rais

  1. M

    Boxing day iende kwa Rais Samia Suluhu

    Boxing day leo siku ya zawadi sisi wakristo wakatoliki wa huku Kilimanjaro tuna idedicate kwa gamer changer,kipenzi cha waTanzania,mpenda haki na mbeba maono kwa waTanzania Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutupambania sisi waTanzania hadi tone la mwisho ili kuifanya Tanzania kuwa big country in the...
  2. M

    Sisi wakatoliki wa Rombo pure tupo tunamuombea Baraka na heri Rais wetu Samia

    Jana kwenye mkesha wa krismasi hapa kwetu wilayani Rombo tulikuwa bize na mkesha wa krismasi moja ya vitu ukiachana na mkesha huo wa krismasi tulikuwa tunamuombea Rais wetu mpendwa Samia Suluhu Hassan kusema ukweli Rais samia sisi huku wachaga wakatoliki pure Tunakupenda na tutaendelea...
  3. M

    Rais Samia ndiyo Rais bora kuwahi kutokea Tanzania

    Rais Samia ndiyo Rais bora kuwahi kutokea katika nchi hii huyu ndiyo mimi namuweka namba moja kiukweli kwa haya mambo ambayo amefanya kwa muda mchache sana mambo yameonekana kiukweli Rais Samia ameweza kuunganisha au kuleta umoja wa kitaifa kati ya waislamu na wakristo lakini pia ameweza kuleta...
  4. Wanaotumihiwa kuiba Bil mbil Tamesa wanafutwa kazi na kupelekwa Mahakamani. Angela Kiziga yupo Ikulu akimsadia rais Samia Kazi

    Watanzania wakiingia mitaani na kuandamana kuwa huu utawala haufaina utakiwa kuondolewa kwa nguvu za umma Wanatumia majeshi kuwamaliza. Mtu kama Angela Kiziga alifanya ufisadi ambao ni ni dharau na kebehi kwa walipa kodi. Lakini leo hii ni miongoni mwa WanaCCM ambao ambao wapo karibu na...
  5. Tukitukana mnasema tuna matusi. Jitu limeiba 2.5b, tume ya Rais ilishachunguza ikampa ripoti, halafu Rais anakuita wazi

    Hivi kufungiwa kwa jizi lililokuwa linaiba nauliza za vivuko, linaiba Hela ya matengenezo, ya vivuko, kila siku linaelekeza vivuko vialubiwe Ili liombe malipo hewa Bado tuna liacha Muda wote tangu litumbuliwe limekaa nyumbani linamgegeda mkewe mpaka waziri mkuu mwigulu ulipoitwa na Raisi...
  6. Watajeni wote waliotekwa au kuuawa Enzi Nyerere akiwa Rais

    Mara kadhaa nimekuwa nikisikia baadhi ya watu wakisema kuwa enzi za Mwalimu Nyerere akiwa Rais watu "wengi" Sana waliuawa au kupotezwa. Sasa kabla ya waliofanya kazi na Nyerere wote kufa, ni Bora watu wanaowafahamu waliouawa zama Julius Nyerere alipokuwa Rais wa nchi yetu, wawataje watu hao...
  7. Rais Anapaswa Kuwa Mtu Mwenye Maono Makubwa na Upeo Mkubwa Kiakili

    Samia Suluhu Hassan hana sifa hizo ndiyomaana anapambana kuua watu wenye upeo mkubwa wa akili wanaomwambia ukweli. "Ni hatari sana kuwa sahihi wakati serikali inakosea" Maxence Melo.
  8. Hivi Rais Akibeba Mimba Itakuwaje?

    Je maamuzi yake yatatekelezwa hata kama ni matokeo ya mimba? Je ataacha madaraka kamili kwa makamu wake?
  9. Nilipomuona Jaji Warioba amepiga picha na Rais MIKONO yake ikiwa nyuma ya makalio yake, nilitoa tafsiri, Je mlinielewa?

    Sina miaka mingi ya KUZALIWA, ila NIMEYAONA MENGI kidogo Je wewe msomaji ulisoma Uzi WA tafsiri yangu ya picha ya Samia na warioba, uku warioba akiwa ameweka MIKONO yake kwenye makalio yake? Kama uliusoma utaunganisha na mahojiano aliyoyafanya na Jamhuri tv, utabaini.yakuwa nilikuwa sawa sawia...
  10. M

    Wasipindishe ukweli. Tanzania hakuna mgogoro wa kisiasa bali watu hawamtaki Rais aliyepo madarakani

    Huu ndio ukweli wa mambo. Wananchi hawamtaki rais Samia. Mbaya zaidi hata ndani ya CCM inaonekana hawamtaki. Watu wameanza kuingia barabarani na kuanza kuleta ghasia hata matokeo hayajatoka. Hii ina maanisha ni wazi kuwa hawamtaki. Kwa nini? Walishasema ufisadi na mambo mengineyo. Hawa...
  11. Sheria ikoje rais akipata mental health problem na madaktari wakathibitisha itachukua muda mrefu kurudi kawaida au asirudi kabisa.

    Je rais wa nchi akipata tatizo la afya ya akili sheria inasemaje kuhusu yeye kuendelea kuongoza nchi? Kikawaida mtu mwenye tatizo la afya ya akili (sio lazima awe chizi kabisa ) ni ngumu kugundua kama ana hiyo shida, ila walio karibu yake wakishirikiana na madaktari ndio wanaweza kugundua hilo...
  12. M

    Tumwamimi nani kati ya Rais Samia na wasaidizi wake?

    Tangu ghasia za kuukataa uongozi wa Rais Samia ile tarehe 29 Oktoba mpaka leo naona kama kila Kiongozi anaongea la kwake. Na hii ndio inazidi kuleta mkanganyiko zaidi. Kila anakopita Waziri mkuu Mwigulu Nchemba anasisitiza ghasia zile zilikuwa ni sababu ya vita vya kiuchumi. Yeye mkuu wa nchi...
  13. Tukubaliane, Watekaji wamemshinda Rais Samia, na vyombo vyote vya ulinzi na usalama Tanzania, Sasa nashauri tujilinde

    Tukubaliane watanganyika, nasema watanganyika, maana zanzibari sijasikia wakitekwa au lolote BAYA lililotokea kwao, Nasema tukubaliane Tanganyika RAIS wetu ameshindwa na tabaka la watekaji Sasa tujiamini na tujilinde sisi wenyewe. Je vyombo vyeti navyo vimeshindwa kutulinda Sasa tujirinde?
  14. Je Rais Samia alifanyiwa vetting akiwa Rais tayar? Je ni nani ALIFANYA?

    Nauliza ALIYE fanya vetting ya RAIS kuwa Rais ni nani? Je aliyefanya vetting aliona kabisa ana sifa za kuwa Rais? Je alimfanyia akiwa tayari u RAIS? Vetting ya mama wanu irudiwe Mimi naona kama anasifa za ziada ambazo hazikubainika wakati anafanyiwa vetting, Rais ni mwema mnoooo
  15. (Kumbukizi): Mwaka 1975, Tanzania, Zambia na Botswana zilisusia Mkutano wa 12 wa Umoja wa Nchi za Afrika (OAU),kupinga uongozi wa Rais Idi Amin

    Mwaka 1975, Tanzania, Zambia na Botswana zilisusia Mkutano wa 12 wa Umoja wa Nchi za Afrika (OAU) uliofanyika Kampala, Uganda, kupinga uongozi wa Rais Idi Amin. Mkutano huo ulimfanya Amin kuwa mwenyekiti wa OAU kwa mwaka mmoja, nafasi ambayo kwa desturi hutolewa kwa kiongozi wa nchi mwenyeji...
  16. Hakuna Rais aliyewahi kuua raia wake akamaliza utawala wake bila kuuona mkono wa Mungu

    Mungu haonekani lakini watu huwa wanamuona kwa matendo yake. Mobutu Seseko, Idd Amini, Blaise Kompaore, na wengine wengi ni mfano ulio wazi. Wote hawa walimaliza kwa mwisho mbaya .
  17. K

    Rais Samia akutana na Waziri Mstaafu wa Afrika Kusini, Dkt. Grece Naledi Mandisa Pandor

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Picha ya pamoja na Waziri Mstaafu wa Mambo ya Mahusiano ya Kimataifa na Ushirikiano wa Afrika ya Kusini, Dkt. Grece Naledi Mandisa Pandor, ambaye pia ni Mjumbe Maalum wa Rais wa Afrika ya Kusini, Cyril Ramaphosa...
  18. Zambia: 34 waliohusika kumpiga mawe Rais washtakiwa kwa kosa la ugaidi

    Watu 34 waliohusika kumrushia mawe Rais Hichilema wa Zambia wakati akihutubia huko Chingola wamefikishwa mahakamani kwa kosa la ugaidi. Imeripotiwa na Rise Fm ya Zambia. GenZ muwe mnatuliza mizuka na kuacha kutaka kushindana na dola. 34 PEOPLE ACCUSED OF RIOTING IN CHIWEMPALA CHARGED WITH...
  19. S

    PostGE2025 PICHA: Hii ndio Ambulance mpya ya Mbunge Sara Msafiri aliyoikabidhi kituo cha Afya Mziha, Yeye amshukuru sana Rais Samia

    MBUNGE SARA MSAFIRI AKABIDHI AMBULANCE KITUO CHA AFYA MZIHA Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Mheshimiwa Sara Msafiri, amekabidhi rasmi gari la wagonjwa (ambulance) kwa Kituo cha Afya Mziha, huku akitoa maagizo mazito kwa uongozi wa kituo hicho kuhakikisha gari hilo linatumika kikamilifu kwa lengo la...
  20. Njia Rais ya kuwa relevant ni kuongea ukweli haijalishi watu watauopokeaje.!

    Ukitaka uweze kuwa relevant don't speak soft Ila ongea ukweli tu. Tumefanya Sana siasa za unafiki, uongo na uhuni . tumewasabishia vijana matatizo makubwa Ila sasa tunakomesha , Vyama vyote Vya Tanzania vijiandae kuathirika na hii movement Don't play someone's game Na wanaharakati anzeni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…