rais

  1. JamiiForums Tanzania Kuzuiliwa kwa maandamano ya CHADEMA yaleta taswira tofauti kwa Rais Samia kwenye vyombo vya habari vya kimataifa!

    Naona Firstpost hawataki mchezo. Wanaendelea kumkomalia kooni na coverage yao ya yanayojiri nchini kuhusiana na maandamano yaliyofanyika [au ambayo hayakufanyika] jana/ juzi tarehe 23 Septemba. Asipoangalia na kujirudi ataishia kuwekwa kwenye kundi moja na akina Sheikh Hasina...
  2. JamiiForums Tanzania Napinga sana hoja ya kusema watoto ni malaika

    Rais alikuwa anaongea na wale watoto wa shule ya msingi akawaita " malaika" Hili ni jambo ambalo napinga sana. Ni kama mtu akinunua glasi mpya au sahani mpya,haoni sababu ya kuiosha. Mtoto anapaswa kufundishwa mambo mengi,kwa sababu anaweza anajua kuhesabu moja mpaka kumi lakini hajui Amri Kumi...
  3. JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi: Nguvu iliyotumika na Polisi kuzuia Maandamano ingetumia kuwatafuta waliotekwa

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika, Wakili Boniface Mwabukusi, amesema kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa, Jeshi la Polisi halipaswi kuingilia michakato ya Kidemokrasia isipokuwa tu kwa agizo la Msajili wa Vyama vya Siasa
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Tusikubali kugawanywa kwa sababu za kisiasa

    Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasihi Watanzania kuwakataa wale wote wanaotaka kuligawa Taifa kwa sababu za kisiasa au tofauti za kiitikadi kwa ajili ya maslahi yao binafsi. Ameyasema hayo katika kilele cha Tamasha la Tatu la Utamaduni la Kitaifa lililofanyika...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Mikiki ya kisiasa imeathiri sana mood ya Rais Samia, hayo yameonekana jana huko Songea

    Ukweli ni kwamba japo maandamano yalizuiwa kwa nguvu zote na Polisi, taswira ya rais Samia imeendelea kuathirika mbele ya watanzania na jumuiya ya kimataifa. Katika hotuba ya rais Samia ya kufunga tamasha la kitamaduni mjini Songea mtu angeweza kuona kuwa hakuwa na ile sauti na hisia zake za...
  6. JamiiForums Tanzania Wachokonozi watuma Ujumbe kwa Rais Samia na Jeshi la Polisi

    Rais Samia, Jeshi la polisi pamoja na watekaji kuna ujumbe wenu hapa toka kwa WACHOKONOZI. https://youtu.be/51JvA4Kv3nY?si=-ci71dg-gP5igOcr
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia Aridhishwa na Ujenzi wa Kiwanja cha Ndege Songea

    RAIS DKT SAMIA ARIDHISHWA NA UJENZI WA KIWANJA CHA NDEGE SONGEA Kukamilika kwa uboreshaji wa Kiwanja cha Ndege cha Songea kumefanya Mkoa wa Ruvuma kuwa kitovu muhimu cha biashara kwani idadi ya abiria imeongeza kutoka abiria 3,000 hadi kufikia 19,000 wanaoshuka Mkoani Ruvuma kwa kuwa hivi sasa...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia Akagua Ukarabati na Upanuzi wa Kiwanja cha Ndege cha Songea, Bilioni 40.87 Zatumika

    RAIS SAMIA AKAGUA UKARABATI NA UPANUZI WA KIWANJA CHA NDEGE CHA SONGEA, BILIONI 40.87 ZATUMIKA. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amekagua na kupokea taarifa ya ukarabati na upanuzi wa Kiwanja cha Ndege cha Songea ambao umekamilika kwa asilimia 100%...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi kabla ya kufunga Tamasha la Tatu la Utamaduni la Kitaifa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi kabla ya kufunga Tamasha la Tatu la Utamaduni la Kitaifa lililofanyika katika uwanja wa Majimaji Songea mkoani Ruvuma tarehe 23 Septemba, 2024.
  10. JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba Maandamano ya CHADEMA yamefanikiwa kwa 100%

    Lengo Kuu la Maandamano haya lilikuwa ni kuijulisha Dunia yote na Taasisi zote za Kimataifa kwamba Serikali ya Tanzania ndio inayoteka na kuua Wakosoaji wake kwa kutumia vyombo vya Dola, Hili limethibitika Rasmi, kwa Ushahidi Mwanana, Kauli ya Rais ya Juzi na mnachokiona mitaani ni uthibitisho...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Onesmo Olengurumwa: Rais bado anayo nafasi ya kukaa na CHADEMA kusitisha maandamano kwa amani.

    Mratibu wa Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) Wakili Onesmo Olengurumwa akizungumza na televisheni ya mtandao ya Sauti Digital. "Sisi tulidhani na tulishauri sana kwamba serikali iwasikilize (CHADEMA), wawape ile fursa ya mazungumzo na bado tunaendelea kushauri...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini rais Samia amerudi nyuma kwenye masuala ya maridhiano? Neno maridhiano sasa limekuwa na ukakasi mkubwa

    Rais Samia aliporithi kiti cha urais watu wengi walijawa na matumini kuwa sasa demokrasia na uhuru wa kujieleza vingeongezeka na kusitawi. Hivi karibuni matumaini hayo yamefifia na watu hawaoni tofauti kati ya awamu ya tano na ya sita katika masuala ya kidemokrasia. Maridhiano ilikuwa ni moja...
  13. JamiiForums Tanzania Ni wakati sahihi, kwa Rais Samia kuongea na mabalozi wote na jumuiya za kimataifa!

    Kwa vyovyote hawa ndugu zetu wasiotakia mema taifa letu, watakuwa wamesambaza vipeperushi vya hovyo katika jumuiya mbali mbali za kimataifa, ili mradi tu, malengo yao ovu, yatimie ikiwepo extensions za ukaazi wao wa kikimbizi huko ughaibuni, pia ikiwepo kutafuta huruma ili wamiminiwe fedha kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Hodi Hodi Ruvuma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya Ziara ya Kikazi Mkoani Ruvuma kuanzia

    Hodi Hodi Ruvuma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya Ziara ya Kikazi Mkoani Ruvuma kuanzia Tarehe 23-28 Septemba, 2024.
  15. JamiiForums Tanzania Mbunge Jafari Chege: Mimi ni Muombaji wa Fedha za Maendeleo, Anayetoa Fedha Hizo ni Rais Samia

    MBUNGE JAFARI WAMBURA CHEGE: MIMI NI MUOMBAJI, ANAYELETA FEDHA ZA MAENDELEO NI RAIS WA NCHI, DKT. SAMIA SULUHU HASSAN Mbunge wa Jimbo la Rorya, Mhe. Jafari Wambura Chege katika muendelezo wa ziara Jimboni amesema kuwa Yeye kazi yake ni kuomba fedha za Maendeleo lakini anayetoa hizo fedha ni...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini Kwenye wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan, taarifa kuhusu wazazi wake hazionekani mara kwa mara?

    Kwenye wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan, taarifa kuhusu wazazi wake hazionekani mara kwa mara. Hii inafanya iwe vigumu kwa umma kujua ni watu wa aina gani waliomlea. Kawaida, mizizi ya kiongozi ni muhimu katika kuelewa maadili na mitazamo yake, lakini katika kesi hii, habari hizo...
  17. JamiiForums Tanzania Hata Kama Mimi Ndo Mtekaji Kwa Hotuba ile ya Rais Ningekua na Amani

    Hotuba ya juzi ya Rais imeonyesha dhahiri yeye na Serikali yake ni watu wa namna gani. Nilitegemea Rais kupitia hotuba ile angefanya yafuatayo: 1. Kuonesha kusikitishwa na mambo ya utekaji 2. Kuonya, kulaani na kukemea akiwa kama Amiri Jeshi Mkuu 3. Kutoa amri ya uchunguzi wa haraka kama jambo...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Ni vizuri Rais Samia akafuata ushauri wa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete kuhusu Wapinzani

    Rais mstaafu Jakaya Kikwete aliwahi kutoa ushauri kwa uongozi wa awamu ya 5 kuhusu namna ya kuendesha siasa na wapinzani. Alisema wapinzani waachwe watoe hoja zao tutawajibu kwa hoja, kama ni kuandama waachwe waandamane mwisho watatulia. Katika uongozi wa Kikwete demokrasia ilionekana kukomaa...
  19. JamiiForums Tanzania Balozi wa Marekani nchini Tanzania amesisitiza hataacha kuzungumzia masuala ya demokrasia na haki

    Balozi wa Marekani nchini Tanzania amesisitiza hataacha kuzungumzia maswala ya demokrasia na haki za kinyume na alivyoagiza rais Samia Suluhu Hassan. Balozi wa Marekani nchini Tanzania Michael Battle amesisitiza kwamba haitaacha kukosoa ukiukwaji wa haki za binadamu na kuminywa kwa demokrasia...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Rais Jakaya , Atabaki Kama Baba demokrasia nchini, sijaona wa kuvunja rekodi yake hapa karibuni

    Umuhimu wa Mtu ni pale akiwa hayupo, Tunamshukuru sana Rais Jakaya Kikwete Kwa kuitumikia nchi hii Kwa moyo mmoja, Ukweli ni kwamba kipindi chake ilikuepo mazungumzo ya mara Kwa mara na wapinzani waliingia ikulu kutoa mawazo yao kila wakati mambo yakiwa magumu, Katika hayo tunampongeza sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…