rais

  1. R

    JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Maadui wetu siyo Wakenya wala Watanzania, ni ajira na umasikini

    Rais wa Kenya, William Samoei Ruto, leo Mei 5, 2026, amelihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akisisitiza umuhimu wa ushirikiano wa kiuchumi na kuunganisha nguvu katika kupambana na changamoto zinazozikabili nchi zote mbili. Pia soma Samia: Nimeongea na Rais Ruto, wale watoto wetu...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia anavyojenga Diplomasia ya uchumi kwa weledi mkubwa

    Na África J&L, Dar es Salaam Wakati Rais William Ruto atakapohutubia Bunge la Tanzania Mei 5, 2026, akiwa kiongozi wa kwanza wa Kenya kufanya hivyo, wengi wataona tukio la kihistoria. Lakini kimsingi, hili ni zaidi ya historia. Ni ushahidi wa jitihada za utekelezaji wa diplomasia ya uchumi...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ampa tuzo Profesa Ndunguru kwa kuboresha TPHPA

    Mkurugenzi wa Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA), Profesa Joseph Ndunguru ni miongoni mwa wafanyakazi waliopewa tuzo ya ufanyakazi bora na Rais Samia Suluhu Hassan katika maadhimisho ya Mei Mosi yaliyofanyika mkoani Njombe. Profesa Ndunguru anayetoka Chama cha wafanyakazi...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna makubaliano TANESCO na Shirika la umeme la Rwanda (REG) kuanza kuuziana umeme

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Rais wa Rwanda, Paul Kagame leo Mei 3, 2026. Rais Samia amezungumzia masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Tanzania na Rwanda, ikiwemo Mradi wa Umeme wa Rusumo unaohusisha Tanzania, Rwanda, na Burundi...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Biashara yetu kati ya Tanzania na Rwanda imekuwa hadi kufikia Bilioni 644 mwaka jana 2025

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Rais wa Rwanda, Paul Kagame leo Mei 3, 2026 ambapo amebainisha kuwa mazungumzo yalifanyika yaliyohusisha pia mawaziri na viongozi wengine wa serikali. Pia alieleza Biashara kati ya nchi hizi mbili imekua kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Matukio mbalimbali ya ziara ya Rais Paul Kagame nchini Tanzania, Mei 3, 2026

    Matukio mbalimbali katika Ziara ya Kikazi ya Rais wa Jamhuri ya Rwanda, Paul Kagame, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Mei, 2026. Rais wa Jamhuri ya Rwanda, Paul Kagame akizungumza na Waandishi wa Habari kufuatia Ziara yake ya Kikazi Jijini Dar es Salaam, tarehe 03 Mei, 2026. Rais wa...
  7. JamiiForums Tanzania Yupo wapi! Raisi mtaafu J.Kikwete.???

    Kwamaana hakuna mwingine ni yeye aliyebakia, sasa anatuvusha vipi katika hali hii. Katika kipindi hiki kigumu yuko wapi? Hasa ukizingatia umahili wake katika kutatua migogoro, mbalimbali ya kisiasa na kiutawala sehemu mbalimbali Duniani. Nchi imeharibika ikiwa mikononi mwake hivyo ni wajibu...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Rais Wa Rwanda Paul Kagame Kufanya Ziara Ya Siku Moja Nchini hapo Kesho. Kufanya mazungumzo na Taifa Rais Samia Moyo Wa Taifa

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Wa Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame Kufanya Ziara ya Siku moja Nchini siku ya kesho. Ambapo katika ziara hiyo atakutana na kufanya mazungumzo na Rais wetu Mpendwa na Moyo Wa Taifa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Rais wetu Mpendwa anaendelea kuonyesha...
  9. JamiiForums Tanzania Rais wa Namibia ni bora Afrika mzima

    Jamani raisi wa Namibia ndio bora ,ktk kusimia lasimali za nchi yake, cha ajabu na kushangaza ni mwanamke nimekumia sana ,nimemunea uwivu mkubwa. Nimetamani sana kama ingekuwa unaweza kuuzima rais basi Tanzania tungemchukua huyu mama ,yaani ni mzalendo. Tanzania ingekuwa kama marekani ndani ya...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kazi, Uadilifu na Ustawi wa Taifa

    MEI MOSI 2026📌 💡Rais amesema: “Ni wajibu wetu sote kushirikiana, kuaminiana na kutanguliza maslahi ya Taifa. Tuendelee kufanya kazi kwa bidii, uadilifu na weledi ili kujenga uchumi imara na ustawi wa jamii yetu.” Serikali ipo na inawasikiliza wafanyakazi. 💡Kwa kuwawezesha vijana, Rais Dkt...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Mwanamke shujaa na shupavu ndio huyu

    Rais wa Namibia mwanamama Netumbo Nandi-Ndaitwah ameiongoza nchi hiyo kufikia hatua muhimu ya kiuchumi kwa kukamilisha malipo ya deni la Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF). Namibia imelipa jumla ya dola za Kimarekani milioni 23.9, hatua inayolenga kupunguza mzigo wa madeni ya nje na kuimarisha...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia na Maboresho kwa Watumishi

    Rais Samia Suluhu Hassan tangu aingie madarakani mwaka 2021 amechukua hatua kadhaa zinazohusu wafanyakazi, hasa katika sekta ya umma na mazingira ya kazi kwa ujumla. Hapa kuna mambo muhimu aliyofanya: 1. Kuongeza mishahara ya watumishi wa umma (2022) Baada ya miaka kadhaa bila nyongeza...
  13. JamiiForums Tanzania Wakurugenzi lipeni Stahiki za Walimu. Rais Kaagiza

    Hakuna nyongeza, hakuna madaraja hakuna promotions wala increment... Lipeni stahiki za walimu.. Acheni uhuni na uwizi. Acheni kukaa na hela sio zenu. Mimi ni muhanga ..familia yangu ina wahanga wengi... Lipeni posho zote alizotaja Rais ikiwemo uhamisho na mengine. Waziri mkuu asimamie...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia: TUCTA imeniambia haina madai, tutaangalia tena mwakani

    Rais Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani inayoadhimishwa Kitaifa Mkoani Njombe, leo tarehe 1 Mei, 2026 amesema kuwa mwaka huu hakutakuwa na maboresho ya maslahi ya wafanyakazi.
  15. JamiiForums Tanzania Ni kumbukumbu ipi Rais Samia atatuachia akiondoka madarakani 2030?

    Japo.bado ana mda lakini matumaini ni kidogo. Kikwete alituachia A. Mazuri 1. Daraja la kigamboni 2. Chuo kikuu Dodoma 3. Chuo kikuu Nelson Mandela Arusha 4. Barabara mabasi ya mwendokasi 5.Ajira lukuki kwa graduates 6. Kushamiri kwa democrasia ya vyama vingi B. Mabaya 1. Rushwa iliyokithiri...
  16. JamiiForums Tanzania Uungwaji Mkono wa Kimataifa kwa Rais Samia

    Mataifa yamuunga mkono Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ◇Kuanzia kwenye uwekezaji hadi miradi aliyoahidi wananchi ◇Anakwenda kuwa Rais aliyejenga reli ya kisasa nchi nzima ◇Zipo nchi jirani, mataifa ulaya, taasisi za kiuchumi duniani
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Ndejembi: Mawaziri wa Afrika wanaoshughulikia Nishati na Uchukuzi watambua mchango wa Rais Samia

    Umoja wa Afrika umetambua juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika kuendeleza na kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia ndani na nje ya nchi, na kumpendekeza kutangazwa rasmi kuwa kinara wa Umoja wa Afrika wa ajenda hiyo. Hatua hiyo imefikiwa...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Anayetamani Makonda kuwa Rais hana akili timamu

    Hajui mipaka yake ya kazi, hujiona yeye ni kiongozi wa wizara zote. Hajui chain of command. Akipewa cheo hujiona yeye ni kila kitu, he's everything. Low IQ, 'wanaopigia kelele rushwa hawajaingia jikoni'. One man show. Ana Charismatic ya kuaminiwa but empty head. Layman, hana profession...
  19. JamiiForums Tanzania Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky kwa kuruhusu nafaka zilizoibiwa na Russia kupelekwa Haifa-Israel

    Volodymyr Zelensky aliishutumu Israeli kwa kuruhusu nafaka "zilizoibwa" za Kiukreni kutoka maeneo yanayokaliwa na Urusi kuingia bandarini mwake, akionya kwamba Kyiv inaandaa vikwazo dhidi ya wale waliohusika. Kulingana na ripoti ya Haaretz, meli inayodaiwa kubeba nafaka kama hizo ilikuwa...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Rais wa Tunisia amfuta kazi Waziri wa Nishati

    Rais wa Tunisia, Kais Saied, amemfuta kazi Waziri wa Nishati, Fatma Thabet, leoJumanne ya Aprili 28, 2026. Hatua hii imekuja huku kukiwa na mzozo mkubwa kuhusu miradi ya nishati mbadala inayotarajiwa kupigiwa kura bungeni. Rais Saied amemteua Waziri wa Nyumba na Miundombinu, Salah Eddine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…