rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    UFAFANUZI juu ya Deni la Taifa na namna Rais Samia alivyotumia vizuri kila Senti aliyokopa katika Miradi ya Maendeleo

    Ndugu zangu Watanzania, Nimeona nitoe Ufafanuzi wa kina na maelezo ya kutosha na yenye ushahidi wa Kutosha kuelezea suala la Deni la Taifa na kile kilichofanywa kwa kila senti iliyokopwa na serikali ya Rais wetu Mpendwa kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan...
  2. M

    PreGE2025 Kwa vigezo vipi na sababu zipi za kumpa mitano tena?

    Kakopa matrilion ya mapesa na kuvunja rekodi ya marais wote waliowahi kushika uongozi na kwamba pesa hizo wapi zimetumika, hatuoni, Trilion 15 kwa mwaka mmoja? Jamani, hizo pesa ni nyingi sana, pesa hizo zinatosha kabisa kuufanya uchumi wetu kukua kwa kasi na miradi mingi kukamilika Trilion...
  3. R

    Kama pesa zote za miradi ni za Rais Samia, sasa hili deni la taifa ni la Serikali au deni la Rais Samia?

    Miradi yote inajengwa kwa fedha ya rais samia. Kila fedha ni ya Rais samia. Tuwe na consistence, Like wise, na deni mikopo ya tanzania la liwe ni deni la Rais samia!
  4. Mindyou

    Rais Samia: Kumekuwa na ongezeko la ufanisi katika matumizi ya rasilimali za serikali, mapungufu mengi yaliyotajwa na CAG ni ya miaka ya nyuma

    Akiwa anapokea ripoti ya CAG na ripoti ya mwaka ya TAKUKURU siku ya leo, Rais Samia amesema kwamba pamoja na mapungufu aliyotaja CAG lakini kumekuwa na ufanisi mkubwa serikalini na kwamba mapungufu mengi yaliyotajwa ni ya miaka ya nyuma "Faraja tuliyoipata ni kwamba kwa ujumla kumekuwa na...
  5. Roving Journalist

    Rais Samia akipokea Taarifa ya Mwaka ya Utendaji Kazi wa TAKUKURU 2023/2024 Ikulu Dar, Machi 27, 2025

    Rais Samia akipokea Taarifa ya Mwaka ya Utendaji Kazi wa TAKUKURU 2023/2024 Ikulu Dar es Salam Machi 27, 2025 https://www.youtube.com/live/5EZXxHObW-k?si=aMlOZdDHTaaGHgmt Aliyoyasema Mkurugenzi wa TAKUKURU - Crispin Chalamila Tanzania Yapanda Katika Viwango vya Kupambana na Rushwa "Taarifa...
  6. Roving Journalist

    Rais Samia akipokea Ripoti ya CAG kwa Mwaka 2023/2024 Ikulu Dar, Machi 27, 2025

    Leo Machi 27, 2025 majira ya saa 5:00 asubuhi Rais Samia Suluhu Hassan atapokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) ya mwaka 2023/2024 Ikulu Dar es Salam. https://www.youtube.com/live/5EZXxHObW-k?si=aMlOZdDHTaaGHgmt TUJIKUMBUSHE ALICHOSEMA RAIS SAMIA BAADA YA KUPOKEA REPOTI YA...
  7. Chizi Maarifa

    PreGE2025 Wanawake wa Kiislamu wamuomba Rais Samia awafadhili kwenda Hijah

    Wanawake wa Kiislamu nchini wamemuomba Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan awape ufadhili wanawake wenye hali duni kwenda Hija na Umrah kila mwaka ili kufanikisha wajibu wao wa kidini. Akizungumza jijini Dar es salaam leo Machi 26,2025 kwenye kongamano lililowakutanisha wanawake zaidi ya 1,000...
  8. ARGAN MARA

    PreGE2025 Hongera sana Rais samia kwa karata uliyoichanga kwenye kilimo apa umeupinga mwingi kweli kweli

    Haloooo wanazengo heshima yangu kwenu wakuu. Binafsi sikuwahi kuwa mshabiki wa rais Dr samia lakini kwa hili mama upele umenikuna sina uchawa wowote kwako wala kwa chama chako Nachukua nafsi kutoa pongezi zangu kwako na kwa waziri wa wizara husika ya kilimo kwa kazi mliyoifanya katika nchi...
  9. K

    PreGE2025 No Reform No Election; Mama Samia na ndugu zake wataikubali tu

    Pamoja na uchawa mwingi sana Raisi Samia kwasasa amelewa madaraka. Kwasababu hiyo hata weza kukataa fursa ya yeye kuongezewa mwaka mzima kwasababu ya kufanya marekebisho ya sheria ya No reform no election. Wapambe wake wanapenda sana madaraka na kiasi kwamba wakiambiwa ni fursa ya mama kukaa...
  10. Kinyungu

    Wanawake wa Kiislam Wamuomba Rais Samia Ufadhili wa Umra na Hija

    Wakuu kama title inavyojieleza hapo, ndugu zetu katika imaan wanaomba ufadhili wa rais Samia ili watekeleze ibada ya Umra na Hija. ================ Wanawake wa Kiislamu nchini wamemuomba Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuanzisha mpango wa ufadhili kwa Wanawake wenye hali duni ili...
  11. technically

    Serikali ya Rais Samia nunua magari haraka kusaidia wanafunzi jiji la dar es salaa

    Hivi hii kalaa ya watoto kuamka ndani saa9 na kurudi nyumbani saa 4 usiku serikali haioni aibu? Katika majiji yote makubwa hasa Dar, Mwanza, Arusha na Mbeya watoto wanateseka Sana! Watoto wananyanyaswa San Watoto wa kike kushikwa shikwa kwenye magari ya umma, kudharirishwa, kunyanyaswa na...
  12. PendoLyimo

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi wa CCM, Ally Hapi amesema Rais Samia anastahili pongezi

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi wa CCM, Ally Hapi, amesema Rais wa Tanzani Dkt. Samia Suluhu Hassan anastahili pongezi kwa juhudi zake katika kuboresha sekta ya afya nchini ndani ya miaka minne ya uongozi wake. Akizungumza katika Kongamano la kumpongeza Rais Samia kwa kutimiza miaka minne...
  13. Waufukweni

    PreGE2025 Tundu Lissu: Miaka 4 ya Rais Samia tunataka atueleze Dioniz Kipanya aliyetekwa wamempeleka wapi?

    Akiwa Rukwa, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu baada ya kuulizwa Miaka 4 ya Rais Samia ya uongozi wake amesema "tunataka atueleze Dioniz Kipanya aliyetekwa nyara wamempeleka wapi? Dioniz Kipanya ambaye alikuwa Katibu Mwenezi wa CHADEMA, Sumbawanga...
  14. Waufukweni

    PreGE2025 Ally Hapi: Rais Samia amefanya kazi kubwa kupambana na adui Maradhi

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Ally Hapi, amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya kazi kubwa katika kupambana na adui wa maradhi, moja ya maadui watatu wakuu waliotajwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, pamoja na ujinga na umasikini. Kupata taarifa na matukio yanayojiri...
  15. Mkalukungone Mwamba

    Uteuzi: Rais Samia afanya uteuzi wa viongozi mbalimbali na kuwapangia vituo Mabalozi 25 March, 2025

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali na kuwapangia vituo Mabalozi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, uteuzi na upangiwa vituo Mabalozi ni kama ifuatavyo: i. Bi. Rachel...
  16. Just Pray

    PreGE2025 Makonda: Rais Samia ametuma timu ya wanasheria kutoa msaada wa kisheria kwa wananchi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametuma timu ya wanasheria watakaokuwa Mkoani Arusha kwa siku kumi kuanzia Ijumaa Machi 28, 2025 kwaajili ya kusikiliza na kutatua migogoro ya kisheria kwa wananchi wa wilaya zote zinazounda Mkoa wa Arusha. Akimshukuru Rais Samia...
  17. upupu255

    PreGE2025 Rais Samia akamilisha ujenzi wa Shule kubwa ya Wasichana Lugalo, Iringa – Mwanafunzi aahidi ufaulu wa Divisheni 1 pointi 3

    Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Tanzania Samia Suluhu Hassan amekamilisha ujenzi wa shule kubwa ya wasichana Lugalo Iringa. Timu ya waandishi wa habari wakiambatana na officialbabalevo washuhudia juhudi za serikali ya awamu ya sita inavyofanya uwekezaji mkubwa katika sekta ya Elimu hakika katika...
  18. Ojuolegbha

    Rais Samia ashiriki mkutano wa EAC na SADC kwa njia ya mtandao

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Pamoja wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika kwa njia ya mtandao tarehe 24 Machi, 2025 Ikulu ndogo ya Mkanyageni...
  19. CM 1774858

    PreGE2025 Wassira: Ukitenda mema lazima utalipwa mema Rais Samia kafanya mema mengi Watanzania watamlipa mema

    === Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kutokana na kazi nzuri aliyoifanya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan katika kipindi cha miaka minne, anastahili kulipwa mambo mazuri ikiwemo kudumisha amani na mshikamano. Wasira ameyaeleza hayo jana Karagwe...
  20. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 UVCCM Singida wafanya dua ya kumuombea Rais Samia

    Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohammed Ali Kaiwada ameongoza maelfu ya vijana mkoani Singida katika dua ya kumuombea Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa...
Back
Top Bottom