rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Hayati Ndugai alikuwa mkomavu kisiasa na kiuongozi, na aliyeamini katika demokrasia ya Bunge

    "Hayati Ndugai alikuwa mkomavu kisiasa na kiuongozi, na aliyeamini katika demokrasia ya Bunge. Alipokuwa Spika Bunge lilishuhudia mafanikio mbalimbali yaliyoelezwa hapa na Katibu wa Bunge lakini pia Mheshimiwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania"- Rais Samia. Rais wa Jamhuri ya...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza waombolezaji kuaga mwili wa spika mstaafu wa bunge hayati Job Ndugai

    Wakuu, https://www.youtube.com/live/909l2HQbu64?si=zVs8a4iuk4a2mUUM
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Raisi Samia na Dr Nchimbi ni wagombea wa CCM ambao hawajawahi chukua fomu za kugombea urais za chama

    Tanzania ni nchi ya ajabu sana, ni watanzania TU tunapuuzia kila kitu paspo na sababu. Samia ni lini alichukua fomu kuomba ridhaa ya chama kimteue kugombea uraisi wa Tanzania? Kwenye mafaili ya maraisi wagombea kwa CCM Mwaka huu mtaweka nyaraka Gani? Je ni sehemu gan ya katiba yenu inasema...
  4. JamiiForums Tanzania Rais - Serikali yako ilitenda wema kwa Lema, ikatenda kwa Mbowe kisha ikatenda kwa Ole Sabaya - fanye hivyo kwa Lissu

    Rais wetu mpendwa! Salaam! 1. Nakupa hongera sana kwa kufika muda wa kuchukua fomu wewe na mgombea mwenza Dkt Nchimbi; 2. Dunia inafahamu wema wako na Serikali iliyopita kupitia msamaha kwa Lema (mbunge wa zamani wa Arusha); inatambua wema tena wako kwa Freeman Aikael Mbowe (Mwenyekiti wa...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia alipatia Tabasamu Taifa. Lalipuka Kwa shangwe , nderemo na vifijo mitaani kote. Watu Wajikuta wakibubujikwa na Machozi ya Furaha

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Rais Samia anapendwa ,kukubalika na kuungwa mkono kuwahi kutokea. Kwa hakika Rais Samia amefanikiwa kuiteka mioyo ya watanzania,kwa hakika Mama yetu Mpendwa amefanikiwa kuandikwa kwa wino wa Dhahabu na upendo mioyoni mwa watanzania. Kwa hakika Rais Samia ni...
  6. JamiiForums Tanzania Kulikoni Mbona rais Samia, ameanza kujitenga Kimataifa?

    Hali si nzuri Kwa mama Samia, Alipoingia madarakani Samia alikuja na kauli ya kuifungua nchi, alijaribu kurejesha taswira ya Tanzania kwenye mstari. Alisafiri nchi za ulaya kama zote na Marekani. Alikalibishwa ikulu ya white house na kupokelewa na Kamala. Vice president Kalama alimtembelea...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia katika picha Tatu, uchukuaji Fomu ya Urais Uchaguzi 2015, 2020 na 2025

    Jumamosi Agosti 9, 2025, Mwenyekiti wa CCM Dkt. Samia Suluhu amechukua fomu Tume Huru ya Uchaguzi kugombea Urais wa Tanzania akiwa na mgombea mwenza, Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi; hii ni mara ya tatu kwake kufika chombo hicho cha juu cha uchaguzi, safari hii ikiwa kubwa zaidi kuliko...
  8. JamiiForums Tanzania Sioni Rais Samia akiongoza miaka 5 ijayo.

    Atashindwa vibaya mno kwenye uchaguzi, ndiyo kwenye uchaguzi. Rais ajaye katulia tu.
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia apewa Mbuzi wa Supu na Madereva Bodaboda na Bajaji baada ya kuchukua Fomu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye ni mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi amepewa Mbuzi kwa ajili ya supu atakayotumia baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea urais. Mbuzi hiyo iliyotolewa na Madereva Pikipiki za miguu mitatu (bajaji)na miwili...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: CCM tuko tayari kudemka kadri Ngoma itakavyopigwa

    Rais Samia amesema Mbio za kuelekea Oktoba zimeanza rasmi, CCM tuko tayari kudemka kadri Ngoma itakavyopigwa.
  11. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 INEC mmejishtukia kuitwa Tume ya CCM hadi mkaamua kuondoa live ya tukio la Mgombea Samia kuchukua fomu?

    Wakuu, Tume ya CCM, INEC ilikuwa imejitayarisha kurusha tukio la mgombea wa CCM kuchukua fomu ya Urais pamoja na mgombea mwenza wake, lakini wameifuta bana. Kwanza mlianza kusema Uchafuzi badala ya Uchaguzi mlipotangaza tarehe ya kupiga kura, leo mmefuta live ya tukio mlilokuwa mrushe. Mnazidi...
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Dodoma wakimsubiri Rais Samia baada ya kuchukua fomu yakugombea Urais

    Wakazi wa Dodoma wako hapa wamekusanyika wakimsubiri Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan baada ya kuchukua fomu ya kugombea Urais kwa awamu nyingine.
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Wanachama CCM wajitokeza kumsindikiza Rais Samia kuchukua fomu

    Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi wakiendelea kumiminika katika viwanja vya Mtekelezo jirani na makao makuu ya chama hicho kwa lengo la kumpokea Mgombea Urais wa chama hicho na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye anachukua fomu ya kugombea urais wa Jamhuri ya...
  14. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Rais Samia asema 'Siwezi kuahirisha kuchukua fomu ya kugombea urais kwa sababu ya msiba wa Ndugai'

  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Agosti 9, 2025: Rais Samia achukua fomu ya urais

    Chama cha Mapinduzi kesho, Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, Dk.Samia Suluhu Hassan na Mgombea Mwenza Dk.Emmanuel Nchimbi, wanaenda kuchukua fomu...kwenye Tume Huru Ya Uchaguzi Dodoma"- Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, CPA Amos Makalla
  16. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia kuitetemesha Dunia Kesho

    Ndugu zangu Watanzania, Kesho Dunia inakwenda kusimama ,kesho ndio kesho ,kesho macho yote Ya Dunia yanakwenda kuelekezwa Mkoani Dodoma ,kesho ni kama ile Fainali ya kombe la Dunia kati ya Argentina ya Lionel Messi Pamoja na Ufaransa ya Klian Mbappe. Kesho Dunia inakwenda kutetemeshwa na Rais...
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwambieni aachane na Mpango wa Kuchukua Fomu! Amekataliwa, akilazimisha - aibu kuu Inamngoja

    Wakuu Hili ni kama maajabu ila ndio Uhalisia wenyewe !! Vita inayoendelea ni Kati ya WAZALENDO wa NCHI hii dhidi ya Genge la Wahuni( Wanamtandao). Mpaka muda huu naoandika Hapa, WAZALENDO WAMESHINDA !!. Ipo hivi, Hapatakuapo na Utekaji tena, Hamna Kiongozi wa juu wa Dola kubadilishwa Ovyo ...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: Tumeweka fedha nyingi katika Umwagiliaji kukabili Mabadiliko ya Tabianchi

    <Aitaka NIRC iendelee kufanya kazi kuwafikia wakulima <Asema utachochea uzalishaji na kukabiliana na ukame 📍NIRC Ddoma Rais Dkt .Samia Suluhu Hassan, amesema katika kufikia azma ya mapinduzi sekta ya kilimo Serikali imechukua hatua ya kufanya uwekezaji mkubwa sekta ya Umwagiliaji lengo...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Agusa mioyo ya watu Baada ya kukataa Uwanja Kuitwa kwa jina Lake. Ampatia John Malecela Heshima Hiyo kutambua Mchango wake

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa kwa hakika ni zaidi ya kiongozi,ni zaidi ya mtu wa kawaida ,ni zaidi ya Binadamu. Rais Samia siyo mtu wa kawaida ,Mama ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Ni ngumu sana kumfananisha na mtu yeyote yule hapa Nchini na barani Afrika na pengine Duniani Kwote...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia atembelea Maabara Kuu ya Kisasa ya Kilimo – Mtumba, leo Agosti 8, 2025

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akitembelea Maabara Kuu ya Kisasa ya Kilimo iliyopo Mtumba Jijini Dodoma tarehe 08 Agosti, 2025. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akisikiliza maelezo kuhusu Maabara Kuu ya Kisasa ya Kilimo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…