rais

  1. W

    JamiiForums Tanzania Rais Tshisekedi amzawadia Jeep Lumumba wa AFCON

    Shabiki wa timu ya taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Michel Kuka Mboladinga maarufu Lumumba, amezawadiwa gari aina ya Jeep na Rais wa nchi hiyo, Felix Tshisekedi, kwa kuitangaza nchi hiyo kwenye michuano ya AFCON 2025. Lumumba alikuwa akisimama na kunyanyua mkono juu muda wote wa...
  2. JamiiForums Tanzania Majaliwa na Mpango kuteuliwa kama washauri wa Rais ni mkakati wa kupambaza

    Majaliwa na mipango kuwekwa washauri wa rais ni kuwapumbaza walidaiwa kumpinga nyuma ya pazia hizo nafasi ni hewa tu huwezi kumshauri samia chochote. Samia hashauriki chochote amewaweka hapo kwasababu ya ushawishi wao kwenye nchi na yeye amepoteza ushawishi na anakesi kubwa za mauaji ya...
  3. JamiiForums Tanzania Mama wa mtoto aliyepigwa risasi Oktoba 29, atuma ‘salamu’ kwa Rais

    Mama wa mtoto aliyepigwa risasi Oktoba 29, 2025 atuma ‘salamu’ kwa Rais
  4. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Misheni ya siri ya kuusafirisha mwili wa Rais nyumbani - Rubani aifichulia BBC

    Takriban miaka 31 iliyopita, marubani wawili wa Kenya, Hussein Mohamed Anshuur na Mohamed Adan, walitembelewa na mgeni ambaye hawakumtarajia katika ofisi yao katika Uwanja wa Ndege wa Wilson, nje kidogo ya jiji la Nairobi. Ni mwanadiplomasia wa Nigeria, ambaye aliwaomba kumfanyia kazi nyeti na...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Misheni ya siri ya kuusafirisha mwili wa Rais nyumbani - Rubani aifichulia BBC

    Takriban miaka 31 iliyopita, marubani wawili wa Kenya, Hussein Mohamed Anshuur na Mohamed Adan, walitembelewa na mgeni ambaye hawakumtarajia katika ofisi yao katika Uwanja wa Ndege wa Wilson, nje kidogo ya jiji la Nairobi. Ni mwanadiplomasia wa Nigeria, ambaye aliwaomba kumfanyia kazi nyeti na...
  6. JamiiForums Tanzania Kitendo Cha Rais Samia kutotaka watu/viongozi wawe na maoni kinzani kinaenda athiri taasisi na idara zote za kiserikali

    Ndugu zangu Watanzania kwanza nianze Kwa masikitiko makubwa Kwa Taifa kufika hapa lilipo fika. Hivi kama ni kweli Yale maoni ya G. Simbachawene ndio yamesababishwa atolewa nyadhifa yake , je! Ni nani Sasa ataweza kuja tena mbele ya vyombo vya habari na kuwa na mtazamo hasi. Yani ni kwamba...
  7. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu hawezi kuhongeka kwa cheo feki cha "Makamu wa Rais"

    Kuna chaka ambalo linataka kutumika katika maridhiano la kumuahidi Umakamu wa Rais au Uwaziri Mkuu Tundu Lissu kama sehemu ya kumpoza na kurudisha imani ya Jumuiya ya Kimataifa ambayo kwa kika siku inayokwenda wanazidi kukaza kamba. Hili chaka ka kuzawadia watu Umakamu wa Rais au Uwaziri Mkuu...
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Wanaochokolewa masikio kuvunja amani, Dar es Salaam nenda kaulize leo kama vijana wanataka kungia njiani

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Hoteli ya Jaz Elite Aurora iliyopo Michamvi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, leo tarehe 09 Januari, 2026 amesema ametahadharisha akiwaita wanaochokonolewa kuharibu amani ya nchi kuacha mara moja akikumbusha yaliyojiri...
  9. JamiiForums Tanzania Mwigulu: Rais Samia hataki kuendesha Nchi kwa Fedha za dhuruma, ni mwenye huruma

    Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba amesema Tanzania imebahatika kupata Rais mwenye kuwahurumia watanzania ambaye hataki Kuendesha Nchi kwa fedha ya dhuluma.
  10. JamiiForums Tanzania Tumeona 2008 Waziri Mkuu akijiuzulu, je inaweza tokea Makamu wa Rais Tanzania akajiuzulu?

    Swali tu wananchi wanaomba sana uwajibikaji katika kila sekta, je inaweza tokea makamu wa rais akajiuzulu? Uwajibikaji si dalili ya udhaifu, bali ni hatua ya kwanza ya upendo baada ya kushindwa. Na hili Mara zote viongozi wa Afrika uwa wanashindwa, Kwa ka skendo fulan nimepata ! Je yawezekana...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Tuna rais wa mfano kwa kuwahurumia watanzania hataki kuendesha serikali kwa fedha ya dhuluma

    Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza katika mkutano na madereva pikipiki, bajaji na machinga wote leo Januari 8, 2026 katika ukumbi wa Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, amesema Tanzania tuna Rais wa mfano anayejali na kuwahurumia watu...
  12. JamiiForums Tanzania KIAMA CHA WANAHARAKATI JANJA JANJA: Jinsi Hatua ya Rais Trump Inavyoweza Kukata Mirija ya Fedha kwa Kina Maria Sarungi

    Na Mchambuzi Chura wa Siasa za Kimataifa Januari 7, 2026, itakumbukwa kama siku ya kihistoria katika diplomasia ya ulimwengu baada ya Rais Donald Trump kutangaza rasmi kuiondoa Marekani katika mashirika ya kimataifa 66. Hatua hii, inayokuja chini ya sera ya "America First", si pigo kwa...
  13. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Makame: Ikionekana Rais abakishiwe mamlaka yake ni sawa, wakisema yapunguzwe sawa, na hata wakisema aongezewe kwangu ni sawa

    “Ikionekana Rais abakishiwe Mamlaka aliyonayo kwangu ni sawa, wakisema apunguziwe kwangu ni sawa, na hata wakisema aongezewe zaidi kwangu ni sawa tu” Dr. Makame, Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki kupitia cha Mapinduzi CCM.
  14. JamiiForums Tanzania Rais Colombia aapa kubeba silaha tena

    Rais wa Colombia Gustavo Petro ameapa kuitetea nchi yake dhidi ya kile alichokiita vitisho kutoka kwa Rais wa Marekani Donald Trump. Kupitia mtandao wa kijamii, Petro, ambae aliwahi kuwa mpiganaji wa msitumi, ameionya Marekani dhidi ya hatua yoyote ya ukiukaji kwa Colombia, inayofanana na ile...
  15. JamiiForums Tanzania Balozi Humphrey Polepole alitekwa na kupotezwa. Ajabu, Serikali ya aliyekuwa kamteua iko kimya

    Balozi Humphrey Polepole alitekwa na kupotezwa. Ajabu, serikali ya aliyekuwa kamteua iko kimya! Nini kifanyike ukweli na haki vite vitendeke? Tunangojwa amaduriwe Rais ndipo wahusika wawajibike au kuwajibishwa? Hili swali ni kwa serikali inayotunafiki kwa kujifanya inatujali wakati...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Rais wamejishau kuwa X imefungiwa hapa nchini? X haiurusiwi kisheria

    Wanatumia x ili kupasha habari watu kimakosa.
  17. JamiiForums Tanzania Je, Makamu wa Rais wa Venezuela ndiye mtu wa ndani mshirika wa CIA aliyeisaidia Marekani kumkamata Maduro?

    Kufuatia Operesheni ya kumkamata Rais Maduro, Serikali ya Marekni ilitoa taarifa kuwa mtu wa ndani ya Serikali ya Venezuela na mshirika wa CIA alisaidia kuwezesha kujua mienendo ya Rais Maduro na kufanikisha kukamatwa kwake. Ikumbukwe Rais Trump, alitamka kuwa Makamu wa Rais wa Venezuelea Delcy...
  18. JamiiForums Tanzania Rais wa mpito aapishwa Venezueala

    Wanaukumbi. Delcy Rodríguez ameapishwa kuwa rais wa mpito wa Venezuela katika kikao cha bunge kilichoanza kwa wito wa kuachiliwa kwa rais aliyeondolewa na kuzuiliwa nchini Marekani Nicolás Maduro. Rodríguez, 56, makamu wa rais tangu 2018, alisema aliumizwa na kile alichokiita "kutekwa nyara"...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Operesheni ya Kukamatwa kwa Rais wa Venezuela: Simulizi la Uvamizi wa Kasi na Usahihi wa Hali ya Juu

    Operesheni ya Kukamatwa kwa Rais wa Venezuela: Simulizi Linalozua Mjadala Operesheni iliyodaiwa kusababisha kukamatwa kwa Rais wa Venezuela, Nicolás Maduro, na majeshi ya Marekani imeelezwa kama operesheni ya kasi na usahihi wa hali ya juu. Simulizi hilo linaeleza kuwa shambulio la ardhini...
  20. JamiiForums Tanzania Mpaka Rais anatengenezewa AI video zisizo na heshima hivi na watu wengi wanazifurahia inaonesha kabisa watu hawamuheshimu

    Sasahivi mitandaoni kumejaa video za AI zilizotengenezwa kwa lengo la kumkashifu na kumkejeli Rais Samia. Cha ajabu video hizi zinapata views wengi na watu wengi wanaonekana kuzifurahia Kuanzia mwezi May hadi September hivi, video za namna hii zilikuwa zinaandaliwa na Wakenya ila sikuhizi ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…