rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    Kama siyo matakwa ya Katiba ilitakiwa Rais Samia aendelee kuongoza Taifa hili mpaka yeye mwenyewe aombe kupumzika kama alivyofanya Mwalimu Nyerere

    Ndugu zangu Watanzania, Nikiangalia namna Rais Samia anavyoongoza Taifa letu katika muelekeo sahihi na wenye kuleta matumaini. Nikiangalia namna maendeleo makubwa na mambo makubwa yaliyofanyika hapa Nchini ndani ya kipindi kifupi cha uongozi wake. Nikiangalia namna Taifa lilivyo tulia na kupiga...
  2. Mama nasikia machawa wote wanasema hudaiwi kuanzia na wananchi mpaka wafanyakazi basi njoo ulingoni na tume huru ya uchaguzi ushinde kwa kishindo

    Aman kwenu watumishi wa MUNGU Leo nimesikia kuwa mama hadaiwi kama wasemavyo machawa Bas tunaomba reform ili uchaguz uwe huru na khaki Kisha mama njoo ulingon bila kairima Uvurugane na LISSU Umshinde kwa kishindo 90%kwa 10% Ete mama LONDON BOY
  3. L

    ASAS yamuunga mkono Rais Samia kwa kuwaongeza mishahara ya madereva wake kwa 80%

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Rais Samia analeta raha sana kwa Taifa hili. Huyu Mama ni neema na nuru kwa hili Taifa. Mama Samia Ni Taa na Mwanga gizani. Yaani kwa hakika kama siyo katiba ilipaswa Rais wetu Mpendwa aendelee kuliongoza Taifa letu mpaka achoke mwenyewe na kuomba kupumzika...
  4. R

    Hii Kauli ya Rais anahujumiwa au anajihujumu, mantiki yake ni nini?

    Kuhujumiwa 1. Kwamba kuna watu wanafanya mambo mabaya ili aonekane mbaya My take: If that is the case a) Ina maana hana taarifa kuwa jambo fulani baya limetendwa na fulani mteule wake na kwa akii zake haoni kuwa hili ni baya aliyelitenda namfukuza/namwajibisha? b) Ina mana anapokea ushauri bila...
  5. B

    Rais hasipo kemea mambo haya kwa ujasiri kabisa naona nchi inaenda kuangukia kwenye vita za kidini na kikanda

    Tangu zoezi la kubinafsisha bandari ya Dar es salaam kwa waarabu wa DP WORLD hapo ndipo rasimi vita baridi ya kidini ilianza baina ya Christianity na Islam. Lakini wakati huo huo vita baridi ya kikanda ikazaliwa rasmi baina ya watanganyika wanahisi wanadhulimiwa rasilimali zao na rais Mzanzibar...
  6. PreGE2025 Sheikh akiomba dua Mei mosi asema 'Yarrab Nakuomba umpe mitano mingine Rais Samia'

    “Eeh Mola wetu umpe faraja Rais samia, na faraja anayohitaji ni mitano Mingine, Yarrab Nakuomba umpe mitano mingine Rais Samia” Sheikh - Mkoa wa Singida
  7. Rais Samia: Ombi la posho zenu zisikatwe kodi tumelisikia na tutalifikisha kwa wahusika

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema serikali imepokea ombi la wafanyakazi wa umma la kutojumuishwa kwa posho za wafanyakazi katika makato ya kodi na kuahidi kulifikisha suala hilo kwa vyombo husika vinavyoshughulika na masuala la mapato. Ombi hilo liliwasilishwa na Katibu Mkuu Shirikisho la Vyama...
  8. PreGE2025 Godwin Gondwe: Wananchi Singida wanasema hatumdai Rais Samia

    Dc wa Singida - Godwin Gondwe amesema kitendo cha Rais Samia kuadhimisha siku hii kubwa Singida na kujenga uwanja mkubwa kwa siku chache, wana Singida wanasema hawamdai chochote Rais Samia.
  9. PreGE2025 Msaga sumu akitumbuiza Mei mosi asema Tanzania kama ulaya, Rais Samia anaupiga mwingi

    Msanii wa Singeli Msaga Sumu akitoa burudani kwenye maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani leo Mei Mosi, 2025 mkoani Singida ambako maadhimisho hayo yanafanyika kitaifa na mgeni rasmi ni Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
  10. E

    Serikali yapandisha mshahara kutoka Tsh. 370,000 hadi 500,000

    Akihutubia katika sherehe za Mei Mosi zilizofanyika mjini Singida, Rais Samia Suluhu Hassan amesema, “Kwa kuwa mcheza kwao hutunzwa, mimi na wenzangu na baada ya kuangalia uchumi ulivyppanda na umepanda kwa sababu ya nguvu zenu wafanyalazi, Ninayo furaha ya kuwatangazia kwamba, katika kuleta...
  11. G

    Nyamhokya: Kwa kuwa rais Samia umetusaidia sana, "sisi watumishi tutasimama nawe ktk jambo lako mwaka huu".

    Nyamhokya apuuzwe. Nyamhokya ni kada. Nyamhokya ni chawa.. Nyamhokya anafanyakazi ya Makalla kwenye Mei Mosi.
  12. I

    Mei mosi ya matumaini: Rais Samia aandika rekodi mpya ya wafanyakazi Tanzania

    Leo hii, taifa zima linaitazama Singida ambako maelfu ya Watanzania wanaadhimisha Siku ya Wafanyakazi, Mei Mosi. Lakini kilicho tofauti mwaka huu si tukio lenyewe, bali hisia mpya zinazoambatana nalo: matumaini, faraja, na shukrani kwa uongozi thabiti wa Rais Samia Suluhu Hassan. Katika macho...
  13. Singida: Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei 1, 2025

    Rais Samia akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani inayoadhimishwa Mkoani Singida kitaifa, leo tarehe 1 May, 2025. https://www.youtube.com/live/MHXv41BdFrI?si=s-YLjva6CvZuccs_
  14. B

    Kikwete atoa taarifa kwa Waziri Mkuu maandalizi mei mosi yamekamilika 100%, Rais Samia mgeni rasmi

    Leo Jumatano Aprili 30, 2025 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu -Ridhiwani Kikwete ametoa taarifa kwa Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa ya ukamilifu na utayari wa kilele cha Sherehe za Mei Mosi zinazotarajiwa kufanyika kesho Mei Mosi katika Viwanja vya...
  15. B

    Rais Samia kupendwa na wananchi hakulazimishwi. Hujachelewa unaweza kubadilika

    Haya ni mahaba niue ya watu na rais wao yasiyokuwa ya kulazimishwa: Haya ndiyo ya TAL na wananchi wakiwamo mapolisi wako unaowatuma kumkamata au kutupiga na kutunyanyasa. Uongo mbaya hapendwi mtu bali matendo! Kwetu nchi imekosa usimamizi. Kila mtu anafanya lake: 1. Polisi anakana kukamata...
  16. B

    Rais Samia sikia maneno haya ya kuambiwa kumhusu yule Simba wa Kizimkazi, Tundu Antipas Lissu!

    Bila shaka wewe siyo Farao aliyeamua kuziba masikio hata pale busara yote ilipoelekeza vinginevyo: Kwani urais kitu gani kama unachoombwa ni kushinda au kushindwa kupitia tu uchaguzi ulio huru na wa haki? Anasema TX Moshi (Rip): "Sikia maneno ya kuambiwa na wana Ndekule, eeh Moshi weeh! Eeh...
  17. Rais Samia ana uwezo kuimarisha Muungano kwa Serikali, Moja muda uliopo unatosha kabisa kufanya Minimum Reforms. Anachohitaji ni utashi wa Kisiasa Tuu

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la mwananchi la leo Muda unatosha mabadiliko madogo ni utashi tu wa kisiasa! Jumatano, Aprili 30, 2025 By Paschal Mayalla Jumamosi iliyopita tulisherehekea miaka 61 ya Muungano wetu huu adhimu na wa kipekee. Kwa hakika, Muungano wetu umeimarika...
  18. W

    PreGE2025 UWT Geita wasema wapo tayari kumpigia Rais Samia Kura za 'Ndio'

    Umoja Wanawake ya Chama cha Mapinduzi (UWT) Mkoa wa Geita umeridhia kwa kauli moja kumpatia kura za Ndio na za kishindo Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025 . Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia...
  19. PreGE2025 Waziri Ndumbaro amshukuru Rais Samia kuisaidia Simba kufika fainali CAFCC, awaombea ruhusa wabunge wakaishabikie Simba Morocco

    Waziri wa katiba na sheria Damas Ndumbaro amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa kuisaidia timu ya Simba kufika hatua ya fainali katika michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika huku akiwaombea ruhusa kwa naibu spika wabunge kadha kwenda nchini Morocco...
  20. PreGE2025 Mbunge Kibamba: Watanzania wengi wanatamani kuona sura ya Rais Samia kwenye fedha zetu

    “Watanzania wengi wanatamani kuona Sura ya Rais Samia kwenye Fedha zetu, hii Italeta heshima kubwa kwenye Nchi yetu, kwa sababu tumeona mafanikio makubwa ya Nchi yetu kuongozwa na Rais Mwanamke” Issa Mtemvu - Mbunge wa Kibamba.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…