rais

  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tazama hapa pensheni ya ustaafu ya Rais wa Kenya

    Salaam Wakuu, Kweli Urais sio jambo la kitoto. tazama hapa malupulupu anayopata Rais wa Kenya akiondoka madarakani. malupulupu ya ustaafu kwa Rais wa Kenya
  2. JamiiForums Tanzania Marekani ni baba wa demokrasai na haki Dunia ila ni kwanini hawajawahi kumpa mwanamke nafasi ya kuwa Rais?

    Hapo vip! Binafsi nimekuwa nikijiuliza maswali mengi sana dhidi ya Marekani kujinasibu Duniani ya kwamba ni Baba wa Demokrasia na haki ila haijawahi kutawaliwa na mwanamke hata nafasi ya makamu wa rais ni lulu kwa mwanamke. Je, kuna siri au sababu gani wanayoijua hawa wazungu... NB: Tukumbuke...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi awataka wahitimu wa Kozi ya Usalama na Stratejia kuyatumia vema waliyofundishwa

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewataka wahitimu wa Kozi ya Usalama na Stratejia kuyatumia kwa vitendo maarifa waliyoyapata katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC), kilichopo Kunduchi Jijini Dar es Salaam. Dkt. Mwinyi ameyasema hayo...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Kikwete tarehe 11/12/2012 alifungua jengo la hosipitali Mbagala Zakhiem, leo limechakaa

    Jengo la hospitali ya Mbagala Zakhiem lilifunguliwa na Rais Kikwete Desemba 2012, leo hii jengo hilo halifai kwa matumizi kwani lina nyufa nyingi sana, kwa ujumla limechakaa kupita kiasi likiwa na umri wa miaka 10 tu! Je, haya majengo ya Serikali hukaguliwa kila hatua ya ujenzi na mamlaka husika?
  5. JamiiForums Tanzania Idadi ya Nchi zinazoongozwa na Rais mwanamke Africa

    Ninaomba kupatiwa Idadi ya nchi Za africa zinazoongozwa na Mara is wanawake.
  6. JamiiForums Tanzania Rais wa Ukraine, Zelenskiy atangaza zoezi la kuondoa raia katika Mji wa Donetsk

    Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskiy ameamuru raia waliopo katika Mji wa Donetsk kuondoka haraka kutokana na kuendelea kwa mapigano kati ya Wanajeshi wake dhidi ya vikosi vya Urusi. Zelenskiy ametoa maagizo hayo katika taarifa yake fupi ya video, akisema kuwa Serikali yake itawasadia wote...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia acha Kumtumia PM Majaliwa Kuelezea Jambo, kwani haeleweki, haaminiki tena na ana 'PhD' ya Kudanganya na Kukurupuka

    WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, amesema serikali inapopandisha mishahara inaangalia zaidi kima cha chini na kwamba asilimia 23 iliyosemwa na Rais Samia Suluhu siku ya Mei Mosi iliwalenga zaidi wenye kipato cha chini. Majaliwa ameyasema hayo leo Julai 29, 2022 akitoa ufafanuzi kuhusu nyongeza ya...
  8. JamiiForums Tanzania Wanawake msimuangushe Rais Samia Suluhu

    Rais Samia Suluhu anaendelea kuwaaamini wanawake kwa kuwateua katika nafasi za uongozi, ili kuleta usawa wa jinsia katika kutoa uamuzi. Kitendo cha kuongeza idadi ya wanawake katika uteuzi wa wakuu wa mikoa na makatibu tawala, ni uthibitisho kuwa Rais anatoa fursa . Ili kuendelea kuaminiwa na...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania ina maeneo 50 yanayoweza kuzalisha 5000MW za umeme wa joto ardhi (geothermal)

    Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu imedhamira kwa dhati kuzalisha umeme Megawati 6000 hadi ifikapo mwaka 2025. Nishati hiyo itakuwa mchanganyiko endapo itazishwa na rasilimali tofati kama vile maji, upepo, jua na hojo ardhi. Katika kufanikisha hili kufikia azma hiyo, kupita...
  10. JamiiForums Tanzania Rais wa US akiri uchumi wa nchi yake waporomoka

    Thursday’s reading is a blow to the Biden administration, which many have blamed for record-high inflation and soaring interest rates that have caused consumers to tighten their purse strings. Reacting to the second quarter GDP report, Biden avoided addressing the recession issue. Instead, he...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na haki sawa kwa Mwanamke

    Rais Samia Suluhu Hassan anaitambua nguvu ya mwananmke ndio maana ameteua wanawake wengi kwenye uongozi wake ile dhana ya mwanamke hawezi imefutika na hii ni maana halisi ya haki sawa. Kwa sasa Tanzania ina Wakuu wa Mikoa wanawake 8 tena wenye uwezo sana. Hii ni rekodi ya kuwa na Wakuu wa Mikoa...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan na mfumo wa 'contrarian approach'

    Rais Mhe. SAMIA SULUHU HASSAN anatumia mfumo wa 'Contrarian approach' kwenye teuzi ambao kisiasa unawapa fursa Viongozi wa juu kufanya uamuzi ambao hautarajiwi na wananchi walio wengi, Mfumo huu umetajwa kuwa ni mzuri katika kupata matokeo ya haraka na yanayotarajiwa na kiongozi husika. Hivi...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani akagua ujenzi wa Hospitali Chalinze ambayo inazidi kumulikwa na Serikali. Wadau wamuunga mkono

    RIDHIWANI AKAGUA UJENZI WA HOSPITALI CHALINZE AMBAYO INAZIDI KUMULIKWA NA SERIKALI YA RAIS SAMIA. WADAU WAMUUNGA MKONO. Jana Jumatano Julai 28, 2022 Mbunge wa Chalinze ambae pia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete amekagua maendeleo ya ujenzi wa...
  14. JamiiForums Tanzania Teuzi za Rais Samia zinavyoinua wanawake

    Kufuatia mabadiliko ya wakuu wa mikoa yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu, Tanzania sasa ina wakuu wa mikoa 8 wanawake sawa na 30.7%. Hii inawezekana ndiyo idadi kubwa zaidi ya wakuu wa mikoa wanawake tangu uhuru wa Tanzania zaidi ya miaka 60 iliyopita. Rais Samia Suluhu anaamini katika usawa na...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya uteuzi wa Makatibu Tawala wa Mikoa

    Rais Samia Suluhu Hassan leo tarehe 28 Julai 2022 amefanya uteuzi wa Makatibu Tawala wa Mikoa wapya saba na kuwahamisha vituo vya kazi Makatibu Tawala wa mikoa 10 na wengine tisa kubakia kwenye vituo vyao vya kazi. Uapisho wa viongozi hao utafanyika Ikulu Chamwino, Dodoma tarehe 01 Agosti...
  16. J

    JamiiForums Tanzania RC Kafulila: Rais Samia ni shujaa mpya wa Afrika anayechomoza kwa kasi ya ajabu

    Akiwa katika maadhimisho ya Siku ya Mashujaa, Rc Kafulila ameifananisha kasi ya maendeleo inayopigwa na Rais Samia inafanana kabisa na ile ya mashujaa wetu, " Kumbukumbu ya Mashujaa inatukumbusha historia yetu, inatukumbusha historia ya wazee wetu na mchango wao wa damu kumkabili mkoloni...
  17. M

    JamiiForums Tanzania RC Kafulila: Rais Samia anatupitisha njia ile ile ya Korea na Vietnam, tulikuwa nao sambamba kiuchumi miaka ya 1990's walituacha sasa tunawashika

    RAIS SAMIA ANAVYOIVUTIA KASI VIETNAM, KOREA KIMAENDELEO, Mhe Mkuu wa Mkoa wa Simiyu David Kafulila anasema, Ujenzi wa Chuo cha VETA Simiyu ni moja kati ya vyuo 25 anavyojenga Mhe Rais Samia Suluhu Hassan, nchi nzima kuanzia mwaka jana, Mhe Rais anatujengea jumla ya majengo 25 na sasa tupo...
  18. JamiiForums Tanzania Tusimlaumu Rais tujilaumu sisi wenyewe {Tanzania nchi yangu}

    tusicho kijua ni kuwa Marais wengi sio Binaadam na sio Watu pia, ili uwe Binaadam ni lazima uwe na sifa za kibinaadam na ili uwe Mtu ni lazima uwe na sifa njema za Kiutu. ndio maana wagombea wa Urais ambao ni Watu na Binaadam watagombea Urais hadi kifo kinawachukua awafanikiwi ng'oo kukikalia...
  19. JamiiForums Tanzania Sio mafuta tu, Rais Samia Suluhu aweka ruzuku na kwenye mbolea

    Serikali imetenga Bil 150 kugharamia ruzuku ya mbolea itakayotolewa kwa wakulima nchini kwa ajili ya kupunguzwa makali ya bei ya mbolea. Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua mpango wa utoaji wa ruzuku ya mbolea katika kilele cha maonyesho ya Nanenane, yatakayofanyika mkoani Mbeya...
  20. JamiiForums Tanzania Mke wa Rais wa zamani wa Zambia ahojiwa tuhuma za rushwa

    Esther Lungu ambaye ni mke wa Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu amehojiwa na Wakala wa Kupambana na Utakatishaji Fedha wa Zambia kuhusu umiliki wake wa nyumba za kisasa zilizopo katika Mji wa Lusaka. Nyumba hizo 15 ziliweka chini ya uangalizi maalum mwezi huu zikidaiwa kuwa zilipatikana kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…