rais wa jmt

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa Bandari: Ni kweli Rais wa hajui alichosaini au ni mpango mkakati uliojificha?

    UTANGULIZI: Kwa taaluma yangu kama mwanasheria nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kweli kuwa ule ndio ushauri wa kisheria (legal opinion, or legal memorandum) uliotolewa na watalaamu wetu wa kisheria kumshauri Rais wa JMT kuridhia kuingia kwenye mkataba wa kipuuzi na kipumbavu namna ile. Ni...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Tunaishi kwenye nchi yenye watu 60M+ ambayo wenye uhakika wa ajira ni Rais wa JMT na Zanzibar tu

    Mfumo wetu wa ajira nchini hasa ajira rasmi upo mikononi mwa wanasiasa. Leo wanasiasa wanaweza wakaamua Nani aajiriwe kwenye sekta binafsi au sekta ya umma. Wanasiasa pia wanaweza kuamua Nani afanye business Nani asifanye business. Kwa msingi huu wapo watu wawili Tu wenye uhakika wa ajira...
  3. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tunasheherekea uhuru wa Tanganyika gizani? Hakuna umeme mitaani. Hii aibu

    Leo watoto walitakiwa waone kwenye luninga historia ya taifa lao. Lakini wewe na January mmekata umeme. Kwa nini msituonee huruma japo hata kwa leo tu siku ya uhuru. Watu wapo nyumbani wanahitaji kuangalia luninga na kujikumbusha na uhuru wa taifa lao
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM, Samia Suluhu afurahishwa na maandalizi ya mkutano mkuu wa 10 utakaoanza kesho Desemba 7

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Taifa Rais Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua maandalizi mbalimbali ya Mkutano Mkuu wa 10 wa Chama unaotarajiwa kufanyika kuanzia kesho tarehe 07-08 Desemba, 2022 katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kazi za Rais na Mawaziri wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni zipi?

    Kwa wale wabobezi wa jinsi Serikali ya JMT inavyofanya kazi mnaweza kutusaidia kutuelezea job descriptions za Rais na Mawaziri wake. Na ikiwapendeza mnaweza kuongezea na zile za Wakuu wa Mikoa na Wilaya zetu. Nauliza hivi ili tusiyojua, tujue ni nani tumpongeze au tumlaumu punde viongozi hawa...
  6. Maria Nyedetse

    JamiiForums Tanzania Mama yetu Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan Rais wa JMT

    SALAM, Leo naomba kumwandikia MAMA YETU KIPENZI MHESHIMIWA SAMIA SULUHU HASSAN kama mwanaye na mwananchi mwenye UCHUNGU NA NCHI YAKE... Mheshimiwa Rais, kwa hakika naomba kukiri kuwa toka umechukua nchi umetekeleza sera ya kuongeza fedha kwenye mzunguko yaani expansionary monetary and fiscal...
  7. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Sioni tatizo lolote mtu kujiandaa kuwa Rais wa Tanzania mwaka 2030

    Mimi ni mwanachama wa CCM. Kwa sasa CCM ipo chini ya Samia ambaye pia ndio Rais wa JMT. Kwa utaratibu waliojiwekea CCM ingawa haupo kwenye katiba ya chama au kanuni nyingine, mtu akiwa kwenye nafasi ya Urais kipindi cha kwanza, ni vizuri anaachiwa pia kipindi chake cha pili ili aweze...
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Picha: Rais wa JMT akiwa na mgeni wake Rais wa DRC mara baada ya kuwasili Ikulu Dar es Salaam

  9. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Kazi inaendelea, kilichobaki ni kwenda na Rais Samia. 2025 ni kumuunga mkono kwa nguvu zote

    Kuanzia Kagera mpaka sasa alipo mkoani Kigoma mama anaendeleza Kazi moja tu kuwaletea maendeleo watanzanaia. Hospital ya rufaa Chato, Hospitali ya wilaya Kakonko, miradi ya maji, barabara na sasa hali ya uchumi imeimarika kwa kila Mtanzania. 2025 Twende na Rais Samia.
  10. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Tumhukumu Rais Samia kwa mawazo, maneno, na matendo yake ya sasa akiwa ni Rais wa JMT na siyo kwa alivyokuwa Makamu!

    Wanabodi, Mimi ni mtu wa mastori mastori hivyo kama wewe sio mtu unaependa mastori mastori just jump this. Self Proclaimed Psychoanalysis Teacher wa Jf Naomba nisikutajie majibu yake, ila na mimi naomba kujiita humu Jf ni mwalimu wa somo liitwalo Psychoanalysis na nawaomba mnikubalie na...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Hussein Mwinyi arudi bara 2025, awe Rais wa JMT, miaka kumi tunaaga umasikini

    Huyu dogo ana maamuzi ya kiume na ana nia ya kweli yakutuondolea umasikini na kuleta maendeleo tumpe fursa 2025 awe Rais wa JMT,
  12. R

    JamiiForums Tanzania Ni yupi kati ya hawa ni wa kumuandaa kuwa Rais wa Tanzania hapo baadaye?

    Habari wana JF, Kiongozi wa nchi huandaliwa kwa Muda mrefu kwa Manufaa ya Taifa, sio kuchaguliwa bila kumjua vizuri . Kwa Mimi nimefikiri na kuchambua na kupata hawa Watu wanafaa kabisa kuandaliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania:- 1. Rais Hussein Mwinyi 2. Bashiru Ally 3. Askofu...
  13. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ni wa wakati wa kudai katiba mpya. Hii ya sasa imempa madaraka makubwa rais wa JMT haifai kabisa. Mmesahau yaliyomkuta Mwamba mpaka akalia machozi

    Tunapokuja kujadili suala ambalo ni mustakabali wa taifa letu basi tuweke ushabiki kando. Katiba ya sasa haifa na imempa madaraka makubwa rais wa JMT ndio maana wateule wake na wasaidizi wake wanatumika hovyo kupeleka mateso kwa raia kwa chuki ambazo hazina kichwa wala msingi. Tupate katiba...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Je, Mei Mosi bila uwepo wa Rais wa JMT itanoga?

    Kuna uwezekano mkubwa ikafika jumapili Mei Mosi raisi akiwa hajarejea ama kama atarejea akatoa udhuru kuwa kachoka. Je, makamu wa raisi atatimiza hamu na gamu ya watumishi wa umma? Tumeshuhudia maadhimisho ya miaka 58 ya muungano bila uwepo wa Rais. Tarehe 28 ni uzinduzi wa Royal Tour pale...
  15. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mbowe hukuachiwa sababu wewe sio gaidi bali ni kwa sababu mahakama zinafanya kazi kwa niaba ya rais wa JMT. Acha majigambo yasiyo na manufaa.

    Kama kweli wewe sio gaidi na tuhuma hazikuwa na uzito wa kukutia hatiani unadhani kwa nini kesi ilifikia hatua ya wewe kujitetea? Umesahau kuwa mahakimu na majaji huwa wanafanya kazi ya kuamua mashauri na kutenda haki kwa niaba ya raisi wa JMT? Kwa nini mahakama huwa zinakuwa na picha ya raisi...
  16. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais wa JMT. Nimeona nyumba wanazojengewa wakazi wa Ngorongoro huku Handeni. Kusema kweli unastahili kuwa Rais wa JMT

    Kusema ukweli Huyu mama sio wa kawaida. Nimeona nyumba za kudumu na kisasa wanazojengewa wakazi wa Ngorongoro wanaohamishiwa Mkoani Tanga maeneo ya Handeni na Kilindi. Ni nyumba za kisasa zinazoakisi akili ya Serikali yako katika kupanga na kutekeleza mipango thabiti kwa maslahi ya Tanzania...
  17. mwengeso

    JamiiForums Tanzania Madaraka ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Mjadala ulioshika kasi nchini ni madai ya Katiba mpya, hasa kutoka vyama vya upinzani. Naweka bandiko hili baada ya kusoma michango wa ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera, Dk. Benson Bagonza. Nanukuu baadhi ya michango yake: Hoja ya...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunathamini umuhimu wa Serikali na tuko imara kuilinda: Rais tunaomba utuongezee nguvu

    Watanzania tulio wengi, hatuna uraia pacha, na tunajua hapa ndipo nyumbani kwetu, japo tunaweza kwenda matembezini lakini mwisho wa siku hapa ndipo kwetu. Kwa mantiki hiyo, kiu yetu ni kuhakikisha nyumbani kwetu panadumu kuwa mahala safi na salama kwa ustawi wetu na vizazi vyetu vijavyo...
  19. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Picha: Rais wa JMT akimjulia hali Mufti Abubakar Bin Zubeir anayepatiwa matibabu MNH

  20. Lusungo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan kulihutubia taifa leo Desemba 31, 2021

    Haya leo baada ya hotuba nzito na makini kutoka kwa Genius Tundu Lissu hatimaye tutakua na kipoozeo kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Naamini itakua hotuba ya kufukia mashimo baada ya ile ya mheshimiwa wa ubelgiji. Stay tuned.
Back
Top Bottom