rais

  1. B

    JamiiForums Tanzania Rais Azali Assoumani wa Commoro anusurika baada la shambulio

    Ijumaa 13 September 2024 Moroni, Comoros Rais Azali Assoumani mwenye umri wa miaka 65 amenusurika shambulio la jaribio la kumuua wakati akihudhuria maziko ya kiongozi mkubwa kidini siku ya ijumaa tarehe 13 September 2024 nchini Comoro katika mji mdogo w Salimani - Itsandra karibu na mji mkuu...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Rais wa zamani wa Botswana afikishwa Mahakamani kwa mashtaka ya Makosa Jinani baada ya kurejea nchini humo

    Rais Ian Khama, amerejea Botswana baada ya kuishi uhamishoni Afrika Kusini kwa takriban tangu Mwaka 2021. Ijumaa ya Septemba 13, 2024, alifikishwa Mahakamani akikabiliwa na mashtaka 14, ikiwemo umiliki haramu wa silaha na utakatishaji fedha. Khama ameyakana mashtaka hayo, akidai kuwa ni...
  3. JamiiForums Tanzania CCM: Kamati ya siasa ya CCM mkoa wa Kilimanjaro kagueni ujenzi wa geti jipya la Chuo cha Polisi Moshi, kabla Rais hajalifungua tar 17.9.2024

    Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Kilimanjaro inapaswa kukagua mradi wa ujenzi wa geti jipya la kuingia chuo cha polisi Moshi, na kujiridhisha kabla ya Rais na Mwenyekiti wa CCM Taifa hawajafika kuufungua. Hadi sasa, vyombo vya ndani vimefanya uchambuzi wa eneo hilo, lakini mradi huo haujakamilika...
  4. JamiiForums Tanzania Rais wa Senegal avunja Bunge kwa madai ya Kuvutana na Mhimili wa Serikali

    Rais Bassirou Diomaye Faye amevunja Bunge linaloongozwa na Upinzani kwa kile kilichoelezwa ni kuondoa mvutano uliopo kati ya Wabunge na Mhimili wa Serikali. Hatua hiyo inakuja ikiwa ni miezi 6 tu tangu Serikali mpya ilipoingia Madarakani huku akieleza Bunge hilo linaloongozwa na upinzani...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi Mgodi wa CATA Mining Mara waandamana, wakidai Mishahara, NSSF, wamwangukia Rais Samia

    Waliokuwa wafanyakazi wa mgodi wa dhahabu wa CATA MINE uliopo kijiji cha Kyabakari, Wilayani Butiama Mkoani Mara, jana wameandamana kwa mara nyingine kuelekea katika Ofisi za mgodi huo, kushinikiza mwekezaji kuwalipa malimbikizo ya mishahara yao pamoja na NSSF. Wakiwa na mabango yenye jumbe...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Kwenye hili la mauaji Rais Samia amekasimu madaraka hafiki moja kwa moja kwa wananchi tumpe haki yake

    Habarini, Yawezekana kabisa Rais Samia hausiki kwenye mauaji au uvunjifu wa sheria uliopo sasa kwani amekasimu madaraka kwa watu wenye kujua majukumu yao na kujiona wanaweredi,hivyo basi hao waliokasimiwa na kwenda kinyume ndiyo wawajibishwe na nguvu ya umma hasa nguvu ya mila na albadiri,huo...
  7. JamiiForums Tanzania SI KWELI LGE2024 Freeman Mbowe amemshukuru Rais Samia kwa kuungana na CHADEMA kuomboleza msiba wa mzee Kibao

    Nimeona poster ya The Chanzo yenye picha ya Freeman Mbowe ikiwa na maelezo ya kwamba Mwenyekiti huyo wa CHADEMA amemshukuru Rais Samia kwa kuungana na CHADEMA Kuomboleza msiba wa mzee Kibao, je taarifa hii ni ya kweli na chanzo chake ni The Chanzo.
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia ameizawadia Serengeti Girls Milioni TSh 30 kwa Kutwaa Ubingwa wa Unaf

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameizawadia timu ya taifa ya wanawake chini ya umri wa miaka 17 ‘Serengeti Girls’ kiasi cha Sh30 milioni baada ya kutwaa ubingwa wa Unaf huko Tunisia wiki iliyopita. Fedha hizo zimekabidhiwa Septemba 11, 2024 na Waziri wa Utamaduni...
  9. JamiiForums Tanzania Kufuatia tishio la wanachadema kufanya fujo, Dar es salaam yote iwekwe chini ya uangalizi maalum wa vyombo vya ukinzi na usalama

    NAshauri hilo lifanyike kwa kuhusisha vyombo vyote vya ulinzi na usalama. Nyumba za wageni zikqguliwe mara kwa mara kubaini watu waliokuja Dar kwa ajili ya uhalifu huo, nyumba za biongozi wa chadema Dar ws salaam nzima zifuatiliwe kwa karibu, wageni wanaoingia na kutoka. Ofisi za chadema zote...
  10. JamiiForums Tanzania Nay wa Mitego: Asilimia kubwa ya wasanii ni wa Serikali. Tuache uoga wa kukemea mambo ya kikatili na kutegemea Wasanii kupaza sauti

    Msanii wa Muziki wa Hip Hop nchini Tanzania Nay Wa Mitego amesema hajawahi kuwa katika Chama cha Siasa lakini amechagua upande wa kuwasemea Wananchi ambao ni Mashabiki wake. Nay amesema hayo wakati akijibu baadhi ya maoni ya wananchi kuhusu ukimya wa Wasanii wa Tanzania pale yanapotokea matukio...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia Mfariji Mkuu

    Katika kipindi hiki ambapo vitendo vya utekaji, watu kupotea na kuuawa vimekuwa vikishamiri nchini Tanzania, Rais Samia Suluhu Hassan ameibuka kama kiongozi mwenye jukumu kubwa la kufariji wananchi wake. Wakati ambapo jamii inakabiliwa na woga na hofu ya usalama wao, kuna haja ya kuwa na sauti...
  12. JamiiForums Tanzania Lema: Nilitegemea mpaka sasa baada ya statement ya Rais Samia kuhusu mauaji ya Ally Kibao basi Waziri Masauni, IGP wawe wamejiuzulu

    Godbless Lema ambaye ni Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Kaskazini akieleza kushangazwa kwake mpaka sasa kwanini Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhandisi Hamad Masauni na IGP kutujiuzulu kufuatia tukio la kutekwa na kuuawa kwa Ally Mohammed Kibao. Niliposikia Ali amekamatwa ameshushwa kwenye basi...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia tafadhali nakuomba chukua muda wako leo na uupokee huu Ushauri wangu GENTAMYCINE, nina uhakika utakusaidia sana na Kunishukuru pia

    Pole na Majukumu yako ya Kiutendaji na hongera kwa yale mazuri unayofanya kwa Tanzania japo kwa kawaida changamoto za Kiutawala / Kiuongozi kwa Rais yoyote hazikosekani na kama hutozimaliza Wewe basi atakuja Kuzimaliza ajaye. Tafadhali Rais Samia nakuomba fanya yafuatayo ikikupendeza....... 1...
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania tumeanza mauaji ya vitisho. Lengo wananchi wasiseme baya lolote

    Kwa nchi za kiafrika Tanzania haikuwa kwenye kundi la hovyo kiasi hiki. Usalama wetu ulilindwa kistaarabu kabisa na siyo kwa kutisha raia. Sababu kubwa ilikuwa ni uongozi usiokuwa na tamaa ya mali na u-bilionea madarakani. Kinachoonekana sasa tuko kwenye uongozi uliojaa tamaa za u-bilionea...
  15. JamiiForums Tanzania Hawa ndo Marais wabovu zaidi kuwahi kutokea Marekani. Donald Trump yupo kwenye top 3

    Wakuu habarini za muda huu, Kwenye raundi zangu mbili tatu huko mtandaoni, nilikutana na article kutoka CBS News ambayo inaelezea wakina nani walikuwa na marais wabovu zaidi kuwahi kutokea Marekani, tangu nchi hiyo kupata uhuru mwaka 1776. Kulingana na CBS News, Rais mbovu na dhaifu kuwahi...
  16. JamiiForums Tanzania "Majibu ya Mnyika : Rais Samia Asisitiza Haki, Uwajibikaji na Uchunguzi Huru"

    TISS na Polisi Hufanya Kazi Kulingana na Sheria: Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) na Jeshi la Polisi hufanya kazi chini ya sheria na taratibu za nchi, zikiwa na taratibu za kiuchunguzi zinazozingatia haki. Kuwatuhumu moja kwa moja bila ushahidi wa wazi ni kinyume na misingi ya haki na sheria...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Tebboune ashinda Urais Aljeria kwa asilimia 95

    Mamlaka nchini Algeria zimetangaza Rais Abdulmadjid Tebboune (78) kuwa mshindi wa uchaguzi uliofanyika Septemba 7, 2024 kwa asilimia 95 Aidha masaa kadhaa baada ya matokeo kutangazwa Tebboune alijiunga na wagombea wenzie kuhoji taarifa za matokeo wakimtuhumu Afisa mkuu wa Uchaguzi kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia ateua Wakurugenzi wapya TCAA na TAA

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Salim Ramadhani Msangi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA). Kabla ya Uteuzi Msangi alikuwa akikaimu nafasi hiyo Pia, Rais amemteua Abdul Athumani Mombokaleo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA)...
  19. JamiiForums Tanzania Kamati ya bunge yampongeza rais Samia kwa fedha za miradi ya REGROW

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii ikiongozwa na Mwenyekiti, Mhe. Timotheo Mnzava (Mb)imempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajenda yake ya kukuza utalii ikiwemo katika miradi ya ujenzi wa kituo cha utalii kwa gharama ya...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais wa zamani, Cheney (Republican) kumpigia kura Kamala Harris

    Hii ndiyo ile maana kamili ya vyama kutokuwa mama wa waungwana: Uwaambie nini wale chawa kindaki ndaki wa pande za kwetu? Kwamba hayapo wanayosimamia ila vyama.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…