rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Ridhiwan Kikwete: Rais Samia amemshukuru baba kwa jinsi ninavyomsaidia kama Waziri na hii imenipa Faraja kubwa sana

    Mbunge wa Chalinze Mh Ridhiwan amesema ile Picha iliyosambaa mitandaoni akiwa na baba yake Mzee Kikwete pamoja na Rais Samia inampa faraja kubwa na anajivunia Ridhiwan amesema pale Rais Samia alikuwa anamshukuru Mzee Kikwete kutokana na mchango anaoutoa( Ridhiwan) akiwa kama Msaidizi...
  2. Philip Mpango, Kassim Majaliwa Wajitenga na Siasa chafu za Rais Samia? Wahuni kupewa Rungu?

    Mwanasiasa wa Tanzania si rahisi kkuachia Madaraka Makubwa. Makamu wa Rais Dr. Philip Mpango, na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Walikuwa hawana Upinzani ndani ya Serikali ya CCM. Viongozi hawa wanajulika kwa kutopenda Uchawa. Rais Samia amekuwa akilaumiwa kufumbia macho Mauaji ya Wale wanao...
  3. L

    Mwalimu Nyerere Angefufuka Leo Hii Angebubujikwa Machozi ya Furaha Utafikiri amepigwa Bomu la Machozi na Kumshukuru Rais Samia kwa kutimiza Ndoto Zake

    Ndugu zangu Watanzania, Kama leo hii Kungetokea muujiza Wa Hayati Baba Wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere kufufuka kutoka Kaburini Butiama alikofumba macho na alikolala Usingizi wa Milele na kurejea hapa Nchini na kutazama yale yanayofanywa Na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha...
  4. GE2025 Rais Samia usikubali kufanya uchaguzi bila ushiriki wa CHADEMA

    Nakuomba sana mama yangu mpendwa, Rais Samia suluhu Hassan. Uchaguzi wa mwaka huu ndiyo njia Yako pekee ya kukubaliwa na wananchi. Achana na misemo ya walioshindwa mfano: If you lose, lose big and also if you win, win big. Taifa lipo kwenye ukimya mkubwa sana, naweza nisijue mawazo ya washauri...
  5. L

    Kufikia 2030 Rais Samia Atakuwa Na Uwezo wa Kuilisha Afrika Nzima Na Kutoa Misaada ya Chakula Kwa Baadhi ya Nchi Za Ulaya na Asia

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa kasi ya uwekezaji wa Mabilioni kwa mabilioni ya pesa unaofanywa na Rais Samia katika secta ya kilimo, kwa Mapinduzi ya kilimo yanayofanywa na Mama ,Kwa hatua zake za kuongeza Bajeti ya kilimo kufikia zaidi ya Trilioni moja point tisa, kwa kasi yake ya kuvutia...
  6. Huku rais Samia na kampeni dhidi ya matumizi ya mkaa, upande wa pili SSH akigawa bodaboda zenye athari kama za mkaa! Hapa ndiyo, niko njia panda

    Rais Samia anaendesha kampeni dhidi ya matumizi ya mkaa kutokana na moshi wake kuwa na athari kwenye mazingira, hilo ni jambo jema. Upande wa pili yuko SSH anasambaza bodaboda nchi nzima ambazo nazo zinatoa moshi sawa na ule wa majiko ya mkaa na ukiangalia uwingi wake ni kama zimerudisha moshi...
  7. R

    PreGE2025 Bodi ya Nishati Vijijini (REB) yampongeza Rais Samia kutekeleza mkakati wa Taifa wa matumizi ya Nishati safi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amepongezwa kwa kutekeleza Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia kwa vitendo Pongezi hizo zimetolewa jana Julai 01, 2025 na Mjumbe wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Lucas Malunde wakati akimwakilishi...
  8. R

    Rais Samia awapandisha vyeo Maofisa watatu wa polisi, IGP Wambura awavisha rasmi kuwa Makamishna wasaidizi waandamizi wa polisi (SACP)

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Camillus Wambura leo Jumanne, Julai 1, 2025, amewavisha vyeo vya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Camillus Wambura leo Jumanne, Julai 1, 2025, amewavisha vyeo vya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi...
  9. PreGE2025 POTOSHI Picha ya Rais Samia akifuatilia kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu

    Picha inaelezea vitu vingi.
  10. GE2025 John Heche ampinga Rais Samia. Adai hakuna uhuru wa kufanya Siasa

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara John Heche amedai kuwa kitendo cha chama hicho kuzuiliwa kufanya siasa ni njama inayotumiwa kukikandamiza chama hicho kikuu cha upinzani. Heche ameyasema hayo Jumatatu Juni 30, 2025 wakati akitoa taarifa kwa umma kupitia...
  11. Rais Samia: Ninawatakia kila la kheri wanachama wote wa CCM wanaoendelea kuchukua fomu

    Ninawatakia kila la kheri wanachama wote wa chama chetu, Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaoendelea kujitokeza katika maeneo mbalimbali nchini, kuchukua fomu za maombi ya kugombea nafasi za uongozi katika vyombo vya dola. Hatua hii ndiyo msingi wa maandalizi ya kwenda kwa wananchi, kuwaomba ridhaa...
  12. S

    Ikiwa mambo yako hivi sasa, nina hofu sana na awamu ya mwisho ya Samia kama rais wa Tanzania, ni wazi tutaona mabaya zaidi ya haya

    Jambo moja ambalo nimeliona kuwa dhahiri ni kwamba rais wetu hapendi kukosolewa, na hata zaidi anakuwa na hasira sana pale anapoona kama watu wanamkashifu au kile kinachoonwa kumtukana. Watu wamepigwa sana, na hadi sasa wengine hawajulikani walipo kwa kile kilichoonekana kuwa kwenda dhidi ya...
  13. E

    Rais Samia umekutwa na nini? Je, taasisi kukopa kwa jina lake ndio inamaanisha hilo sio deni la taifa?

    Rais Samia anasema tunakoelekea kila SHIRIKA la Umma likope mikopo kwa jina lake ili deni lisionekane deni la Taifa namnukuu" Huko tunakoelekea kila shirika litakopa kwa jina lake ili deni lisionekane ni deni Taifa mf. Tpa, Trc nk." akamaliza kwa kusema " Hii ni kuipunguzia mzigo HAZINA" Mimi...
  14. GE2025 Vyama vya siasa ACT Wazalendo, CHAUMMA, na wengine mnaoshiriki Uchaguzi, mmesikia kauli ya Rais Samia?

    Wakuu Vyama vya siasa ACT Wazalendo, CHAUMMA, na wengine ambao mnashiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, mmesikia kauli ya Rais Samia? Rais Samia wakati wa kuhitimisha shughuli za bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ijumaa Juni 27, 2025 alihimiza Vyama vyote vya Siasa nchini kutoa fursa...
  15. Hizi teuzi za Rais Samia zinabagua na zina kasoro kubwa

    https://youtu.be/Bp5NaZ4sYY8?si=SO4lrmpVo9Qm7bQK Nimeshangazwa sana kwenye teuzi za Rais Samia uliotokea juzi. Rais anatumia vigezo gani kuteua mtu aliyestahafu tena ambaye amepitia nyadhifa kubwa kubwa na zenye heshima? Hii nchi ina raia milioni 60+ na kati ya hawa zaidi ya 40% ni VIJANA...
  16. Kwa Ufupi, Rais Samia hataki kabisa Waumini wa Ufufuo na Uzima Waabudu , Leo wameamua kusalia Dhehebu jingine, Nako Polisi imewafata hukohuko!

    Unaweza dhani ni mazingaombwe,, na pengine ukajiuliza, Hawa Polisi Wana akili kweli? Mwisho jibu linabaki kua ni kweli Hawana akili. Ndugu msomaji, Kufuatia Msajili , Kufungia Kanisa Kihuni huku Wizara ikisema haijafungia Kanisa. WAUMINI wa UFUFUO na Uzima, kufuatia Mabomu ya Wiki ilopita...
  17. GE2025 CCM ni kubwa kuliko mtu, leteni mgombea Urais mpya atakayeponyesha majeraha ya watu

    Niliwahi Uliza humu, Dola Mnauhakika Rais Samia kua Mgombea, hawaingizi kwenye mtego wa matumizi ya nguvu kupitiliza??. Ishu nzima ya Bandari Kwa Waarabu, Watanzania wakapinga katakata Kwa Hoja ,Kwa Katiba, na Kwa Mifano !!.yaan Bandari alojenga Kipenzi Cha Watanzania JP Kwa matrillion ya...
  18. N

    Rais Samia kwenye hutuba zake hamtaji mumewe kama viongozi wengine wana

    Ukifatilia hutuba nyingi za viongozi wanapoitimisha kuhutubia anatoa shukurani Kwa watu wake wakaribu kama mke, watoto nk, lakini naona mama amtaji mumewe kama sehemu ya watu muhimu kwake juzi wakati wakuvunja bunge sijasikia akisema au baba yetu hayupo? Naleta hoja.
  19. Rais Samia kuwa mgeni rasmi ufunguzi wa jengo jipya la Kanisa la Mwamposa (Arise & Shine)

    Habari mpya ndio hiyo kila mtu anakaribiahwa siku ya tarehe 5.7.2025 wahi bila Kukosa kwani Kitakuwa na watu wa Mataifa mengi.
  20. Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni. Rais Samia anastahili pongezi kwa aliyoyafanya

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo kwa humu jf, nimeweka hoja na swali "Mnyonge Mnyongeni, Haki Yake Mpeni!, Kwa Aliyoyafanya, Anastahili Pongezi na Shukrani Stahiki!. Watanzania Wenye Shukrani Tumshukuru au Bado?". Juzi Ijumaa nimemsikiliza kwa makini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…