rais wa jmt

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Huenda Dkt. Mwigulu Nchemba akawa waziri mkuu kwa awamu tatu mfululizo kabla hajawa Rais wa JMT 2040-2050

    Hili liko wazi na kila mTanzania na mdau wa JF anashuhudia. Dr. Mwigulu kwa sasa ni waziri mkuu katika ngwe ya pili na ya mwisho ya uongozi madhubuti sana wa Dr. Samia Suluhu Hassan. Na pasinashaka yoyote, Dr. Mwigulu Nchemba, atakuwa waziri mkuu katika vipindi viwili katika ngwe za uongozi wa...
  2. George Simbachawene anafaa kabisa kuwa Rais wa JMT

    Huyu mkulungwa ukiangalia hulka zake, sio mtu wa kutaka madaraka kwa nguvu, na sio mtu wa kubeza raia. Na ni wazi na dhairi kuwa CCM bado kuna watu wanataka mabadiliko. Mchizi ni kama ana spiriti ya Magufuli hasa katika utendaji kazi, ukisikiliza hotuba zake ndipo utagundua mwamba ni anajua...
  3. Mdau ukipewa nafasi ya kuwa rais wa JMT kwa masaa 24 ungetamani kufanya nini?

    Watangazaji waandamazi wa Clouds Redio wakijibu swali linalouliza Je, ukipata nafasi ya kuwa rais kwa saa 24 ungetamani kufanya nini au ungebadilisha kitu gani? binafsi nimependa REFORMS na katiba mpya.
  4. Rais Wa JMT hajui kama wananchi wanasafirishwa kama ng'ombe. mfikishieni Taarifa

    Inaumiza sana kuona sasa magari ya kusafirishia ng'ombe kwenda machinjioni kwa sasa ndio usafiri mkuu wa wananchi kwenda kwenye mikutano ya CCM (ila vyama vingine havithubutu kufanya hivi) Mh. Rais SSH hana hizi taarifa Huu usafiri sio salama
  5. Kumbe 2015 Warioba angelikuwa rais wa JMT na 2025 angalimwachia Polepole. JK atamtupa Burundi na SHS akamtupa dogo Cuba. Siri kaitoa mwenyewe dogo

    Jana Humphrey Polepole ameweka wazi kile anachokililia ambapo hapo mwanzo hakikueleweka na wengi tukadhani labda akili zimemfyatuka. Polepole ametoa siri ya mpango wa mtandao wao wa kuchukua kiti cha urais wa mwaka 2015 na 2025. Mtandao huo unahusisha vigogo kadhaa kwenye serikali ya JMT na...
  6. Wajua Mwajiri wa Watumishi Wote wa Umma ni Rais wa JMT na Wanafanya Kwa Niaba ya Rais?Rais Samia,P'se Usiruhusu Watu Hawa Wakuchafue,Watakuponza Bure!

    Wanabodi Utangulizi, Hili ni bandiko elimishi la kuelimisha watu humu dhana ya uwajibikaji. Je unajua kuwa mwajiri mkuu。wa watumishi wote wa umma,wakiwemo watumishi wote wa serikali,Bunge,Mahakama,wizara,idara,na wakala za serikali,na mashirika yote ya umma,mwajiri wao mkuu ni Rais wa JMT na...
  7. Thamani ya Kura Yako: Je Wajua Wewe Ndiye Mwajiri wa Rais wa JMT kwa Kura Yako na Kumlipa Mshahara Wake Yeye na Serikali Yake Yote kwa Kodi Yako?.

    Wanabodi Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa October, from time to time nitakuwa nafanya makala fupi za uelimishaji umma elimu kwa kujitolea kusaidia kuelimisha umma umuhimu wa kujiandikisha kupiga kura na kujitokeza kupiga kura siku ya kupiga kura. Somo la kwanza ni kuijua thamani ya kura yako. Kitu...
  8. K

    Tanzania tungekuwa tuna uchaguzi huru na tungekuwa tunafanya uchaguzi wa kumuangalia mtu sahihi basi Lissu angekuwa Rais

    Lisu ni mtu sahihi Kwa Taifa ili Kwa bahati Mbaya Taifa letu wapiga kura hawangaliii uwezo wa mtu bali wanaaangalia chama na Dola bali siyo uwezo wa mtu. Lisu uwezo wake ni sawa na uwezo wa MKAPA, JPM
  9. J

    Mbowe: Rais wa JMT ni Taasisi ila sisi kama Chadema ni Kikundi tu Cha Watu tunaojitolea hatuhitaji Term Limit!

    Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe ameahidi kuheshimu Ukomo wa Madaraka pindi Chadema ikiingia Ikulu Source: Crown media
  10. PreGE2025 Dkt. Slaa: Tundu Lissu anafaa kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania leo na siyo Oktoba 2025

    Ameyasema hayo kupitia ClubHouse kujadili hotuba ya Tundu Antipas Lisu kulinganisha na hotuba ya Rais Samia hapo jana. Dkt Slaa, amesema Lisu amezungumza mambo muhimu na msingi kuliko Rais Samia. Anasema Dkt. Slaa kwamba, Rais Samia hajazungumzia rasilimali za nchi kwa mlinganyo wa wanufaika...
  11. Kiuhalisia Rais wa JMT ndiye Rais wa Tanganyika. Akiwa ametokea Visiwani tahadhari kubwa inahitajika ili kuulinda Muungano.

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar una mambo ya SEBULENI na ya CHUMBANI. Mojawapo ya mambo ya chumbani ni kwamba Rais wa JMT hawezi akatokea Visiwani moja kwa moja. Na kamwe haitokaa itokee Rais wa SMZ akatokea Bara. Rais Mwinyi na Samia walipata ngekewa za kuwa Marais wa JMT wakati tu wa...
  12. Tatizo la Kofia Mbili, Mwenyekiti Chama na Rais wa JMT ndio Lipo Hapa.

    Mwishoe ni kuonekana Mtu anayeropoka kumbe Kichama anaongea kutafuta support na huku serikalini anaongea majibu ya kupangiwa na wataalamu. Sasa uongo uko upande upi? Nadhani hiki kitu kiachwe na vyeo hivyo vitengwe sio CCM tuu bali hata vyama vingine vikiingia madarakani
  13. K

    Kwako Mhe.Samia Suluhu Hassan, Rais wa JMT: Ikikupendeza shiriki katika ufunguzi wa safari ya SGR, Dar- Moro 14/06/2024.

    Kwako, Rais wa JMT Mhe.Samia Suluhu Hassan, Nimefarijika kusikia siku ya kesho reli ya SGR itaanza safari rasmi ya Dsm-Moro. Tangu awali tulisikia kelele nyingi juu ya mradi huu wengine walifikia hatua kusema ni 'White Elephant Project' kwa maana ni mradi usio na faida zozote na ambao hautaleta...
  14. Je, wajua kuwa Rais wa JMT ndie Serikali, Bunge na Mahakama? Yuko juu ya Mihimili yote 3. Je, kuna uwezekano Rais wa JMT pia yuko juu Katiba?

    Wanabodi, Hii ni makala kwenye gazeti la Mwananchi la Jumatano. Kwa wasomaji wapya, naendelea na makala zangu elimishi, kutoa elimu ya katiba, sheria, haki na wajibu, ili kutoa darasa kwa Watanzania kuijua katiba yao ya JMT ya mwaka 1977, kwa jicho la Mtunga Katiba, kwa mimi kuvaa viatu vya...
  15. D

    Lissu kama kweli unataka kuwa Rais wa JMT achana na "cheap politics"

    Nimeambiwa Mgombea Urais wa Chadema 2025 ni aliyelemazwa Tundu Lissu. Jamani nafasi ya Urais ni nyeti na ya juu mno. Ni nafasi inayohitaji utulivu, akili na usawaziko wa akili. Lissu achana na hizi siasa za kulumbana na Paul Makonda kuhusu GSM ukidhani "umempiga". Kumbuka ukiwa Rais Makonda...
  16. Rais Samia aalikwa na Baba Matakatifu Francis Mjini Vatican kwa mazungumzo rasmi ya siku mbili

    Kufuatia mualiko wa kiongozi mkuu wa kanisa katoliki duniani na nchi ya Vatican Papa Francis, Rais Samia Hassan atafanya ziara ya kitaifa tarehe 11 hadi 12 Februari, 2024. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January...
  17. Ndege ya Rais haionekani tena Mtandaoni, itakuwa imekwenda wapi?

    Toka imeondoka nchini kuelekea kule Arabuni nadhani ndiyo ilikuwa safari ya mwisho hadi leo sijaona ikiwa hapa uwanja wa ndege Dar Es Salaam au kule Zanzibar. Kwenye ile rada maarufu ya kutrack ndege inayoitwa Flightradar24 haionekani, lakini ukiacha hiyo ambayo inawezekana ikafahamika ilipo je...
  18. H

    Mkataba wa Bandari: Ni kweli Rais wa hajui alichosaini au ni mpango mkakati uliojificha?

    UTANGULIZI: Kwa taaluma yangu kama mwanasheria nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kweli kuwa ule ndio ushauri wa kisheria (legal opinion, or legal memorandum) uliotolewa na watalaamu wetu wa kisheria kumshauri Rais wa JMT kuridhia kuingia kwenye mkataba wa kipuuzi na kipumbavu namna ile. Ni...
  19. R

    Tunaishi kwenye nchi yenye watu 60M+ ambayo wenye uhakika wa ajira ni Rais wa JMT na Zanzibar tu

    Mfumo wetu wa ajira nchini hasa ajira rasmi upo mikononi mwa wanasiasa. Leo wanasiasa wanaweza wakaamua Nani aajiriwe kwenye sekta binafsi au sekta ya umma. Wanasiasa pia wanaweza kuamua Nani afanye business Nani asifanye business. Kwa msingi huu wapo watu wawili Tu wenye uhakika wa ajira...
  20. Rais Samia tunasheherekea uhuru wa Tanganyika gizani? Hakuna umeme mitaani. Hii aibu

    Leo watoto walitakiwa waone kwenye luninga historia ya taifa lao. Lakini wewe na January mmekata umeme. Kwa nini msituonee huruma japo hata kwa leo tu siku ya uhuru. Watu wapo nyumbani wanahitaji kuangalia luninga na kujikumbusha na uhuru wa taifa lao
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…