rais wa kenya

Gonzi Samuel Rai is a Kenyan politician and a former member of Kenyan parliament from Kinango Constituency in Kwale County. He was first elected to the parliament in 1992 on the ticket of Kenya African National Union (KANU), and 2002 and 2007 on the ticket of Forum for the Restoration of Democracy–People (FORD-People) and won the election on the ticket of The National Alliance (TNA) in the 2013 parliamentary election. His legislative interest focuses on defence, security and public accounts.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ndungai ulipaswa kuwa kama Gachagua, Naibu Rais wa Kenya , unaondolewa kibishi sio kuwahi kujiuzulu baada ya kupigwa mkwara kidogo

    Ndugai pamoja na kuwa mwamba kwa wapinzani ulishindwa kudinda kama Gachagua ,hata kama ataondolewa kwa masanet kupiga kura lakini ameonyaesha ukomavu kama mwanasiasa Ndugai uliogopa nini mzee wangu ? Mbona haukuonyesha ubabe hata kidogo jinsi ulivyokuwa unawaonyesha wapinzani ?, ili wasumbuke...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua akana kudai Ksh.8B ili akubali kuachia nafasi ya Naibu Rais wa Kenya

    Naibu Rais Rigathi Gachagua amekana tuhuma dhidi yake ikiwemo kudaiwa kumtaka Rais #WilliamRuto kumpa Ksh. Bilioni 8 (Tsh. Bilioni 168) ili akubali kuachia nafasi hiyo kutokana na wawili hao kutokuwa na uhusiano mzuri. Amesema hayo wakati alipohojiwa na kituo cha Redio, amesema “Sina tamaa ya...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naibu Rais wa Kenya ana machaguo matatu tu ili abaki kwenye medani za siasa nchini humo

    Chaguo la kwanza, Ni ama ajiuzulu nafasi yake kwa hiyari yake mwenyewe, kuepuka fedheha ya kubaduliwa na bunge kutoka kwenye wadhifa wa naibu Rais kutokana na tuhuma za kukiuka katiba zinazomkabili. Chaguo la pili, Awe tu muungwana, ajishushe chini kiungwana na aombe radhi kwa Rais boss wake...
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Falsafa na mbinu ya Uongozi anayoitumia Rais William Ruto itamuwezesha kushinda muhula wa pili Uongozini kirahisi sana 2027

    Kukubali kuondoa muswada wa sheria ya fedha wa mwaka 2024/2025, uliolalamikiwa na kuibua maandamano ya Gen Z, kuvunjwa kwa baraza la Mawaziri na kuwafuta kazi Mawaziri wote waandamizi Serikalini, kusitisha nyongeza ya mishahara kwa Watumishi wa Umma na kupunguza safari za nje, posho, marupurupu...
  5. Nyani Ngabu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais William Ruto kumbe naye ni wa ovyo ovyo tu

    Inaripotiwa kuwa nyumba ya mwanae na Uhuru Kenyatta imevamiwa na watu wa usalama huko Karen! Majuzi iliripotiwa kuwa serikali imemuondolea walinzi mama yake na Uhuru ambaye ni mke wa Rais wa kwanza wa Kenya, Jomo Kenyatta. Sikudhani Ruto angefanya mambo kama haya. Nilidhani ni mstaarabu. Kumbe...
Back
Top Bottom