rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Serikali haijawahi kuingilia uhuru wa Mahakama

    Rais Samia alisisitiza kwa nguvu kuwa Serikali haijawahi, na haitawahi, kuingilia uhuru wa Mahakama. Alisema kuwa Mahakama ni mhimili huru unaofanya kazi zake kwa mujibu wa Katiba na sheria za nchi. "Serikali haijawahi kuingilia uhuru wa Mahakama. Uhuru wa Mahakama ni jambo tunaloliheshimu na...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kukua kwa deni la taifa kunatokana pia na mikopo ya marais wa awamu zilizopita, sio yeye peke yake

    Katika vitu ambavyo vimeniacha mdomo wazi ni taarifa ya Rais Samia akihutubia bunge, kwamba kukua kwa deni la taifa hakutokani tu na mikopo anayoomba yeye peke yake, bali fedha madeni mengine ni mikopo iliyoombwa na maraisi wa awamu zilizopita. Kwa maneno mengine ni kwamba, katika kipindi...
  3. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Nalielekeza Jeshi la Polisi kuongeza jitihada katika kukomesha matukio ya watu kupotea

    Pongezi nyingi kwa jeshi la polisi kwa nzuri wanayofanya, hatuna budi kutambua kwamba uhalifu unaozuiliwa na jeshi la polisi ni mkubwa kuliko unaofanyika. kasi ya kuwabaini na kuwakamata wahalifu na kuwafikisha mahakamani imeongezeka. Jambo ambalo hatujafanikiwa vya kutosha ni ajali za...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natabiri: Hotuba ya Rais Samia atalazimika kuitataja No reforms mara nyingi kushinda hata uchache wa alichofanya kwa awamu yake hii!

    Tega masikio utaniambia niko paleee!
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia mpaka sasa hajaonekana Bungeni ili alivunje Bunge la 12, kuna nini?

    Rais Samia mpaka sasa hajaonekana Bungeni ili alivunje, kuna nini? Awali tuliambiwa ataingia Ukumbini saa Tisa lakini mpaka sasa saa Kumi na dakika 23 bado hajatoke na hakuna taarifa yoyote. Hapa Spika Tulia akitoa ufafanuzi wa utaratibu wa Bunge wakati Rais na wageni wakiingia Bungeni, na...
  6. JamiiForums Tanzania Tetesi: Huenda Rais Samia asilivunje bunge rasmi leo hii

    Kwa upande wa Zanzibar tayari Mheshimiwa Hussein Mwinyi aliahirisha kuvunja Baraza la wawakilishi Zanzibar mnamo tarehe 23 Juni Kama ilivyokuwa imepangwa na badala yake akaongeza uhai wa Baraza la wawakilishi Zanzibar mpaka tarehe 13 August 2025. Rais Hussein Mwinyi aliahirisha kuvunja Baraza...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia akihutubia na Kuhitimisha Shughuli za Bunge la 12, Dodoma July 27, 2025

    Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuhutubia na kufunga Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tukio hilo litafanyika leo Juni 27, 2025 bungeni jijini Dodoma ambapo baada ya kufunga Bunge hilo hatua hiyo itaruhusu kuanza kwa mchakato wa Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani...
  8. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia kwa miezi 48 tu amepeleka maji kwenye vijiji vipya 5,521 alikuta vijiji vyenye maji ni 5,258 tu OCT TUNATIKI

    Wakati Rais Samia Suluhu Hassan anaingia madarakani tarehe 17.03. 2021, Mwaka huo wa 2021 Tanzania ilitimiza miaka 60 ya Uhuru baada ya uhuru wake wa 9 dec 1961. Katika kipindi hicho Serikali iikua imefikisha huduma ya maji kwenye jumla ya vijiji 5258 hii ni kwenye awamu zote Tano...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Picha Bora Ya Siku Kutoka Kwa Rais Samia Iliyoteka Mitandaoni Duniani Kwote. Yawakosha Watu Na kuleta Tabasamu

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika tuna Rais wa nguvu mbele yetu, tuna kiongozi shupavu Nchini,tuna Amiri Jeshi Mkuu Mwenye Utimamu wa akili na Mwili,Tuna Kiongozi ambaye Mungu alimuandaa kuongoza Taifa letu, tuna Shujaa mbele yetu, tuna Rais ambaye Muda wote yupo tayari kimajukumu na anajua...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo Apokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Comoro kwa Niaba ya Rais Samia

    Waziri Kombo Apokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Comoro kwa Niaba ya Rais Samia Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amepokea ujumbe maalum wa Rais wa Visiwa vya Comoro...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri mkuu Majaliwa: Hakuna Mwanasiasa maarufu kama Rais Samia ndani na nje ya CCM

    sijawahi kuona Waziri Mkuu Chawa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amesema kwa msisitizo kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ndiye mwanasiasa maarufu zaidi nchini kwa sasa, ndani na nje ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Akitoa...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia safarini kwa SGR kuelekea Dodoma kuhitimisha rasmi shughuli za Bunge la 12 kesho Juni 27, 2025

    Rais Samia akiwa safarini kutoka Dar es Salaam kuelekea Jijini Dodoma tarehe 26 Juni, 2025. Pamoja na mambo mengine kesho atahutubia na kuhitimisha shughuli za Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  13. JamiiForums Tanzania Spika Tulia: Rais Samia atahutubia Bunge kesho Tarehe 27 June 2025

    Wakuu, Akiwa bungeni leo, Spika Tulia ametangaza kwamba siku ya kesho Rais Samia ataenda kuhutubia na kulifunga rasmi Bunge la 12
  14. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Rais Samia pamoja na kukopa sana, hakuna mradi aliouanzisha?

    Salaam Wakuu, Eti ni kweli Rais wa Tanzania awamu ya Sita hakuna mradi hata mmoja aliouanzisha? Inadaiwa miradi anayopiga nayo picha ilianzishwa na Hayati Magufuli. Pia hayati Magufuli alikuwa amekopa mikopo ya kujenga miradi hiyo. Hela ambayo samia Kakopa imeenda wapi?
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia aipongeza Yanga kutwaa ubingwa wa 31 wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara

    Pongezi kwa Klabu ya Yanga kwa kutwaa ubingwa wa 31 wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, ikiwa ni ubingwa wa nne mfululizo. Kwa zaidi ya miaka 85, upinzani wa Yanga na Simba umeendelea kuwa burudani kwa mamilioni ya mashabiki ndani na nje ya nchi. Endeleeni kutupa burudani. Soma Pia: Full Time: Yanga...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia ameweka alama kwa watumishi wa magereza Arusha, awagawia mitungi 528

    RAIS SAMIA AMEWEKA ALAMA KWA WATUMISHI WA MAGEREZA ARUSHA, AWAGAWIA MITUNGI 528 📌Nishati safi ya kupikia ni endelevu 📌Yaelezwa ni salama na mkombozi wa mazingira Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameacha alama mkoani Arusha kwa kugawa mitungi ya gesi 528...
  17. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti MTR: Wanarufiji hatumdai Rais Samia, tunamkubali Mbunge wetu Mchengerwa atuletee maendeleo

    Mwenyekiti wa Mchengerwa Tumaini la Rufiji Movement - MTR - Juma Kiholobele amesema Wilaya ya Rufiji Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na Mbunge wao ambaye ni Waziri wa TAMISEMI Mohamed Mchengerwa kwa waliyofanya katika kuwaletea maendeleo hakuna tunachowamdai Amesema hayo akiwa huko Kata ya Mkongo...
  18. JamiiForums Tanzania POTOSHI Rais wa Marekani Donald Trump amesema Rais Samia aache kufungia makanisa

  19. R

    JamiiForums Tanzania Watawala wetu Tanzania, msikilize Askofu Bagonza na hekima kuu katika andiko lake hili

    Copy and Paste HILI LA ZAMBIA KAMA SI FUNZO, NI KENGELE. By Bishop Bagonza. Rais Mstaafu wa sita wa Zambia Edgar Lungu, amefariki tarehe 5/6/2025 akiwa matibabu huko Afrika ya Kusini. Atazikwa Afrika Kusini 25/6/2025 na misa itaongozwa na Askofu Mkuu wa Lusaka Alick Banda. Wakati huo huo...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia awasili nchini Msumbiji

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasili Jamhuri ya Msumbiji 24 Juni 2025 ambapo anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Jamhuri ya Msumbiji, kufuatia mwaliko maalum wa Rais wa nchi hiyo, Mhe. Daniel Francisco...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…