rais

  1. JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete anasifiwa kwa jambo lipi hasa la maana alilofanya nchi hii?

    Watanzania wengi ni watu wenye uelewa mdogo sana wa mambo. Kwa kutumia mwanya huo ndio maana CCM inaendelea kutawala nchi hii wanavyotaka. Unashangaa watu wengi wanamsifia sana Kikwete na kumuona mtu wa aina yake na aliefanya mambo makubwa nchi hii lakini ukweli ni kwamba Kikwete kaliingiza...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Makambako: Mbunge alia fidia za wananchi mbele ya Rais Samia, Waziri amjibu

    Mbunge wa Jimbo la Makambako, Deo Sanga amemuomba Rais Samia Suluhu amuagize Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi kulipa fidia kwa wananchi ambao maeneo yao yalichukuliwa. Mbunge huyo ametoa malalamiko hayo leo hii katika ziara ya Rais jimbo la Makambako. Kwa mujibu wa mbunge huyo, kuna maeneo...
  3. JamiiForums Tanzania Dada wa Rais Kim Jong-Un akiri kaka yake kupata homa kali katika maambukizi ya Covid-19

    Imefahamika kuwa Rais wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un alipata homa wakati wa maambukizi ya Uviko-19, hayo yamesemwa na dada wa kiongozi huyo, Kim Yo-jong. Kwa kauli hiyo ni wazi anathibitisha Kim Jong alipata maambukizi kama ilivyodaiwa, lakini Yo-jong amelaumu Korea Kusini kwa kudai walirusha...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wanafunzi wa Uhandisi na Udaktari kusoma bure

    NJOMBE Kijiji cha Mtwango Mwigulu Nchemba - Waziri wa Fedha Sensa huja kila baada ya miaka kumi. Twendeni tukapate idadi yetu kamili ili Mh. Rais aweze kuwaleta mafungu yanayo endana na idadi yenu. Tuendelee kuongeza mapato, tumefanya vizuri lakini bado tunaweza kufanya vizuri zaidi ili...
  5. JamiiForums Tanzania Peru: Polisi wavamia nyumba ya Rais ya Mapumziko kumsaka Shemeji yake anayetuhumiwa kwa uhujumu uchumi

    Polisi wamevamia nyumba ya kibinafsi ya Rais Pedro Castillo, kumtafuta shemeji yake Yenifer Paredes, anayeshutumiwa kwa ufisadi na utakatishaji fedha ambapo baadaye alijisalimisha kwa Mamlaka. Yenifer anayetajwa kuishi nyumbani kwa Rais huyo ni mtu wa nne kuchunguzwa miongoni mwa watu wake wa...
  6. JamiiForums Tanzania Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi akiwa na Rais wa FIFA

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi, akiwaongoza Rais wa FIFA, Gianni Infantino na wa Caf Patrice Motsepe kuelekea na kisha kushiriki zoezi la kupanda miti ya matunda katika eneo la Shule ya St. Constantino, Arusha, kabla ya mechi ya kirafiki ya viongozi...
  7. JamiiForums Tanzania Agizo la Rais Samia kuondoa Mwenge kwenye daraja la Tanzanite limepuuzwa?

    Wakati anazindua daraja la Tanzanite alisema kuwa ule Mwenge utolewe iwekwe Tanzanite ili kusadifu maana ya daraja ila mpaka sasa kimya. Je, TANROADS wamepuuza? Ama ni dharau kwa mamlaka?
  8. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu afanya makubwa sekta ya usafiri wa anga

    Katika mwaka wa fedha 2022/23 Serikali ya Rais Samia Suluhu imetenga Sh. 86.1bn/- kwa ajili ya ujenzi na marekebisho ya viwanja vya ndege mbalimbali nchi nzima. Lengo ni kuboresha sekta ya usafiri wa anga na pia kuimarisha sekta ya utalii ambayo imekuwa ikichangia kiasi kikubwa sana cha fedha...
  9. JamiiForums Tanzania Yanga msituaibishe mbele ya Rais wa FIFA

    HaABARI WAKUU. Leo kwenye mkutano mkuu wa CAF uliofanyika jijini Arusha. Na kuudhuliwa na kiongozi mkuu wa Fifa Giant El Fantinho. Viongozi wa CAF Motsepe nk. Waziri mkuuu amemkaribisha RAIS WA FIFA kushuhudia Mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Simba na Yanga utakaochezwa August 13 jijini Dar es...
  10. JamiiForums Tanzania Njombe: Rais Samia Awahutubia Wananchi Katika Mkutano wa Hadhara, Asema Serikali Imezuia Kupandisha Hadhi na Kukata Maeneo ya Utawala

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi wa Njombe katika mkutano wa hadhara katika Uwanja wa Sabasaba Njombe Mjini, leo tarehe 10 Agosti, 2022. DKT. PINDI CHANA – WAZIRI, MALIASILI NA UTALII Kwa niaba ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwakweli...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu anafanya makubwa sekta ya usafiri wa anga

    Katika mwaka wa fedha 2022/23 Serikali ya Rais Samia Suluhu imetenga Sh. 86.1bn/- kwa ajili ya ujenzi na marekebisho ya viwanja vya ndege mbalimbali nchi nzima. Lengo ni kuboresha sekta ya usafiri wa anga na pia kuimarisha sekta ya utalii ambayo imekuwa ikichangia kiasi kikubwa sana cha fedha...
  12. JamiiForums Tanzania Alichokifanya Rais Samia baada ya kuombwa na familia hii Manyara

    Urais ni utumishi wa Umma, shuhudia alichokifanya Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa mama na mtoto wa familia hii kutoka Mkoa wa Manyara
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia, fufua kiwanda cha mbolea Tanga (Tanga Fertilizer Company)

    Mwalimu Nyerere aliona mbali sana baada ya kujua kuwa nchi hii ya Tanzania ni ya Wakulima na Wafanya kazi. Kati ya viwanda vingi alijenga ni kile cha Tanga Fertirlizer Company iliyokuwa inatengeneza mbolea ya NPK na nyingine kama sikosei. Wajanja wakakiuza na hata ukigoogle leo hakipo kwenye...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia ataka wananchi wasibugudhiwe

    Katika Ziara ya kikazi inayoendelea Mkoani Njombe, Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete kutowachangisha wananchi fedha kwa nguvu badala yake watumie utaratibu mzuri.
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia akosa imani na Waziri Mashimba Ndaki

    Rais Samia Suluhu Hassan amenukuliwa na magazeti mengi ya leo akitoa onyo la mwisho kwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki kutokana na usimamizi mbovu wa Wizara yake na kudaiwa huku fedha nyingi zikidaiwa kupotelea kwenye mifuko ya watu. Naungana na Rais Samia, Mashimba ameonyesha...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Makamba kwenye nishati atakufelisha! Umeme unakatika mno!

    Kama unapenda aendelee kuwa waziri sasa unaweza kumbadilisha vizara ila kwa wizara ya nishati kusema kweli ni changamoto kubwa: Watu wanalia kila kukicha lakini wewe kuna uwezekano hupati taarifa sahihi,ila naomba ujue hali sio nzuri! Gharama za maisha zimepanda watu wa ofisi ndogondogo kama...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia mkoani Mbeya imeibua shangwe na nderemo Nyanda za Juu Kusini

    Ndugu zangu ukizungumzia suala la kilimo kwa mikoa ya nyanda za juu kusini ndio pumzi ya wananchi wote, Ndio tegemeo la wote, Ndio uti wa mgongo kwetu, Ndio shine yetu, Ndio mkombozi wetu, Ndio tumaini letu, Ndio maisha yetu, Ndio uhai wetu, hivyo Hali yoyote ikipita na kukwamisha juhudi za...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Kasi ya Mh Mama Samia Suluhu

    Mapokezi makubwa na ya kipekeee aliyoyapata mkoani Mbeya yameonesha namna watu walivyo na Imani na uongozi wa mama Samia, kazi kubwa na utumishi wa kutukuka unaofanywa na mh Rais imekuwa Chachu na sababu ya kupendwa kwake na watanzania wazalendo. kuchipuka kwa miradi ya maendeleo kila mkoa bila...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Vijana limeni; masoko, mashamba ya uhakika yapo

    Akizungumza katika maadhimisho ya siku ya Wakulima (Nanenane) yaliyofanyika Jijini Mbeya, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan amewataka vijana kujishughulisha na kilimo kwani Serikali imetenga mashamba na imeshatafuta masoko kwa ajili ya mazao yatakayozalishwa...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Serikali imejipanga kwenye sekta ya kilimo

    Natumia nafasi hii, kumshukuru kwa dhati, Rais Samia Suluhu kwa nia aliyoionyesha ya kusaidia na kuwekeza zaidi katika Sekta za Uzalishaji, ulipozindua Agenda 1030, wengi walidhani hayatotokea lakini umehakikisha mambo haya yanatokea" Rais Samia Suluhu umezindua Mfumo wa Utoaji wa Ruzuku ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…