rais wa tls

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pascal Mayalla

    BigUP Balozi Dkt. Nchimbi kukubali hoja za Rais wa TLS, Wakili Mwabukusi, kuhusu yaliyopita Oktoba 29 si ndwele, tugange yajayo ya Tume ya Uchunguzi

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe, Jumapili ya leo Leo naanza na asante na Pongezi kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi kwa kitendo cha yeye ambale ni Makamu wa Rais wa JMT, kukuikubali na kuiunga mkono kwa asilimia 100%...
  2. DuaZaMama

    PostGE2025 Rais wa TLS: Kila anayatakiwa kuwajibika awajibike kwa maslahi mapana ya Taifa letu, viongozi msizungumze kutonesha mioyo ya wananchi

    Rais wa Chama cha Mawakili Tanzania (TLS), Boniface Mwabukusi, akizungumza wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini 2026 yenye kauli mbiu ‘Mchango wa Mahakama katika Ustawi na Maendeleo ya Taifa’, jijini Dodoma, amegusia suala la Oktoba 29, 2025 akisisitiza kuwa kila anayepaswa kuwajibika...
  3. The Palm Beach

    Rais wa TLS Boniface Mwambukusi: Wametuumiza, Wakaua ndugu zetu na sasa Wanatugombeza na kulazimisha Maridhiano Waliyoyakataa Kabla ya Uharibifu wao!

    Wameteka, wamepoteza, wamejeruhi wameua na hawataki kukiri makosa yao waliyoyafanya kwa uwazi na mchana kweupe kwa kuwa walishatuona sisi sote ni kama mbuzi wao wa kafara.. Na sasa eti wanataka kulazimisha waongoze maridhiano ili tuongezeke na watengeneze mazingira ya kuja kuua wengine...
  4. Abdul Said Naumanga

    GE2025 Tamko La Rais Wa TLS Juu Ya Kitendo Cha Polisi Kuzunguka Ofisi Za TLS

    Wakili Mwabukusi ambaye pia ni Rais wa TLS (Chama cha Wanasheria Tanganyika), akizungumza na Wakili TV leo, amesema TLS inachukulia suala la polisi kuzunguka katika ofisi zao kwa uzito mkubwa sana. Amesisitiza pia kuwa TLS si wahalifu bali ni chombo cha kisheria kinachotekeleza majukumu yake kwa...
  5. R

    GE2025 Rais wa TLS Boniface Mwabukusi afika Mahakamani Kusikiliza Kesi ya Tundu Lissu

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi ni miongoni mwa waliojitokeza Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam leo, Jumatano Septemba 10.2025 kusikiliza mwenendo wa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Wakili Tundu Lissu Kesi...
  6. DuaZaMama

    Rais wa TLS: Tumezungumza mengi na Rais Samia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.
  7. Waufukweni

    GE2025 Rais wa TLS, Mwabukusi: Uchaguzi wa mwaka 2025 umeleta mgawanyiko wa Kisiasa, Kidini na Kikabila

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi aemesema Uchaguzi wa Mwaka huu umekuwa na changamoto na hii inatokana na yaliyojiri wakati wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2018 ambapo iliuwa trend ya ukuaji wa demokrasia ya Vyma vingi katika taifa letu. "Uchaguzi...
  8. R

    GE2025 Serikali imuachie Lissu, Mahakama isitumike kama kokoro la kuvulia samaki na kuharibu matumbawe na tunasema hivi ili kuliponya Taifa

    Wakuu habari, Tufuatilie live ya Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi akitoa tamko Muda huu https://www.youtube.com/live/u4jupslBLE8?si=gvSCRvis826W9uvQ Wakili Boniface Mwabukusi: Sisi kama TLS tunawajibu wetu wa kisheria na katika kutekeleza wajibu wetu wa...
  9. P

    Ifike mahali serikali ya Tanzania na hasa TCRA iwaheshimu watanzania

    Wakuu habari za muda huu? Naandika hapa nikiwa nimefura kupitiliza. Imetosha sasa, hii serikali inabidi ifike mahali iheshimu raia. Haiwezekani watu wawe wanajizimia zimia tu mitandao wanapojisikia. Watu tumejiajiri huko YouTube, na leo jioni hii nilikuwa na darasa (huwa natrain watu mbali...
  10. Kitchener

    Kauli ya Rais wa TLS kuhusu kufunga kanisa la Gwajima

    NINA LAANI NA KUKEMEA UNYANYASAJI NA SHAMBULIO LA KIIMANI LINALOFANYWA DHIDI YA WAUMINI WA KANISA LA UFUFUO NA UZIMA.Ni Vema Viongozi wa Serikali wakatambua kwamba 1.Nikiambiwa nichague kati ya Yesu na Tanganyika nitachagua Yesu. 2.Nikiambiwa nichague kati ya Yesu na Ukimya munao uita amani...
  11. Mzalendo2015

    Rais wa TLS na Wakili musomi Mwabukusi anapaswa awe Mwasheria wa Serikali

    https://youtube.com/shorts/FWDKb8Whcds?si=Pjlh0CNSjwXKsaA3 Ukisikiliza kwa makini Maneno ya huyu Wakili Musomi ndipo unaweza jua hii nchi haina Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Aliyeko pale ni kikaragosi cha CCM ili kutekeleza maagizo toka juu. Tafakari kwa kina.
  12. Dr Akili

    Hivi kazi za national law societies hususan TLS ni vipi? Je, ni hizi anazofanya huyu Rais wa TLS ambazo hazina tofauti na zile za wanaharakati?

    National law societies, like the Tanganyika Law Society (TLS), primarily focus on representing and protecting the interests of the legal profession and the public. This includes advocating for fair conditions of practice for lawyers, ensuring access to justice for the public, and promoting the...
  13. I

    PreGE2025 Rais wa TLS Adv Mwabukusi amkaanga Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Mutungi

    Akitolea mfano kutoka NCCR Mageuzi alizungumzia jinsi Ofisi ya Msajili inavyohusika kuvuruga Vyama vya kweli vya upinzani, sasa tunashuhudia kinachoendelea CHADEMA, ambapo amesema; "Shetani hawezi kumfukuza Pepo, hakuna Ufalme unaojifitini. Msajili anajua kwanini Vyama vipo." "Nimekuuliza...
  14. Papaa Mobimba

    PreGE2025 Kongamano la Kitaifa la TLS kuhusu uchaguzi mkuu wa Tanzania 2025

    Kongamano kubwa la Kitaifa la TLS kuhusu uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2025. https://www.youtube.com/live/OsDzcv1mgK0 Jaji Warioba - 2015 Kuna sababu Nyingi zilizofanya wagombea wakaenguliwa lakini zile hazikuwa na Misingi iliyoko kwenye sheria za Uchaguzi wala Katiba ya Nchi na ilileta...
  15. Roving Journalist

    Rais wa TLS anazungumza na Waandishi wa Habari, akosoa Polisi, amtaja Muliro

    https://www.youtube.com/live/jAy-Wo-SPR8
  16. M

    RAIS WA TLS KUJIUZULU?

    Baada ya kushindwa kuiongoza TLS kwa ufanisi? Kutokana mwenendo wa kesi ya Lissu?
  17. W

    PreGE2025 Wakili Mwabukusi aeleza kuwa Tanganyika Lawyers' Society (TLS) hawajalamba asali

    Wakati akizungumza kwenye maadhimisho ya siku ya sheria nchini rais wa chama cha wanasheria Tanganyika Boniface Mwabukusi amesema kuwa; "Tunaposhirikiana na Serikali hatulambi asali, tunapata changamoto watu wanapoona tunashirikiana na serikali wanafikiri tunalamba asali. TLS siyo kikundi cha...
  18. Mwl.RCT

    Rais wa TLS Boniface Mwabukusi Anatoa Tamko Muda Huu

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, anatoa tamko muda huu. Tamko hili linahusu masuala muhimu yanayogusa sekta ya sheria, haki za binadamu, na maendeleo ya taifa kwa ujumla. https://youtu.be/zgoZejCXR1M
  19. JanguKamaJangu

    Boniface Mwabukusi: TLS haiendeshwi kwa misukumo na mihemuko ya chuki au mitizamo binafsi ya viongozi wake

    Kauli ya Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, inayoeleza umuhimu wa ushirikiano na serikali katika utoaji wa huduma za msaada wa kisheria, inathibitisha nafasi kubwa ya serikali katika kuhakikisha haki inafikiwa na raia wote. Serikali, chini ya uongozi wa Rais...
Back
Top Bottom