“Nilikuwa na mazungumzo na Katibu wa Chama, katipa somo, nalikopa kutoka kwake. Vijana wa leo tunakimbilia kwenye kutaka utajiri.
“Uwe na jumba zuri, gari zuri, mambo yako yaende hivyo, lakini bahati mbaya baada ya muda utajiri unakugeuka na unakupiga, kama ni nyumba au gari huwezi kutunza...