rais

  1. Rais Injinia Hersi hizi za chini chini Mimi niliye mbali Kijiografia nilizonazo na Wewe pia unazo au?

    Kuwa kuna Mtu Kesho Citizens Day anaweza akayakoga Matusi makubwa, kutakiwa aondoke na hata Kupopolewa pia.
  2. B

    Ziara ya Rais Samia Agosti 1, 2024 yasimamisha shuguli za kiuchumi jijini Dar es Salaam

    Tarehe 01 Agosti, 2024 rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hasani amesafiri kwa Treni ya kisasa ya SGR kutoka Darisama kuelekea Dodoma kwenye uzinduzi wa safari kutoka Dar Es Salaam kwenda Dodoma Dhiara hiyo ya rais samia ilianza asubuhi ya tarehe 1 Agosti akitokea Ikulu ya...
  3. L

    Watanzania Tuwe na Mioyo Ya Shukurani kwa utumishi Uliotukuka wa Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Nimekaa nikawaza ,kufikiria na kurudisha kumbukumbu nyuma mahali tulikotoka ,tulipo na tunakokwenda na kufikia hatua kusema kuwa kwa hakika Watanzania bila kujali itikadi za vyama vyetu, makabila yetu,Dini zetu,jinsia zetu,ukanda na rika. Tuna kila sababu ya kusema...
  4. Rais Samia amjibu Mtanzania aliyefanya Makala ya kuonesha ubora wa SGR na Vituo vyake

    Rais Samia ameandika kupitia X Asante Badru & Mika. Furahia safari yako na mashambani. Nina habari njema kwako. Ujenzi wa sehemu za Isaka-Mwanza & Tabora-Isaka unaendelea, na Mungu akipenda zote zitakamilika. Badru ameonesha kiwango cha ujenzi wa Kituo ch Reli ya SGR cha Morogoro. Ikumbukwe...
  5. D

    Hivi hamjaunganisha dots tu kwamba Israel ndiyo walimuua rais wa Iran Ibrahim Rais kwa kuangusha helkopter?

    Waisrael hawashindwi kitu wakiamua. Kama wameweza kumuulia kamanda wa hamas hukohulo iran itashindikana vipi kusema kwamba wao ndo waliangusha helkopter kwa technologia kubwa waliyonayo. Jamani iran hamna secirity yaani security ni zero. Wasije wakawage war na Islael watapigwa kama mtoto.
  6. P

    HIVI RAIS ANAJUA KAMA KUNA SHIDA YA MAJI DAR?

    Katika maendeleo ya kiuchumi na kijamii ya wananchi serikali ina husika moja kwa moja kuhakikisha watu/wananchi wake wanapata maendeleo endelevu. Huku wananchi tukiwa tunajitutumua kuhakikisha tunaishi vizuri, ni vyema serikali nayo ikatoa kwa ubora huduma za msingi kwa wananchi wake...
  7. Haya chukueni hii mbichi kabisa na ya uhakika kwanini ghafla Dogo karudishwa japo Rais alikubali aache ili Rafiki yake arejee Kitini

    Baada tu ya Dogo kubwaga Manyanga ghafla Simu Nne Kubwa zilipigwa Kwake moja kutoka kwa mwana Bagamoyo kwa niaba ya Baba, ya Singida, ya Dodoma na ya Zanzibar kwa mwenye Timu yake katika Karatasi na Kumhoji kulikoni ndipo Dogo nae akafunguka mazito yafuatayo...... 1. Boss Mkuu hamtaki kwakuwa...
  8. Aliyemuoa mtoto wa Rais Hussein Mwinyi ndio kaoa,sie wengine tulioa ili mradi tusije kufa bila kuacha watoto

    Mwanamke anakupa stress ukienda kwao mlango wa jikoni ukiupiga teke unadondoka. Choo mlangoni wameweka gunia au khanga Kanyumba kenyewe ka slope sebuleni ndio stoo ya kutunza udaga. Ukimleta mjini akaanza kutakata anaanza maringo bila kujali umemsitiri. Huyu mwamba wa Arusha aliyeoa mtoto wa...
  9. Rais Tshisekedi adai Ruto amevuruga mazungumzo ya Amani kati ya Serikali na Waasi

    Rais Felix Tshisekedi amesema Rais wa Kenya, William Ruto amevuruga mazungumzo ya amani yaliyoanzishwa na Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta kati ya Serikali ya DRC na Makundi ya Waasi. Akizungumza katika mjadala wa hali ya DRC ulioandaliwa na Brookings Africa Security Initiative na Africa Growth...
  10. Tatizo la Kofia Mbili, Mwenyekiti Chama na Rais wa JMT ndio Lipo Hapa.

    Mwishoe ni kuonekana Mtu anayeropoka kumbe Kichama anaongea kutafuta support na huku serikalini anaongea majibu ya kupangiwa na wataalamu. Sasa uongo uko upande upi? Nadhani hiki kitu kiachwe na vyeo hivyo vitengwe sio CCM tuu bali hata vyama vingine vikiingia madarakani
  11. Rais Samia awaonya wateule wake, wasitumie madaraka yao "kupiga" pesa

    Rais Samia amewaonya vikali wateule wake, aliowateua majuzi, kuwa wasitumie madaraka yao kupiga "dili" za pesa, badala yake akawaambia ya kuwa wanatakiwa kufanya kazi Kwa weledi mkubwa na kuwatumikia wananchi Kwa uaminifu mkubwa. Aliyatamka hayo maneno wakati akiwaapisha jana jijini Dar. Rais...
  12. M

    Sikujua kama Brigedia anaweza kuwa mlinzi wa Rais na kubeba begi

    Zamani kipindi cha Nyerere na Mwinyi tuliona cheo cha Meja na Luteni kanali, akaja Mkapa na Kikwete na JPM natukaona imesogea hadi Kanali. Sasa tunashuhudia Burigedia. Hii imekaaje wadau
  13. Rais wetu mpenda maendeleo - tunaomba uboreshwaji wa mitandao ya simu boda ya Rusumo

    Team Jf, Salaàm! Ukiwa boda ya Rusumo kwenye mipaka ya TANZANIA na Rwanda wkt mwingine ni shida kupata mawasiliano kwa kutumia mitandao yetu i.e Vodacom, Airtel, Halotel, Tigo, TTCL nk Mtandao unaoshika sana eneo lile ni wa Rwanda maarufu kwa jina la MTN. Sasa hii husababisha mambo yafuatayo:-...
  14. Watoto wawili wa familia moja wapotea baada ya kuaga wanakwenda shule Julai 24, 2024

    Watoto wawili wa familia moja wamepotea katika mazingira ya kutatanisha mkoani Arusha, baada ya kuaga wanakwenda shule jana Julai 24, 2024, lakini hawakurudi nyumbani na mpaka leo hawajaonekana popote. Watoto hao wanaosoma Shule ya Msingi Olosiva, wilayani Arumeru, wamedaiwa kupotea baada ya...
  15. Historia inaweza kutusaidia kuijua sasa na kesho- Rais Ford alitabiri ujio wa rais mwanamke

    https://www.youtube.com/watch?v=epWYJ_SY8uU United States well I hope we do have a 0:57 young lady at some point become 1:00 president of the United States I can 1:06 tell you how I think it will happen 1:09 because it won't happen in the normal 1:16 course of events either the Republican 1:20...
  16. Mtanzania gani ataweza kuja kuweka rekodi hii? Rais Samia alishaweka rekodi zake.

    Waziri Mkuu wa kwanza kuwa Rais. Waziri Mkuu wa kwanza kuwa Makamu wa Rais. Mwanamke wa kwanza kuwa Waziri Mkuu. Mwanamke wa kwanza kuwa Jaji Mkuu. Mwanamke wa kwanza kuwa Mkuu wa Majeshi. Mwanamke wa kwanza kuwa Mkuu wa Polisi (IGP). Mwanamke wa kwanza kuwa mkuu wa Magereza. Mwanamke wa...
  17. 4

    Kwako Ndugu Rais , ombi ,DC wa kimataifa awe kwenye baraza la Mawaziri

    Hili ni andiko fupi kwa Ndugu Rais , ila ukuu wenu kama member wa jf umezingatiwa . Ndugu Rais yupo mkuu wa wilaya mmoja hapa tz , ( mkuu wa wilaya wa Kimataifa ) binafsi siko ndani ya Wilaya yake, na hatujuani , ila nalazimika kukuomba katika mikeka yako awepo katika baraza la mawaziri ...
  18. Katibu mkuu kiongozi kiongozi umeshindwa kumshauri Rais kuhusu mishahara ya watumishi wa umma? Tukiibia serikali mtatulaumu?

    Just imagine kwenye harusi moja ya mtoto wa kiongozi mmoja wa serikali ya mapinduzi zanzibar amezawadiwa bilioni 1.5 ndiyo 1.5 bilion hizo pesa zinatoka wapi? Sio kama wizi nini? Mtumishi wa umma unapataje kiasi chotee cha pesa hiko? Hii haikubaliki hata kidogo Yaani haiwezekani mtumishi wa...
  19. Rais Samia ampandisha cheo mpambe wake (ADC) sasa ni Brigedia Jenerali

    Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amempandisha CHEO Mpambe wake (ADC) Kanali Nyamburi Mashauri nakuwa BRIGEDIA JENERALI. Kutokana na Brigedia Mashauri kupanda cheo, kwa taratibu za kijeshi hatokuwa tena...
  20. M

    Je, kauli ya Makonda kuwa kuna Mawaziri wanamtukana Rais ndio imesababisha kuchaniwa mikeka?

    Nadhani hii kauli ilikuwa na kaukweli Kwa mbali ila wahusika walitafutiwa TU timing. Pia soma Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri Lema awataja Mawaziri wanaomtukana Rais Samia
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…