rais

  1. L

    JamiiForums Tanzania Rais Wa Msumbiji kufanya Ziara ya kikazi nchini na kufungua Maonesho ya Sabasaba

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wa Msumbiji Mheshimiwa Filipe Nyusi anatarajia kufanya ziara ya kikazi hapa Nchini kuanzia Tarehe 1-4 Mwezi huu wa July. Ambapo pamoja na mambo mengine anatarajiwa pia kuwa mgeni Rasmi na kufungua maonesho ya sabasaba. Lakini pia Rais huyo wa Msumbiji atashiriki...
  2. JamiiForums Tanzania Dkt. Bagonza: Kama kila kitu amefanya Rais, wakija kwenye kampeni waulizeni wao wamefanya nini?

    Naunga mkono hoja, Dkt. Benson Bagonza ana hoja nzito, asikilizwe.
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini Rais hafanyiwi interview na vyombo vya habari vya ndani?? Kwa mara ya kwanza nimeona kenya

    Kwanini rais wetu mpendwa hafanyiwi interview na vyombo vya habari vya ndani?? Shida ni nini hasa?? Nishamuona akihojiwa na BBC!! Nao wanadai wamemuomba na kusubiri muda mrefu mpaka kukubaliwa!! Je hii ndio kusema Vyombo vya habari havina uwezo au Mkuu wa nchi haoni haja ya kuhojiwa na...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na wewe unafanya ya Magufuli kuwanunua wapinzani?

    It is a pity! sasa 4R zipo wapi? Kama umefanya hili, kwanini mtu asiseme kwa uhakika kuwa ume sanction matendo mengine ya magufuli kuwateka/kuwaua/na kuwapoteza wapinzani yanayoendelea sasa hivi?
  5. JamiiForums Tanzania RAIS AJAE

    Hivi Rais anakaa katikati au pembeni? Naomba Wajuvi mnijibu…….
  6. U

    JamiiForums Tanzania WITO Mhesh Ruto jahazi lazama, chutama, usione fedhea , fanya hima mtafute mheshimiwa Uhuru, kumbuka jungu kuu halikosi ukoko!

    Wadau hamjamboni nyote? Huu ni wito wangu binafsi kwa Mheshimiwa William Ruto Rais wa Jamhuri ya Kenya ambao umezingatia maslahi mapana ya nchi hiyo! Mheshimiwa Nikuombe Ndugu yangu usione aibu wala fedhea, chutama, zika ufahari wako, usisite, usijali, usiogope, usione aibu wala fedhea ...
  7. JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC Wenzangu tumkataeni Rais wetu Injinia Hersi Said kwani hajatueleza Yanga SC imepata Kiasi gani nje ya Kufurahia Makombe mbalimbali

    Kama vipi nipeni Saini zenu Wote ili tuitishe Kikao cha Kumjadili na Kumtoa na ikiwezekana tumuombe Mo atudhamini.
  8. F

    JamiiForums Tanzania Nilitetemeka kwa hofu siku niliposikia rais Samia akisema kuwa yeye na Magufuli ni wamoja!

    Rais Samia alipoingia madarakani mwaka 2021 katika hotuba zake za mwanzoni kabisa aliwahi kusema kuwa yeye na Magufuli ni kitu kimoja. Nakumbuka siku ile niliposikia matamshi hayo nilipatwa na hofu ndani yangu kwani kwanza sikutegemea angesema hayo na pili mimi nilielewa maneno hayo yalimaanisha...
  9. JamiiForums Tanzania Dunia itakuwaje Trump atakapoapishwa kama Rais wa Marekani hapo mwakani?

    Kabla ya mdahalo wa urais wa leo Donald Trump alikuwa ameamuacha Joe Biden kwenye kura za maoni. Lakini mdahalo wa huu umefunga kabisa maneno. Ni wazi kuwa Trump sasa njia ya ikulu ni nyeupe kabisa. Biden alikuwa na hoja nzuri na aliandaliwa vyema ila afya yake na uelewa wake sababu ya uzee...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Salva Kiir Mayardit wa Sudani Kusini ana Makamu wa Rais watano 5, kulikoni?

    Sudan Kusini ni miongni mwa mataifa changa sana barani Afrika, hususani Afrika Mashariki, iliyopata uhuru wake tarehe 9 July 2011, kutoka Sudan. takwimu za mwaka 2023 zinaonyesha kwamba Sudan Kusini ina jumla ya watu zaidi ya milioni 11. Nchi hiyo yenye utitiri wa mali asili wa kipekee sana, na...
  11. JamiiForums Tanzania Mama Samia ungefuata ushauri wangu wa tar29/03/2021" Mapema tu baada ya kuapishwa aibu hii isingekukuta

    Mnamo tarehe 29/03/2021 niliikosoa hadharani hotuba ya kwanza kabisa ya Rais wa JMT Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani nilimweleza wazi kwamba sera zake za uchumi hazina tija kwa baadaye na nikamkumbusha ilani ya kurasa zaidi ya 200 zinazotaka kufanyiwa kazi na nikamsihi asitoboe matundu ya pesa...
  12. JamiiForums Tanzania Marekani yamfunga jela Rais wa Honduras miaka 45

    MAHAKAMA ya Mji wa New York nchini Marekani, imemhukumu Rais wa zamani wa Honduras, Juan Orlando Hernandez (55) kifungo cha miaka 45 jela na faini ya dola milioni nane kwa makosa ya ulanguzi wa madawa ya kulevya. Hernandez amehukumiwa kwa kuyasaidia makundi ya wauzaji wa dawa za kulevya tani...
  13. JamiiForums Tanzania GEN.MUHOZI KAINERUGABA KUIONGOZA UGANDA KISASA BAADA YA RAIS MUSEVEN KUNG'ATUKA

    kuna kila dalili mikoba ya uongozi wa juu wa chama na serikali ya Taifa la Uganda kukabidhiwa kwa Gen.Muhozi kainerugaba, mtoto wa Rais wa sasa wa Uganda Yoweri Kaguta Mseveni.. malezi na makuzi yake, karibu maisha yake yote, amekulia kwenye korido za ikulu, jeshini na wakati fulani uraiani...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini Viongozi wanamilikisha Kodi za wananchi na mikopo ya nchi Kwa Rais,

    Je mliosomea Sheria mtusaidie, ni Sheria Gani ya nchi inayosema Fedha zinazokusanywa na serikali Kwa niaba ya wananchi ni za Rais, Je kipengele Gani kinachosema Fedha tunazoangaikia kufanya kazi Kila siku na kuilipa Kodi serikali zitakuwa ni Rais. Haiingii akilini ,kitu pesa yangu nalipia Kodi...
  15. JamiiForums Tanzania Leo ndio nimeshangaa! Kumbe idara ya Usalama wa Taifa inatakiwa kumwambia rais Wananchi wanataka nini? Mbona Rais Samia haambiwi ukweli?

    Ufisadi halimashauri? Uzembe makazini? Sakata la Bashe na Mpina? Mbona wananchi wapo upande wa Mpina? Kuna nini? Mahindra tech. Bil 80+ alizopiga January? Mbona kimya? Waarabu wameleta ufanisi bandari za Tanganyika? Migomo ya kodi na tozo😅😂 Huko Kenya Rigath Anawalaumu Nis hawakutonya Ruto...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto akanusha mauaji ya ziada, athibitisha vifo 6, majeruhi 14 kwenye maandamano

    President Ruto Denies Extra-Judicial Killings, Confirms 6 Deaths, 14 Injuries In Protests President William Ruto has announced that a total of six people lost their lives during the anti-Finance Bill 2024 protests, contrary to reports that more than 20 people have been confirmed dead...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Ruto awapongeza vijana kwa kuthubutu.

    Akihutubia kutoka Ikulu rais Ruto amewapongeza vijana wa Kenya kwa kuthubutu kuitumia demokrasia ya nchi yao, wakati huohuo ametangaza kuufuta muswada wa bajeti mwaka 24/25 na kusema Kenya itaendelea na ule wa 23/24, pia ametoa pole kwa wote walioathirika kwenye kadhia iliyosabsbishwa na muswada...
  18. JamiiForums Tanzania Huu ndio utashi wa kisiasa kwa viongozi wa wananchi Afrika Mashariki, kuonyesha njia na kuwajibika

    Sauti ya Wengi ni Sauti ya Mungu, Dr. William Samoe Ruto, ameskiza sauti ya Mungu. Akubali yaishe.. Ajishusha na kuonyesha njia. Ni wajibu wa waKenya kuungana na kumfuata mguu kwa mguu kiongozi wao huyu msikivu na mwenye maono ya kipekee na makubwa sana ya kutrasfom kenya into prosperity...
  19. JamiiForums Tanzania Ujumbe Wangu kwa Rais Samia siku ya Leo kuhusu Wafanya Biashara

    Rais wangu wa Tanzania, Wasalaam! Iwapo kweli umechagua kuwa chura kiziwi, itoshe kukushauri kwamba uchague tena na maeneo ya kuwa kiziwi. Sio kile kelele ihahitaji kuwa kiziwi, nashauri hili swala la wafanya biashara ujitokeze mwenyewe na iwe baada ya kupata ushauri wa kina. Kwa sasa ubebaki...
  20. JamiiForums Tanzania Je, Rais wa Yanga Hersi Said anaweza kuwa ni mwanafunzi wangu wa soka?

    Unajua humu ndani tunachukuliana poa sana labda kwa sababu ya hizi ID feki. Kuna madogo ambao wanatakiwa wakupe heshma iliyotukuka ila kwa kuwa tunakutana katika nyuzi za soka tunachukuliana wote hamnazo. Miaka fulani nikiwa bado bwa mdogo nilishajijengea heshima fulani mitaani ya kusakata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…