rais

  1. JamiiForums Tanzania Nigeria: Rais asema rushwa ya ngono vyuoni imekithiri

    Rais wa Nigeria, Muhammadu Buhari anasema ni kwa sababu hiyo matukio hayo sasa yanachukuliwa kuwa sehemu ya ufisadi. Amesema anaelewa wanafunzi wanapitia changamoto nyingi vyuoni akitaja baadhi ni kutakiwa kutoa fedha na rushwa ya ngono licha ya kuwa hakutaja takwimu za matukio hayo. Ameweka...
  2. JamiiForums Tanzania Rais wa Chechnia Ramzani Kadyrov kupeleka watoto wake kumsaidia Putin

    Ramzani amesema kuwa mzazi mwema huwafunza watoto wake namna ya kulinda familia, hivyo amepanga kuwapeleka wanawe mstari wa mbele. Watoto hao hawajafikia umri unaokubalika kushiriki vita, kwani umri wao ni miaka 14, 15 na 16. Aidha, Rais huyo amerusha video zinazo onesha wanawe wakirusha...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameongea ukweli na kushauri vyema kuhusu viongozi kutambua mipaka yao kiuongozi

    Ndugu zangu Jana October 3/2022 mh Rais Samia alikuwa anawaapisha viongozi aliowateua katika mabadiliko madogo aliyoyafanya katika Balaza la mawaziri, Ambayo siku zote hulenga katika kuboresha utendaji na kuleta ufanisi kazini utakaokuwa na tija katika kuwatumikia na kuwahudumia wananchi. Pili...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amwaga mabilioni ya fedha za ruzuku ya maendeleo jimboni Ludewa- Njombe

    RAIS SAMIA AMWAGA MABILIONI YA FEDHA ZA RUZUKU YA MAENDELEO JIMBONI LUDEWA- NJOMBE. "Asante sana Mhe. Rais Samia Samia Suluhu Hassan kwa Fedha nyingi za Ruzuku ya Miradi ya Maendeleo kwenye Jimbo letu la Ludewa. Haijawahi kutokea fedha kuletwa mapema hivyo kabla ya msimu wa mvua kuanza, hii...
  5. JamiiForums Tanzania Spika Tulia Ackson anapaswa awajibike kwa kujiuzulu, kutokana na kutamka kuwa anayemsema vibaya Rais Samia, anapaswa ashughulikiwe!

    Kwanza nieleze masikitiko yangu makubwa Sana kwa jinsi nilivyomsikia Spika Tulia Ackson akihamasisha machafuko, wakati akihutubia Umoja wa vijana wa CCM huko jijini Mbeya. Kwa nchi inayoendeshwa kwa Demokrasia na yenye mfumo wa vyama vingi, ni jambo la kuskitisha Sana kwa matamko aliyoyatoa...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia akishiriki ufunguzi wa Mkutano wa World Innovation Summit for Health 2022, Qatar leo Oktoba 4, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki ufunguzi wa Mkutano wa World Innovation Summit for Health 2022 Multaqa Centre - Doha Qatar leo tarehe 04 Oktoba, 2022. Kufahamu ziara nyingine za Rais Soma Safari/Ziara za nje ya Nchi za Rais Samia Suluhu tangu awe...
  7. JamiiForums Tanzania Morogoro: Mfungwa aliyetoka gerezani kwa msamaha wa Rais adaiwa kufanya mauaji

    Jeshi la Polisi Mkoani Morogoro linamshikilia mmoja wa wafungwa ambao waliachiwa huru kwa msamaha wa Rais mnamo Mei Mosi, 2022, Nestory Elias (62) kwa tuhuma za mauaji. Elias anadaiwa kumuua Mwajuma Sadru (75), Mkazi wa Mtaa wa Bong'ola kutokana na mgogoro wa kugombania eneo la biashara ambalo...
  8. JamiiForums Tanzania Nchi ile iliacha kupata viongozi mwaka 2015. Waliofuatia...

    Habari Wakuu Binafsi naona nchi ile iliacha kupata viongozi kwa maana sifa za Uongozi mwaka 2015 Waliofatia wote,kila mtu anajionea. Wamekuwa wakali, hawana uvumilivu, hawana subira,hawataki kusikiliza maoni, hawataki kukosolewa, wapinzani cha moto wanakiona, visingizio na malalamiko mengi...
  9. JamiiForums Tanzania Ilikuwaje Rais Samia akamwamini asiye mwaminifu?

    Ikumbukwe, hata Hayati alimtema huyo mtu baada ya kugundua siyo mwaminifu na anao uraia wa USA na Tanzania. Hoja hapa ilikuwaje Samia alishupaza kichwa na kumteua mtu asiye mwaminifu kwa Taifa letu na huenda ni asset wa Taifa lake pacha?! Picha hapo chini zinajieleza bayana ni nani...
  10. JamiiForums Tanzania Kwenye kauli hizi chache za Rais akiwaapisha Mawaziri watatu wateule, kosa la Balozi Mulamula ni insubordination?

    Mara baada ya mawaziri watatu (Bashungwa, Tax na Kairuki) kula kiapo ikulu jijini Dar es Salaam, Mh Rais amezungumza maneno machache sana. Amewaasa mawaziri wake wapya mambo yafuatayo: 1. Wazingatie kiapo chao cha kuilinda, kuitetea na kuihifadhi katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Waziri hutakiwi kujitoa kwenye maamuzi ya Serikali

    Rais Samia akiwaapisha mawaziri leo, Oktoba 3 amesema waziri hatakiwi kusema hakubaliani na maamuzi ya Serikali au kusema kuwa nimeelekezwa hivi ila sikubaliani. Hatakiwi kujitoa bali kuwa sehemu ya maamuzi. Sijui ni waziri gani aliyesema haya ni maamuzi ya Serikali sio yangu?
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia akiwaapisha Mawaziri wateule Ikulu, Dar es salam leo Oktoba 3, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Mawaziri wateule Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 03 Oktoba, 2022 Nawapongeza kwa walio hapa. Mhe. Angela siyo mgeni kwenye kazi hii, umejifunza mengi ukiwa nje. Nimeona uje unisaidie. TAMISEMI ni ileile uliyoiacha...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini 99% ya Teuzi zote za Awamu hii ya Rais Samia hufanyika Usiku na Siku za Jumapili tu?

    Nasubiri Mirejesho yenu Watu wa Itifaki, Great Thinkers na Wabobezi wa Masuala Mtambuka ya ndani na nje ya Tanzania hapa JamiiForums ili mtuelimishe akina GENTAMYCINE tusiojua lolote na chochote.
  14. JamiiForums Tanzania Rais wa Sri Lanka afuta kodi zote kwenye Taulo za Kike

    Uamuzi huo umefanywa kwa lengo la kuwasaidia wanawake na wasichana wasioweza kumudu gharama hizo kutokana na mzozo wa kiuchumi unaolikumba taifa hilo. Ofisi ya Rais Ranil Wickremesinghe imeagiza kufutwa mara moja kwa Ushuru wa Forodha, Ushuru unaolipwa kwenye Viwanja vya Ndege na Kodi nyingine...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Nampongeza Rais Samia kwa kusimama na wakulima kwa kuwaruhusu kuuza mahali popote palipo na Bei nzuri

    Ndugu zangu Sote tunafahamu kuwa secta ya kilimo katika nchi hii imeajiri na kubeba kundi kubwa Sana la watanzania, Ni secta ambayo ndio pumzi ya familia na Kaya nyingi, Ni secta inayotegemewa na watanzania wengi Kama shughuli kuu ya kiuchumi, Ni kimbilio la wengi, Ni ngazi ya wengi, Ni njia...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atangazwa tena mshindi wa tuzo mbili za kimataifa

    Dodoma. Rais Samia Suluhu Hassan ametangazwa na Jumuiya ya Kimataifa ya Watetezi na Amani kuwa mshindi wa tuzo mbili za kimataifa ikiwemo ya amani duniani 2022. Tuzo nyingine aliyotangazwa kuwa mshindi ni Rais wa kwanza mwanamke barani Afrika kuipata ni tuzo ya Rais wa Dhahabu ya Malengo ya...
  17. JamiiForums Tanzania Mjue Paul Biya, Rais mzee zaidi Barani Afrika

    PAUL BIYA: RAIS MZEE ZAIDI BARANI AFRIKA Jina kamili: Paul Barthélemy Biya'a bi Mvondo Ana miaka 89 Ni Rais wa Cameroon tangu Novemba 6, 1982 Amewahi kuwa Waziri Mkuu kwa miaka 7 2008 Aliondoa Ukomo wa kukaa Madarakani ili atawale kwa muda anaotaka 2018 alishinda Urais kwa 80% dhidi ya...
  18. JamiiForums Tanzania Mexico yathibitisha kudukuliwa taarifa za afya za Rais pamoja na Jeshi

    Kundi lililofanya udukuzi kwenye nchi za Amerika Kusini limetajwa tena kuhusika na udukuzi na wizi wa data, ikiwemo taarifa za ya hali ya moyo wa Rais Andres Manuel Lopez Obrador pia yaliibwa. Mexico imethibitisha kwamba ilikumbwa na udukuzi mkubwa wa data zinazotunzwa na jeshi, ikiwa ni pamoja...
  19. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Raid Vladmir Putin kuidhinisha kura ya Maoni kutwaliwa kwa Donbass

    HOTUBA YA RAIS VLADMIR PUTIN KUIDHINISHA KUTWALIWA KWA DONBASS. Watu wa Donbass wamefanya chaguo lao, chaguo lisilo na utata, Tutawakumbuka daima mashujaa wa "Russian Spring". Hakuna Umoja wa Kisovieti, zamani haziwezi kurudishwa, na Urusi ya kisasa haihitaji hii, hatujitahidi kuirejesha kwa...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Amefanikiwa kujenga matumaini katika Mioyo ya Watanzania, Ndio Sababu ya kutamalaki kwa Amani na Utulivu hapa nchini

    Ndugu zangu Ni ngumu Sana kuongoza watu walio kata tamaa,walio jaa hasira , wanaolia na kuvuja machozi mioyoni mwao, Ni ngumu kuongoza na kusikilizwa na watu wasioona mbele kwa matumaini, Ni ngumu Taifa kutulia na kuwa lenye amani na mshikamano ikiwa limejaa watu ambao hawajuwi hatima ya maisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…