- KAFULILA ==== Mkuu wa Mkoa Simiyu , Mhe David Kafulila amesema kuwa ziara za Mhe. Rais duniani mbali ya faida lukuki za kiuchumi ni za kimkakati kurejesha nafasi ya Tanzania kwenye jukwaa la kimataifa. Mhe Kafulila amesema...
  20. JamiiForums Tanzania Tusipomsemea Rais Samia Watanzania; dunia, miti, wanyama na viumbe vingine vitanena kwa ajili yake

    WAUNGWANA WALINENA HAKUNA KAMA MAMA ILA WATANZANIA TUNASEMA HAKUNA KAMA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN (aka Mama wa Taifa)! Ukimuangalia Mh Rais kwa jicho la akili haraka haraka utagundua kuwa ni: •JASIRI • MKOMAVU KI UONGOZI •HANA PAPARA • ANA JIAMINI AFANYACHO NA KUBWA ZAIDI ANA MAPENZI YA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…